ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAKONDA:..MBONA ENZI ZA MAGUFULI UMEME ULIKUWA HAUKATIKI, SERIKALI IMESHTUKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 37

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli MAKONDA kuna viongozi wanaomuhujumu mama ili uongozi wake uonekane mbaya 😢😢

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ni lazima msadie Mama maana watu wanatezeka sanaa 😢

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tatzo mama Hana kauli hats ukimsemea unajsumbua tu hii nchi inatakiwa apewe Majaliwa ila iyo mamaenu hawez ki2

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 6 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisaa

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 6 หลายเดือนก่อน +1

    AU WAFUNGULIA MAJI WAMERUDI KAZINI TENA? DR MAGUFULI ALISEMA KULIKUWA NA WAMWAGA MAJI ILI MAJENERETA YAUZWE, NINI KIMETOKEA BAADA YA KIFO KUTOKEA NA MAMA KUCHUKUA?

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo ni Hujuma ili mama Samia asitawale ipasavyo

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 6 หลายเดือนก่อน

    Kosa la ccm huweka watu wenye majina wakizani wanaweza kubadili mfumo wa watu kukubali kuwa ccm mpiyia hapana ccm lmeisha wala rushwa wameizunguka serekali ni ngumu kuwabadi watanzania kirahisi mateso wanayoipata Kodi utitiri umeme mateso garama za maisha wakati serekalini waniashi kianasa wao na watoto wao

  • @gracelukumaybarikiwasanara7114
    @gracelukumaybarikiwasanara7114 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tunateseka sana umeme na maji ni kitu bora na ni muhimu sana

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 6 หลายเดือนก่อน

    Bona umepanda bei za kuvuta umeme na sasa hakuna vifaa na unakatika

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm achiyen ngaz hamuwez kuongoza nchi hii

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 6 หลายเดือนก่อน

      Ss tz htuoni kama kuna wanaoweza pia hao wengine ndio kichefufu

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 6 หลายเดือนก่อน

    good job pcm

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 6 หลายเดือนก่อน

    Kusema ukwelii mama Samia tunampenda sana lkn swala uongozi ameshindwa pakubwa sana hana sauti Kwa watendaji wake anawarea kama watoto wachanga

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 6 หลายเดือนก่อน +1

    Good news

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata sasa taifa star hatuioni wanezima umeme

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 6 หลายเดือนก่อน

      Tundu Lissu yupo atatuletea taarifa.

  • @rizikimlela8162
    @rizikimlela8162 6 หลายเดือนก่อน

    Makufuri arikuwa kiongoziwakweri ariwapenda walalahoi aliwatetea na akawasimamia siyosasa harimbaya watuwamekuwa watumwa serekari haioni

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mijitu inadanganywa inakubali

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 6 หลายเดือนก่อน

      Maandamano ya chadema ni hatari sana.Baadhi ya viongozi wa chadema wataingiza siraha kwa siri kwenye maandamano halafu watakuwa na sare za polisi watapewa hizo bunduki ili wawamiminie risasi waandamanaji ili waseme polisi wanaua watu kumbe chadema wenyewe wanaua chadema wenzao.wakati waandamanaji wanamiminiwa risasi vijana wengine wa chadema watakuwa wanachukua video nakurusha mitandaoni picha zinazoonyesha polisi wanaua waandamanaji kumbe sy polisi ni chadema wenyewe. lengo lao nikuchafua serikali, polisi na viongozi flani wa serikali ionekane walituma polisi kuua waandamanaji kumbe sy.Hii ndiyo sababu chadema kung'ang'ania maandamano. 2015 walitaka kufanya hivo baada ya uchaguzi bahati nzuri maandamano hayakufanyika.baada ya pale lisu ,mbowe na lema wakakimbilia nje.

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 6 หลายเดือนก่อน

    Porojo tu hakuna jipya Kwan hao walioko tanesco nan kawachagua?ccm mmefel mnatawala kwa rushwa tu

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi unayo mheshimiwa wewe unasokota waliojuuyako wanaichomamoto hayondomaneno ya kuongea mwanasiasa NAC kina mbowe wenyewe huubili shali na maandamano wanasiasa wa chadema ni vblaka nimejilizsha

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe na viongozi wengine wa chadema familia zao yaani watoto wao na wake zao watakuwa kwenye maandamano ?.au wapo ulaya ?.waache uhuni wakitumia damu za watanzania kujipatia umaarufu.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mbowe yupo ulaya mkewe Dr liliani yupo orophani waje waandamane wao

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali makini chini ya raisi bingwa kabisa.tutashinda yote yaliyopo mbele yetu kabla ya uchaguzi wa 2025.SSH 2025 T.mitano tena.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 6 หลายเดือนก่อน

    Kwenye umeme hatukuamini unachosema mpaka tujionee wenyewe

  • @smarty1064
    @smarty1064 6 หลายเดือนก่อน

    Mwongo huyu nae, tapeli

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 6 หลายเดือนก่อน

    So why now?

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 6 หลายเดือนก่อน

    Muulize mama kuhusu umeme

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa unakosea ,ina maana kuna tatizo ktk serikali hii, sio lugha sahihi😮

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana yake, bwawa limeisha kwa nini umeme ukatike?

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 6 หลายเดือนก่อน

    ENDELEENI KUSAFISHA MADUDU na uchafu wa SAMIA

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 6 หลายเดือนก่อน

      Maandamano ya chadema ni hatari sana.Baadhi ya viongozi wa chadema wataingiza siraha kwa siri kwenye maandamano halafu watakuwa na sare za polisi watapewa hizo bunduki ili wawamiminie risasi waandamanaji ili waseme polisi wanaua watu kumbe chadema wenyewe wanaua chadema wenzao.wakati waandamanaji wanamiminiwa risasi vijana wengine wa chadema watakuwa wanachukua video nakurusha mitandaoni picha zinazoonyesha polisi wanaua waandamanaji kumbe sy polisi ni chadema wenyewe. lengo lao nikuchafua serikali, polisi na viongozi flani wa serikali ionekane walituma polisi kuua waandamanaji kumbe sy.Hii ndiyo sababu chadema kung'ang'ania maandamano. 2015 walitaka kufanya hivo baada ya uchaguzi bahati nzuri maandamano hayakufanyika.baada ya pale lisu ,mbowe na lema wakakimbilia nje.

    • @geey7893
      @geey7893 6 หลายเดือนก่อน

      Ni madudu kweli