Fungo la Kukosa Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Penzi lenye vingi vishawishi Rita ametumbukia katika fungu la kukosa bila kujua. Je nani atamnasua?...
    Cast: Riyama Ally, Muhamed Lukilo, Rehema Msangule Hijja Hamidu, Susan Robert, Pembe Omary, Mohammed Ally, Asia Juma, Robert John, Rajab Jumanne, Juma Magoa, Obina Kalugila, Nassor Seif, Nuru Ashiraf, Abubakar Ahmed, Rajab Juma, Omari Hussein, Mwanahamis Bunduki, Hadija Pius
    All movies ni chaneli ya filamu ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa filamu za kiswahili za kale zilizo pendwa Kuanzia maigizo, ucheshi na filamu zakutisha zilizo tamba myaka ya nyuma bila kusahau na filamu za mapenzi zenye kusisimuwa Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki.
    All movies is an online video channel dedicated to Swahili oldschool movies . horror to love story movies and comedy we bring you the highest quality Swahili old school entertainment
    | Bongo Filamu | Comedy |Bongo Movies
    #moresubscribers2020#moreviews2020#Growmychannel

ความคิดเห็น • 187

  • @UmmuBakari-t6k
    @UmmuBakari-t6k หลายเดือนก่อน +5

    Inamafunzo makubwa na n mengi
    Zaman watunzi walkua wanatuliza akili zao kutunga tamthilia
    M naiangalia tena 2024
    Na imejaa uhalisia Kaz nzur 👏👏👏

  • @jokhakhamis6650
    @jokhakhamis6650 4 ปีที่แล้ว +10

    Wekeni na saladin movie za zamani ziko poa sana

  • @doctorziro6598
    @doctorziro6598 2 ปีที่แล้ว +2

    Doctor ziro hapa, napenda Sana kazi zako.

  • @edgaredward3490
    @edgaredward3490 2 ปีที่แล้ว +2

    Dimoso sio wakulipwa haya mungu anamuona Riyama

    • @سوزي-ع1ل
      @سوزي-ع1ل 10 วันที่ผ่านมา

      fadhili mfadhili mbuzi binadamu wana maudhi

  • @ayushjhay1979
    @ayushjhay1979 3 ปีที่แล้ว +1

    Yatufuza usimfanyie mwezio mbaya.ulipa kwa mwengine

  • @olivermfinanga1268
    @olivermfinanga1268 3 ปีที่แล้ว

    Aisee maisha n safar San riyama wa Leo ametok mbal san

  • @wizerepamella5762
    @wizerepamella5762 6 หลายเดือนก่อน +11

    2024 tugonge Like basi

  • @abdalahsaid4077
    @abdalahsaid4077 3 ปีที่แล้ว +20

    Hii filamu inafundisha sanaa yani jinsi gani binadamu hapendi mwenzie aishi maisha mazur kingine binadamu akipata anajisahau

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 3 ปีที่แล้ว +24

    2021 daah riyama uliuwa kwenye hii movi vp tupo wangapi tunaoangalia

  • @rahamamohd3075
    @rahamamohd3075 2 ปีที่แล้ว +15

    Wa 2022 gonga like hapa

  • @sheykhahasnuu2239
    @sheykhahasnuu2239 3 ปีที่แล้ว +14

    2021 anoangalia tujuanee🤓🤓

  • @mariamamir1786
    @mariamamir1786 2 ปีที่แล้ว +10

    2022 ndio nimeiyelewa 🤣🤣🤣🤸🤸🤸

    • @irakozegracia183
      @irakozegracia183 2 ปีที่แล้ว

      Pia na mimi naana zamani sikuwa nasikia wanacho maanisha

    • @faidhaally4672
      @faidhaally4672 2 ปีที่แล้ว +1

      Wallah sasa hivi ndo inaeleweka 😁😁😁

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว +3

    Sijapenda alicho fanya mama mateso kwa mmewe aliye msaidiya🥲😏

  • @bhuzahope.2669
    @bhuzahope.2669 3 ปีที่แล้ว +9

    2020 lakini inagusa hisia sanaaah HONGERA sana Rihama Ally.

  • @khassimmohamed8562
    @khassimmohamed8562 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake niwa2 2 wakubadirika sema zinafundish sn

  • @alisalum6464
    @alisalum6464 3 ปีที่แล้ว +5

    Kweli riyama alstahili adhabu kwa kumsaliti dimoso lakin sio hivyo mulivyofanya nyinyii

  • @hadija846
    @hadija846 4 ปีที่แล้ว +10

    Unafikia kumtia mwenzio wendawazimu wakati chanzo ni wewe mwenyewe waganga bana angefanya dawa ya kumrudia mwenyewe❌
    Haya yote yapo jamani muhimu kinga tu.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 ปีที่แล้ว +7

    Binadamu sisi🤔🤔🤔🤔

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbaya Zaidi kwenye movie ni uyo baba mateso original, yaani yeye anamtakiya mama mateso mateso ya milele🥲🥲

  • @benezethkapongwa3111
    @benezethkapongwa3111 4 ปีที่แล้ว +8

    Sema hii movie iliishia hovyo maana haki ya mtu huwa haipotei, mwanamke alikuwa na haki lakini mwisho wa siku anaambulia matatizo....lakini pia bw. Dimoso hakustahili yale yaliyomkuta....anyway....Kiongozi tutafutie na MAHABATI kama vipi ututupie tuwe tunapumzikia hata ZILIPENDWA maana za sasa hivi choka mbaya

    • @dmsafiri7120
      @dmsafiri7120 4 ปีที่แล้ว +1

      Ushaambia fungu la kukosa unajua maana ya fungu la kukosa ww

    • @Jojo-ot7ms
      @Jojo-ot7ms 4 ปีที่แล้ว

      Dimoso nae aliambulia fungu la kukosa,kila mtu ktk movie ameambulia fungu la kukosa ndo mana ikaitwa fungu la kukosa

    • @hipserjoseph1898
      @hipserjoseph1898 2 ปีที่แล้ว

      Ukishaelewa maana ya fungu la kukosa huna haja yakuyaelezea hayo

  • @IrChrisanteMumbere
    @IrChrisanteMumbere ปีที่แล้ว +2

    Wote munao itazama movie hii mwaka huu 2023 njooni tujuwane papa jamani

  • @zanelanixon6406
    @zanelanixon6406 4 ปีที่แล้ว +5

    Tuwekee saladin

  • @沛佳朱
    @沛佳朱 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yan sijapenda kabisa rita alivo mfanyia kaka wawatu😭😭😭😭😭😭

  • @emmanuelgrayson3276
    @emmanuelgrayson3276 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo Kwa dimoso kukatwa mguu na kabwe hatima yake kutokupata maumivu mwandishi alizingua Sanaa na yeye

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 3 ปีที่แล้ว +4

    Dada riyama ulikuwa mzur jmn huo mwili ulikupendeza Sana mama mateso w dimoso

  • @rahmakishiwa1528
    @rahmakishiwa1528 3 ปีที่แล้ว +4

    masikin dimoso wemawake umemponza duuu

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +5

    Riyama anasema chenji hairudi 😁😁😁😁🤣🤣

    • @sideboy3919
      @sideboy3919 3 ปีที่แล้ว

      Hhh kama pesa katoa yy

  • @irenekimena2607
    @irenekimena2607 3 ปีที่แล้ว +3

    2021 jamani bado tam

  • @fatmafatom3034
    @fatmafatom3034 2 ปีที่แล้ว +2

    Movie ya 2003 narudi 2022🤩😍🥰🥰🥰🥰🥰

  • @hadija846
    @hadija846 4 ปีที่แล้ว +4

    Ni mzuri lakini inaskitisha sana

  • @oscarkasalile6536
    @oscarkasalile6536 3 ปีที่แล้ว +8

    Kweli wanawake wanabadilika wakianza kazi, duu hii inaniumiza Sana

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 ปีที่แล้ว +4

    Ila yangetakiwa yamrudie yule yule mkaka

  • @fauziasitara5059
    @fauziasitara5059 3 ปีที่แล้ว +4

    Mama mateso jamani

  • @bidallahamadi4076
    @bidallahamadi4076 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah hua sichoki kuangalia movie za Rihama Ally..She has been shinning since young age,big up

  • @agneschami968
    @agneschami968 3 ปีที่แล้ว +3

    Nc

  • @sashaqueentz2917
    @sashaqueentz2917 4 ปีที่แล้ว +4

    Muendelezo

  • @eddababy9734
    @eddababy9734 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulio angalia 2022 tujuane

  • @musasabu6969
    @musasabu6969 3 ปีที่แล้ว +3

    Riyama alikuwa mdogo

  • @saidsuleiman3397
    @saidsuleiman3397 4 ปีที่แล้ว +4

    Zilipendwa

  • @philipowesley5766
    @philipowesley5766 4 ปีที่แล้ว +8

    Juisi ya kizungu

  • @salumabdallah9445
    @salumabdallah9445 3 ปีที่แล้ว +2

    Izo ndo akili za wanawake sio poa

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 3 ปีที่แล้ว +3

    enzi hizo ukinywa juis au bia au ukila chips we ni bonge la mtu town.

  • @natasharajab6650
    @natasharajab6650 4 ปีที่แล้ว +4

    😢dunia hiii wallah mungu aniepushe Na hya

  • @mustapharama4063
    @mustapharama4063 4 ปีที่แล้ว +5

    kupendeza kwa zamani ilikua nguo za lugelelo

    • @augustinojonas5870
      @augustinojonas5870 3 ปีที่แล้ว

      Haaaaaaahaaaaaahaaaaaaahaaaaaaa

    • @michealsugaje82
      @michealsugaje82 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahahaha hahahahahahahahahaha et nguo za kulegelela

  • @razalokisika6461
    @razalokisika6461 3 ปีที่แล้ว +1

    aise umetukumbusha mbali sana ndugu bado pcha moja tu naomba uitume malipo ya usaliti ya sulemani mkangala

  • @fauziasitara5059
    @fauziasitara5059 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante ya punda ni mateke

  • @rodageoffrey8556
    @rodageoffrey8556 2 ปีที่แล้ว

    Kipindi hcho tv ya chogo gukanda gukubwa na nje kuna jenereta watot 50 wakubwa 100😃😃😃sis watot wa mwenyekit tunaangalia buree😂😂😂😂

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 7 วันที่ผ่านมา

    Mbn aijaisha part 2 aipog ivi tumalizie bhn

  • @ruttagodfrey2514
    @ruttagodfrey2514 4 ปีที่แล้ว +4

    Nzuri sana

  • @alisalum6464
    @alisalum6464 3 ปีที่แล้ว +2

    Mchezo mzuri part ya 1 ila ya pili mumeharibuu

  • @phainnesphainnes9497
    @phainnesphainnes9497 4 ปีที่แล้ว +4

    Nzr😘😘

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 5 วันที่ผ่านมา

    Uyo mtoto saiz atakuwa mtumzima jaman kalibia miaka 22

  • @RashdaAbdallahMahuwile
    @RashdaAbdallahMahuwile หลายเดือนก่อน

    Makosa yte yasamehewe lkn kosa la usalit😢😢😢😢

  • @ManChuse7
    @ManChuse7 6 วันที่ผ่านมา

    Juice ya kizungu ndo kawaida yake mala ya kwanza ukiinywa inakua chungu ila baada ya hapo inakua tam😂

  • @rajabumsingwa1075
    @rajabumsingwa1075 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah movie ya 2003 nimejikumbushia 2021 bado imenisisimua mupo wapi kina tamba filamu zako bado zinaishi mpk sasa miaka imeenda lkn tunainjoi

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 ปีที่แล้ว +3

    ongera.dadariyama^saruti

  • @teddykalume4639
    @teddykalume4639 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamke, yani movie kama ya Jana...

  • @anastaziadickson2523
    @anastaziadickson2523 2 ปีที่แล้ว +1

    Juice ya kizungu🙄🙄😁😁😁😁

  • @neemastephen4245
    @neemastephen4245 3 ปีที่แล้ว +3

    Waaaah sijui Sisi wanawake tunakwama wapi😢😢😢

  • @shakilasanga5225
    @shakilasanga5225 3 ปีที่แล้ว +2

    Haaaaaaah kweli tenda wema nenda zako

  • @allyshen525
    @allyshen525 3 ปีที่แล้ว +2

    evito

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mganga ndie huyu mwinyi mkuu wa maneno ya kuambiwa siyo💕

  • @沛佳朱
    @沛佳朱 6 หลายเดือนก่อน

    Na jisu ulicho kifanya jaman ww

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 ปีที่แล้ว +2

    chiri.mashaailaah^umeigiza_uganga

  • @fidesbenard2836
    @fidesbenard2836 3 ปีที่แล้ว +2

    Ritha anajua kuvaa ualisia hadi raha

  • @sumalee9718
    @sumalee9718 3 ปีที่แล้ว +2

    Ase fundisho kubwa sana hiv wadada mnakwama wapi

  • @mariamsaid3456
    @mariamsaid3456 7 วันที่ผ่านมา

    Kabis Yan inafundish

  • @mariamsaid3456
    @mariamsaid3456 7 วันที่ผ่านมา

    Kabis Yan inafundish

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 3 ปีที่แล้ว +2

    Chili aka mwinyi mkuu matunguri ilianza zamani😂😂😂😂😅

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +1

    2003_07 : Kama burudani + utoto
    2020+ : ndio tunajua maana yake 😢😢

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 ปีที่แล้ว +3

    Shkamoo ryama

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 5 วันที่ผ่านมา

    Ila hii muv dah😢

  • @Elizabeth-my2yx
    @Elizabeth-my2yx 11 หลายเดือนก่อน

    Iv unaweza kusema alinuia nn?

  • @JacqulineDaniel-h3w
    @JacqulineDaniel-h3w 10 วันที่ผ่านมา

    Daaah sio poa jmn 😢

  • @rehemasahwi5530
    @rehemasahwi5530 4 ปีที่แล้ว +2

    Mateso yuko wapi jmn 😂😂😂party 2 hayupo

  • @nas2800
    @nas2800 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mana na chukia waganga

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣mama mateso bana eti chenchi ayirudi

  • @IrenewillyMwenda
    @IrenewillyMwenda 2 หลายเดือนก่อน

    Janaume kinaonekan jinga kwel hil tapel

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +3

    Bos anatongoza kibabe 🤣🤣🤣🤣

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 3 ปีที่แล้ว +3

    Duniani ni balaa mungu atunusuru inshallah

    • @jacklinekhatibdaffa5086
      @jacklinekhatibdaffa5086 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa linachanganya pombe na sodaa😂😂😂😂elewee Rita wetu

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice movie 👌😍😊👍 thanks

  • @RajabBakari-p6y
    @RajabBakari-p6y 11 วันที่ผ่านมา

    Tunatak part 3 yake jaman

  • @alisalum6464
    @alisalum6464 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahuyo alomroga mwenzie ndo wakupata laana haswaa

  • @DeusMosha-er2eh
    @DeusMosha-er2eh ปีที่แล้ว +1

    Kitambo sana nakupenda dada riyama ❤❤❤

  • @violethmushy-zs2qy
    @violethmushy-zs2qy 10 วันที่ผ่านมา

    0:04tuletewe muendelezo hii movie inahitaji kuendelea

  • @sideboy3919
    @sideboy3919 3 ปีที่แล้ว +1

    Tarumbeta inapiga ngoma ya Christmas harusin

  • @wifematerial8943
    @wifematerial8943 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwendelezo please

  • @patrisiaandrea4208
    @patrisiaandrea4208 3 ปีที่แล้ว +1

    Riyama jmn ukupaswa kumfanyia mwenzio alikusaidia sana

  • @rahmakishiwa1528
    @rahmakishiwa1528 3 ปีที่แล้ว +2

    tenda wema nenda zakp haa jaman

  • @Elizabeth-my2yx
    @Elizabeth-my2yx 11 หลายเดือนก่อน

    Mbona alikuwa anafanana na Elizabeth michael

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @fatmafatom3034
    @fatmafatom3034 2 ปีที่แล้ว

    Sasa uyu mwanaume wa rita salisema alishaga mtupiliya mbali inakuwaje amtake tena😃😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @mamakomangonakumbukambalis954
    @mamakomangonakumbukambalis954 4 ปีที่แล้ว +2

    Alikua mdogo lihana

    • @alikiloko1974
      @alikiloko1974 ปีที่แล้ว

      sio lihana vo anaitwa Riyama

    • @alikiloko1974
      @alikiloko1974 ปีที่แล้ว

      sio lihana vo anaitwa Riyama

  • @clemsonsylvester
    @clemsonsylvester หลายเดือนก่อน

    12 August 2024

  • @samsonodhiambo1180
    @samsonodhiambo1180 3 ปีที่แล้ว +1

    Matezo kumbe ni ya muda kidogo.

  • @aysanissahaji2735
    @aysanissahaji2735 4 ปีที่แล้ว +2

    2003 nilikua na miak 4 hhhhhh

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 ปีที่แล้ว +4

    Riyama anajua kuekty ushamba

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +1

      Masha Allah kweli kabisa💕💕💋😍

    • @Jojo-ot7ms
      @Jojo-ot7ms 4 ปีที่แล้ว +1

      Enzi za vipima joto😆😆😆umeona vipima joto vyao

    • @mahewamahewa6461
      @mahewamahewa6461 4 ปีที่แล้ว +1

      Enzi izo alikuwa mshamba kweli

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 3 ปีที่แล้ว

      Kweli riyama Ali Tz na mercy Johnson wa Nigeria wakali

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว +2

    Sicoki..kuona kazi zenu haswa..dada Riyama napenda..movie zako 😘😍

  • @suleimanriato1530
    @suleimanriato1530 3 ปีที่แล้ว +1

    No

  • @اال-ص8ر
    @اال-ص8ر 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake muache usalit