Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
    Riyama Seleman Ally, malkia wa kazi aifanyayo na kila alitilialo msisitizo hulifanya kwa asilimia 100, hata kama akichelewa kama pengine alivyochelewa kupata heshima yake na malipo yake anayostahili, kama ambavyo anapata sasa au ambayo anapata maana safari bado ni ndefu. Na kwa mazungumzo haya nilofanya naye huo ndo muelekeo na ndo nia na madhumuni. Sote tunajua PENYE NIA PANA NJIA, so kazi ni kwetu.
    Mzaliwa wa Unguja Tanzania, kakua katika familia ya kidini na malezi bora ila kwa mujibu wa maongezi yetu haya yeye alipenda zaidi kuwa muimbaji, kitu ambacho Mwenyezi Mungu mtoa vipaji hakumjaalia kipaji hicho na uzuri ni kwamba aligundua mapema na akafanya ustaarabu wa kutafuta kitu chengine cha kusogeza maisha yake.
    Ule usemi wa Mungu anakupa unachostahili na sio unachotaka hapa umetulia mahala pake. Imagine kutoka kutaka kulazimisha kuwa Khadija Kopa (ndo muimbaji anayempenda zaidi) na kuwa mmoja wa wasanii wa filamu hodaaari kabisa hapa kwetu na kama SI NDIO MUIGIJAZI BORA WA KIKE WA FILAMU hapa Tanzania.
    Heshima zangu za dhati zinaenda kwake kwa kukubali kuja kuongea nami na kunielezea kinaga ubaga juu ya ukuaji wake, maamuzi fulani fulani ambayo ashawahi kufanya maishani mwake. Elimu yake, alisoma? Shule ipi? Alikua mwanafunzi wa aina gani? Kuhusu familia? Ana mtoto? Na pia tulizungumzia filamu na maisha yake kama kioo cha jamii. Majibu yalikua mazuri na marefu na kwa hilo namshkuru sana yeye kwa kuweza kuja na kuongea nami huku mume wake mpendwa akiwa anamgojea kwenye parking lot.
    Yangu matumaini uta enjoy maongezi haya kama nami nilivyo enjoy kuongea naye.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown

ความคิดเห็น • 275

  • @z.shondezshonde5663
    @z.shondezshonde5663 4 ปีที่แล้ว +37

    Huyu mwanamke nampenda mpaka najishangaaaa hakika namuombeaga kilaa mala #riyama nakupenda dadaang😔😔😔

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว +5

    riyama mm nakupenda sana pia napenda unavyo ongea mashallha rafuzi mzuri pia watu wengi wananiambia nimefanana na ww natamani siku moja tuonane

  • @stellamamiro6553
    @stellamamiro6553 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana salama natamani siku moja na wew ukae upande wa kuhojiwa tukujue my sister i love

  • @universenurity776
    @universenurity776 4 ปีที่แล้ว +32

    Fungu la kukosa best movie ever! 🙌🙌🙌

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 ปีที่แล้ว +7

    Na kupenda sana dada Riyama uko vizuri mama mungu akupe mutoto na mumeo..inshaa Allah..mupende mutoto wamumeo jombaraka may

  • @rahmaothuman4819
    @rahmaothuman4819 4 ปีที่แล้ว +10

    Riyama nampenda jmn huyu dada anajua kuigiza mpk anakera awee anajua asee ila bongo move mnafeli wapi soko lenu linazidi kushuka kila siku pls mnatuangusha jmn tunawapenda mno

  • @mussamsella5801
    @mussamsella5801 4 ปีที่แล้ว +33

    Hivi kwa majibu ya huyu dada Riyama una haja kumuuliza Elimu yake ??? Binafsi naridhika sana namna anavojibu

  • @dorotheafredy7043
    @dorotheafredy7043 ปีที่แล้ว +1

    Hongera lihama

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 4 ปีที่แล้ว +6

    Thank you guys.. for inviting Riyama ,
    she's a legend and very good entertainer
    we love her so much ...❤️💚💛

  • @SamiraBhazizane
    @SamiraBhazizane 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda saana mashallah

  • @manirambonabelysemanirambo5619
    @manirambonabelysemanirambo5619 4 ปีที่แล้ว +11

    Nawapenda sana salama and riyama from

  • @benedictraphael5711
    @benedictraphael5711 4 ปีที่แล้ว +1

    Nafurahia sana interviews zako Salama, na kuna wakati nakuona wewe mwenyewe unazifurahia kabisa, Mungu akuzidishie

  • @thomaslinda3713
    @thomaslinda3713 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Sana pacha wangu

  • @omaryjoseph2523
    @omaryjoseph2523 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawakubal sanaaaa

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda jamani unahekima sana ungechaguliwa mbunge au mkuu wawilaya unafaa kabisa

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว +18

    Nilikuw naipend hyo fungu la kukosa, mama mateso

  • @alipqasse9967
    @alipqasse9967 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa nyinyi wawili vile nawapenda buree na sana😍😍😍

  • @idizuberi9572
    @idizuberi9572 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda riyama Allah akuongoze

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    My lovely sister 😘❤️

  • @zildatwahid6526
    @zildatwahid6526 4 ปีที่แล้ว +3

    I love salama bila sabb ♥️♥️♥️

  • @mohdmohd2722
    @mohdmohd2722 4 ปีที่แล้ว +2

    salama tunataka na ww

  • @bahatimmependezamwanginda5202
    @bahatimmependezamwanginda5202 4 ปีที่แล้ว

    Salama nimependa umebadilisha style yanywele, pendeza

  • @gladnessnourdin6921
    @gladnessnourdin6921 4 ปีที่แล้ว +2

    I love riyama....beutiful

  • @happinessakim2889
    @happinessakim2889 4 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏😍

  • @mjsaidkeya822
    @mjsaidkeya822 4 ปีที่แล้ว +3

    Riyama 🔥🔥🔥🔥nampenda sana

  • @friedkinglyimo8207
    @friedkinglyimo8207 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda Sana huyu dada

  • @saidjuma9782
    @saidjuma9782 4 ปีที่แล้ว +3

    Leo Kiswahili Safi sana

  • @dajia4787
    @dajia4787 4 ปีที่แล้ว +5

    nasubir dada Salama nae afanyiwe interview ...

    • @philemonmgasha3670
      @philemonmgasha3670 4 ปีที่แล้ว

      Sasa nani atamuuliza maswali

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 4 ปีที่แล้ว +3

      @@philemonmgasha3670 zamarad😂😂😂😂😂au millard ayo😂

  • @scolambisso9254
    @scolambisso9254 2 ปีที่แล้ว

    Scola mpole nipo hapa

  • @jumakawambwa5176
    @jumakawambwa5176 4 ปีที่แล้ว

    muhamishe studio lilio ya magari cjui alteza hio inalia kinoma

  • @ArerimanazilfahassanZilfahassa
    @ArerimanazilfahassanZilfahassa 2 หลายเดือนก่อน

    Mama teso

  • @habibakifula2656
    @habibakifula2656 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda riama

  • @hassanissa4792
    @hassanissa4792 3 ปีที่แล้ว

    Eti Leo komando

  • @neemakelvin8859
    @neemakelvin8859 4 ปีที่แล้ว

    Nina mupenda jaman riham ninakupenda bule

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว +6

    Wazenji wamekutana

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว

    Riyama wew ni kipaji rare kbs yaani Kuna bongo movie afu Kuna wasanii Kama riyama, monalisa, single mtambalike, Joan river

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 ปีที่แล้ว +4

    Hapo ningeakikisha hadi interview kuisha hizo fruit zimebaki mbegu na maganda

  • @erickkinubi1394
    @erickkinubi1394 4 ปีที่แล้ว +5

    Salama:Swali la kipumbavu ulilowahi kuulizwa
    Riyama:napenda kuvaa nguo za ndani au hapana
    Salama after dakika moja,kwahyo hujawahi kutoka bila kutovaa nguo ya ndan at mara moja?
    Mimi:🙄🙄🙄

  • @alistidiusjohnkaroly6736
    @alistidiusjohnkaroly6736 4 ปีที่แล้ว

    NAOMBA UMHOJI SEBA NA JEPLAS ( MISUKO SUKO)

  • @alliyalliykidawa5931
    @alliyalliykidawa5931 4 ปีที่แล้ว

    Fungu la kukosa ni movie nzuri sana

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 ปีที่แล้ว

    haaaaaa

  • @leonardcharles3169
    @leonardcharles3169 4 ปีที่แล้ว

    Fungu la kukosa ni miongoni mwa filamu bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania,

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

    Fungu lakukosa was the best riyama

  • @najmasoudnaj8211
    @najmasoudnaj8211 4 ปีที่แล้ว

    Nice 🔥🔥👌

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 4 ปีที่แล้ว

    Ally kiba

  • @worldcuisine9102
    @worldcuisine9102 4 ปีที่แล้ว

    Ads km zote

  • @agneschaula5121
    @agneschaula5121 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli liyama ilemvi ilikuwa nzuli sana namlevi wako dimoso sijui nae alipotelea wapi

  • @abdulghanmohammed
    @abdulghanmohammed 4 ปีที่แล้ว

    diamond platnumz kisa alikukataa au

    • @deograssymwavipa6887
      @deograssymwavipa6887 4 ปีที่แล้ว

      Atakupenda wewe

    • @ndabadugitsefuraha7835
      @ndabadugitsefuraha7835 4 ปีที่แล้ว

      Riama adi Leo twa kuita mamateso yani kwetu Burundi twakutwambuwa kwajina la mamateso twa kupenda sanaaaa

    • @hawaynatimam982
      @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว

      Wakat anamtaka ulikuwepo

    • @abdulghanmohammed
      @abdulghanmohammed 4 ปีที่แล้ว

      @@hawaynatimam982 ww unanitaka nn jmny muoneni huyu ananitaka

  • @zainabzainab2422
    @zainabzainab2422 ปีที่แล้ว +3

    Kweli riyama fungu la kukosa ni film bora.from kenya

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +8

    Napenda Sana nyote hamukupaka makeup wala mawig inapendeza sana

  • @firdausgreen1391
    @firdausgreen1391 4 ปีที่แล้ว +6

    Wallah Wabillah Da.Riyama huwa nakuiga unavyo ongea mpaka nimekuwa addicted ....na watu wanapenda ninavyo ongea hawachoki kunisikia

    • @khalidshabani7600
      @khalidshabani7600 4 ปีที่แล้ว +1

      Yani I feel you namna ulivyotoa hizo hisia kutoka moyoni kabisa...

    • @firdausgreen1391
      @firdausgreen1391 4 ปีที่แล้ว

      @@khalidshabani7600 kwenye kutoa hisia mie nipo vizuri hahahahhaha

    • @khalidshabani7600
      @khalidshabani7600 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaa... Nakubali yan I feel you... kutoka kwny uvungu wa moyo kabisa

  • @amoschacha2885
    @amoschacha2885 4 ปีที่แล้ว +6

    Salama muite shekhe mazingeeee

  • @teddymahawe670
    @teddymahawe670 4 ปีที่แล้ว +6

    Love u much more Ryama Ally😘😘😘God bless u abundantly

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo salama hupo kikomando hapo""" ujavaa chupi unasababisha tuanze kukuchora ki feeling jinsi ilivyo na uzuri wako huo daa,,, kitu kinakula upepo tu hapo ulipo😢

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 4 ปีที่แล้ว +27

    😂😂😂😂😂Leo komando ! Gonga like team komando

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 4 ปีที่แล้ว +10

    Nimechelewa ila nimefika kw wapendwa wngu ❤️❤️❤️💓💓🇰🇪

  • @nasrahsamwely6871
    @nasrahsamwely6871 4 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda Riyama saaaana pia napenda ndoa yake na bwana Riyoo
    💝💝💝💝💝💝💕💕💕🤝

  • @sharoombay8997
    @sharoombay8997 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi ,Kiswahili safi. Mungu awabariki mnajielewa mpaka raha.

  • @G.S985
    @G.S985 4 ปีที่แล้ว +11

    Salama you're number one kwenye interview, nampenda sana Da Riyama umefanya vizuri

  • @ishrak3112
    @ishrak3112 4 ปีที่แล้ว +2

    Mie ndo mana sitizami michezo ya kibongo maana utakuta kama hivyo director yeye mtunzi wa story yeye actors yeye kamera man yeye script yeye Make-up yeye almuradi shaghla baghla na unatizama movie mara sauti hamna au sauti ndogo lakini sauti ya mziki iko juu

    • @khalekichambo1131
      @khalekichambo1131 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata Hollywood walianza somewhere,wape support ipo siku mtaenda cinema kuona tollywood movie

    • @ishrak3112
      @ishrak3112 4 ปีที่แล้ว

      khale kichambo alikwambia nani kama Hollywood walianza hivi?

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 หลายเดือนก่อน

    Salama una maswali mazuri Nampenda sana Ryama hata salama love sana big up.kazi iendelee

  • @encernstudios3745
    @encernstudios3745 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba MUSSA BANZI 🔥Long time snaa sjaskia ili jina

  • @elizabethwoga5140
    @elizabethwoga5140 4 ปีที่แล้ว +3

    Mbio mpaka kwa fungu lakukosa 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @ayubustanley9069
    @ayubustanley9069 4 ปีที่แล้ว +5

    Salama napenda unavyofanya kazi zako.mm pia mzaliwa wa Zanzibar. Hahahhaa nakupenda bure

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 4 ปีที่แล้ว +14

    When pure talents meet,what you have seen is what just happened,beyond dopeness INTERVIEW

  • @davidkimario9601
    @davidkimario9601 2 ปีที่แล้ว

    Kiukwer nampenda sana jesika yaani nikiwa naangali salama afu nichelewe kumuona jesika yaan nalalamika mbka kwa baby wng namwambia baby jesika kachelewa kuleta chakula

  • @hanifahkhatib5780
    @hanifahkhatib5780 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakipendaa sana hiki kipindii....nakuenda sana salamaa unafanya kweli hatari

  • @elnabilbentaleb7008
    @elnabilbentaleb7008 4 ปีที่แล้ว +2

    SALAMA INTERVIEW ZOTE AMEVAA BLACK ⚫ 🔥🔥🔥 Kama CASTO DICKSON na Vipensi Kwny SIZ KITAA

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda wazanzibari wanaustaarabu wa kuonea hasa kiswahili chao

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 4 ปีที่แล้ว +1

      Ahsanteee nasi twakupenda

    • @hawaynatimam982
      @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani karibu zanzibar

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 ปีที่แล้ว

      Wabaguzi hao hatar usiombe

    • @dadasim2749
      @dadasim2749 4 ปีที่แล้ว

      Tunakupenda 100%

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 4 ปีที่แล้ว

      @@veeJesus.... Nani amekubagua wewe!!??

  • @moshdiv3716
    @moshdiv3716 4 ปีที่แล้ว +2

    umenifurahisha kwenye kuimba adi mimi napenda lkn pumzi sina😀

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +6

    Salama jamani nakupenda, miss you kwenye bongo star search na ile mikuki yako unayo choma watu ukweli kama hawajui kuimba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani I really miss such moments

  • @crelincharles9358
    @crelincharles9358 4 ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru kwa kuleta riyama nimefurah sana

  • @ruhumakhadija8772
    @ruhumakhadija8772 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleikum salama uko na sauti poa sana una umakinifu wa kuuliza maswali Mimi na kukubali sana

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 ปีที่แล้ว +4

    Riyama nakupenda

  • @zeekumchaya4280
    @zeekumchaya4280 4 ปีที่แล้ว +27

    Honestly watu wengi wanafanya interview na celebrities ila salama ur giving us the best ur questions are interesting to me and many,ur the best....... love u riyama ur the girl am looking up to

  • @ndojes711
    @ndojes711 4 ปีที่แล้ว +2

    Hupewi mtoto hospitali mpaka alie

  • @aisharamadhan1692
    @aisharamadhan1692 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani dah! Riyama tunakupenda mno mungu akuhifadhi my dear

  • @graceannakavishe1763
    @graceannakavishe1763 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 mawigi kama ndugu yake jack chain

  • @AhmedSaleh-rc1yj
    @AhmedSaleh-rc1yj 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama na SIMBA tunamuhitaj diamond platnumz

  • @VailethJonathan
    @VailethJonathan 10 หลายเดือนก่อน

    Nimexhelewa sana jamani kukijuwa iki kipindi

  • @ofmae-thebrainstech3501
    @ofmae-thebrainstech3501 ปีที่แล้ว +1

    One day I will be there if Allah wishes on SalamaNa

  • @husseinsongambele3771
    @husseinsongambele3771 4 ปีที่แล้ว +4

    this is my best interview.

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 4 ปีที่แล้ว +1

    Unanimaliza riama ukihadisia mana nimena mchezo mtam chizi

  • @eunicemussa5883
    @eunicemussa5883 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana Riyama

  • @rosemofuga6313
    @rosemofuga6313 4 ปีที่แล้ว +5

    Mama mateso best wife ,jamani, mm kiukweli nakukubali sana Rihama, wewe salama ndo hata usiseme, you the best man trust me

  • @nurudovino288
    @nurudovino288 4 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda sana hio mama mateso

  • @naimamaina8767
    @naimamaina8767 4 ปีที่แล้ว +2

    ninakukubali sana riyama ally

  • @beberulambegu660
    @beberulambegu660 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchawi alikua bando now nimerudi kutazama zote

  • @vailethsospeter750
    @vailethsospeter750 3 ปีที่แล้ว +1

    Salama utuletee Dr. Kumbuka pls

  • @rahmasaid5432
    @rahmasaid5432 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda rihama walah kwanzia uigizaji mpaka uongeaji love u

  • @tantineuseni9669
    @tantineuseni9669 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sanaa

  • @Manlike96
    @Manlike96 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee na diamond

  • @shanishosho911
    @shanishosho911 4 ปีที่แล้ว +2

    Odo wangu riyama

  • @rauhiyarauhiya2971
    @rauhiyarauhiya2971 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani uyu riama namppendasana nitampata wap nnampenda kama mama angu

  • @abuuahusa6459
    @abuuahusa6459 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama umekamatika

  • @princesbimkhamis6446
    @princesbimkhamis6446 4 ปีที่แล้ว +2

    salama kwenu wapi

  • @berthaxiacharles2215
    @berthaxiacharles2215 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kama fungu la kukosa....

  • @joycemageta4876
    @joycemageta4876 ปีที่แล้ว

    comando mie wa kila cku

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 3 ปีที่แล้ว

    Mbatata wazanzibari mmekutana hicho kipindi ni kizuri kinamafunzo tunahitaji hata watu tofauti wawe kwenye kipindi!!!

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 4 ปีที่แล้ว +1

    Marudio ya hii NI lini jamani ilinipita