Jamani wanaomtaka kicheche kwenye hii movie mtuache kidogo hatakiwi hapa😂😂 hii kitu iko serious saana na yule hawezi kazoea comedy ko atatuharibia movie😂😂😂
Kwakweli baba asma unafikiria sana na unazingatia maadili yaani kwa sasa umesalia na watu sahihi kuliko hapo nyuma im kenyan your great fan but niliku unsubscribe kwasababu ya yule makoti juu naangalia kwa smart tv na familia so yule kila siku matusi ilibidi njitoe. Ila baada ya episode one nime subscribe again ❤❤
Vai mbona mwisho wasiku sasa utakuwa majinuna we utajiamin nakujuwa ni akili nyingi kumbe zote zisha ruka ebu mpe chake baba lao kwasababu naw itakusaidia mudi nawe mpe hakiyake mukewako nyinyi wote mupeyane mambo basi mimi hapa nina miaka 5 bira kufanya tendo huwezi amini kwasasa nishakuwa majinuna😂😂😢😢😢😢😢🎉❤❤❤
Wewe utakae like comment hii , Mwenyezi Mungu aibariki mikono Yako / Amin
Naomba WhatsApp number
Nimeyipenda sana tena sana💕💕💕🥀🥀🍎
Hii movie mbn haijawah tokea yaaan n bonge la movie, hongeren kwa kubuni ktu knzr,
@@JullianaEmmanuel-tm5xg nakuunga mkono kak manyanya anajua sana Yani alikuwa wapi siku zote izo
Sasa uyo ni kaka au mdada @@MakwanaJr
Wale tunao enjoy mapenzi ya mudy mlevi na bebe ake tujuane❤❤❤
From 254 Kenya tunatambua sana channel ya Asma Film Kwa vitu vizuri kama wewe pia unaikubali hii Channel Gonga like basi
Wakwanza mim leo nipeni like Zang from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jamani wanaomtaka kicheche kwenye hii movie mtuache kidogo hatakiwi hapa😂😂 hii kitu iko serious saana na yule hawezi kazoea comedy ko atatuharibia movie😂😂😂
Mbona kicheche anaweza kwenye hii movie
Aah wapi yule hana userious kabisa.kila character atafanya comedy 😆🤣
@WilsonKihanga-jb5fb🤣🤣🤣🤣 yule angewekwa kwenye scene ya muuza genge au duka angetisha sana
Kicheche hawa watu aliwatupa ndio maana wamekuja kivyaovyao
One point
Ila Manyanaya unajua had unajua tena, hongera broo
Muda chachetu lakini movie yenu nimeikubari shabiki yenu from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wa kwanza jamani kutoka kenya like zangu🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
Kawimbo kanaugusa moyo anayejua jina lake
Naipenda kutoka Kenya❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We chapombe nyoa hvi love gorden bna😂😂😂
Kama kichaka 😂😂😂😂
Hyo mwanamme mwenye tai yuko na maneno mazito na muhimu sana kwa wanandoa,,,mambo ya dunia kwa kweli
Kwakweli baba asma unafikiria sana na unazingatia maadili yaani kwa sasa umesalia na watu sahihi kuliko hapo nyuma im kenyan your great fan but niliku unsubscribe kwasababu ya yule makoti juu naangalia kwa smart tv na familia so yule kila siku matusi ilibidi njitoe. Ila baada ya episode one nime subscribe again ❤❤
Yeyote atakaye tazama hii series abarikiwe mpaka achangae🙏🙏
Amin nawe pia
Hewaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nilikuwa nasubiria part 2 ,hatimae
Chapombe kweli kama ni zulia unalo lakutosha
Jordan umefanana na x wangu na umbeya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimewah jmn naomba hata like 10
Oy weeh sema hii move kali sna❤❤🙏🙏👋👋
Vai mbona mwisho wasiku sasa utakuwa majinuna we utajiamin nakujuwa ni akili nyingi kumbe zote zisha ruka ebu mpe chake baba lao kwasababu naw itakusaidia mudi nawe mpe hakiyake mukewako nyinyi wote mupeyane mambo basi mimi hapa nina miaka 5 bira kufanya tendo huwezi amini kwasasa nishakuwa majinuna😂😂😢😢😢😢😢🎉❤❤❤
😂😂😂😂😂,,,, majinuna maana yake nini?
Naipenda kutoka 🇧🇮❤❤.
WA kwanza Leo nipeni ata tano bass
Manyanya ni mtanzania kweli?😂😂😂
Wanaume wanaojari ndoa yao wachache sana katik hii nnchi wanaume mjifunze❤🔥👌
Mkinitukana basi lakini wajameni kicheche yuko wapi au kunashido
Jamani asma comedian naomba mumalizane na queen na yy ARudi tumewamiss sana
This movies is interesting congratulations guys, Kicheche has miss in the movie
NIMEIKUBALI LAKINI AGANO ilikuwa 🔥 SANA
Jaman hii asma comedian wanaleta movie nzur sana msimamiz ni kicheche au maan kali balaa
Najifunza kitu kupitia hii series❤❤❤❤🎉
Movi nzuri kabisa lkn mnatowa fupi jamani 19 min
Sema mko poa sana ila msichelewe kutoa muendelezo
Wanaomkubar mista madaftar gonga like
Hii movie kwamoto haifai kabisaa maneno yake mmh😮😮
Baba yake mzazi nae ni mbwa pia maana nae ni mwanaume 🤣🤣🤣🤣🤣
Love more❤❤❤❤❤❤ vai and manyanya
Naombeni hata like tano tu plz😢🎉🎉
Mambo 😮
Jamni vai ana nin at ataki kutow owa mke wa 2 atakaa sw uy 😂😂😂 mzenj ap
Nasma napenda Toka kwenye movie ya kichaw
Vai nakukubali sn unajua kuigiza naona utafka mbali sn
HONGERA SANA Mr manyanya
Good idea hii na kuna funzo KUBWA hasa kwa wanandoa
Movie iko smart sana ❤❤❤from 🇰🇪 kenya 🇰🇪🥰🥰
Vai umeyakanyaga kwa manyanya🎉🎉🎉 mzee wa misemo
Binge la movie asee salute Sana kitu iko pw
Kitu dawa amsikemoney ya
This wife to manyanya is too much all the time business
Hii move inamafunzo sana haswa kwa mke na mume
Huyu Waife ananifanana juh me na pesa ni kama yeye na mmo😂🎉
Manyanya honger San kak kaz nzuri ❤❤❤
Zinduna kamenona mashalla
Kunakitu nitajifunza 😢😢😢😢🎉🎉
Kazi nzur ssn hongeren kwa wote
Haya Maisha Yapo tuu na ndiyo Tunaishi
tam sanaaaa
Kama nimemona pdd na taulo umo😅😅
😂😂
Duh! sio Kwa mazulia hayo
Mass of woman if they're busy with a money they forget their relationship🇿🇦🇧🇮
Asee toka nachek movie hii movie iko active na dunia yetu hii
Asee directer 🎉🎉
Mudy n Manyanya respect san mnajuw,mnawez tena san 🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏
Shida ya movie za kibongo lazima ziwe na mwingiliano wa kimapenzi naona rafiki yake mumewake vai anataka kumla vai
Tunaitajiwa follows
ila mlevi anajua sana aisee 😅
Jamani naomba ata like moja tu
Ili jamaa bonge lenye t-shirt ya blue liliosem litamsaidia Manyanya ni linani ilooo
❤❤❤❤❤ good movie am from 🇲🇿🇲🇿
weuh wa kwanza 😅npeni zang
Kwani Mudi sasa dah 😂
Wanaume wamekufanyia ile kitu sasa ❤❤❤❤❤tulia mama
Much love ❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nawapenda nyote
Yan wazee mmegonga mule mule yan aiseee kati ya filamu zenu hii ndio sasa big up
I proud for this education
Ili chapombe linaaribu movie tu ulevi gan mpaka kitandan na pombe
ep 03 ikuje,live from kenya.So intresting.
Nawapendasana san mbona munakawia tupe kirasiku niko burundi
Ila Cindy na chapombe mnaendana snaa big up ❤
Dunia
Brother kanji 🤣 asubuhii pombe et Cha asubuhi
Wa 1
Move inafundisha vingi sanaa ongereni sanaa
Jaman msiwe mnachelewa kutoa gii movie ni hatar sanaa
Jaamani hii nzuri please ongezeni mda i mean minutes
We vai wanawake hatuko hivyo,,,acha ujinga
Hii nayo ni hatari Iko vizuri naipenda.manyanya💪
Jamn mud chapombe kapendwa😂😂😂😂
Number 1
Kaz nzur inafundisha sana jambo landowa
Vailet mi nakupenda San unapo igiza
Huyu vai c ampe mme wake mzigo😂😂😂😂
Zinduna atakuwa xx wa manyanya ninavyoisi
Kicheche hafai humu ataharibu hii movie
Kazi nzuri sana manyanya ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤
❤❤❤❤
Manyanya kazi nzuri na kukubali sana
Story yenu imenyoooooooka ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Manyanya unajua sana mzee wa kitaalamu