kupika vipopoo/mathobosha kwa njia mbili(kusonga na kukanda)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024
  • mahitaji(njia ya kusonga)
    .unga vikombe viwili
    .maji vikombe viwili
    .tui jepesi vikombe viwili
    .tui zito kikombe kimoja
    .sukari nusu kikombe
    .iliki kijiko cha chai
    .vanilla kijiko cha chai
    mahitaji(njia ya kukanda)
    .unga vikombe viwili
    .maji ya kukandia robotatu kikombe
    .tui jepesi vikombe viwili
    .tui zito kikombe kimoja
    .sukari nusu kikombe
    .iliki kijiko cha chai
    .vanilla kijiko cha chai

ความคิดเห็น • 1

  • @homecookingtz2488
    @homecookingtz2488  ปีที่แล้ว

    Hello wapendwa hapo kwenye njia ya kukanda nilitumia vikombe vitatu vya tui jepesi na sio viwili.endeleeni kuangalia video zangu nawapenda sana