jinsi ya kupika vipopoo ama vitobosha vya unga wa ngano vitamu sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 87

  • @laycekimaro6183
    @laycekimaro6183 2 ปีที่แล้ว +7

    Waaoooh nmejarbu leo haki ni kitamu mno ahsante kipenz barikiwa

  • @HarthaOmar
    @HarthaOmar หลายเดือนก่อน

    Mashallh asnt dad

  • @بيليبب
    @بيليبب 10 หลายเดือนก่อน

    mashaa Allah tamu sana

  • @AshaAbdallah-md7gy
    @AshaAbdallah-md7gy 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nitajaribu

  • @catherinelikoko6502
    @catherinelikoko6502 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you dada it was reall good l tried to make some for my kids they reall like it❤️

  • @zainabubashiry3182
    @zainabubashiry3182 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mapishi yako unajua kuelekeza Mashallah

  • @mariammwamaovu8430
    @mariammwamaovu8430 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda mapishi yako dadaa.😊

  • @yunisodhiambo2673
    @yunisodhiambo2673 ปีที่แล้ว

    MashaAllah tamu sana

  • @najashnassor7039
    @najashnassor7039 ปีที่แล้ว

    Mashallah tam sana

  • @babykiara6314
    @babykiara6314 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah nimejarib leo shukran nimevipenda ndo cku ya kwanz leo

  • @fadnanoor5121
    @fadnanoor5121 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashacala

  • @aishaomar3605
    @aishaomar3605 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah nimependa mapishi yako mamy

  • @aminaali2006
    @aminaali2006 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nimefrahi pia kujua upishi wako wa thobosha

  • @lulufnns5468
    @lulufnns5468 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah naipenda hii kituu sanaa 😋😋😋

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  2 ปีที่แล้ว

      Ndo mana nitakuletea dear🤣

  • @jamilafuad1159
    @jamilafuad1159 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah 😋👍

  • @aminaally1860
    @aminaally1860 2 ปีที่แล้ว

    Ni vitam sana mashaallah

    • @Maryamiddijuma
      @Maryamiddijuma 10 หลายเดือนก่อน

      Mashallah pambe ataree😊

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 👌🌹❤️🥰

  • @bindawood978
    @bindawood978 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah, chakula kizuri sana.

  • @MowshumisKitchen
    @MowshumisKitchen 3 ปีที่แล้ว +2

    Like 4, wow that’s so delicious and tasty! So well prepared and presented! Nice sharing! Enjoyed watching this video! Stay connected to my kitchen and stay blessed!😊😊

  • @zeinabaliali11
    @zeinabaliali11 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah m.mungu akuhifadh ameen uzidi kutuonyesha na mapishi mengine. Shukuran

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  2 ปีที่แล้ว

      Ameen kwa sote love wangu nakupenda sana zainab shukran

    • @dullahasheem5490
      @dullahasheem5490 2 ปีที่แล้ว

      Con fuwal ndo unga wa nn

    • @mwanaishazain7985
      @mwanaishazain7985 2 ปีที่แล้ว

      Con fuwal ni corn flower hiyo 🤣

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 3 ปีที่แล้ว

    Looking good

  • @aishasuleiman6320
    @aishasuleiman6320 2 ปีที่แล้ว

    Vinavutia maa shaa Allah

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah shata shata😋😋😋limekolea Nazi mpaka natamani🤣🤣

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣usitaman bana subiri tufturu
      🤣🤣🤣🙏❤

    • @najlaskitchen1572
      @najlaskitchen1572 3 ปีที่แล้ว

      Alafu unavyo Julia kusoga ugali😋😋

  • @zakiyyahsalim4755
    @zakiyyahsalim4755 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah navimissi

  • @zinulamsagati3528
    @zinulamsagati3528 2 ปีที่แล้ว

    Mashallaah

  • @sofiyaalawi127
    @sofiyaalawi127 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @Lumi063
    @Lumi063 ปีที่แล้ว

    Corn flour sembe au wa starch?

  • @fatmamwinyi5474
    @fatmamwinyi5474 2 ปีที่แล้ว

    Mm siyapishi mapishi yako. Na nimeyaamini hayakubwagi👍🌹

  • @rabekaamani5361
    @rabekaamani5361 ปีที่แล้ว

    Mikono yako imebarikiwa

  • @fatmamwinyi5474
    @fatmamwinyi5474 2 ปีที่แล้ว

    Shukra na Allah akubarikie mikono yako

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @fatmasaid9473
    @fatmasaid9473 3 ปีที่แล้ว

    MashaALlaah...

  • @JacklinefidelWandiba
    @JacklinefidelWandiba ปีที่แล้ว

    Wooow

  • @harriethbarnabas4767
    @harriethbarnabas4767 ปีที่แล้ว

    My love huvianiki? Km wengine wanavyofanya endapo ukivipika kwanza

  • @zulfakimaro4523
    @zulfakimaro4523 10 หลายเดือนก่อน

    hivyo vipopoo vinaanikwa kabla ya kuvipik?

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 ปีที่แล้ว

    👍😋😋😋

  • @Villagelife2024-g3r
    @Villagelife2024-g3r 3 ปีที่แล้ว

    Masha'ALLAH 😋😋😋

  • @mwajabually6738
    @mwajabually6738 2 ปีที่แล้ว

    Kwen auntie sio lazma kuvianika vikauke

  • @mwansitisalimu929
    @mwansitisalimu929 ปีที่แล้ว

    Uwo unga wakoni flawa mm sijui kwakiswaili waitwaje mana mm ivyo navipenda sana

    • @tukaekitwana1107
      @tukaekitwana1107 10 หลายเดือนก่อน

      Ni unga wa sembe au wa mahindi .

  • @zuwenambarouk4592
    @zuwenambarouk4592 2 ปีที่แล้ว

    Salaam,vinaviringishwa vikiwa vya moto??

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  ปีที่แล้ว

      Vikipoa sory kwa kuchelewa kukujibu😂

  • @madinaabu5764
    @madinaabu5764 3 ปีที่แล้ว

    Unga mug moja na cornflour pia mug moja?

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      unga wa coniflour kijiko kimoja cha chakula shukran

  • @hawahhamis832
    @hawahhamis832 3 ปีที่แล้ว

    Baada ya kuivisha unaviringa vidonge unga ukiwa wa moto au unaacha upoe kwanza

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 ปีที่แล้ว

    Hivi ni lazima unga uusonge kwanza na usiposonga havitokuwa vzr

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  2 ปีที่แล้ว

      Ukisonga unarahisisha kuiva ni vizuri ukisonga

  • @utaani1
    @utaani1 3 ปีที่แล้ว +1

    Na mimi nilokuwa sina mke wa kunipikia ni comment wapi

    • @dada7969
      @dada7969 10 หลายเดือนก่อน +2

      Njoo uniowe nikupikie😊

    • @ashakhamis9093
      @ashakhamis9093 10 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂

    • @utaani1
      @utaani1 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@dada7969Hahaha upo wapi kwani

    • @utaani1
      @utaani1 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@ashakhamis9093hiyo kali

    • @UmmiRamadhan
      @UmmiRamadhan 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @fettymakoba3760
    @fettymakoba3760 3 ปีที่แล้ว

    Sory dada unga wa coni flower ndo upojee????

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว +1

      unga wa mahinndi

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  2 ปีที่แล้ว

      Unga wa mahindi ule wa con uliosagwa ila sio lazima dear

  • @charosalim5744
    @charosalim5744 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nivitamu sana

  • @FatmaHassan-g2g
    @FatmaHassan-g2g ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @azamohamed631
    @azamohamed631 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah