JINSI YA KUTENGENEZA DONASI TAMU NA LAINI KWA NJIA RAHISI - Mapishi Rahisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 108

  • @T1tanGamingCsgoMore
    @T1tanGamingCsgoMore 6 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mapishi yako yote mazuri nawapenda sana na pia hodari wa kufahamisha. Shukrani mungu akuzidishie ujuzi na afya

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 4 ปีที่แล้ว +7

    The best and simplest recipe and method too MashaAllah. First trial and they were peeerrfect MashaAllah.. 😋... JazakaAllahu Kheir habbty

  • @mwerokokoi2378
    @mwerokokoi2378 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shukran jazaka allah kher unga ni wa kawaida ama self raising?

  • @hellenjack4244
    @hellenjack4244 6 ปีที่แล้ว +10

    Mwalimu wng mzuri mzuri😍unazidi kuniongezea ujuzi naamini ipo cku ntafika mbali kwa upishi,be blessed my dear sister😘😘💚💚💚

  • @urrnothim
    @urrnothim 4 ปีที่แล้ว

    You are the best Masha Allah unafahamisha vizuri na nimepika zimetoka kama zako

  • @mahfoodmahfood9967
    @mahfoodmahfood9967 4 ปีที่แล้ว +4

    Asslam aleikum...thank u sooo much i tried the recipe today OMG!!! Wass sooo yummmmyyyyy..........maaa shaa Allah....may Allah bless u sister..😍😚

  • @diascookout8270
    @diascookout8270 4 ปีที่แล้ว +3

    Ma"Sha"ALLAH Shukran saana saana kuni erevusha na mii pia siku hizi mtu akisema kuu husu mapishi najivunia Nafurai sana kwa kutowa kipimo ya Donasi 👌👌👌👌👍👍👍😋😋😋😋😋😋

    • @kristiansilas8890
      @kristiansilas8890 3 ปีที่แล้ว

      a trick: watch movies at flixzone. I've been using them for watching lots of of movies lately.

    • @josephlewis347
      @josephlewis347 3 ปีที่แล้ว

      @Kristian Silas Yup, been watching on Flixzone for years myself =)

    • @ezekieljulian7387
      @ezekieljulian7387 3 ปีที่แล้ว

      @Kristian Silas Yea, I have been watching on flixzone for years myself :)

  • @zulfahmohd1015
    @zulfahmohd1015 3 ปีที่แล้ว

    IV watched a dozen donuts recipe but nimefwata hii yako. On point

  • @fatmaomar993
    @fatmaomar993 2 ปีที่แล้ว

    best recipe ever ,,nazipenda sana

  • @mohamedsaid6457
    @mohamedsaid6457 6 ปีที่แล้ว +5

    Hichi chakula cha donas kimenikumbusha mbali sana. Wakati huo nilikua mdgo ikifika skukuu Mama anatupikia ...tulikuwa tunazipenda sanna

  • @ronaldjaoko1848
    @ronaldjaoko1848 6 ปีที่แล้ว +3

    Sauti nyororo imenitoa pangoni. Great lesson

  • @mummybae7117
    @mummybae7117 4 ปีที่แล้ว

    Asante siz ntafanyaa kesho ntakupa majibu

  • @hananlardhi8241
    @hananlardhi8241 4 ปีที่แล้ว

    I like it inshallah I will try it now ... Shukran sana

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah 😋

  • @sumeiyahassan9871
    @sumeiyahassan9871 3 ปีที่แล้ว

    A,alkm...thx for the recipe dear ...unga ni self raising ama all purpose

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah shukran for sharing 😘

  • @princeshadrak2310
    @princeshadrak2310 4 ปีที่แล้ว

    So yummy,nshajiuma ulimi

  • @zamanjohn4612
    @zamanjohn4612 ปีที่แล้ว

    Nitajaribu hiii❤

  • @dafrozasanga329
    @dafrozasanga329 5 ปีที่แล้ว

    THANKS A LOT YAANI UMEJUA KUNIFUNDISHA

  • @rahmaally9945
    @rahmaally9945 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah napenda sana mapishi jomon

  • @mulhatfahdsaid7611
    @mulhatfahdsaid7611 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah, Allah baarikk! Shukran sis 🤗

  • @dydahjahadhmy4920
    @dydahjahadhmy4920 ปีที่แล้ว

    Simple & soft. I tried this recipe today,yet to taste.

  • @wahidamaulana6501
    @wahidamaulana6501 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah best recipe for real 😍👌

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 5 ปีที่แล้ว

    Mapishi yako rahisi mashaAllah

  • @mjamilyislam673
    @mjamilyislam673 2 ปีที่แล้ว

    Waeza kublend na blenda kma huna mchalo Wala mashini?

  • @princesspriince1376
    @princesspriince1376 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabarakaAllah dear🙏🙏 at last nimepata Donasi za Mayai kidogo sasa.. shukran kwa Recipe😙😙😙

  • @asiyamuscat-oman2283
    @asiyamuscat-oman2283 6 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana. Nauliza hiyo sukari ni brown sugar? Thanks Dear😚😍 wewe uko wapi sauti kama Mombasa

  • @alicesituma9706
    @alicesituma9706 6 ปีที่แล้ว +1

    Napenda receipe zako napenda pia sauti yako nzuri sister

  • @maryamsoud9750
    @maryamsoud9750 4 ปีที่แล้ว

    nyc mashaAllah bt naulza kma hauna mashini wala mchapo hawezi kuchanganya zote pamoja ukakanda ama ukatia mayAi ukablend kisha ukachsngnya na unga plz nijbu

  • @RanaAli-gl3ox
    @RanaAli-gl3ox 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah donasi tamu na laini

  • @leticiabenedictor6986
    @leticiabenedictor6986 4 ปีที่แล้ว +1

    Niipenda sana

  • @ThureyaAhmed-f7e
    @ThureyaAhmed-f7e 10 หลายเดือนก่อน

    Naweza kublend na blend instead of ku2mia mchapo

  • @nunirishaad241
    @nunirishaad241 7 หลายเดือนก่อน

    Hi,unatoa how many pieces

  • @khadijafaiz3398
    @khadijafaiz3398 2 ปีที่แล้ว

    Je unaweza kusagia mayai na siagi kwa blender?

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 6 ปีที่แล้ว

    Natamani nizile sasa . Shukran.

  • @sheikhasalama29
    @sheikhasalama29 6 ปีที่แล้ว +1

    Assalam Aleikum... tuoneshe jinsi ya kupika kaimati

  • @mohamedsaid6457
    @mohamedsaid6457 6 ปีที่แล้ว +3

    Sasa iv nishaoa nitampelekea Wyfe hii video anipikie inshallah

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah nice

  • @mariamissa2526
    @mariamissa2526 6 ปีที่แล้ว

    Shukran naeza pata mawasiliano yako

  • @fatmaomar5783
    @fatmaomar5783 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah nzuri

  • @nahrienkhan2827
    @nahrienkhan2827 4 ปีที่แล้ว

    I tried and they came out yummy ill just reduce sugar next time so that i get to do the glazing

    • @ummbarakahak2468
      @ummbarakahak2468 4 ปีที่แล้ว

      Hello. We're they soft the following day?

    • @nahrienkhan2827
      @nahrienkhan2827 4 ปีที่แล้ว

      @@ummbarakahak2468 yes very soft and crunchy

  • @ammarzk7043
    @ammarzk7043 5 ปีที่แล้ว +2

    As naomba recipe dear plz

  • @maryammaulid4825
    @maryammaulid4825 3 ปีที่แล้ว

    Asanteee

  • @asmaasma2728
    @asmaasma2728 6 ปีที่แล้ว

    Mashallh ni nzuri sana

  • @mariamshariff6436
    @mariamshariff6436 6 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah very yummy Allah Barik

  • @gabriellajuma7719
    @gabriellajuma7719 5 ปีที่แล้ว

    Hello tafathali nifundishwe kutengeneza uji wa unga wa ngano

  • @joycendegwa9494
    @joycendegwa9494 4 ปีที่แล้ว

    Nice tutorial

  • @madinakhamis7365
    @madinakhamis7365 ปีที่แล้ว

    Mdalasin hukueka mbona

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 4 ปีที่แล้ว

    Je naweza kutumia kikombe cha magi kwa kupimia ama mpaka vikombe spesheli

  • @abudebinabri1287
    @abudebinabri1287 3 ปีที่แล้ว

    Nusu kikombe gram ngapi

  • @abudebinabri1287
    @abudebinabri1287 3 ปีที่แล้ว

    Siagi y gram ngapi

  • @najmaally9398
    @najmaally9398 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah sana

  • @leilahmohamed2225
    @leilahmohamed2225 3 ปีที่แล้ว

    Huweki Amira??

  • @sakinaahmed2924
    @sakinaahmed2924 3 ปีที่แล้ว

    nikitumia selfrising naeka baking powder

  • @mouzuusydsayf9727
    @mouzuusydsayf9727 6 ปีที่แล้ว +1

    Dear naomba pishi la cake ya red velvet plz

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah

  • @halimamwambe9799
    @halimamwambe9799 4 ปีที่แล้ว

    Aiwekwi amira

  • @himdatgulam6136
    @himdatgulam6136 6 ปีที่แล้ว +1

    MashAllah nice video,but plz weka vipimo in kgs au unapotumia kikombe kupimia atleast tuonyeshe hicho kikombe au utuelezee ni aina gani e.g mug

    • @fatmaomar993
      @fatmaomar993 7 หลายเดือนก่อน

      Amesema measuring cups

  • @zakiyaabdallah5662
    @zakiyaabdallah5662 3 ปีที่แล้ว

    Tafadhali niambie siagi wapima kiasi gani na hiyo nusu ni nusu ya kiasi gani naomba unioneshe hizo measuring cup

  • @maliahfarid4851
    @maliahfarid4851 2 ปีที่แล้ว

    Saigi ni ya moto

  • @jayloo9636
    @jayloo9636 5 ปีที่แล้ว

    Je naeza kutumia unga Wa keki?

  • @mariamissa2526
    @mariamissa2526 4 ปีที่แล้ว

    Naweza tumia vanilla tofaut na hiyo

  • @halmamuhajj7910
    @halmamuhajj7910 6 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @sakhamkhan3568
    @sakhamkhan3568 4 ปีที่แล้ว

    kwani lazima siagi iloyayushwa au ukichanganya tu haizuru

  • @Simaton_Nkamasiai
    @Simaton_Nkamasiai 6 ปีที่แล้ว

    haukuweka yeast au sio lazima? itakuwa na taste ya donut bila yeast?

    • @halmamuhajj7910
      @halmamuhajj7910 6 ปีที่แล้ว +1

      Fidelis nkamasiai hakutumia hamira ameweka baking powder tu ...lakini ziko recipe donus waeka hamira

  • @aishamsandawe1733
    @aishamsandawe1733 5 ปีที่แล้ว

    Naomba unifundishe chauro ya mchele mwalimu

  • @naturalbeautychannel9698
    @naturalbeautychannel9698 6 ปีที่แล้ว

    masha Allah

  • @ummayush
    @ummayush 5 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @aminamohamed3154
    @aminamohamed3154 4 ปีที่แล้ว

    ASC unaweza kuweka maziwa

  • @foreveryoung6036
    @foreveryoung6036 6 ปีที่แล้ว

    Yesssssss❤️shukran sana

  • @fatmafatma550
    @fatmafatma550 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @daisyrosey8447
    @daisyrosey8447 5 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum sister hizo donasi zina ka kwa siku ngapi bila kuoza

    • @fatmaomar993
      @fatmaomar993 2 ปีที่แล้ว

      walaikum salam zaweza kukaa 2-3weeks muhimu uziweke mahali pakavu

  • @AminaMasudi-oi6hj
    @AminaMasudi-oi6hj ปีที่แล้ว

    Hauweki hamira sijaona

  • @waredibow6597
    @waredibow6597 5 ปีที่แล้ว

    Unga ni ya chapati ama ya mandazi (self rising)

  • @raudhwatul_jannat496
    @raudhwatul_jannat496 6 ปีที่แล้ว

    Je naeza kutumia blender kama sina machine...cos kutumia mchapo nayo yachokesha

    • @safiahamid3255
      @safiahamid3255 5 ปีที่แล้ว

      Mimi hutumia blender hata nikifanya cake

  • @vardahyamin4091
    @vardahyamin4091 2 ปีที่แล้ว +1

    hamira haitumiki au

  • @macadelicmaybach6429
    @macadelicmaybach6429 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahlan. Unga ni wa ngano au?

  • @HanunatyHanuu
    @HanunatyHanuu 22 วันที่ผ่านมา

    Kwa unga kilo moja utatumia vipi

  • @ummunifaljabry2266
    @ummunifaljabry2266 5 ปีที่แล้ว

    Dakika ngapi unazichona kila upande

  • @waladjamil9756
    @waladjamil9756 5 ปีที่แล้ว +1

    Waeza eka blue band badala ya siagi ama

  • @kayali6543
    @kayali6543 6 ปีที่แล้ว

    Mapishi rahisi you dint tell us the size of the egg matters. And number too they aint soft and I followed your steps.

  • @himdatgulam6136
    @himdatgulam6136 6 ปีที่แล้ว

    Ama andika in grams hizo ingredients e.g 1 cup of flour (100gms)

  • @naomimwangu3882
    @naomimwangu3882 5 ปีที่แล้ว

    Sukari wasaga vipi

  • @katherinkisaka1969
    @katherinkisaka1969 6 ปีที่แล้ว

    i love u

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 ปีที่แล้ว

    hamira vipi hpo

    • @halmamuhajj7910
      @halmamuhajj7910 6 ปีที่แล้ว

      Happy arooun * hajaweka hamira ametumia baking powder tu

  • @ahsiyahrasheed8068
    @ahsiyahrasheed8068 5 ปีที่แล้ว

    Maashaallah.

  • @mukamugenzifrancine4995
    @mukamugenzifrancine4995 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @sofialion4925
    @sofialion4925 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @tausikawarika8274
    @tausikawarika8274 5 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @ruqiyarooney7160
    @ruqiyarooney7160 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @al-nnisaamuhaajiriin2101
    @al-nnisaamuhaajiriin2101 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @hildajuma4670
    @hildajuma4670 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah