Wakristo acheni kushindana km hamjui maandiko yao, nendeni google,youtube,andikeni aya zao na zenu, kuna mambo mengi mtajifunza,siyo kukurupuka na kushindana usichokijuwa,huko utakuta wasomi wao na aya zao na zenu mtashangaa,mnaendaje shambani bila majembe😭😭😭
@Sarah kakwaya maandiko ya kwenye Google na TH-cam kaandika nani na maandiko ya kwenye vitabu kaandika nani ? Kama Google na TH-cam wameandika watu fulani basi hayo sio maandiko hususani Quran yetu takatifu haibadilishwi wala kuongeza hata nukta . Nahao kina Mwaipopo hapo na Mashekhe wenzie wana elimu iliyo kamilika tena elimu ya Quran na Biblia usicheze nao kuhifadhi Quran na Biblia kichwani kwa Binadamu ni zaidi ya Computer.😁😁.
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada
@@pamoles1303 nyie waislam ndio huzusha mambo kwakuwa ni wanafiki mnajifanya siyo wazinzi, hamnywi pombe na hamli nguruwe ukifika mwezi wa Ramadhan vitu hivyo vitatu nilivyovitaja vinadolola soko linakuwa gumu kwaiyo nyie ndo watumiaji wakubwa wa hivyo vitu
Hii mihadhara ipigwe marufuku. Inachochea fujo na uvunjifu wa Amani. Kila mtu ahubiri kile alichokuta wazazi wake wakiamini, mambo ya yesu ni mungu sijui sio mungu tuwaachie wayahudi
Mashallah Mashekhe wetu wa dhahabu Allah awaweke Ameen.
MashaAllah tupeni raha Mashelhk
Masha"Allah masheik wangu
Mashallhaaa mashekhe wetu wakovizuli
Mashallah
Masha'Allah
Wakristo acheni kushindana km hamjui maandiko yao, nendeni google,youtube,andikeni aya zao na zenu, kuna mambo mengi mtajifunza,siyo kukurupuka na kushindana usichokijuwa,huko utakuta wasomi wao na aya zao na zenu mtashangaa,mnaendaje shambani bila majembe😭😭😭
@Sarah kakwaya maandiko ya kwenye Google na TH-cam kaandika nani na maandiko ya kwenye vitabu kaandika nani ? Kama Google na TH-cam wameandika watu fulani basi hayo sio maandiko hususani Quran yetu takatifu haibadilishwi wala kuongeza hata nukta . Nahao kina Mwaipopo hapo na Mashekhe wenzie wana elimu iliyo kamilika tena elimu ya Quran na Biblia usicheze nao kuhifadhi Quran na Biblia kichwani kwa Binadamu ni zaidi ya Computer.😁😁.
Yaani hata waende wapi wakristo hawasomi kitabu chao halafu wabishi sana.
@@ikabako2454 nahata wakisoma hawaelewi yaani hawajui na hawataki kukubali kuwa hawajui 😭
Naaaam
lakini mi naona wakristo wanafanya utani na maandiko...si andíko lipo wazi linakataza nguruwe 😀😀duh hawa watakuja kujuta siku ya mwisho
Imeisha hiyo!😂😂
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada
Chanel ya Mwaipopo inapendelea waislam wakiongea mitambo haikati lakini kwa wakristo mitambo yake inakata kata huo ni upendeleo wa wazi wazi😆😆😆🤣😂😂🤣😂😂
Shida ya waislam hawana roho mtakatifu ndomana wanasoma biblia kama gazeti
Hahaha
@@pamoles1303 Mwaipopo muhuni... maik za wakristo anaweka betri zilizoisha maik zao anaweka betri mpya anawajengea na jukwaa 😆😆🤣😂😂😂🤣
@@ramadhanmahongole5663 SEMA jambo ambalo una uhakika nalo au ndo Kama kawaida yenu wakristo kusema uongo na kuzusha mambo
@@pamoles1303 nyie waislam ndio huzusha mambo kwakuwa ni wanafiki mnajifanya siyo wazinzi, hamnywi pombe na hamli nguruwe ukifika mwezi wa Ramadhan vitu hivyo vitatu nilivyovitaja vinadolola soko linakuwa gumu kwaiyo nyie ndo watumiaji wakubwa wa hivyo vitu
Mkizidiwa hoja mnakimbilia roho mtakatifu 😁
Hii mihadhara ipigwe marufuku. Inachochea fujo na uvunjifu wa Amani. Kila mtu ahubiri kile alichokuta wazazi wake wakiamini, mambo ya yesu ni mungu sijui sio mungu tuwaachie wayahudi
Kafiri uwez muongoza sheikh mwaipop ,Hawa Mungu ameweka vifuniko nyoyoni mwao ,Hawa hawana akili