ASKOFU KUPELEKWA MAHAKAMANI KUMZUSHIA RAISI RUSHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @WilliamMlama
    @WilliamMlama วันที่ผ่านมา +1

    Huyu askofu angekuwa Rwanda kashaliwa kichwa mana kagame hapendi ujinga km huu

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY วันที่ผ่านมา +1

    Asant sana Anko said mwaipopo

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v วันที่ผ่านมา +1

    Mm mkristo ila huy cjui nan alimpa huo uaskofu au ndo sharifu wa uku kwtu siasa kanisan yesu alikataa

  • @ibrahimirove
    @ibrahimirove วันที่ผ่านมา

    Yaani Huyu Ni ♣️♣️♣️ Mtupu

  • @SaleheLikulo
    @SaleheLikulo วันที่ผ่านมา

    Huyo askofu wa chadema umemjaa udini tu, wakati nchi yetu haina udini

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v วันที่ผ่านมา

    Maskofu wa Roma n wapiga madili hawan mungu wa kwr n watu wa masanamu

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa วันที่ผ่านมา

    Alipokuwa anaitetea Chadema mbona hukusema

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw วันที่ผ่านมา

    yani nakuelewa sana yani ungefanya hivyo umpeleke mahakamani ili wakiongea kitu cha kijinga mpeleke mahakamani usirudi nyuma Mh. Mwaipopo atoe ushahidi

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa วันที่ผ่านมา

    Chuki ni zako wewe, Askofu Shoo yuko sawa

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo utashindwa kesi hujamuelewa Askofu sikiliza vizuri hotuba ya Askofu ,Anasema mtume Paulo anawaambia wagalatia nani aliwaroga ? Umeanza na roho mnamaliza na mwili, hilo niandiko lipo wazi.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 วันที่ผ่านมา

    Huku ndo kwako mwaipopo kuwajibu hawa ma'askofu wajinga upo vizuri sana mwaipopo m'mungu akuifadhi zidi kutufumbua macho?

  • @stevenlugano7888
    @stevenlugano7888 วันที่ผ่านมา

    Hata wewe Mwaipopo nahisi umelogwa,,Huna akili!

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 วันที่ผ่านมา

    Utaratibu wa Paulo au utaratibu au mungu???

  • @mohammedal7864
    @mohammedal7864 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo hapo unakosea kusema biblia maneno mtakatifu bila ushahidi

  • @koffilove2796
    @koffilove2796 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe mwaipopo umeshakuwa chawa wa rais acha ujinga njaa mbaya acha kuchanganya uwesilamu na siyasa mjinga mkubwa wewe

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hilinalo kamazwazwa

  • @emmanuelnganya9722
    @emmanuelnganya9722 วันที่ผ่านมา

    Tayari tayari ya njombe 🤣🤣🇮🇱🇮🇱