ASKOFU NA PADRI WAZIDII KUMSHAMBULIA RAISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @khamismaggy6484
    @khamismaggy6484 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi ni Muislam lkn nakushangaa 😢umekua chawa kama machawa wengine. Huna tofauti na Mwijaku.

    • @mtutulaclassic6207
      @mtutulaclassic6207 7 วันที่ผ่านมา

      Huyu sio shekh ni chawa kama kina mwijaku tu maswala wa askofu ye yanamuhusu nini?

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 7 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe chawa pro max ndio unaleta udini. Sijaona sehemu maaskofu wametaja udini

  • @GervasSospeter-vt3zi
    @GervasSospeter-vt3zi 4 วันที่ผ่านมา

    Una njaaa broo sjui unamashetan au umechanganyikiwa

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 7 วันที่ผ่านมา +4

    Ww njaa inakusumbua piga pesa za majin uko urud kwny din yk

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 7 วันที่ผ่านมา

      Wewe nimasikini waakili uliyaona?

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa si ndiyo wanaiitwa wachungaji m'bwa ktk kitabu chao🎉😂😂(kitima anasema bahati nzur mgombea wa singida ni mkristo kwa hiyo angekuwa muislam ni bahati mbaya inaochukiwa 😢😢)

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 7 วันที่ผ่านมา

      Shida yenu sheikh wenu anawasikilizisha vipande mpakamnashindwa kuelewa point yake, na matokeo yake ndio hayo anawaacha na chuki zisizo kuwa na maana kaeni mkijua sheikh wenu ni mchonganishi ila hamjajua tu, ukitaka kujia hilo kamsikilize uone nani mbaya kati yake na huyo anayewaletea vipande alivyo vikata kata, halafu eti ni sheikh dah 😂

  • @AthumanKinyange
    @AthumanKinyange 7 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu sio askiofu ni mtu mjinga Hana akili nuangalie hata sura yake mbaya tutamchagua Samia hatuwezi chagua wapumbavu

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 7 วันที่ผ่านมา +1

      Waislam mnafeli mnapoongelea udini hata mahali pasipohitaji udini. Kama Samia mnaona anafaa mpeni Msikiti awe Imamu wenu

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa maaskofu wameshindwa kuubili kitabu cha mungu wameamua kuangukia kwenye siasa tokeni kwenye dini ingieni kwenye siasa.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa Sheikh Mwaipopo hapo huyu Askofu Amekosea wapi?? Mbona sheikh Mwaipopo unakua mtu wakipinda pinda??

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 7 วันที่ผ่านมา +1

    Waislam mnapenda kujadili mambo kidini tu! Acheni udini. Magufuli alikosolewa na Wakristo kwa sababu alikuwa Mwislamu?! Acheni ujinga nanyi heee

  • @andrewchihwalo8937
    @andrewchihwalo8937 6 วันที่ผ่านมา

    Mwiislam utakuwa mwaipopo! Mwangalie kwanza! Kwenda huko

  • @JambiaJumanne
    @JambiaJumanne 6 วันที่ผ่านมา

    Baadhi ya maoskofu na mapadri mnamchukia sana Samia someni biblia inasema waheshimu viongozi wenu sio wa dini na waongoza nchi

  • @BoayHotay
    @BoayHotay 7 วันที่ผ่านมา +3

    Unataka mdahalo Kitima una ubavu huo, hebu endelea na kazi yako ya kufuga majini huku ukiahidiwa mabikira 72

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 7 วันที่ผ่านมา

      Wewe nimasiki waakili ulimuona nayo

  • @SalumuHamisi-k9r
    @SalumuHamisi-k9r 7 วันที่ผ่านมา

    Udin ndoo tatizo la Hawa maaskofu

  • @ndimizarohomtakatifurichar9802
    @ndimizarohomtakatifurichar9802 7 วันที่ผ่านมา +1

    Shehe unapotoka dini nipamoja na nakupigania haki

  • @andrewchihwalo8937
    @andrewchihwalo8937 6 วันที่ผ่านมา

    Hili jamaa bana!!! toka hapa😡😡😡

  • @SaleheLikulo
    @SaleheLikulo 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni udin umewajaa hao baadhi ya maaskofu

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 7 วันที่ผ่านมา +2

    Cc tunackiliz viongoz wa din ww taira ulokosa dira potea

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 7 วันที่ผ่านมา +2

    Elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimu ni mhimu sana 😂 unavaa kanzu kichwani hamna kitu, wewe ndio mchonganishi namba 1, wewe ndio unaleta udini, juzi shafii alikuwa analalamika mambo yanayofanywa mafia na viongozi kwa hiyo ni udini? Halafu kuna watu wanakusikiliza kichwa maji kama wewe dah 😂, hata udanganye kuwa hufanyi hivi ili upewe pesa ukweli upo wazi unatafuta pesa hii haihitaji ujitetee sisi ni watu wazima 😂 acha njaa sheikh ubwabwa😂😂

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 7 วันที่ผ่านมา

      Kila siku tunamshauri akamalize kwanza form four angalau ndo aje aongee na mass ya wasomi humu shida hataki😂...jamaa ni stupid ile mbaya..ongea yake tu unagundua ni kilaza...wenzake wanafanya kazi yy kutwa kushinda mitandaoni kubweka na kuuza mafuta.🗣 Sheikh mwaipopo rudi shule bro.... Ps: "Mwaipopo ni kama nzi" - Sheikh Mansour (Mwanza)

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 7 วันที่ผ่านมา +1

      @Anonymous-w9v-i1p Tatizo anadhani wanaomfatilia wote ni wale tu kila akiongea utumbo wanaitikia mashaallah, hajui wengine ni waelewa zaidi yake, anashinda kila siku anaongea upuuzi

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 7 วันที่ผ่านมา

      Wenye dini yao wamkanye Kuna dini hapo kweli, nimekua mwisilam miaka 20 sijawahi kusikia uisilam unakemea dhambi na kuisimamia kauli yao, wakisema uzini No 1 wao. Wakisema usifanye shiliki No 1 wao, hasila wao No 1, vijiweni kahaw kasus tangawiz, miziki ya tarabu wao bongo freva wao, mwapopo sijui unaongea nini rudi tu uokoke umpokee yesu yeye nimwingi wa huruma atakusamehe makosa yako, acha kuitwa chawa wa mama, huyu ni rais tu mwanadam woote wanampenda Ila akikosea husemwa akipatia husimwa, kwa mema ima mabaya.

  • @charlesunganiunjuu920
    @charlesunganiunjuu920 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo mbona ile ya tukifa tukienda peponi tunapewa mabikira 1000 na huyo ndio maskini wa peponi

    • @MuslimYouthman
      @MuslimYouthman 6 วันที่ผ่านมา

      Acha kudhihaki uislamu NGURUWE usiejua hata kutawadha matakoni kama umeamua kumsema mwaipopo mseme kivyake usiingize dini humu akili matakoni wewe mi mwenyewe si mwanasiasa wala siko upande wa yeyote ila SIWEZI comment komenti za kipumbavu kama wewe

  • @selemaniigosha
    @selemaniigosha 7 วันที่ผ่านมา +1

    Katka watu wajinga wa kwanza ni ww na ndiye utakayesababisha udini na waislamu hamuikemei serikal hata ikitokea watanzania wakala nyasi hamuezi mkakemea kisa tu rais muislamu!!!

    • @saidmajeba9791
      @saidmajeba9791 6 วันที่ผ่านมา +1

      Umeongea point kaka
      Kwangu rais hata awe mpagani,nnchotaka ni haki na kuwajali wengine

  • @SaadIssa-c9o
    @SaadIssa-c9o 7 วันที่ผ่านมา

    Mama Samia hana mpinzani 2025

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 7 วันที่ผ่านมา

      Akagombee Zanzibar hukoo

  • @JambiaJumanne
    @JambiaJumanne 6 วันที่ผ่านมา

    Usishuhudie uongo hayo majini umeyaona wapi waislamu na wakristo nani wanatoa majini kwenye mikutano ndio maana mnatajirisha wenzuni kwa kuuziwa mchang na maji namafuta ya upaku sasa hata muumchukie Samia mitano tena penda usipende kachaguliwa na yeye mueza wa yote

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh Mwaipopo hapo huna hoja ,udini gani kwani kwa mfano angetawala mkiristo wakiristo wangepata nini?? Au angetawala msilamu Mimi Nina pata nini?? Hakunafaida yoyote akitawala muslam au mkristo ,kila mtu hutafuta riziki ale na nduguze au ukoo wake .

    • @saidmajeba9791
      @saidmajeba9791 6 วันที่ผ่านมา

      Sheikh sisi waislam elimu bado mno

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wameubiri makanisani sasa wameamua kutoka hadharani

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa maaskofu hawa ndio wanaunga mkono ushoga huyolisuwako hata kujiandikisha hajajiandikisha kuraatapigiawapi

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 7 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo bendera fuata upepo wakiingia chadema ataanza kuiponda ccm

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 7 วันที่ผ่านมา

    Nikushinda mnatuibia tu hela zetu sasa onakama huyu mpinga kristo lamaana hapo lipi sasa, hebu waisilam woote mpokeeni yesu ndio awe dini yenu, sio kuwaza uisilam wakati sichochote walolote kwenye maisha yenu, hivi kuna mwisilam aliewahi kuona nguvu za Mungu akashuhudia, hivi niulize mwaipopo huko ulifata nini, je ni uganga au mke wapili watatu nawanne? Hivihuko mbingu ipoooo?

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 7 วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 7 วันที่ผ่านมา

    Huo askofu ni mavi

  • @civilyandaniel4559
    @civilyandaniel4559 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani kwenye biblia kuna sehemu imemnyima askofu kuwa mwanasiasa? Acha uchochezi shekhe rudi fanya mihadhara ya dini wewe mwenyewe unapogia chepuo ccm ndiyo maana unaongea hivyo

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 7 วันที่ผ่านมา

    Maish yk yatakuw mabaya umeach kutoa mawaidha umengia kwny siasa haf kuw na heshma na din za wtu

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 7 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo anatafuta kujulikana na raisi hana lolote njaa tu inamsumbua

  • @civilyandaniel4559
    @civilyandaniel4559 7 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa hakupigiwa kura ya yeye kuwa rais, bali alipigiwa kura ya makamu wa rais, hebu waelewe wenzako usikurupuke tu huyo askofu yupo sawa kabisaaa

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 7 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli ila unapo piga kura unawachaguwa watu 2 na yeye akiwemo,sasa mbona mnasema hajapigiwa kura na wakati kapigiw kura ya makamo wa magufuli na katiba inasema rais akifariki makamu wake anakuwa rais wa nchii sasa ni tatizo???

  • @ramadhaninassoro7386
    @ramadhaninassoro7386 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona bora tuingie vitani tu ndio tutaeshimiana kama Rwanda

    • @MasangulaGoa
      @MasangulaGoa 7 วันที่ผ่านมา

      Usiombee hayo sio mazuri 😢

    • @MasangulaGoa
      @MasangulaGoa 7 วันที่ผ่านมา

      Hajui kitu anachoongea jina la Askofu tunaliheshimu hawezi kutupotosha kataja katiba mwenyewe cjui tena kaongea nini?

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 7 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Mwaipopo usitetee mtu kwa kutia huruma ,wewe hapo ulipo unatazama huyu ni dini yangu ,mama Samia hakupigiwa kura ni Raisi wa katiba ,kama unafikiria ANGALIA kenya Mbona Kashagwa makali wa Raisi wa Ruto amemfuta kazi Kashagwa na sasa ameteua makamu wa Raisi mwingine. Kwani sheikh Mwaipopo huyu Askofu Amekosea wapi?? Mbona yupo sahihi

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 7 วันที่ผ่านมา

    Kitima wewe sio askofu wewe nimwanasiasa vuajoho vaagwanda tukutane uwanjani umevimbirwa nguruwe unaiongelea Tanzania kipindi Nyerere akitafuta uhuru nawaidilamu maaskofu simlijiunganawakoloni acheni ujia msichague nchi yetu wewe nimkoloni naninashakanawewe pia unaukubaliushogawewe