Hata wafanyeje Uislamu utasonga mbele sababu Uislamu umeletwa na Allah na unakingwa na Allah. Wenyekujielewa (Wasokukwa Waislamu) Wanasilimu wanaingia ktk Uislamu ila Wasojielewa (Walalao na kufia ktk Ukristo) na Wanafiki hao wanazidhulumu nafsi zao wenyewe kwa kumtii Shetani kwa maslahi ya dunia!
Shèikh tatizo unaubili siasa .Sisi hatuitaji dunia kwasasa .Tupe habari za viumbe wema siyo wanasiasa.Kama tungetaka habari hizo tungewatafuta wakina Martin Lutha king ,Stive bico,Kwame Nkuruma n.k.
Brother katika mihadhara mnapiga sana hela kwa hiyo kazi maana huwa mnashindanisha waislam wanachangiwa pesa na wapambe wao na wakristo vivyo hivyo. Ukiona wakristo 100 wametangaza kusilim 80 ni wasanii wanawapotezeeni muda. Mimi pia niliwahikutangaza kusilim katika muhadhara wa waislam pale Furahisha na tangu nitoke pale sikuwahi kanyaga msikitini zaidi ya kwenda kanisani. Najua mnapata hela lakini hiyo mihadhara huwa imejaa zihaka kwa pande zote 2 na faida yake kwa dini ni ndogo kuliko chuki za majirani mnazowachia wakati nyinyi mmeshaondoka na pesa. Wakristo na hata nyinyi waislam katika mihadhara wote huwa ni janja janja tu kwakuwa bible na Koran zinamapungufu makubwa Sana.
Sheikh mwaipopo Mwenyezimungu akuzidishieni kila lakheri Uyanenayo yananichoma Moyoni 😭😭😭 MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏
Mwaipopo na masheikh wenzeko don't give up hayo mafunzo ni hazina kubwa kwa jamii yetu
Allah yupo pamoja nanyi masheikh wetu
Mashallhaaa shekhe shafii nakupenda kwaajili yaallha
Endeleeni ma sheikh wetu Allah yupo na nyinyi, Allah awahifadhi yaarab na awa fanyie wepesi yaarab
Mungu akutangulie sheikh mwaipopo waislaam waleo fitna imekuwa kubwaa nikwelii majunguu nimengi waislaam tuacheni majungu jamanii
Shekh wangu hayo utakutana nayo sana ktk maisha yako ya ukweli na msimamo wako.
Dah unafiki ni laana na tabia mbaya sana 😢. Allah atunusuru na hii tabia.
ASALAAM ALAIKUM. MAASHAA ALLAH. MAASHAA ALLAH. MAASHAA ALLAH. TABARAKA RAHMAN ALLAH AZIDI WA IBAREEK.
Imefikaah iyo shekhe ALLAH akulindeni na wanafiq
Hao sio wa Islam wa kweli,hao ni wanafiq na wazandiq Allah awa hidi yaarab
Mwezimungu awalinde mahas
Namahasidi wenye roho mbaya
Allah awahifadhi inshaallaah
Inalilai walnalilai rajiuni poleni sana Mashelhk Allah yupo hatawasaidia
Sheikh mwaipopo Mwenyezimungu akuzidishieni kila lakheri
Shukran kwa kutuelimisha JAZZAKALLAH kheir Bega kwa bega mpaka Firdaus
Mungu awalinde kwa haya munayopitia katika kuitangaza dini ya Allah na mtume wetu S.A.W
waasaka tonge hao shekh wangu
kujıkomba komba tu
Allah awalinde masheikh wetu
🤝
Daima ukiwa katika haki uta pata mitihani na misukosuko, lakini msi jali Allah yuko pamoja nanyi
Mrudie Yesu wako manake huwa unamponda sana na unajua Yesu ndo jibu nakuhurumia sana kwa hiyo misukosuko Yesu anakuhitaji kaa jitafakari
Mashallah Allah
wahislamu wachawi kweli duuuuh
Wanafik wengi wallahi. Mungu atawalinda inshaAllah
Subhan Alla 😢
Mtihani wallah waislam twaelekea wapi kama hatupendani jaman
Mashaallah kaka shaffi ukisimama lzm watu wacheke🤣🤣🤣🤣🤣
#_SHAFI KAMA #_SHAFI JAZAAKUMULLAHU KHAIRA 🙏
Waslam kwel nyinyi wanafki adi mnajuana
Subhana llah
Subhana llah 😭😭
Kitabu cha watu ulichoiba kiko wapi?????
Asalam alkum nikweli hostadh wengi wanaualibu uslamu kupitia maslahii yao
adisi umetumia sio yakuchekesha wafu lol 😭😭😂😂😂😂😂😂😂
Msibaa mkubwa sana nikwelokabisa adui wamwislaam ni mwislaam .sahihi kabisaa mwaipopo
Wewe Mwaipopo umeshaambiwa hakuna mnyakyusa akawa shehe. Ww vuna chako Rudi nyumbani.
Ulianza wewe unafiki mwai popo sasa Sikizaneni mashehe wacheni kulipizana kisasi sameheyaneni uislam ubarikiwe🤲✌🤝
Hao wapo wwengi wwnafiki
Hayo ni majaeibu tu ya Allah lkn usivunjike moyo mungu yupo pamoja nawe
Unatoka nje ya maada.kama hupati kitu unang'angania nn.Ndio dili mnazopiga hapa ukivuruga na unavurugwa.Unafiki ndio huo.
Hao ndo wanafiki alohusiwa nao mtume na Allah hawatosalimika hao na moto waache Allah yupo pamoja na haki
Innalillah wanafk na waalaaniwe
Umebadili jina la kitabu cha watu ukadai umeandika ww paka we
Innalillah
Na hao ndio walio jaaa ktk maofisi yao
Huyo shafi aache kuchanganya mada,mambo ya mipira kwenye miadhara musiyalete
Msameheyaneni
Hupewi kibali Cha kuhubiri wamegundua wewe una utapeli umegombana na Dr sule we mnafiki
Hata wafanyeje Uislamu utasonga mbele sababu Uislamu umeletwa na Allah na unakingwa na Allah.
Wenyekujielewa (Wasokukwa Waislamu) Wanasilimu wanaingia ktk Uislamu ila Wasojielewa (Walalao na kufia ktk Ukristo) na Wanafiki hao wanazidhulumu nafsi zao wenyewe kwa kumtii Shetani kwa maslahi ya dunia!
Kwahiyo festo unataka kusema dr sule ndio anamletea shida nwaipopo??
We mwenyewe mnafiki ongea maada iliyokuleta hapo.?Muachie Mungu kazi yake we boya.
Ni ww amaa
Uislam lazima tuambiane ukwel pana mtu anapokosea, unapokaa kimya ndo unafki wenyewe
Shèikh tatizo unaubili siasa .Sisi hatuitaji dunia kwasasa .Tupe habari za viumbe wema siyo wanasiasa.Kama tungetaka habari hizo tungewatafuta wakina Martin Lutha king ,Stive bico,Kwame Nkuruma n.k.
Ht hy Dini ndani yake ina siasa ndo wanafiki wenyewe
Wanafiki ndo wanaoferisha uisillam lakini mungu anawasubili
Sana Allah hanawasubili
Huyo mnafiki aje tumchape
Tutampiga huyo mnafiki hatoamin
Tutampiga huyo mnafiki mkubwa hatoamin
Sio mwislamu huyo tutampiga hata amini
Mnafiki kama mgojnwa wa ukimwi huwezi kumjua kwa sura
Tz ina wanafiki mbona linajulikana
History Yako ya njaa nimecheka 😂😂 story unatunga saa ngapi
jamaa noma hata mimi kacheka. 😂🙆🏻♂️🙆🏻♂️
@@chance0709 😂😂
Adui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake .
Brother katika mihadhara mnapiga sana hela kwa hiyo kazi maana huwa mnashindanisha waislam wanachangiwa pesa na wapambe wao na wakristo vivyo hivyo.
Ukiona wakristo 100 wametangaza kusilim 80 ni wasanii wanawapotezeeni muda. Mimi pia niliwahikutangaza kusilim katika muhadhara wa waislam pale Furahisha na tangu nitoke pale sikuwahi kanyaga msikitini zaidi ya kwenda kanisani.
Najua mnapata hela lakini hiyo mihadhara huwa imejaa zihaka kwa pande zote 2 na faida yake kwa dini ni ndogo kuliko chuki za majirani mnazowachia wakati nyinyi mmeshaondoka na pesa.
Wakristo na hata nyinyi waislam katika mihadhara wote huwa ni janja janja tu kwakuwa bible na Koran zinamapungufu makubwa Sana.
We acha laana wewe qur ani i
Yenye mapungufu uliitengeza wewe?
Una mifano ya kifala sana wewe
Mlete huyo mnafiki tumchape watajeni majina hao wanafiki
Watajeni majina hao tuwachape
Mwaipopo tupe ruhusa tumchape
Usikate tamaa sheikh mwaipopo waislamu tuko nyuma yako achana na hao wanafiki tupe ruhusa tuwapige
Duu huyo shekh ni mchonganishi mtaje tumjueee,pia naomba serikali iwachukulie hatua hao watu wanaochonganisha serikali na raia
Kwani wewe huna masikio au nini tena kesha sema mjukuu wanani
Huyo ni mtu ambaye ameelewa uislam nini,maana yake,ndio maana pia anapinga hiyo iman kupitia tabia hiyo, ndio msimuelewe kwa haraka huyo ni ant islam
Mjinga usie jitambua ww
Allah awalinden shekh wetu