Takribani mwaka mmoja na nusu tangu nimpoteze bibi yangu.Its so painful losing your loved one ila yote mipango ya Mungu kwa sababu kazi yake Mola haina makosa.May your soul continue resting well till we meet again
101 Twonane milele 1. Nyimbo na tuziimbe tena Za alivyotupenda mbele; Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni twonane milele. Twonane milele, Twonane bandarini kule; Twonane milele, Twonane bandarini kule. 2. Hupozwa kila aoshwaye, Kwa damu ya Kondoo yule; Ataishi afurahiye Vya Yesu mbinguni milele. 3. Hata sasa hufurahia Tamu yake mapenzi yale, Je, kwake tukifikilia, Kutofarakana milele? 4. Twende mbele kwa jina lake, Hata aje mwokozi yule, Atatukaribisha kwake, Tutawale naye milele. 5. Sauti zetu tuinue Kumsifu Mwokozi yule, Ili watu wote wajue Wokovu u kwake milele.
Huu wimbo namkumbuka sana marehemu rafiki yangu wa utotoni marehemu eddymund Philemon urassa pumzika kwa amani rafiki yangu wa utotoni. Wema na fadhila zako zitabaki siku zote kwenye moyo wangu.
Hakika nimebarikiwa sana na ujumbe uliomo katika huu wimbo. Si hivyo tu lakini nimetambua ya kwamba bado sijachelewa kufanya matengenezo sawa sawa na neno la Mungu. Mungu azidi kuwabariki.
When I hear this I remember love of my lovely sisters (Elly and Evo) who passed away few years ago I pray to Almight God forever rest until we meet again
Tuonane milele Mr. Omoke Rest in Peace najua sio rahisi kwa Familia yako lakini Mungu ndiye msaada wetu wakati wa taabu🙏
Halelujah Yesu ni Bwana ...
Natamani siku moja tuonane Bandarini kwa Bwana wote tuliocomment humu . Glory to God!
Asante sana
Takribani mwaka mmoja na nusu tangu nimpoteze bibi yangu.Its so painful losing your loved one ila yote mipango ya Mungu kwa sababu kazi yake Mola haina makosa.May your soul continue resting well till we meet again
101 Twonane milele
1. Nyimbo na tuziimbe tena
Za alivyotupenda mbele;
Kwa damu ya thamani sana!
Mbinguni twonane milele.
Twonane milele,
Twonane bandarini kule;
Twonane milele,
Twonane bandarini kule.
2. Hupozwa kila aoshwaye,
Kwa damu ya Kondoo yule;
Ataishi afurahiye
Vya Yesu mbinguni milele.
3. Hata sasa hufurahia
Tamu yake mapenzi yale,
Je, kwake tukifikilia,
Kutofarakana milele?
4. Twende mbele kwa jina lake,
Hata aje mwokozi yule,
Atatukaribisha kwake,
Tutawale naye milele.
5. Sauti zetu tuinue
Kumsifu Mwokozi yule,
Ili watu wote wajue
Wokovu u kwake milele.
Nikisikia wimbo huu na mkumbuka JPM kabisa rais pendwa wa moyo wangu 💔💔💔😥
Huu wimbo nikimkumbuka mama yangu nakuja kuusikiliza continue to rest mom see you again in heaven😢
😭😭pole sana dear Mungu azidi kujutia nguvu
Mimi pia namkubuka Baba ang 😭
Pia nawakumbuka Sana mamangu mzazi na aliyenilea..😪😥
Poleeee
my brother passed on last week.this song is so fresh.its hurting
Hongera dada nyimbo nzinatufarij sana
kila mara nasikiliza huu wimbo lkn sijawahi kuuchoka, ni kazi nzuri sana inayotuweka rohoni! hakika tuonane milele, bandalini kule
Amen.
Phenias Nyairara
Kwel ndg
Phenias Nyairara amen
@@DinuZeno Mungu akubariki sanaa sichokii kuusikiliza huu wimbo daah haki umenifanya nijisijkie Amani
@@vikinduonline4396 Bwana ni mwema
Hii nyimbo nmesikia kwa mara ya kwanza kweny msiba wa baba yangu 😭😭..endelea kupumzika kwa amani baba
Bwana akusaidie
@@DinuZeno Amina tubarikiwe sote nyimbo zako zimenipa faraja sana wakat wa msiba
Jamani nimekumbuka mbari guy wimbo uliimbwa baba yetu ametangulia mbele ya haki pumzika jpm
Pia mimi niliiisikia kwa mazishi ya babangu miaka miwili iliyopita. May his soul RIP
@@petermuindi4127 pole sana
Naitwa Joshua Kenyatta kutoka Kenya waja mungu awabariki sana
Amen
Huu wimbo wanigusa Sana,,, Kila Mara huwa nahitaji kuisikiza saa zote,,,nipe likes zake jameni
I like the song japo kila nikisikiliza namkumbuka Jpm Rest In Peace shujaa
Huu wimbo namkumbuka sana marehemu rafiki yangu wa utotoni marehemu eddymund Philemon urassa pumzika kwa amani rafiki yangu wa utotoni. Wema na fadhila zako zitabaki siku zote kwenye moyo wangu.
Najihisisi nijiunge nanyi
Siku moja nitakuona tena baba tutaonana, we shall meet again 😢papaa, continue to rest well in eternal peace 😢
Hakika nimebarikiwa sana na ujumbe uliomo katika huu wimbo.
Si hivyo tu lakini nimetambua ya kwamba bado sijachelewa kufanya matengenezo sawa sawa na neno la Mungu. Mungu azidi kuwabariki.
Endeleeni kupumzika kwa Amani wadogo zangu Maximilian na Gloria Namwene...na wengine wote mliotangulia. RIP wapendwa wetu
God bless you kwa huu wimbo
Amen.Asante sans
Asante sana
Mama alive you namukumbuka sana naamin ipo siku tutaonana kupenda sana❤ mama angu
Mfariji WA moyo wangu ni nyimbo za tenzi za rohoni may the lord bless you amen
Whenever you enjoy this blessed spiritual song read 2cor 5 1-10 amen
Nikiskia huu wimbo mamangu phanice rest in peace mamaa mrs white😢
Ameen wimbo mzur sana barikiwa kwa viwango kama vyoote dinnu zenu
By January,,,my lovely bro went to be with his Master 😭😭😭😭😭,,,oooooh encouraging song (twonane bandarini kule 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏)
My Dady RIP,,nimekumbuka siku ya mazishi Yako baba,,tutaonana asabuhi Ile njema❤
Rest in peace 🕊️ daddy and grandma 😘😢😢
Furaha iliyoje kusikiliza nyimbo tamu kama hizi. Tuonane milele tuonane bandarini kulee.
Hakika
Ubarikiwe na mungu
Napenda Sana kuiskiliza hii nyimbo hata Kama Nina mawazo yanapunguaaaa nakumbuka watu nilikuwa naoo maisha niliyopitiaaaa napata faraja kuuusikiliza
Wimbo huu umenigusa Sana wapendwa turejee kwake
Namkumbuka Mch wangu ,Mawere ,ambaye ni Marehem,,nikisikia huu,wimbo,, Nasikia kutakasika ,kwa kweli,Maisha matakatifu ,ndio pekee yatatupeleka kwake Mandarin,,, Mbarkiwee watumish
@@josephfkinyaghakinyagha7046 Ooh! Mungu ni mwema
Kila nikisikiliz huu wimb napata faraj Sana kam naw unapata faraj gonga like utazd kufarijk kama mm
Amen
What a powerful song,,,rest in peace dad n mom
Tutaonana na wapendwa wetu walio tutangulia mbel mung utulehem
Laurent baba yangu tutaonana bandarini
Nyimbo nzuri sana.. i love the song!
Bwana asifiwe watumishi Mungu aendelee kuwakilimia kwa Kazi Nzuri muifanyayo
Dad, even though my heart is broken beyond how words can explain, I miss you everyday, so so so much. Rest in peace 🕊🕊
I'm from Australia. I like this song always 😍🙏 AMEN.
Amen
U don’t have to say where u from ….. you from Congo not Australia u there as a refugee
Hakika Mungu akubariki nyimbo yako inanibariki kila mara na naipenda , Mungu akubariki.
Rest well brian and evans we miss you everyday
Huu wimbo uwa unanitoa machoz 😭
Songa mbele mtumishi wa bwana
The song that gives me the inner peace when am shattered,it gives me the strength to move every day
Amen. Sharw to others
When I hear this I remember love of my lovely sisters (Elly and Evo) who passed away few years ago I pray to Almight God forever rest until we meet again
Barikiwa sana
Thanks for the song it's so touching,I remember my late mum Monica,we shall surely meet at God's feet,am so blessed
We are to gather bro
Napenda sana waimbaji wa Tz wakiimba na feel niko moja wao be blessed all
Nabarikiwa sana na Tenzi jamani.halafu mmeimba ktk mazingira ya asili
Still remembers my Daddy and brother yake,let them rest easy till we meet again in paradise 😭😭😭😭
Sauti ya tatu Yani inanikosha waooooo.Abarikiwe sana.
A Kenyan born based in the UK 🇬🇧 enjoys & lives your music bro. Thanks for allowing God to use you. Lots of love
Song that sensitize us to heaven, be blessed
Emeni
Napenda huu wimbo unanikumbusha ubatizo wangu
Dinu Zeno I asiache huduma aliyoichagua mungu atamlipa
Yaan hapa nimejihc nipo pepon kwa hiz nyimbo barikiwa sana mtumish kwa kutumbusha kupitia nyimbo kwenye mitandao
Barikiwa sana mtumishi
Wimbo huu nimuzuri sana mungu akupe neema ya kuzidi kusimama katika kweri ya mungu
Amen mungu atupe uvumilivu twonane bandarini
Siachi kusikiliza hii ngoma,Ni kila wakati.ngoma imejaa upako
Bwana ni mwema
Very powerful my late mum aliipenda Sana one day tutaonana ng'ambo hio🤝
Thanks for this song ,it has made me remember my Dad and my mum almost 25yrs ago,rest in peace mum and Dad.
Amina mjomba angu tuonane bandalin kule
Wow hakika tunaone milele bandalini kule nafarijika Sana nikisikia huu wimbo Mungu akubariki mtumishi wa mungu
mungu akubaliki mtumishi wa mungu nimebarikwa sana
Amen 🙏🙏😭😭😭😭 huu wimbo inanigusa sans ndani ya moyoni mwangu tuonane bandarini kule milele🖐️🖐️
Twaonane mile,bandarini Kule,,,, surely God bless you and keep you safe all the time, much love
Ni wimbo nzuri sana ninaposikiliza tu unanijenga kihoro actually
thank you brother for nice song
I like this song very much remembering my late mum continue rip twonane badarini
I just had to translate for myself. God is great. Re lebe ko borakanelong.
Listened to this song in march 2021 when I lost my father in-law,we miss him everyday,he was a good man..We shall meet one day..We miss you each day.
Hongera mtumishi wa mungu nimeipenda saanaa
Vincent my brother continue to rest,,,totaonana bandarini kule 🙏🙏🙏🙏🙏
Rest in peace my dear sister 💔 I remember so far ... congratulations brother for a beautiful song
Jaman hizi nyimbo za huyu kaka zinanisaidia sana mm asant mungu kumtumia mtumishi wako jmn ananisaidia
i like this song safi kaka kazi nzuri
nawapenda sana waimbaji hawa MUNGU AWAZIDISHIE
Ni miaka 2 sasa tangu Mzee wangu utangulie mbele za haki.. nakukumbuka sana baba yangu.. endelea kupumzika Kwa aman
Mungu akupe maisha marefu brother
I love this song from France plz God bless you
Dad continue resting in peace we shall meet again. 19 years since you left us, memories are still fresh
Ashukuruwe mungu hii nyimbo inatufundisha Mambo mengi san yatupasa tupendane kwani ipo siku tutaviacha vyote tutaenda mji mpya
Naitwa James kabaala kutoka Kenya mungu awabariki sana
Naomba unitumie nyimbo zakozote 0753501526
Angela chibalonzas song i love it, shes the 1st person to relase it others r just copypest
twonane bandarini kule,ujumbe mzuri,Bwana azidi kukubariki mtumishi wake
God bless you brother 🙏
I'm from Australia. I like this song always 😍🙏 AMEN
@@baelebalomona8454 Glory to JESUS, our GOD and SAVIOR!!🎺🎷🎸🎹🥁🎻🎻🎻 be blessed!
Rest well grand pah and grand mah we miss you every day keep watching over us ...all shall be well ...miss you both🙏🙏🙏
I love dis song much god be with you all the time,am blessed
Atukuzwe MUNGU aliye juu kupita vyote,, Tuonane milele Bandarini kule,,, Amen..
Mungu akubariki sana rafiki wa Yesu kristo,,, Neema ya Bwana wetu Yesu kristo iwe pamoja Nanyi katika hekima yake
Brother you remind me of my favorite gospel artist of all times Fanuel Sendekia.
Bravoooo
Hujambo mtumishi, natokea maeneo ya Mombasa mjini, nchini nimeipenda kanda hii naomba nijue jinsi ninavyo weza kupata kanda hii
R. I. P MAGUFULI💔💔💔😢
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
Mama mama mamaaaa,, mama ake ola daaaaah💔😭😭😭😭
Kila niusikiapo wimbo huu nalia sana jaman kumpoteza baba angu kipenz
mungu akubariki kwa ujumbe wa kutukumbusha kwamba kuna safari baada maisha ya dunuani
Naposikliza uuwimbo uisi falajasana ubalikiwe sana
My dear grand mother tuonane bandarini 😓😭😭missing you each and every day...
Twonane bandarin Kule twonanee milele👏👏👏
MUNGU AWE PAMOJA NAWEWE Mtumishi wa Yesu
Wapumzike Kwa amani wote waliotangua mbele za haki. Amen
Nothing prepares you for the loss of your mother. Continue resting in peace Mummy.