Nimeshindwa kujizuia kulia moyon nimesikiliza zaid ya mara 10 eeMungu Wang muumbaji usimpite kila anae soma huu ujumbe umasiki na dhiki vimuepuke kwajina lako lenye mamlaka nikiomba nakuamini amen
😭😭😭 Nimekumbuka time nipo chuo last year (2023)... Life was so hard, tumaini likipotea, nilijua Mungu ameniacha kutokana na magumu niliokuwa napitia... Audio ya huu wimbo ilikuwa single repeat karibu mwezi mzima na zaidi kwenye simu yangu... Thanks Lord, Mungu amenipigania nimemaliza vizuri na sasa nimepata kazi Glory to God 🙌... Nabarikiwa sana na huduma yako brother Gozbert🙏
Yaani saivi hii nyimbo nayo nimeisikiliza na nmeipenda ila mwanzoni sikuwa ata na hamu nayo ,kitu kikubwa sana Umefanya kwenye ulimwengu wa kiroho kuchoma gari na kukataa mtu achukue utukufu badala ya Mungu hakika Masikio ya mashabiki yameanza kufunguka
Mungu husikia maombi yetu Kila wakati unaweza pitia changamoto nyingi kwenye maisha yako lakini ukiweka Imani yako thabiti kwa Mungu kamwe hawez kukupita bila kukubariki:hakika Mungu n mwema Sana kwetu
Nimeiangalia hii vedio machozi nimesikia yanataka kudondoka daaaah asante Sana Kaka G' kwakunihudumia Mungu akubariki na akutunze kwaajiri ya watu wake Amen
Wow what amazing song, ive remembered when i was in class six my dad was accused by his boss for stealing, but by God favour he did even spend a night in cell he was released by evening after finding he is innocent, God is great, but i lost him 5 months ago may you continue resting in peace daddy😢,
HASN'T SAN JAPO NIME CHELEWA KIFIKA LIAKIN NASEM GOOD LOCK AMEN KWA KAZ NZUR MM NYIMBO HIII NIME SIKILIZA SIKU NZIMA NIMEJIKUTA NALIA ❤❤ FROM BURUNDI NIME ISHI SAN TZ NAWAPEND SAN MBALIKIWE AMEN ❤❤
God am going through alot don't leave me this broken i don't have anyone to tell God if you listen to my heart it says alot at a time am giving up but i know you can God why all this my helper come to my rescue
Our favorite song I and my family Yani mtoto wangu ni wa mwaka mmoja na nusu bt ukimwekea hii nyimbo hakukeliki alafu ukitaka mukosane wewe itoe ndio utajuwa Kwa nn halipi rent Wala umeme na utafanya venye ywataka n anibnyumba yako😅😅 God bless you for this song for us🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Goodluck, good work. I wish I could hear what the song says. I am a South African and i am listening to all African gospel music. I have listened to Namibian, Kenyan, Zimbabwean and now listening to Ugandan and Tanzanian gospel. You are my first artist in Tanzania, welcom me pastor.
Ka mkubwa hongela kwa nzuri Mimi ni muimbaji mdogo naomba support yako You tube zipo nyimbo 2 za kwangu Jorebe Danny ndio jina nalitumia you tube Be blessed I need your help
Mimi namtumain sana Mungu hasa wakati huu ambapo nalea mwanangu mwenyewe sina tumaini ila Mungu wa mbinguni na huu ndio wimbo wangu asubuh na mcha usiku
Comments za kihuni sio sawa ww gudlack akisema bwana ina maana huelewi ? Kuandaa nyimbo unafikiri ni rahisi bila mungu kukupambania jamani? Kijana atiwe moyo kiukweli anapambana loh! 2:44
Wangapi tumekuja kuchekii hii video baada ya mtumishi Goodluck kuachana na maagano potofu,nakuchoma gali yao,nipeni likes zenu
Tuko hapa
Ila wewe jaman unaenda na kipindi dah 😂😂😂😂
Wa mwisho kucomment, msinipite na mm, congrats you made my day goodluck
Sasa Mungu ameshafungua njia yako ukiniona mim nimekuja ujue umeshatengana na ushetani.....Acha tamaa pambana na tafuta utakatifu kila wakati.
Nimeshindwa kujizuia kulia moyon nimesikiliza zaid ya mara 10 eeMungu Wang muumbaji usimpite kila anae soma huu ujumbe umasiki na dhiki vimuepuke kwajina lako lenye mamlaka nikiomba nakuamini amen
Amen
Sijui kama mimi ndio wa kwanza kutoka 254🇰🇪 likes zkuje kwa wingi..Msinipite juu najua Mungu hatotupita.🙏
Amina!
Tuko ❤
Amen 🙏
Niko hapa pia, my best musician🎉
🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kaka mkubwa Nimebarikiwa nice video , Mungu akubariki kwa video yenye ujumbe Mzuri
Mungu usitupite sote tulio sikiliza huu wimbo pia usimpite goodlluck alie imba huu wimbo maana hatuwez jua nn anapitia kwasasa 😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Mungu akupehitaji la moyo wako ili wengi wakapone zaidi kupitia huduma yako daima
😭😭😭 Nimekumbuka time nipo chuo last year (2023)... Life was so hard, tumaini likipotea, nilijua Mungu ameniacha kutokana na magumu niliokuwa napitia... Audio ya huu wimbo ilikuwa single repeat karibu mwezi mzima na zaidi kwenye simu yangu...
Thanks Lord, Mungu amenipigania nimemaliza vizuri na sasa nimepata kazi Glory to God 🙌...
Nabarikiwa sana na huduma yako brother Gozbert🙏
Mungu ni mwema wakati wote 🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen
😭😭😭 ubarikiwe 🙏🙏
This is more than best gospal,mimi huwa ni mvivu kucoment ila kwa huu wimbo kaka umeimba
Kam hujawahi pitia magumu huwezi elewa maana ya Usinipite... Mungu akubariki sanaa
Kwa kweli
You have touch my soul...God bless you.
Kweli kabisa
Wimbo unafariji mno kwakweli .mungu azidi kukutumia kijana wa yesu dah! 3:11
Huu wimb ulkuw unafaa uwe na views kwanzia one million ameen
Hata 10 million kwakweli na ndo shetwani hataki ila Bwana Yesu ana makusudi yake
tulio rudia zaidi ya mara mbili kusikiliza hu wimbo tujuane hapa kwa like bc❤❤❤
Zaid ya mara 10 naliatu usinipite my dear God 🙏🙏
Unpo pita unapo gusa wengine nami nione ❤❤ sana
Oooh nimaombi yangu ndio kiu yang naya moyo Wang usiniache nime balikiwa sana❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ 2:49
Eliza chuwa siwezi kucho
Yaani saivi hii nyimbo nayo nimeisikiliza na nmeipenda ila mwanzoni sikuwa ata na hamu nayo ,kitu kikubwa sana Umefanya kwenye ulimwengu wa kiroho kuchoma gari na kukataa mtu achukue utukufu badala ya Mungu hakika Masikio ya mashabiki yameanza kufunguka
Ameen wimbo unanifanya nimtafakari Mungu wangu sana Eeeeee Bwana usinipite ktk biashara yangu
Usinipite mwaka huu Yesu, Bado nakuamini unaweza kuniinua na kuniheshimisha! Amen! 🙏🏾
Yesu usinipite ukiniacha peke yangu watanimeza mzima mzima😢
kuna mapito unapita hadi unasema hili huvuki... kwa Imani Mungu anakuvusha..Imani kitu kikubwa sana.
Hatari sana kama mm niliowahi kupitia lakini Mungu alinivusha
Kwel kabsa kuna mahal unapitia bila MUNGU hutoboi
Ktk uimbaji wako wote, kwangu naona hii ngoma uliigonga na kuimba ukiwa rohoni sana ukilinganisha na nyimbo ukizowahi kutoa
Huyu ndo yeye nae mjuaa nyimbo nzurii inafariji inabariki snaa amen
Naomba usinipite Bwana, pekee yangu siwezi naomba uniongoze 🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Mungu akutumie zaidi ya hapo na akuzidishie hekima na kibali cha Neema ikutoshayo😢😢 Ameen.
Usinipite ..........😢 likeziwe nyingii
Yaani wimbo umeanza tu hivi🤔🤔 nikakimbia kudownload audio . Umenigusa hadi ndani ya roho🔥🔥🔥🔥 sahii ni kureplay tu
Usinipite bwana 😭🙌🙌
Listening to this song for the first time and am just tearing up 😢😢
Mungu usinipite🙏🏾
Hee mungu wangu naomba usinipite kwenye magumu nayopitia kwenye ndoa yanguu ,naimani nitashinda
Asante mwenzi kwa kunivusha mwaka jana katika maisha yangu wewe kila kitu kwangu mweyenz Mungu
❤❤ uyu muimbaji amujalie saana Kwa huyu wimbo amen
Imba hii mara nne Kwa kutafakari alafu uniambie.
Usinipite
usinipite
Bwana naomba usinipite
Wimbo mzuri sana na wenye utulivu mkubwa mungu akubariki na azidi kukuinua mungu asitupite amen
hakika umerudi kule tulikokuzoea hakika hii ndo gospel acha zile anamapembe
maisha niliyo lelewa kama nguluwe ,lakini huu wimbo ninguzo yangu kwasasa
Hongela sana kaka Kwa wimbo mzuri mpaka machozi yamejikuta tu yanabubujika,,ngoja ni danload huu wimbo
kama ungehesabu matedo kwa tabia mimi ni mwenye thambi machoni mwako 😢😢lakini naomba usinipite🙏🙏🙏
Yesu usinipite kwa kweli machoni pako mimi ni mwenye dhambi
Mungu husikia maombi yetu Kila wakati unaweza pitia changamoto nyingi kwenye maisha yako lakini ukiweka Imani yako thabiti kwa Mungu kamwe hawez kukupita bila kukubariki:hakika Mungu n mwema Sana kwetu
Nimeiangalia hii vedio machozi nimesikia yanataka kudondoka daaaah asante Sana Kaka G' kwakunihudumia Mungu akubariki na akutunze kwaajiri ya watu wake Amen
😢😢😢MUNGU AMTUNZE KWAUDUMA NJEMA
Ameen Ubarikiwe sana nyimbo ina mafuta ya roho wa Bwana fanya kwa ajili ya UTUKUFU wa MUNGU
Sijawahi jutia kuappreciate Mungu alichokiweka ndani yako kaka ni kazi nzuri sana Mungu akubariki na kukuinua zaidi na zaidi
Duhuuuu nyimbo imenigusa san pih meipenda tumrudie mungu wapendwa😢
Mungu isinipite naomba usikie maombi yangu na ujibu matamanio ya moyo wangu😢
Maali wali hook , wakachukua vitu zako uimbaji wako Mungu atumene ziachiliwe kwa jina kuu la yesu
Wakwanza mimi
Wewe acha zako akati mi ndo wa kwanza😄
Amina.... nmebarikiwa sana .much love from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Welcome, our dear from uganda
Good luck mtumishi wa Mungu nyimbo zako unitia Moyo na kunifariji Sana Ubarikiwe❤
kakaang endelea kufanya kazi ya mungu usichoke upo vizur sana🎉🎉🎉❤❤❤❤
Usinipite bwana YESU mwaka huu usinipite😭😭😭
i wonder why this song is not hittting with more than 1M viewers because it a prayer that every man should make😭😭😭😭😭😭
The reason this is new chanel, but is a good song
Mm pia Bwana usinipite ukizulu wengine na mm pia unikumbuke❤❤❤
Anyone 2025
Uh Wimbo umenigusaa sanaa...MUNGU azidi kukuhifadhi kijanaa nyimbo zako zinanigusa sanaa🙏🏽
All 🙏🙏🙏from Malawi but this boy is doing good and encouraging gospel GOD bless him more 🙏🙏🙏
Bass sasa Mungu na ukashinde juu yetu
Nimelia sana Kwa magumu nilopitia kweli muumba wangu ndo anajuwa tusalini sana hatuijuw kesho yetu wapendwa
Wow what amazing song, ive remembered when i was in class six my dad was accused by his boss for stealing, but by God favour he did even spend a night in cell he was released by evening after finding he is innocent, God is great, but i lost him 5 months ago may you continue resting in peace daddy😢,
Hello
My Mentor GOODLUCK Gozbet more grace I must sing with you one day🙏🙏🙏
Mungu naomba unipe kiwango cha imani
Kazi nzuri snaa huu wimbo unanifanya kuzidi kumjua Mungu Mungu akutinze kaka angu
amen let the name of our lord be forever 🙏🏽 i pray mngu anikumbuke nami that song has touch my heart ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu azidi kukuinua zaid kaka G.
Kazinzuri Sana brother mungu aendelee kulusimamia bigup 🔥🔥🔥💖💞
HASN'T SAN JAPO NIME CHELEWA KIFIKA LIAKIN NASEM GOOD LOCK AMEN KWA KAZ NZUR MM NYIMBO HIII NIME SIKILIZA SIKU NZIMA NIMEJIKUTA NALIA ❤❤ FROM BURUNDI NIME ISHI SAN TZ NAWAPEND SAN MBALIKIWE AMEN ❤❤
2025
Kama ujawahi kupitia maisha magumu huwez elewa huu wimbo
Nampenda Sana Good Luck ananijemga kila siku
Usinipite bwana 🙏
KAMA TUNAFWATILIA MWAKASEGE NA DIANA 😢😢😢😢HAKIKA [UWAMSHO UNAINGIA KWA KASI HASA TANZANIA 🇹🇿 , NA KWINGINE PIA
Nakuelewa sana.
Saw @@HappynessEdward-sk2pn
@HappynessEdward-sk2pn be Blessed 🙌 my dear
Mimi sijakuelewa prs
🎉🎉🎉@@HappynessEdward-sk2pn
Mungu akubariki kaka sisi ambaye tumepitiya shida yadunia umetuingiza kiundani sana mungu akuongeze uduma zaidi mimi nipo congo😢😢
God am going through alot don't leave me this broken i don't have anyone to tell God if you listen to my heart it says alot at a time am giving up but i know you can God why all this my helper come to my rescue
Mm niliurudia mara 10 nimepitia magumu sana jaman Mungu ndio anajua tu.
Usinipite nicee song watching form Kenya 🇰🇪🇰🇪
Gozbert, God bless you for such amazing song in all situations we are facing 🙏 God is able
Our favorite song I and my family Yani mtoto wangu ni wa mwaka mmoja na nusu bt ukimwekea hii nyimbo hakukeliki alafu ukitaka mukosane wewe itoe ndio utajuwa Kwa nn halipi rent Wala umeme na utafanya venye ywataka n anibnyumba yako😅😅 God bless you for this song for us🙏🙏🇰🇪🇰🇪
usinipite ❤❤❤ ,lord do not pass me. despite everything do not pass me
Goodluck, good work. I wish I could hear what the song says. I am a South African and i am listening to all African gospel music. I have listened to Namibian, Kenyan, Zimbabwean and now listening to Ugandan and Tanzanian gospel. You are my first artist in Tanzania, welcom me pastor.
This is Good Stuff. On behalf of all Zimabweans 🇿🇼
😮🎉🎉🎉 asante mwenyez mungu❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amen nimebarikiwa,na ujumbe pia na video
Nyimbo nzuri Sana jaman...maua yake gudluck ...
Siamini nimepata channel hiii😄, Kwani Gozbert ile channel nyingine kaiacha ama vipi
All the way from Tanzania now I live in zimbabwe God bless you for good song ........usinipite bwana.
Wewe kusema Yesu sijui kwanini inakuaga ngumu kwako.. wimbu mzuri lakini sasa sijui ni bwana gani
😢
Tunga naww wimbo wako
Mmh wachawi wapo kila mahali kwa kweli
Imba na ww tukusikie
Goodluck Gozbert Thanks for this song my brother. May God uplift our talent not to rust unperformed. We trust In God all day❤
Utakapo wabariki wengine usinipe Yesu
Jaman huu wimbo mbona unanihusu mm kwayale niliyo yapitia
Toa nyingine Tena Goodluck tulikuwa hadi tumekusahau Lakin nyimbo hii ni nzuli
Big one Brother
Mungu hatanipita 🙏
Ka mkubwa hongela kwa nzuri
Mimi ni muimbaji mdogo naomba support yako
You tube zipo nyimbo 2 za kwangu
Jorebe Danny ndio jina nalitumia you tube
Be blessed
I need your help
Mimi namtumain sana Mungu hasa wakati huu ambapo nalea mwanangu mwenyewe sina tumaini ila Mungu wa mbinguni na huu ndio wimbo wangu asubuh na mcha usiku
Bwana naomba usinipite 🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana ❤❤❤❤umenihudumia sana wiki nzima.. kila ninapouskiza najikuta naomba tu. Umebarikiwa sana Mtumishi Goodluck Gozbert.
Hii imeeniguza saana nameiskiza zaidi ya mara tatuu❤️❤️
Love from 254 to 255 our own and beloved artist Has done ✅✅✅✅✅
very anointed! God bless you bro
Kaka Mungu azidi kukuinua ndugu yangu 🤝🙏🏻
USHINDI UNAKUJA KAKA 🙏
Nomaa sana mtumishi wamungu 😍🇹🇿💯
Comments za kihuni sio sawa ww gudlack akisema bwana ina maana huelewi ? Kuandaa nyimbo unafikiri ni rahisi bila mungu kukupambania jamani? Kijana atiwe moyo kiukweli anapambana loh! 2:44
Wimbo unsafisha roho balaa! Hauishi hamu hata uurudie Mara 100. Mungu akulinde mwanaume 2:24
Yupo wapi hyu mtumishi wa mungu
My favorite song ❤❤❤
Unajua kunibariki ww kaka mungu akuweke uishi sana nakupenda sanaa❤❤