ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Yaan Mungu ametuletea obby kama zawadi nabarikiwa kwa kila kazi yako yaan
Any Kenyan? Please let's show love 🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤
❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤
Asante sana kk huu wimbo hume nifunza sana kk mungu akuzidishiye ❤
Nawewe una imba u na three song cool my brother❤❤
Aise tumbo la mama yako na libarikiwe
Roho mtakatifu kahusika hapa ,ubarikiwe mno obby alpha na Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vya juu zaidi🎉🎉
Amen MUNGU amuweke mahali pa juu zaidi
Amen
Obby Alpha may God bless you for your songs it touches many soul
Vibaya One of My Fav Song 🎉
May GOD bless Obby🙏
Nazipenda Sana nyimbo zako kaka kila naposkiliza nafarijika Sana na kubariki moyo wangu
Kaka we ni international gosple huu wimbo nimejifunza kitu
Obby una furaisha moyo wangu sana. Mpaka naitaji kuimba nawewe. Hapa Drc nakufuata sana. Mungu akubariki
Kazi nzuri mtumishi
Ngoma Kali sana natamani sana kuimba na wewe please
Ni wimbo mzuri sana
Ameeen na kuelewa sana obby good song.❤❤🎉🎉
Amen barikiwa mno my brother
I really love your songs they inspire me alot .God bless you 🎉
Amen brother barikiwa sana 🙏
Ummenyee mwamposa umetisha sana mdogo etu nyimbo inaujumbe safi sana
Obby alpha Mungu akubless sana uendelee zaidi, 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hakika nimebarikiwa na huu wimbo na pia umenitia moyo sana ❤❤🎉
Obadia mwanangu huo wimbo umenikumbusha mbali sana mwanangu kumbuka kile kipind MUNGU akubariki sana akuongezee zaid mwanangu
Barikiwa mtumishi
Mapenzi ya Mungu yatimizwe kupitia wimbo huu ❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri saaana nmeusikiliza kwa zaidi ya masaa 8, Mungu amehusika ktk wimbo huu. Nmefurahi kumuona mwamposa wa kwenye bunji
Tusisemane vibaya na tusiombeane vibya in Jesus Christ name Amen, lesson well learnt,God bless you more ,🇰🇪
Napenda San nyimbo zako kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢❤❤❤❤
Endelea kufanyika balaka kwa watu wa mungu na mungu akubaliki sana ndugu good song ❤❤❤
you never disappoint ogaa, Mungu akutunze uzidi kufanya baraka kwa wengi kupitia karama aliyokupa.
Balikiwaaa🎉
Nakubali sana mapema2 ushatuletea video
Tusiombeane mabaya ni ujumbe wa maisha ya kila siku, asante obby alfa kwa uandishi huu Mwenyezi Mungu akupe maarifa zaidi
kaka nakukubali sana. Mungu akubariki
Wimbo mzuri na video imependeza, kazi tumeikubali hapa 🇰🇪🇰🇪
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐤𝐚𝐤𝐚
Very good song UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU OBBY ALPHA
Wimbo mzuri sana barikiwa sana kaka obby
Wimbo mzuri sanaa barikiwa sanaa kaka obby
Unyama bro
Wimbo unagusa mpaka kwenye moyo,hakika huu Wimbo umegusa engo ya maisha yetu ya kila siku na ninaamini kupita wimbo huu kuna wengi watakuja kwa Yesu.Mungu azidi kukupa mafunuo makubwa kwenye huduma yako.
Brother barikiwa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ si kuanguvu zangu🎉🎉🎉❤❤ Amen amen
Wimbo mkali sanaaa aisee
Obby 🎉
KUBWA SANA HII KAKA 🙌🙌
Go more higher kk hii ni baraka tele🔥🔥📌🙌🙏
Hakika ni kwa neema having tulivyo tusiombeani mabaya❤❤
Tujifunze kuwa eshimu wengine bila kujali ni maskini au tajiri, ni wakubwa au wadogo zetu . Mgawa riziki ni Mungu 🙌🏽🙌🏽❤️
Ameeni Barikiwa sana kaka hakika hatujui kesho yetu ujumbe umekaa vyema Sana sana 🎉🎉🎉
Weka akiba ya maneno yako utanishukuru baadae🙏🙏
balaa Message
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 weka akiba ya maneno yako utanishukuru Badae #Vibaya
Asante mungu kijana anatumika vzr nabarikiwa sana na nyimbo zake
WENYEJI WA JIJI TUNAELEWA SANAA 🎉
Fire fire 🔥
❤❤❤❤,nice one 👍👍
Yakikufika utanielewa ...🎉🎉🎉❤❤❤
it's song's amezing my brother 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💔
Kaka Barikiwa sana Mungu azidiiii kukupa maharifa zaid ❤❤❤ nyimbo inamafunzo sana
Broman broman remain blessed massive work
I like it 💯✔️Neema ya mungu isiwapungukie mdumu ktk hilo pendo la kristo yesu✍🏿💯
May God protect your talent broo coz kunawengine hupoteza miito kama hii and keep on praying broo
HOT HIT🎉🔥🔥
Mungu akutie nguvu uzikutoa nyimbo Bora zaid
Blessings with u mtumishi Obby 😇😇
Obby kongole kk ❤️
Kazi safi mtumishi
Barikiwa sanaa kaka obby ujawai kukosea unakitu kikubwa sanaa
Woooiiiihh jamani kaka yangu miee ❤❤❤
Nice song🎉more Grace Obby
Good song hakika kazi iendeeleee
Amen brother keep it up!!
Ni rahisi sana kuelezea mapito ya mtu ila yakikukuta Huwa ni maumivu makubwa jamani tuombeane mema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Obby message 🔥🔥🔥Video 🔥🔥🔥Wimbo hata bila kuskiza video inafikisha message. Keep it at the top always na God azidi kukubless. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My God its on repeat
Mungu kuinue saidi naakulinda uwende mbali sana
Wimboo uuu umenigusa sana 🙏🙏🙏
Actors siwadai 🎉❤
Ugonjwa.....,weh sikia kwa jirani,ukigonjeka utanielewa
Mungu azidi kukukuza kaka mkubwa Hongera kwa nyimbo nzuri 🎉
Ni kwa nguvu za Mungu 🤲🤝🙏
Ngoma Kali nko tayari 2025
Amen mungu akubariki sana mtumishi
Nakosa cha kusema🥺🥺
Kaka umenikumbusha ktu kwenye goma lako🌟🌟🌟🌟💥💥💥💥💯💯💯💯💯
🎉❤ubalikiwe sana
Nausi sahau ule dada alie kuwa nakulipia nauli kipindi kile chamwanzoni
Amen amen mtumishi Obby alpha, kazi njema sana hii brother yaani ni zaidi ya ujumbe! ❤🎉
Ila mchungeni huyu dogo asipeane mkono na mwambino,atamuambikiza,vya p didy
Wimbo mzur sana kwa ushauli wangu
🎉🎉🎉🎉 pokea maua yakoooo
Wow Mungu abariki kaz ya Nikon yako kaka Obby
Mungu anazidi kuwa mwema sana familia
So nice ❤❤💓💓💝💝💗💗💖💖💕💕💕💞💞💟💟💕💖💖💗💗💗💗💗 yan nasikiliza kila saaaa Dah be Blessed
Mungu akubariki sanaa My Brother kwa huu ujumbe 🎉
Amina sana hujakosea kazi nzuri pia🎉🎉🎉
Ninaisubiria.
❤❤❤❤❤❤ Sina maoni,ila ni maupendo tuu
Ni kweli kabisa hakuna mtu anayetamani kupita katika shida za hii dunia lakini kwa kumtumaini Mungu pekee tunashinda... Be blessed profes
Mungu ATUBALIKI ❤
Broo wimbo unanigusa sana ubalikiwe
Huu wimbo umenibariki Sana aisee 🔥🔥🔥
Tuko pamodja congo lubumbashi🇨🇩
Amen nitachunga kinywa changu,,,God bless you 🙌🙌
Yaan Mungu ametuletea obby kama zawadi nabarikiwa kwa kila kazi yako yaan
Any Kenyan? Please let's show love 🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤
❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤
Asante sana kk huu wimbo hume nifunza sana kk mungu akuzidishiye ❤
Nawewe una imba u na three song cool my brother❤❤
Aise tumbo la mama yako na libarikiwe
Roho mtakatifu kahusika hapa ,ubarikiwe mno obby alpha na Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vya juu zaidi🎉🎉
Amen MUNGU amuweke mahali pa juu zaidi
Amen
Obby Alpha may God bless you for your songs it touches many soul
Vibaya
One of My Fav Song 🎉
May GOD bless Obby🙏
Nazipenda Sana nyimbo zako kaka kila naposkiliza nafarijika Sana na kubariki moyo wangu
Kaka we ni international gosple huu wimbo nimejifunza kitu
Obby una furaisha moyo wangu sana. Mpaka naitaji kuimba nawewe. Hapa Drc nakufuata sana. Mungu akubariki
Kazi nzuri mtumishi
Ngoma Kali sana natamani sana kuimba na wewe please
Ni wimbo mzuri sana
Ameeen na kuelewa sana obby good song.❤❤🎉🎉
Amen barikiwa mno my brother
I really love your songs they inspire me alot .God bless you 🎉
Amen brother barikiwa sana 🙏
Ummenyee mwamposa umetisha sana mdogo etu nyimbo inaujumbe safi sana
Obby alpha Mungu akubless sana uendelee zaidi, 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hakika nimebarikiwa na huu wimbo na pia umenitia moyo sana ❤❤🎉
Obadia mwanangu huo wimbo umenikumbusha mbali sana mwanangu kumbuka kile kipind MUNGU akubariki sana akuongezee zaid mwanangu
Barikiwa mtumishi
Mapenzi ya Mungu yatimizwe kupitia wimbo huu ❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri saaana nmeusikiliza kwa zaidi ya masaa 8, Mungu amehusika ktk wimbo huu. Nmefurahi kumuona mwamposa wa kwenye bunji
Tusisemane vibaya na tusiombeane vibya in Jesus Christ name Amen, lesson well learnt,God bless you more ,🇰🇪
Napenda San nyimbo zako kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢❤❤❤❤
Endelea kufanyika balaka kwa watu wa mungu na mungu akubaliki sana ndugu good song ❤❤❤
you never disappoint ogaa, Mungu akutunze uzidi kufanya baraka kwa wengi kupitia karama aliyokupa.
Balikiwaaa🎉
Nakubali sana mapema2 ushatuletea video
Tusiombeane mabaya ni ujumbe wa maisha ya kila siku, asante obby alfa kwa uandishi huu Mwenyezi Mungu akupe maarifa zaidi
kaka nakukubali sana. Mungu akubariki
Wimbo mzuri na video imependeza, kazi tumeikubali hapa 🇰🇪🇰🇪
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐤𝐚𝐤𝐚
Very good song UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU OBBY ALPHA
Wimbo mzuri sana barikiwa sana kaka obby
Wimbo mzuri sanaa barikiwa sanaa kaka obby
Unyama bro
Wimbo unagusa mpaka kwenye moyo,hakika huu Wimbo umegusa engo ya maisha yetu ya kila siku na ninaamini kupita wimbo huu kuna wengi watakuja kwa Yesu.Mungu azidi kukupa mafunuo makubwa kwenye huduma yako.
Brother barikiwa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ si kuanguvu zangu🎉🎉🎉❤❤ Amen amen
Wimbo mkali sanaaa aisee
Obby 🎉
KUBWA SANA HII KAKA 🙌🙌
Go more higher kk hii ni baraka tele🔥🔥📌🙌🙏
Hakika ni kwa neema having tulivyo tusiombeani mabaya❤❤
Tujifunze kuwa eshimu wengine bila kujali ni maskini au tajiri, ni wakubwa au wadogo zetu . Mgawa riziki ni Mungu 🙌🏽🙌🏽❤️
Ameeni Barikiwa sana kaka hakika hatujui kesho yetu ujumbe umekaa vyema Sana sana 🎉🎉🎉
Weka akiba ya maneno yako utanishukuru baadae🙏🙏
balaa Message
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 weka akiba ya maneno yako utanishukuru Badae #Vibaya
Asante mungu kijana anatumika vzr nabarikiwa sana na nyimbo zake
WENYEJI WA JIJI TUNAELEWA SANAA 🎉
Fire fire 🔥
❤❤❤❤,nice one 👍👍
Yakikufika utanielewa ...🎉🎉🎉❤❤❤
it's song's amezing my brother 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💔
Kaka Barikiwa sana Mungu azidiiii kukupa maharifa zaid ❤❤❤ nyimbo inamafunzo sana
Broman broman remain blessed massive work
I like it 💯✔️Neema ya mungu isiwapungukie mdumu ktk hilo pendo la kristo yesu✍🏿💯
May God protect your talent broo coz kunawengine hupoteza miito kama hii and keep on praying broo
HOT HIT🎉🔥🔥
Mungu akutie nguvu uzikutoa nyimbo Bora zaid
Blessings with u mtumishi Obby 😇😇
Obby kongole kk ❤️
Kazi safi mtumishi
Barikiwa sanaa kaka obby ujawai kukosea unakitu kikubwa sanaa
Woooiiiihh jamani kaka yangu miee ❤❤❤
Nice song🎉more Grace Obby
Good song hakika kazi iendeeleee
Amen brother keep it up!!
Ni rahisi sana kuelezea mapito ya mtu ila yakikukuta Huwa ni maumivu makubwa jamani tuombeane mema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Obby message 🔥🔥🔥
Video 🔥🔥🔥
Wimbo hata bila kuskiza video inafikisha message. Keep it at the top always na God azidi kukubless. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My God its on repeat
Mungu kuinue saidi naakulinda uwende mbali sana
Wimboo uuu umenigusa sana 🙏🙏🙏
Actors siwadai 🎉❤
Ugonjwa.....,weh sikia kwa jirani,ukigonjeka utanielewa
Mungu azidi kukukuza kaka mkubwa
Hongera kwa nyimbo nzuri 🎉