Watoto wa mitaani kaunti ya Kisumu walishwa bure

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 เม.ย. 2023
  • Watoto wa mitaani katika kaunti ya Kisumu hii leo walifaidi vipimo vya afya na chakula cha mchana kwenye maadhimisho ya siku ya watoto wanaoishi mitaani. Katika hafla iliyoandaliwa katika uga wa Jomo Kenyatta hii leo, watoto hao aidha walipewa ushauri nasaha kuhusu utumizi ya mihadarati na umuhimu wa kuzingatia usafi.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น •