Jinsi vijana wa Mulot wanashiriki wizi wa pesa kupitia mtandao
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
- Mji wa Mulot katika kaunti ya Bomet unajulikana kuwa na wezi wa pesa mtandaoni kupitia simu,wahusika wengi wakiwa vijana wanaokosa ajira wenye umri kati ya miaka 14 na 35. Ili kubaini kiini cha uhalifu huo, mwanahabari wetu Aron kipkoech alitagusana na wakazi wa eneo hilo na kutuandalia taarifa hii.
They learnt from their master...
Ruto aliwambia kuna kazi mtandaoni
Shenzi
mwizi @@user-ch9ei7hp4c
@@user-ch9ei7hp4cWatoto wa Zakayo na Wheelbarrow wanateseka 😂😂😂😂😂😂
@@user-ch9ei7hp4cmwizi wewe
😂😂taptengele ndio hiyo sasa bt this people has been with this manners seens then kama sio kuiba ngombe NI wizi WA kimabafu ,na sai wako na jemedari ruto
he went upto form 2 and lacked school fees yet Ruto has reduced school fees Capation from 22K to 12k, making Education for the rich only
Kenyan Yahoo boys?
Kenya Kwanza… what happened to free education??
President Mwizi watu wake watupore pia 😢
Ata wewe ni mwizi tu😊
Si wakipelekewa ICT ndiye maarifa itazidi kupita kipimo.
Wakiwa hawana masomo ya ict Wana uwezo wa vunja pesa ya Kwa simu ya wenyewe.
JE' wakipata shahada ya ict la zaidi si watavunja hata mabenki Kwa taaluma ya wahuni walio nayo.
Heri maarifa cache, shida chache 😅
Ruto backyard
Shenzi wewe mwizi ni mwizi
Hiyo nikazi ruto alisema iko kwamtadao
The same serikali mlipigoa kura ahsubuhi na mapema!!!
They are following Ruto footsteps
Nipewe connection sasa
My home town, na nimesota hivi? Who be witched me😭
Hii ndio wanaita online jobs. Pamoja na scamming foreigners
Digital jobs😂😂😂😂
Wajiga sana
Taptengelei apa unafinya computer dolar😂😂
Kaptengelei 😅
waizi kama Ruto
He's their role model
Ruto ni President.
@@harrynjengankt
@@wycliffepoet5201 Zoea! For 3 more years.
nikufinya to laptop na kutoa Dollar🤣🤣🤣
Wapelekwe ISHT
Swabers😢
Muajane na mulot😂😂
😢my home
Sasa mmetangaza nini. Mkona evidence?
Kwendeni huko
mboka ni mboka what did you expect Kenya KWanza motto
GEN Z 😢
😂😂akili mkuu
Wako sawa
Watu ya pomet mtatuonesha mambo
Kalenjins ni wezi
Most of those guys have a strong kale accent😂
Mulot thieves year in year out. Keani hawashikwi?🤔
Taptap
Effects of unemployment
Shida.ni.serikali.bona.uja.fatiliwa.hiyo.majengo.ili.izaide.vijana.manye.ku.anza.na.kuwacha.indie.ame.tegeneza.mahali.ya.jijifija.badala.ya.kuji.funza.mafanikio.maisha.
Wewe ulisomea wapi hata kuandika hujui
Bonface nakuona 👍
Wakienda prison wakitoka wanaja na ujuzi zaidi
Ok. Tumewaona
Kama si mashamba ni mtandaoni.
Wanafinya tu zikitoka. System ya majambazi.
Big shout out to mulot🎉
Focus on the main theif .. hizi ni side quests
Bora kazi ,,
Did I see moi.? 😂
The new yahoo boys of kenya😂😂
Kazi ni kazi
Wanatoa pesa juu...hewani. Wueh
🤣🤣
KOROM😅
Ghasia nyinyi
How can a man present news with his wife???
😂😂😂😂 mulot
🌇 sunset😂😂😂
Mulot sounds nice for yahoo boys network.,...not good
Huko ndio naenda kuishi
We need jobs 😭😭
😂😂😂😂😂
Ni ujanja gani wanatumia. Mtu anichanue vile wanafanya
Useless
Inaitwa kufinya na kutoa dollar
The zero click 😂
Ict experts ...Ukipita hapo weka flight mode