Gavana wa Kisumu asema hatawalipa wahudumu wa afya mishahara

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Gavana wa kaunti ya Kisumu Anyang’ Nyong’o amesema kuwa serikali ya kaunti hiyo haitawalipa mishahara madaktari wanaoshiriki mgomo.

ความคิดเห็น • 16

  • @PeterNgige-tw4ey
    @PeterNgige-tw4ey 5 หลายเดือนก่อน +4

    Madakitari wasilipwe wamezoea kuimbia wagojwa sana napia dawa za serkali wanapeleka kwa ma chemestries zao ama wanauza madawa ya serikeri

    • @peterkibiro3978
      @peterkibiro3978 5 หลายเดือนก่อน

      bro sisi wana inchi n waginga sana madaktari wapewe haki yao coz uwa wanafanya gd job apo kwa kuiba dawa n sha wai skia but situ wafanyie maadamano wenye kuiba sio wote wezi apo eti wasilpwe ndoo iyo n wizi na viongozi wengi wenye wako kwa selikali na opposition wame hongwa

    • @georgeodhiambo2118
      @georgeodhiambo2118 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@peterkibiro3978Wewe wenzako wakisoma wakuwe madaktari wewe ulikuwa unalisha ngo'mbe😂😂😂😂😂

    • @peterkibiro3978
      @peterkibiro3978 5 หลายเดือนก่อน

      @@georgeodhiambo2118 kama ivyo ndio ume ona u comment n sawa

    • @Kosiwa
      @Kosiwa 5 หลายเดือนก่อน

      GoodJob kutibu wagonjwa ni kazi mzuri kugonjeka ni kitu muhimu kwako bas gonjeka walipwe vile wanataka.​@@peterkibiro3978

    • @jamesngunjiri1215
      @jamesngunjiri1215 5 หลายเดือนก่อน

      Ati hakuna madactari nani anakwabia usikunje mdy mutaona. Murudi kwa izo clinic zenyu.

  • @jmmtm
    @jmmtm 5 หลายเดือนก่อน +1

    So strikes are on going because there's no enough doctors in Kenya. May God see you if that's how a person calling him a doctor. Conflict of interest. I know government won't give up, no salary increase.

  • @AnthonyNduati-l9s
    @AnthonyNduati-l9s 5 หลายเดือนก่อน

    Says the lord

  • @Kenthewinner
    @Kenthewinner 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asipowalipa, hizo pesa watapeleka wapi na yeye pia akumbuke hiyo ofisi ako nayo ni wananchi walimpea yeye akikosa kuingia KAZI Nani huwa anamuliza

    • @AnkoLolo-mv5bk
      @AnkoLolo-mv5bk 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa mayatima

    • @peterkibiro3978
      @peterkibiro3978 5 หลายเดือนก่อน +1

      good question I support yu 100

    • @peterkibiro3978
      @peterkibiro3978 5 หลายเดือนก่อน

      @@AnkoLolo-mv5bk sio kwa ubaya but jua venye una sema eda mahali ugiite kamukutano please

  • @JanetDavid-jk2jr
    @JanetDavid-jk2jr 5 หลายเดือนก่อน

    They should not be paid.

    • @unrulyme5410
      @unrulyme5410 5 หลายเดือนก่อน

      😂ww unataka watu wafanane na shida zako kama hauna pesa sisi wengine acha tutafute acha kutuletea