"MSIGWA FUNGU LA KUKOSA" MCHUNGAJI MWAMBELO AMVAA MSIGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • IPINDA ONLINE TV....Asante kwa kuchagua Ipinda Online Tv........usisahau kusubscribe Chanel yetu

ความคิดเห็น • 53

  • @Mwamalejr-wg7pt2xm8n
    @Mwamalejr-wg7pt2xm8n 2 หลายเดือนก่อน +26

    Wale wanao ipenda chadema likes hapa✌️✌️

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน +1

      They don't even know what Saccos is. It's only about propaganda

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      They don't even know what Saccos is. It's only about propaganda

    • @salomeshongola1697
      @salomeshongola1697 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏✌✌👏👏

  • @marakidtz9454
    @marakidtz9454 2 หลายเดือนก่อน +12

    Msigwa Hana Uchungaji wowote

  • @nazarethmwakipembe3246
    @nazarethmwakipembe3246 หลายเดือนก่อน +3

    Asante mchungaji MWAMBELO

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo msigwa kaferi sana bora hata angepumzika siasa.achunge kondoo wa Mungu tu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 หลายเดือนก่อน +2

    WELL SAID MCHUNGAJI MSOMI 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w หลายเดือนก่อน

    Uko sawa pastor

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 2 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa nakushauri ufanye siasa za kistaarabu kwakuwa umehamia ccm piga kazi za huko usiwaponde chdm unatakiwa uwasaidie wananchi kwa kuyasema yale yanayokera wananchi kama kikokotoo, mikataba mibovu, katiba mpya, tatizo la watu kutekwa au kubambikiziwa kesi, ugumu wa maisha nk. Usipoteze muda kuiponda chadema. Watu wanahitaji kusikia kauli juu ya hayo.

  • @amanisanga3251
    @amanisanga3251 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uko sahihi baba

  • @FortinathaMvikule-cm1im
    @FortinathaMvikule-cm1im 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mtumishi umesema kweli ubalikiwe Sana

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up หลายเดือนก่อน +3

    Mbowe tunamjua .......Msigwa akisema atazunguka nchi NZIMA kumsema vibaya anajisumbua😂😂😂😂 ...atatapika alivyokula KUTOKA CCM

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ushamba na njaaaaaaa, rushwa !!!!!!!!!!. Ndo mwisho wa umaarufu. Hata waamini wake wamejua mahubiri yake ni ya hovyo kuliko mavi

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa ni mhuni km wahuni wengine duniani, ana mdomo wa kuropoka lakini elimu ya vyeti ambayo ingemsidia kuwa critical in thinking, hana.

  • @user-ux5nc3uo5m
    @user-ux5nc3uo5m 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nikweli. Msigwa. Hana. Akili. Njaaaa imekimbilia. Kichani. Atajutta

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 20 วันที่ผ่านมา

    Mwenyekiti wetu freeman mbowe ni mti wenye matunda na ni nguzo ya chadema, wamseme vibaya watanzania tunamheshimu mbowe kwa maisha ya sadaka kwa taifa letu, amefungwa kwa ajili ya taifa letu amefilisiwa kwa ajili ya watanzania. Tumpuuze msigwa

  • @timothchidebwe
    @timothchidebwe 2 หลายเดือนก่อน +5

    Msigwa .na upendo .nawaomba .msikubari .kutumiwa .na.watu .walioinyonya .nchi

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 หลายเดือนก่อน +1

    msigwa nikama alihumia sana kukosa cheo, mpuuzi sana hana sifa ya uongozi kabisa anaropoka ovyoo

  • @ISDORYCOSTANTIN
    @ISDORYCOSTANTIN หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea point msigwa mpumbavu tu sio mchungaji

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 2 หลายเดือนก่อน +3

    CHADEMA imejiimarisha zaidi Sasa kuliko wakati wowote tangia kisajiriwe na kimekubaliaka kila pembezoni mwa inchi,

  • @ERNESTSuleiman
    @ERNESTSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo pastor umesema pointi huyu msigwa nimsaka Tonge kupoteza dira

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 หลายเดือนก่อน

    Msigwaaa mmmh!!

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa ni muhuni tu njaa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 25 วันที่ผ่านมา

    Asiyekubali kushindwa siimshindan msigwa angekubali tukushindwa. SUGU ATAPITA BILA KUSHINDWA CHADEMA KUNA WATU WAELEWA. SANA CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEE.

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t หลายเดือนก่อน

    Ahsante baba mchungaji

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf หลายเดือนก่อน

    Msingwa mchungaji gani huyo boya tu mm simpendi kabisaa ila mungu yupo Hana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Siyo kuwa ni mchungaji sijui kama ni mpaka mafuta. Hana upako wo wote. Kama angekuwa mpaka mafuta angesema kama mchangaji wa Mungu.

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 หลายเดือนก่อน

    Wewe umeongea vizuri na unamzidi hekima huyo Msigwa mpiga mayowe...

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 หลายเดือนก่อน +3

    Msigwa na Peneza mjitafakali mwombe radhi mrudi CDM kama walivyofanya akina Nyalandu na Sumae

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 หลายเดือนก่อน

    Vyeo tu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 หลายเดือนก่อน

    Cyo mtumishi wa mungu bhana toka hapa

  • @meshackgelson672
    @meshackgelson672 หลายเดือนก่อน

    Msigwa tapeli ,Hana uchungaji wowote hovyo kabisa hafai kuwa kiongozi tena

  • @mohamediyusuph5527
    @mohamediyusuph5527 หลายเดือนก่อน

    Chadema mwacheni msigwa awaseme

  • @marakidtz9454
    @marakidtz9454 2 หลายเดือนก่อน +2

    Saf

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Najua umwenyekiti wa Kanda wanyasa upon kwajili ya msigwa

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 2 หลายเดือนก่อน

    Anasahau aliko toka

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 หลายเดือนก่อน

    Nakushauri tena msigwa rudi o.ba radhi wanachadema ujijengee heshima kama akina sumae na Lowasa na Nyalandu walivyofanya kwa usitawi wako na familia yaki

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri หลายเดือนก่อน +1

    IVI NYINYI WACHUNGAJI NA CHADEMA KUNANINI NYUMA YA PAZIA MNAPOTEZA IMANI YENU UMINI WENU WRWE MCHUNGAJI ICHO CHAMA CHAKO KINAUDINI NA UKABILA

    • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
      @AlphaxardMRusweka-jr1wi หลายเดือนก่อน

      Wewe kinachokusumbua ni nini ? Kwani wewe huna Dini ? Huna Kabila ? Mbona wewe huko uliko,watu wa familia moja ndo hao hao,wanaochaguana,baba rais,mtoto waziri,mama mbunge ,na wote ni WA dini moja ? Jiulize kwanza kwenye chama chako .

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 หลายเดือนก่อน

    Me hata kumsikilza huyu msigwa sijamsikiliza anajisumbua tu

  • @NicholousViper28
    @NicholousViper28 2 หลายเดือนก่อน

    Uko napo ata ama, muepukane na watu wanaohamahama,

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 20 วันที่ผ่านมา

    Sina tatizo na kuhama kwa msigwa ni haki yake ila pumba anazoongea baada ya kutoka nina thibitisha hana akili, aige south afrika froyd shivambu amehama eff amehamia mk party bila kumtukana malema,

  • @gerphasntaziha4475
    @gerphasntaziha4475 หลายเดือนก่อน

    Kwani msigwa ameenda CCM kikanisa au kisiasa? Jamani Kabila tu na ukoo ndio huwezi kuhama, ila vingine vyote waweza kuhama, mbona mwaumia alipoamua kusepa zake? Cdm mbona m/kiti wa milele ni mbowe? Msigwa kaongea ukweli. We mchungaji pia unatapatapa.

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga หลายเดือนก่อน

    Mwelewehe huyu jamaa baba,yaan no mpuuzi kwel,anaongea tope mbovu huyuu.

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l หลายเดือนก่อน

    Mm huwa nasema iwe kweli mbowe ana matatizo lakin ndo uzubguke nchi nzima kwa sabab ya mtu 1 haya na hao wengi ambao wanomuamin mbowe wananchi sikuweka ftina hapo km umekwaruzana na mmoja malizana nae siri hapo mjuwe keshakula pesa za watu ccm wanazan mbowe kajiweka husema maalim seif alikubalika ccm wakawa na ftina km hizo

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 2 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa Katina imetungwa upya CCm wangekuwa wanacheza ndondo cup!

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv หลายเดือนก่อน

    Amebeba nja kwenye mfuko wa Rambo eti akili kubwa haingozwi na akili ndogo yako wapi?

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tushirikiane kodi na tozo zinatupa magonjwa mengi hawa viongozi mm najiuliza wanashida gani hawa? Kwani nilazima tujenge mabarabara kila mwaka ? Ccm tuhurumieni tumechoka sn tumeona uongozi wenu hauwezi kutufikisha popote hamna mbinu Jamani tuachieni nchi yetu pumzikeni tumechoka sn