AFUNGULIWA NA KUTOKA KWENYE LAANA YA FAMILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2021
  • Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
    Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
    / bishopelibarikisumbe
    / bishopelibariksumbe
    Website
    Vukayordani.Org
    LIKE | COMMENT | SHARE.
    UBARIKIWE.
    #VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

ความคิดเห็น • 44

  • @user-ie8ym8eo9k
    @user-ie8ym8eo9k 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze mtumish Kwa ajil yetu na vizaz vyetu AMINA🙏🙏

  • @neemakalonga138
    @neemakalonga138 ปีที่แล้ว

    Watumishi wachache sana! Duniani wenye moyo kama huu wa Bishop Sumbe... Duuuuh

  • @liliannaseriannaserian4850
    @liliannaseriannaserian4850 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba kufunguliwa vifungo nimetupiwa naamini inawezekana kwajina la yesu

  • @richardkigeso
    @richardkigeso ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa kumponya uyu biti,
    Na mm naomba uniguse na mm

  • @francinemusamba1314
    @francinemusamba1314 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni funguwe nami

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 2 ปีที่แล้ว +2

    Anapofunguliwa huyu nami nafunguliwa kwa jina la YESU kristo mwana wa MUNGU alie hai...🙌🙌🙌🙌🙌🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 2 ปีที่แล้ว

    Mungu pia nipiganie amen

  • @GenevieveNYAMBUGA-wf2ei
    @GenevieveNYAMBUGA-wf2ei 11 หลายเดือนก่อน

    mungu aliye kwita akulinde mutumishi.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +5

    Duu Woote mlioguswa kwa ajiri ya binti huyo Mungu azidi kuwapa zaidi

  • @daynessmungnaombuniponyema4872
    @daynessmungnaombuniponyema4872 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no za huy mtumishi jamn

  • @jackline1508
    @jackline1508 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @hamadiseleman3677
    @hamadiseleman3677 2 ปีที่แล้ว

    Hakika MUNGU ni mwema mungu akuongeze nguvu uzima na rehema mtumish wa Bwana

  • @gabrielkahindo202
    @gabrielkahindo202 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu wangu uniokowe na mimi Pia,Amen !!!!!!

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 2 ปีที่แล้ว

    Ondoa roho za kisasi ndani yangu JEHOVAH MUNGU...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aminajemus9667
    @aminajemus9667 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi mungu akizidishie kipawa na akupe maisha malefu

  • @damasjoachim4451
    @damasjoachim4451 ปีที่แล้ว

    Powaaaaaa

  • @edithaerro3654
    @edithaerro3654 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Baba

  • @charlesmatesorehani5012
    @charlesmatesorehani5012 2 ปีที่แล้ว +1

    Pasta barikiwa saana kwa kazi zako njema 🙏🙏

  • @tabithajeremiah2657
    @tabithajeremiah2657 3 ปีที่แล้ว

    Nimeoumia sana hadi machozi Mungu turehemu sisi watoto wako maana hatujui koo zetu zilifanya maagano gani kwa shetani.

  • @iriborifrancine4922
    @iriborifrancine4922 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akunariki baba sumbe namimi nagonja lakini maamini mungu ataniponya niko Rwanda

  • @freedomlifeministry2016
    @freedomlifeministry2016 2 ปีที่แล้ว

    I like the spirit...may the Almighty God grant you more and more Grace...from Kenya

  • @tinakamb1666
    @tinakamb1666 2 ปีที่แล้ว

    Mungu a kubariki mtumishi

  • @anabeljas2616
    @anabeljas2616 3 ปีที่แล้ว

    Wow mungu akubariki sana mtumish wa mungu

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amsaidie Ili afanikiwe

  • @manisobblowi8894
    @manisobblowi8894 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Baba

    • @damasjoachim4451
      @damasjoachim4451 ปีที่แล้ว

      Mungu azidi kudhihirisha kupitia Prophet Elibarki Sumbe

    • @manisobblowi8894
      @manisobblowi8894 ปีที่แล้ว

      @@damasjoachim4451 Amen

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

    Wazazi wetu kweli wanatenda mengi ili kuharibu Familia hapo nakuelewa Pastor

  • @irenemuriithi3478
    @irenemuriithi3478 3 ปีที่แล้ว

    Those the son of God sets free are tree indeed!

    • @lilianadisa1986
      @lilianadisa1986 2 ปีที่แล้ว

      Jamani hata mimi niko hivyo hivyo tu, wiki moja tuko sawa wiki nyinginw hatuko salama naomba maombi kwa kweli niombee muchungaji,

    • @gracejulius4752
      @gracejulius4752 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu,nataman siku moja kushiriki ibada kanisani kwako

  • @stymewert7681
    @stymewert7681 2 ปีที่แล้ว

    Unapo funguwa wangine namimi nawomba nifunguliwe

  • @daudijohni9644
    @daudijohni9644 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mwenye namba ya mchungaji Wa dar anisaidiee

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +2

    Lakini Mungu anatuonea watoto Kwa nini turithi Laana za Wazazi wetu??wakati neno la Mungu linasema kila mmoja atauchukua mzigo wake??

    • @marthawerema4672
      @marthawerema4672 3 ปีที่แล้ว

      Wapendwa hakuna raha katika dunia hii ya dhambi kama wew ni mzima mshukuru MUNGU sana kwan kuna watu huteseka sana

    • @hamiafasta
      @hamiafasta 2 ปีที่แล้ว

      Ila baraka unataka kurithi au

    • @eucabethkalia9536
      @eucabethkalia9536 2 ปีที่แล้ว

      Please let me naomba naomba ya simu

    • @eucabethkalia9536
      @eucabethkalia9536 2 ปีที่แล้ว +1

      Naomba unitumie namba ya simu

  • @lulupearl8109
    @lulupearl8109 2 ปีที่แล้ว

    May God less you bishop

  • @lazarodoma6666
    @lazarodoma6666 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba

  • @hgcbj635
    @hgcbj635 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @nanjalaelizabeth2973
    @nanjalaelizabeth2973 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 3 ปีที่แล้ว

    Amen