HOUSE BOY /1/ 💔 Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 195

  • @user-ek5nz6eq5g
    @user-ek5nz6eq5g 9 หลายเดือนก่อน +79

    ❤❤❤ from Kenya hii n movie nyngine mmeanza bt ushauri wngu mmi mgemaliza kwnza Ile y kijana muuza maji

    • @user-jo7wr4gs3k
      @user-jo7wr4gs3k 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli niwamalizie

    • @user-fk8vn8pi9l
      @user-fk8vn8pi9l 9 หลายเดือนก่อน +1

      Zuri Sana ❤ lkn kijana muuza maji iendeleee

    • @AnnaMmassy
      @AnnaMmassy 9 หลายเดือนก่อน +1

      Fact

    • @user-jf9pt8bu5j
      @user-jf9pt8bu5j 9 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂 wakona chanel mbili wanapost kila mahali muzak maji itaendelea tu

    • @user-ke3uz6ot2b
      @user-ke3uz6ot2b 9 หลายเดือนก่อน

      From Kenya endeleeni tu

  • @AminaQaiss
    @AminaQaiss 9 หลายเดือนก่อน +32

    Kusema kweli wa Kenya niwengi humu ndani😂❤❤❤🎉like kwa wingi one love

    • @MosesNiyonzima-f4g
      @MosesNiyonzima-f4g 2 หลายเดือนก่อน

      Eeeeeeh Nasi wana Ugandan tuko wengi kuliko wana kenyan a

  • @jenipherjames5336
    @jenipherjames5336 9 หลายเดือนก่อน +86

    Sijawahi kupewa like hata moja 😢

    • @mumyelias6093
      @mumyelias6093 9 หลายเดือนก่อน +3

      😅 wwe ndo mmi ssa

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu 9 หลายเดือนก่อน +1

      Haya chukuwa iyo,,,ucjali

    • @animtres
      @animtres 9 หลายเดือนก่อน

      Unafanyia nini hizi likes? 😂😂

    • @Vaishirima
      @Vaishirima 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@animtres😂😂😂😂😂

    • @Vaishirima
      @Vaishirima 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@animtresanakula😂😂😂

  • @halimamohammedsuleiman5159
    @halimamohammedsuleiman5159 9 หลายเดือนก่อน +11

    Kazi nzuri nawapenda bure kutoka kenya

  • @user-ld6hf7rm3b
    @user-ld6hf7rm3b 8 หลายเดือนก่อน +2

    KK kelvin kz n nzul sana mwenyez mungu awajaalie zaid mutoe nakaz zngne ambazo nnzul na nbola dhaid.

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 9 หลายเดือนก่อน +15

    Khani Malizia Move Kijana Watu Usituchanganye From Qatar❤❤❤❤

  • @user-ir9xj5yt5p
    @user-ir9xj5yt5p 9 หลายเดือนก่อน +9

    Kz nsmzuri move nzuri sana,hongereni ❤❤❤nawapenda bure nyote

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 9 หลายเดือนก่อน +21

    Wanawake mmeskiya mwanaume asiyefanya kazi kitandani asiwekewe maji yaluoga😂😂😂 imeenda iyo 🎉🎉🎉

    • @HappyMbonye-im5nj
      @HappyMbonye-im5nj 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂Hatariiii

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hiii imeenda🎉

    • @user-cz2sm9pt5d
      @user-cz2sm9pt5d 9 หลายเดือนก่อน +2

      Awekewe maji kwa kazi gani amefanya

    • @AminaOmari-ye6cq
      @AminaOmari-ye6cq 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅hii imeendaaa kbxaa

    • @NzeyimanaKhadidja-iv2bo
      @NzeyimanaKhadidja-iv2bo 4 หลายเดือนก่อน

      Wangu ajichanganye

  • @NajmaMussa-rj4wg
    @NajmaMussa-rj4wg 9 หลายเดือนก่อน +21

    Wanao ona kitanda uwa ni kile kimoja wanaekitia tujuane

    • @georgeemanuel2315
      @georgeemanuel2315 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅

    • @augastermbesigwe785
      @augastermbesigwe785 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kabsaaaa

    • @user-tn1xb3rr3g
      @user-tn1xb3rr3g 9 หลายเดือนก่อน

      We angalia muvi tu hayo mengine hayakuhusu

    • @user-uo2mnNAJMA
      @user-uo2mnNAJMA 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-tn1xb3rr3gumeongea point

  • @Thekasukusfam
    @Thekasukusfam 9 หลายเดือนก่อน +18

    It’s lit 🔥 love from Kenya 🇰🇪 🇹🇿

  • @veronicadaniel9683
    @veronicadaniel9683 9 หลายเดือนก่อน +9

    Jamni mimi naomba mmalizie ile ya kijana maskini mnaanza kutuchanganya kazi zenu nzuri ila jitahidini kutoa kila siku tuenjoy

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 9 หลายเดือนก่อน +18

    Wa Kwanza from Kenya❤❤my likes please❤

  • @user-sp1qi7xi9c
    @user-sp1qi7xi9c 9 หลายเดือนก่อน +18

    Love you guys watching from Kenya

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 9 หลายเดือนก่อน +9

    Wa 7 naomben likezangu

  • @EsterMutabazi
    @EsterMutabazi 9 หลายเดือนก่อน +5

    Daaaa!boss ametsha kinoma

  • @user-tw9cb4gp9y
    @user-tw9cb4gp9y 9 หลายเดือนก่อน +8

    Icho kitanda wabadilishe kila movie niicho tu aaah

    • @mauabahati
      @mauabahati 3 หลายเดือนก่อน

      Asante tupo pamoja 😀

  • @user-co4ii6gb9s
    @user-co4ii6gb9s 9 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤from Kenya 🇰🇪 I love this movie

  • @francoismushambaro
    @francoismushambaro 9 หลายเดือนก่อน +9

    From congo 🇨🇩 mumalizie kwanza kija muuza maji

    • @user-gp8vp3ow2p
      @user-gp8vp3ow2p 9 หลายเดือนก่อน

      kweli wanatuchanganya

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 9 หลายเดือนก่อน +13

    Good work ❤ Kenya 🇰🇪

  • @user-vr6xq2lr2g
    @user-vr6xq2lr2g 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mnatuchanganya kwanini kijana mhuza maji amjamaliza mtumalizie kwanza moja moja

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 9 หลายเดือนก่อน +17

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-wr7ro1ww4z
    @user-wr7ro1ww4z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mambo ni 🔥🔥

  • @marympoki
    @marympoki 9 หลายเดือนก่อน +6

    Malizieni ya kijana muuza maji kwaza jamani

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 9 หลายเดือนก่อน

      😊watamaliza kwani munashidagani sinaweka nazingine jamani inamana hamupendi 😅

  • @AlvinSakwa
    @AlvinSakwa 9 หลายเดือนก่อน +15

    🎉🎉❤❤ good job love from Kenya

  • @minaelpaul9219
    @minaelpaul9219 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nelly bwn boss gan hata nywele huweki vizuri

  • @jacklineminja-fg9ji
    @jacklineminja-fg9ji 9 หลายเดือนก่อน +11

    Huyo boss mwenyewe anakuja kwa miguu halafu anafoka kuhusu geti😂😂

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 9 หลายเดือนก่อน +7

    Nelson sekta ya umaraya inampendeza

  • @nurucinemax
    @nurucinemax 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wakenya wengi sana Kwa comment wapi like zao❤❤

  • @user-ko4in4uy1u
    @user-ko4in4uy1u 9 หลายเดือนก่อน +5

    Amazing Movie ❤❤🇧🇮🇧🇮💯💯💯🇸🇦🇸🇦🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 8 หลายเดือนก่อน +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @user-fi7mi5po8p
    @user-fi7mi5po8p 9 หลายเดือนก่อน +1

    OMBENI toka Congo jamani mungemaliza kwanza ya kijana muuzamaji

  • @eunice1552
    @eunice1552 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kutoka kenya jameni hio ya muuza maji kwanza haijaisha

  • @SaintPatrick-fp1ix
    @SaintPatrick-fp1ix 9 หลายเดือนก่อน +5

    Malizage kwanza ma épisode zimoya zimoya ile ya kijana muuza maji aliye tokea ku pendwa na binti tajiri bado kumaliza ma filamu sinakuwa za mingi atudjuwe twanziye wapi na tumaliziye wapi musitukere kelvin samani

    • @TAJIRICALVIN
      @TAJIRICALVIN 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂 hicho kiswahili

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wanawake Achen kukaa kaa uchi ovyio bn kila mwanaume anaona limwili lako khaaah 🙄🙄🙄🙄🙄🙄😏😏😏😏😏

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 9 หลายเดือนก่อน

      Wanchonishangaza mpakawakaeuchi jamaniiii vaeni nguo zakujistry eeeeeeeee basssss

    • @animtres
      @animtres 9 หลายเดือนก่อน

      😂mnafurahisha jinsi mnavyosahau mababu na mabibi zenye waliishi kutembea uchi na walikuwa tu na maadili na hata wanawake walifika kwenye ndoa zao na ubikira wao. Mambo yakujigubika gubika mishuka na migunia kama waarabu sio utamaduni wetu kabisa. Wanawake wakiafrika kuanzia siku za jadi, wake kwa waume, tulikuwa tu tunafunika makalio na sehemu za siri tu, wanawake nao waliongeza kwa kufunika kifua na hata kabila zingine kama huko Afrika kusini hata hawakujali kufunika matiti. Hadi wa leo wengine wanatembea vifua wazi. Ndizo mila zetu hizo. Sehemu zingine zote za mwili zilibaki wazi bila kufunikwa. Sijui mbona tunapenda kuendekeza kasumba za kikoloni. Kujigubika minguo kama maiti sio mila zetu. Ukitaka kuishi mahali wanawake wamejifunika nenda uarabuni

    • @makkamakka9171
      @makkamakka9171 9 หลายเดือนก่อน

      @@animtres lakin walikuwa hawashikwi shikwi ovyio na kila mwanaume 😂😂😂

    • @animtres
      @animtres 9 หลายเดือนก่อน

      @@makkamakka9171 hapo umesema ukweli. Siwezi kupinga kabisa. Nikidhani yafaa tu jamii yafaa ielimishwe jinsi ya kuishi kama walivyo ishi wazee wetu. Turudi kwa mfumo wa kutenga hizi jinsia. Wanaume wasikutane na wanawake ovyo ovyo isipokuwa mwa misingi maalumu. Watoto waache kupewa uhuru wa kujichagulia wachumba hiyo ilikuwa kazi ya wazazi na mzazi angehakikisha binti yake au mwanae wa kiume anapata mchumba anaestahili na wala sio tu kufata tamaa za kimwili na ndio maana ndio za siku hizi hazidumu na zimekosa uaminifu kabisa.

  • @user-cg5cz8md2t
    @user-cg5cz8md2t 9 หลายเดือนก่อน +3

    Boss mwenyewe hastahili kuwa Boss jamn, huu uboss angecheza hata kelvin au brown angeweza lakn uyu jaamaa hawez kucheza km boss, mfanye uyu boss afe arithi kelvin kwa kwel

    • @Jacklinenawet
      @Jacklinenawet 9 หลายเดือนก่อน

      🥰🥰🥰🥰🥰

    • @user-nf4ru3ol3y
      @user-nf4ru3ol3y 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂afe

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna maboss wengine hawana huruma hata kidogo yaan 😢wanajiona wao ndio wao

  • @user-vz7pk7gr2s
    @user-vz7pk7gr2s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Munajua munatuchagana sana heb nenden kama mwanzo malizen moja ndy muanzee nyengine

  • @abdoullysufian-rr7ls
    @abdoullysufian-rr7ls 9 หลายเดือนก่อน +6

    ni mwendo wa bandika bandua

  • @AwaMuderwa
    @AwaMuderwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Lavnes merci beaucoup bb Na vrement trebien ❤❤❤❤❤

  • @musamnene4790
    @musamnene4790 9 หลายเดือนก่อน +4

    kak kwem movie kal ila mnachukuwa mda mrefu kupost

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya Watching, twapenda

  • @martinnassary587
    @martinnassary587 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muvi zuri bana ongereni🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RasskinongoKinongo-ig1wd
    @RasskinongoKinongo-ig1wd 3 หลายเดือนก่อน +1

    move zenu zuri ila mnachanganya sana

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri

  • @user-le9sc8uu7p
    @user-le9sc8uu7p 9 หลายเดือนก่อน +2

    Muwe mnawai broo cku nikija dar nitawatfta make pia nakipaji ila vyombo vyakaz sn

  • @nestersanga7466
    @nestersanga7466 หลายเดือนก่อน

    Unaigiza vizuri love had nakupenda bure🎉🎉

  • @user-wx2pj3ls4p
    @user-wx2pj3ls4p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn kijana masikini

  • @mauabahati
    @mauabahati 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni movie isiyo na maadili kabisa

  • @user-ql7to3rm3p
    @user-ql7to3rm3p 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kijana muuza maji imeisha

  • @magretcosmas-xg6nz
    @magretcosmas-xg6nz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Donata tv nawakubali sana lakini mjitahidi sana kuchange location location zeni ni zile zile mfano icho kitanda mchezea kwenye sinema nyingi sana

  • @paulopaulo1194
    @paulopaulo1194 9 หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤ good job

  • @NzeyimanaKhadidja-iv2bo
    @NzeyimanaKhadidja-iv2bo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Boss mwenyewe kaja kwa miguu afu anafokea mtuu hhhhhhhhhhhh

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c 9 หลายเดือนก่อน +7

    😢😢😢 kumekucha ❤❤

  • @mtikamtika8013
    @mtikamtika8013 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kevin malizia kijana miuza maji ❤❤❤❤

  • @YusuphRama-ux6kg
    @YusuphRama-ux6kg 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nawa shaur tu kama mshabiki wenu malizen move mojamoja kwanza sorry lakn kwakuwapangia

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 9 หลายเดือนก่อน

      Iyi ninyingine chanel yao ebu kuweni waelewa

  • @SalomengandiNzungu-it5ph
    @SalomengandiNzungu-it5ph 9 หลายเดือนก่อน +6

    Apo umesema brown nimependa maneno yako yanatia moyo Kwa wapambanaji wasiokua na muelekeo kama mm😢

    • @SalmaPurity
      @SalmaPurity 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😊

  • @user-yu1ig4mh4o
    @user-yu1ig4mh4o 9 หลายเดือนก่อน +2

    malizen kwanza kijan muuza maji mnatukatisha utmu bn

  • @user-gx9gd9zc3o
    @user-gx9gd9zc3o 9 หลายเดือนก่อน +3

    Shemegi bwana wewe ksfagio😅😅😅

  • @BetinaMnyanyi-yv7lp
    @BetinaMnyanyi-yv7lp 9 หลายเดือนก่อน +2

    Si bur uyo boss anashid zak

  • @user-fm7pl6rs3i
    @user-fm7pl6rs3i 6 หลายเดือนก่อน +1

    First🎉

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉👌👏

  • @user-um5ko9wq8p
    @user-um5ko9wq8p 8 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 from India jaman wanaume mlizike na wake zenu cyo kitangatanga Kila mala

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mnatuchanganya ile haijaisha jmnn 😂😂😂

    • @samsonymwesiga-me4lg
      @samsonymwesiga-me4lg 9 หลายเดือนก่อน +2

      Muwe mnatambua na kutofautisha vitu

    • @user-jf9pt8bu5j
      @user-jf9pt8bu5j 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@samsonymwesiga-me4lg😂 jamani

    • @samsonymwesiga-me4lg
      @samsonymwesiga-me4lg 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-jf9pt8bu5j wengine vichwa vyao havijui kutofautisha

  • @mwikombekyando5364
    @mwikombekyando5364 9 หลายเดือนก่อน +1

    hawa jama sijui wakoje vipande hawamariz wanatoa vingn muwe munamarizia

  • @user-pk5ew9nh1f
    @user-pk5ew9nh1f 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-um5ko9wq8p
    @user-um5ko9wq8p 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman kijana muuza maji tunaiihiji sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-vr3rs5dt4l
    @user-vr3rs5dt4l 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa nao wanazigua

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wow nice 👍 san

  • @user-vj2wm9nw6v
    @user-vj2wm9nw6v 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉nice

  • @davidbejumula6324
    @davidbejumula6324 9 หลายเดือนก่อน +1

    maliza kwanz ya kijana muuza maji

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nelly matatani😅😅😅😅😅😅

  • @jacqueslingenieurtv9870
    @jacqueslingenieurtv9870 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kijana muza maji imekomea wapi ??

  • @kelvindeah341
    @kelvindeah341 8 หลายเดือนก่อน

    Kuwa msanii au mtu maarufu haikufanyi uanze kuiga had kujichora tatooo ona sasa ulivyojiharbu

  • @Charleskulwa-hp5ow
    @Charleskulwa-hp5ow 8 หลายเดือนก่อน

    Good job 👍

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabsa matajiri ni wagumu sana kwenye chakula yaani wana bajeti atari

  • @user-lx1kl8qw2s
    @user-lx1kl8qw2s 9 หลายเดือนก่อน

    Sijapenda boss anaroho mbaya saan

  • @VenIsac
    @VenIsac หลายเดือนก่อน

    wap hapo

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi safii ❤❤🎉

  • @user-ic8mc3bd8l
    @user-ic8mc3bd8l 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤ from Kenya nikiwa Saudi Arabia

  • @IvanLameck
    @IvanLameck 6 หลายเดือนก่อน

    Kesho yangu maliza kwanza yan unatoa baada ya cku ngap kwanza unatoa vitu bila uhakika

  • @user-le9sc8uu7p
    @user-le9sc8uu7p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan mvie kar broo

  • @najryaautbya2774
    @najryaautbya2774 9 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏❤❤🇧🇮

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @idatyqkala769
    @idatyqkala769 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmmh iiii kitu ni tamu aiseee sema brown humu brown mumempatia 😂😂😂 ila nawapenda hatareeee

  • @fellst4159
    @fellst4159 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂❤much love from kenya

  • @AngelDaniel-kr7qr
    @AngelDaniel-kr7qr 9 หลายเดือนก่อน

    Saut iko chin sanaa

  • @Fatuma56
    @Fatuma56 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona kijana muuza maji jaiendelei twataka kuona mwisho wake PLZ

  • @user-qe2uh7rh4c
    @user-qe2uh7rh4c 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur

  • @MagrethJacob
    @MagrethJacob 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nelly 😅😅😅😅😅

  • @user-oh1pe5kj4q
    @user-oh1pe5kj4q 9 หลายเดือนก่อน +2

    From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-su3qp1fn2x
    @user-su3qp1fn2x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Good job bt malizen kijana muuza maji

  • @NahimanaMariechantal
    @NahimanaMariechantal 2 วันที่ผ่านมา

    😂moyo

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 9 หลายเดือนก่อน

    Mnazinguwa nyie bwana

  • @user-ll4fz3jm5c
    @user-ll4fz3jm5c 9 หลายเดือนก่อน +2

    𝑺𝒂𝒇𝒊𝒊 𝒔𝒂𝒏❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlexRichad
    @AlexRichad 8 หลายเดือนก่อน

    Lala na upwilu wako 😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-pi2sd3xc2y
    @user-pi2sd3xc2y 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo Lenu uwa ammalizi move

  • @ramadhanihamisi2753
    @ramadhanihamisi2753 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @HafsahHassan-cz1ig
    @HafsahHassan-cz1ig 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shenayza anataka jamn🤣🤣🤣🤣

  • @user-ic4pu7mi5m
    @user-ic4pu7mi5m 8 หลายเดือนก่อน

    Ndio naanza episode 1😢 Na naona imefika episode 13

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 9 หลายเดือนก่อน +1

    Shida yenu hammalizii episode ndio mkaenda nyingine

    • @vanessaemanuel849
      @vanessaemanuel849 9 หลายเดือนก่อน

      Ila kl kwanini wasimalize epi walizozianza kisha wakafanya zingine😮