JENIFFER ALINIKATAA NIWE MPENZI WAKE - PATRICK KANUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 3 ปีที่แล้ว +26

    Diva kuongea kote English napenda Patrick anaongea kiswahili safi sana uzalendo

  • @hadijamasanja7771
    @hadijamasanja7771 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva acha kujifanya unajua sana kiingereza, kingereza chenyew unachnganya na Kiswahili.

  • @fotunathapeter2421
    @fotunathapeter2421 3 ปีที่แล้ว +11

    Kuna siku diva alisemaga hata wimbo wa taifa haujui😂😂😂

  • @clintonjoas9020
    @clintonjoas9020 3 ปีที่แล้ว +11

    Uzungu mwiiiiiingi! Haf anakwambia am not so much into swahili things! 😀😀😀😀 Kazi tunayo kufikisha kiswahili mahala pake.

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +1

      I gotcha you😆😆😆😆eti am not in to Swahili thing 😆tutamfinyaaaa..

    • @allpotentials8420
      @allpotentials8420 3 ปีที่แล้ว +1

      Aisee ni kazi Tena kazi kweli😂😂.
      Acha wakenya watunyang'anye tu wasemage Chao. Maana wenye nacho Tena nd hawa😂😂😂

  • @annastaciakiio2994
    @annastaciakiio2994 3 หลายเดือนก่อน

    This guy and jenniffer made me love Tanzania movies like crazy, I have watched all Kanumba movies just because of them.

  • @Mumbrre
    @Mumbrre หลายเดือนก่อน

    Bien vraiment

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 3 ปีที่แล้ว +3

    Am here 2nd 😍😍😍🇰🇪✔️

  • @jayfadhil8404
    @jayfadhil8404 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwanini swali la kudate linakuw mtangazaj analilazimisha kwani kama hawadate ama wanadate shida iko wap

  • @jumakivuma581
    @jumakivuma581 3 ปีที่แล้ว +4

    Ongea kiswahili wew

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 3 ปีที่แล้ว +12

    Eti hamjawahi kukisi,hee, what kind of question

  • @shangwembonea2417
    @shangwembonea2417 3 ปีที่แล้ว +7

    Diva umependeza leo

  • @kasangakabala8042
    @kasangakabala8042 3 ปีที่แล้ว +1

    Powa

  • @rehemalameck7014
    @rehemalameck7014 3 ปีที่แล้ว +9

    Dada diva ,tunaomba uongee kiswahili ,wengine kingereza hatuelewi 😂

    • @mariayegela4224
      @mariayegela4224 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣upo sawa

    • @johnnabie5445
      @johnnabie5445 3 ปีที่แล้ว

      ,😂😂😂😂😂😂

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Nendeni kwenye local media EFM na cloud

  • @margaretnyadzuakenga1002
    @margaretnyadzuakenga1002 3 ปีที่แล้ว +9

    Diva wacha miyeyusho kizungu hicho kwioo 😏😏

  • @ahmedanwar1210
    @ahmedanwar1210 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyo mtangazajii anajifanya mzungu wakati KIZUNGU hakujui MKATAA KWAO MTUMWA 🤣🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣🤣😂 🤣🤣

    • @sayunimlenduka8700
      @sayunimlenduka8700 2 ปีที่แล้ว +1

      Anajua bhana,,, sema tuu hakutakiwa kuongea hapo coz si kila mtu anaelewa

  • @mwinjanavil
    @mwinjanavil 3 ปีที่แล้ว +6

    nani anaamini hiki ndo kipindi cha kipuuzi pale wasafi kuliko vyote...

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +8

    Patrick mbona anajipapasa na kujilamba lamba lipsi, Umesisimka nini?😂😂😂😂😂😂

    • @mosesngowa5918
      @mosesngowa5918 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @graciedadry9794
      @graciedadry9794 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 jmn

    • @simonpure109
      @simonpure109 3 ปีที่แล้ว +1

      Mitandao inatuharibu, alafu watoto sikfu hizi wanaongeaje? Mmmmh hatjadeti, nmmmh labda mmmmh mmmmh mmmmmmnamavi....ok labda mi wazamani...kiume zaidi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdulillah w kwanzaa🤣🤣🇪🇭🇪🇭

  • @Linabaruti
    @Linabaruti 3 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @block145mare3
    @block145mare3 3 ปีที่แล้ว +3

    Diva chawaaaaa

  • @AdrianKimari
    @AdrianKimari 2 หลายเดือนก่อน

    Rip diva

  • @barnabasmajige8473
    @barnabasmajige8473 3 ปีที่แล้ว +6

    Ww mwanamke punguza kujifanya unajua sana kuongea kingerenza huo ni usenge

  • @bistewardntaho3871
    @bistewardntaho3871 3 ปีที่แล้ว +9

    Swali moja unauliza mara 10 mbona anachosha akili hadi mm kanichosha akili kusikiliza...

    • @omanalwafi8486
      @omanalwafi8486 2 ปีที่แล้ว

      Wewe diva ongea kiswahili acha ushamba unajifanya unajuwa english wakati wakija wenye luga zao uwonge unatupigia kelele tu ...nenda america basi kuwa mzalendo na luga yako wewe..

    • @omanalwafi8486
      @omanalwafi8486 2 ปีที่แล้ว

      Ata america ujakaa lakini ujanifa kuongea luga ata aina faida kwako mchamba mkubwa wewe pua kama bakuli la wafungwa..

  • @jolamb8469
    @jolamb8469 ปีที่แล้ว

    🎉🎉

  • @MohammedAli-zx6yh
    @MohammedAli-zx6yh 3 ปีที่แล้ว +10

    HII ni interview ya kiswahili au kiengereza mnafeli wapi

  • @agnesmpangile6959
    @agnesmpangile6959 3 ปีที่แล้ว +1

    Diva ungea kiswahili

  • @ruthkasumba7739
    @ruthkasumba7739 3 ปีที่แล้ว +1

    😹😹😹diva na bby wake

  • @fadbrownmtotowabibi9194
    @fadbrownmtotowabibi9194 3 ปีที่แล้ว +2

    💥💥💥

  • @francismtaki5979
    @francismtaki5979 3 ปีที่แล้ว +9

    May you guys use our native language B's even that you are using isn't well managed

  • @witneywilly
    @witneywilly 3 ปีที่แล้ว +7

    Hahhahaha jaman kusoma kingereza ni bure shule ya msing na sekondar nendeni

  • @husseinface2100
    @husseinface2100 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥

  • @immya7251
    @immya7251 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona unamlazimisha

  • @mbunah255
    @mbunah255 3 ปีที่แล้ว +4

    Noma

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyu nae

  • @braycetz99
    @braycetz99 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiuno

  • @SheillahAmoit-ke7wg
    @SheillahAmoit-ke7wg ปีที่แล้ว

    Hi

  • @SuperAdam1234321
    @SuperAdam1234321 3 ปีที่แล้ว +8

    Ha ha ha 😂 mwishoni kinyonge

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona huyu dada anaongelea mapenzi tuuu na unavyomtaja Gigy ngojeni mitus hapo

  • @hadijamasanja7771
    @hadijamasanja7771 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva unakera,amua moja kama unatumia Kiswahili tumia moja kwa moja bila kuchanganya ,na kama umeamua English basi tumia hiyo moja kwa moja.

  • @dotahamad6640
    @dotahamad6640 3 ปีที่แล้ว +1

    We mtangazaji unajifanya mzungu, ona unavijibiwa Kiswahili kwann bado inaendelea kuhoji kinge chako

  • @wilehelege6238
    @wilehelege6238 3 ปีที่แล้ว +5

    1st

  • @ggcrank6264
    @ggcrank6264 3 ปีที่แล้ว

    Wabongo kwenye kujiongeza na kuconclude matukio ya watu wengine ndo tabia mlizozaliwa nazo ona sas unaambiwa ukweli bado utaki kuamini unaona kama unadanganywa

  • @mwananjesafari2547
    @mwananjesafari2547 ปีที่แล้ว

    Kizungu saa ingine inakaaa kama unajifunza kuongea

  • @nicelyrutakyamilwa4388
    @nicelyrutakyamilwa4388 3 ปีที่แล้ว

    Hv Diva huwa n raia wa nchi gan

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +5

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @melvinniceanyango2919
    @melvinniceanyango2919 3 ปีที่แล้ว

    Wana aribiwa jina2

  • @celestinekuza9471
    @celestinekuza9471 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 adaisha ajamshika ata kiuno

  • @pasquallungwa3517
    @pasquallungwa3517 3 ปีที่แล้ว +5

    Interview zingine bana

  • @hawaahamis6179
    @hawaahamis6179 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnapenda kuwauliza kama wanadate u guys just mind your on bossiness mnajua hua inauma sana mtu anakuuliza unatoka na mtu flan na uko kwa camera even if they are dating they will not tell u because they know tz people habit I just live them alone

  • @priscarkayanda8017
    @priscarkayanda8017 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona unamuuliza Sana? au unamtakaa!

  • @kingbashar4293
    @kingbashar4293 3 ปีที่แล้ว +6

    Kichwa cha Habari cha uwongo

    • @Safibritney15
      @Safibritney15 3 ปีที่แล้ว

      Kweli🙄

    • @gladysrodrick8239
      @gladysrodrick8239 3 ปีที่แล้ว

      Wanaona wadau tumekuwa weng wanatupunguza kwa stahili hii

    • @btskookie4453
      @btskookie4453 3 ปีที่แล้ว

      indirectly kichwa cha habari kinaendana coz mwishoni anasema aliwahi ambiwa he's not her type🙂

  • @priscillarriziki3038
    @priscillarriziki3038 3 ปีที่แล้ว

    Twambie ukwel patrick

  • @alfrange7886
    @alfrange7886 3 ปีที่แล้ว

    You are a go gera..weleva you wanna go you wanna geri it...stop twenging my siz.

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnazingua Na sauti

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 3 ปีที่แล้ว +12

    Kwani huyu diva ni mwehu? Gigi upo wapi?

  • @NoelMkuchu
    @NoelMkuchu 2 หลายเดือนก่อน

    Asate

  • @sophiajoseph136
    @sophiajoseph136 2 ปีที่แล้ว

    Unamhoji bwanako. Ili uwe na uhakika sio.

  • @aidancleophas957
    @aidancleophas957 3 ปีที่แล้ว

    Ww kizungu weka mfukoni auoni mwezio anapenda lugha yake

  • @alolajames3087
    @alolajames3087 3 ปีที่แล้ว +4

    Watu mnadic dva anaongea kizung akiongea kibongo show ainog romantic language ni English. Elewen

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว

    😏😏😏

  • @paulamos3913
    @paulamos3913 3 ปีที่แล้ว

    Ongea kiswahli bwanA

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Diamond platnumz ka cheka sana baada yaku ona hii vidéo ebu jionee nawe u cheke😂😂👀
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/nzHStcK4g7g/w-d-xo.html

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 3 ปีที่แล้ว +7

    Mbna mtangazaj ka kalegea kwa Patrick anasahau kapigiwa goti na mzee wa gundu

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 3 ปีที่แล้ว +1

    Basi detini basi tu napenda tuwaone wote

  • @lexor8095
    @lexor8095 3 ปีที่แล้ว +5

    Wewe mtangazaji inatakiwe utumie lugha moja english or swahili . Ninyi mnazani mutakuwa wazungu?? Jibu ni apana . Kama ni kipindi cha english speak english kama ni kisqahili speak but stop mixing language please

    • @natashaasha6909
      @natashaasha6909 3 ปีที่แล้ว

      Ajielew ajui km sisi ndo waskilizaj na atujui kingereza km anaisi kingereza ni muhim akafanyie kipindi chake ulaya ndo watamuelew sisi tumezaliw kweny kiswahili na ndo lugha yetu

    • @samtelah7578
      @samtelah7578 3 ปีที่แล้ว

      Ww mwenyewe kuandika tu ushachanganya na kingereza wakat huo huo unamzuia diva duuh?

  • @alfrange7886
    @alfrange7886 3 ปีที่แล้ว +6

    Diva 😅🤣😂 I don't like swahili thing 😅🤣😂 I wonder English yenyewe she is real struggling to compose sentence and connect vocabularies acha making!

  • @Jeshii-u7e
    @Jeshii-u7e 4 หลายเดือนก่อน

    SIBlHUBA

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo English to much problem ongea kiswahili diva

  • @Nassprince
    @Nassprince 3 ปีที่แล้ว +5

    Ipo siku kitaumana tu