Waooooi jaman mwisho wa team kunambi & loveness umeisha vzr sana pole kunambi wetu kwa changamoto ulizopitia pia hongera kwa uvumilivu wako mashabiki zako tumefurah mwisho wa season. Pongez ziwafikie wote donta Tv Asanten kwa kutuburudisha na tamthilia zenu nzur ❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hongereni wana Donta family. Movie yenu nzuri na kuvutia. Ombi inayofata twaomba mtwambie na iwe nzuri zaidi ya hii. Asanteni sana nawapenda nyote. Pole sana ndigu Kinambi mafunzo tumeyapata kutoka kwenu.
Excellent work,am a kenyan living in india,my days here have never been boring with house boy episodes making my day all along,,,sad that this beautiful sound is gone,,but im so expectant of something great that is incoming...much love,.......big up to loveness & kunambi
Hongereni nyote hakika mmetufunza ila ushauri mnapofikiya mwisho isiwe tu mwisho kuonekana ukweli wa uongo kwa wahusika ni vizuri mkaendeleya tukaona maisha halisiyakiendeleya ili isiwe kumaliza tu ktk matukio.🎉🎉🎉🎉
jamani niwapongeze Kwa kazi nzuri sana nimefuatilia mpaka mwisho,kidogo nisite njiani baada ya kunambi kuibiwa pesa,nikajua mchezo umeharibika,ila nikajipa moyo mpaka mwisho, ujumbe mzuri sana umefika,ila Lovenes wewe kiboko,nimekufutilia sana,hata kwenye Ile mapenzi na dada wa kazi,asee kama ndivyo ulivyo,wewe ni mojawapo wa mwanamke jasiri sana big sana,Nelly ka kazi nzuri,jamani bila kumsahau shangazi,Mungu awabariki sana,nawapenda wote Donta family
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 finally ukweli kajitokeza I smiled with Loveness🤗🤗🤗🤗kunambi keep up you are my hero❤❤❤❤❤ Loveness you are my champion of the movie❤Nelly kimemramba😂😂😂😂😂😂😂utaenda wapi kaka wa watu.......😅😅😅😅😅😅😅@254❤❤❤❤❤❤❤
Waah tumefrahi kwa movies zenu nimeangalia toka mwanzo mpaka mwisho na kuna mafunzo flan nimepata,nawapenda sana donta TV nik watch nikiwa gulf congrats 👏 💖 sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 imeisha raha kiukwli hadi raha imeishaje iyo et misa misondo 😂😂😂❤❤❤❤lakini Nelly umeipatiya kabisa kiufupi nyote mumeweza kunambi lavinesi 🎉🎉🎉🎉 yenu ayo🎉🎉🎉🎉
Iiiiiiii jamaniiiiiii kwann imeisha jamani mngeongeza hata vipande vidogot jamani ila asanteni nawapenda ote mlio shiliki Mungu aendelee kuawtangulia katika kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asanteni sana Wana Donta family twawapenda sana kama sisi mashabiki wenu mnatuelimisha jinzi unavyo kaa na madada na mandugu ila la kuambia shughrani wenzi inshallah 🙏❤️💙
Kama ulianza part1 mpka ya mwisho gonga likes za upendo👏👏
Tunao kubali furaha y loveness imerudi jamani gonga like ❤❤congratulations to all team kunambi❤❤
Waooooi jaman mwisho wa team kunambi & loveness umeisha vzr sana pole kunambi wetu kwa changamoto ulizopitia pia hongera kwa uvumilivu wako mashabiki zako tumefurah mwisho wa season. Pongez ziwafikie wote donta Tv Asanten kwa kutuburudisha na tamthilia zenu nzur ❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hongereni wana Donta family. Movie yenu nzuri na kuvutia. Ombi inayofata twaomba mtwambie na iwe nzuri zaidi ya hii. Asanteni sana nawapenda nyote. Pole sana ndigu Kinambi mafunzo tumeyapata kutoka kwenu.
Good job Kunambi and Loveness,,Nawapenda sana kutoka Kenya.
Nimeenjoy house boy leta tamthilia nyingne much love kunambi and loveness❤❤
Imebidi Leo nicomment kunambi mauwa yako Baba nakupenda bure pamoja loveness🎉🎉❤❤
Nelly nakuchukia
Kwanza anasema anaroho nzuri lkn ata hafanan. Anyway tunawalove
Loveness Wangu Nakupenda ilaa mmnifikishaa vizur snaà
Nimewai mapema naombeni likes za kunambi na loveness❤
Waaah lakini tumeenjoy imekua mzuri kutoka ianze,like za kufunga plz
Merci beaucoup, votre film est très bon, je l'ai vu jusqu'à la fin
Oyaaa nakubali kazi yenu Sana MUNGU awazidishie mueze kua marufu Sana🙏🙏
Aisee mnaweza mnaweza ten hongeren San nawapenda mnoo❤❤❤ nimefatilia mwanzo mwisho mama gress kutoka Arusha
Nelly kimekuramba 😂😂konambi congratulations 🎊 na dada loveness ❤❤nawapenda mno donta 🎉🎉❤❤
Excellent work,am a kenyan living in india,my days here have never been boring with house boy episodes making my day all along,,,sad that this beautiful sound is gone,,but im so expectant of something great that is incoming...much love,.......big up to loveness & kunambi
kunambi respect for all peaple❤❤❤
Niliipenda sanaaaa...🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 halafu ningependa kujua alikoenda kelvin khan
Hongereni nyote hakika mmetufunza ila ushauri mnapofikiya mwisho isiwe tu mwisho kuonekana ukweli wa uongo kwa wahusika ni vizuri mkaendeleya tukaona maisha halisiyakiendeleya ili isiwe kumaliza tu ktk matukio.🎉🎉🎉🎉
jamani niwapongeze Kwa kazi nzuri sana nimefuatilia mpaka mwisho,kidogo nisite njiani baada ya kunambi kuibiwa pesa,nikajua mchezo umeharibika,ila nikajipa moyo mpaka mwisho, ujumbe mzuri sana umefika,ila Lovenes wewe kiboko,nimekufutilia sana,hata kwenye Ile mapenzi na dada wa kazi,asee kama ndivyo ulivyo,wewe ni mojawapo wa mwanamke jasiri sana big sana,Nelly ka kazi nzuri,jamani bila kumsahau shangazi,Mungu awabariki sana,nawapenda wote Donta family
Jna mlinikera ila leo mmenifuraisha,,kobe akiinama kumbe anatunga sheria.. mwisho mzuri congrats wana familia❤
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI.leo nimechelewa kweli
Love na kunambi hongera sana wanangu endel
Wakwanza leoo jamani nawaomba please munipe like please kama Una ipenda house boy gonga like tuone
Nitumieni number ya loveness🙈🙈 Iam from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waoooo final ni tamu
Kz nzuri ❤kwakwel kuna mafunzo.mno.asiye faa amefaaa mashaallah
Naikubali sana
Chukua
Kila mara Kunambi! Kunambi! Kunambi! Mìmba! Mimba! Mimba!
Lakini wameshinda huo mchezo. Pongezi sana kwa loveness na Kunambi
Loveness nakupenda jamani uwiiii
Neli mwisho wa ubaya niaibu nawapenda sana ❤❤
Nelly na kweli sura yako inaonesha uko mpole sana, mchezo umiacha tukuchukie sana, loveness nakupenda na team lote.
Ally kunambi nakuhakikishia wewe ni directer mzuriii sana umefanya kazi nzuri sana tunaomba toa Tena kazi kama hii🙏🙏
Hongera saana nawapenda Bure from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ twaisubiri kwa hamu alafu sikumuona KELVIN ❤😂
Kunambi baba Ahsante Allah hamtupi mja wake kama msemo wako ulio ishiliaa hapo Mwish ni mzuri snaa nimeupenda snaa
Aki mwisho mtamu kuliko mwanzo ❤❤❤❤❤❤
Safi sana❤❤ love from Kenya 🇰🇪 to Tanzania 🇹🇿 Nawapenda sana Donta family ❤❤
Kazi bora watu bora director bora na crew bora. Hongereni sana sana sana. Lete kitu kingine jamani Donta TV
kazi nzuri tunawapenda sana uku kenya
Nawapongeza sana donta family Kwa kazi nzuri, kunambi amenifundisha sana, kama na wewe ni miongoni gonga like hapa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 finally ukweli kajitokeza
I smiled with Loveness🤗🤗🤗🤗kunambi keep up you are my hero❤❤❤❤❤ Loveness you are my champion of the movie❤Nelly kimemramba😂😂😂😂😂😂😂utaenda wapi kaka wa watu.......😅😅😅😅😅😅😅@254❤❤❤❤❤❤❤
Pole yako NELL ,,ila nimeipenda iyo asiekufanyia ubaya,,usimfanyie ubaya,,mwisho utajikuta unaumbuka nsalimie LOVE NESS & KUNAMBI,,
Kila K2 kina mwanzo Na mwisho ahsanten sana kwa burudan yenu❤❤❤❤
Much love from the kenya nilikwa nawafuta kimya kutoka mwanzo hadi mwisho ni tamthilia mzuri sana naomba tukwe na tamthilia ngine kali kuliko hii
Ongera SHANAIZA tuko pa 1 kwa kutulia tukisubiry chombo kimpya kielehe ewani kwa mara nyingine tuenjoy ❤❤❤
Nelly unafinza watu how to treat others poa ,den loveness gd mama l love you
❤❤❤❤❤❤ nyie woteee love mauwa yako my dear
Kazi nzuri nimejifunza mambo mengi sana tangu hii series ianze adi mwisho❤❤❤🎉
Asanten Sana Donta famili mliiendy vizuri. Nimesoma kuwa hakuna maficho ya udhalimu.
Kazi nzuri sana nmewafuata kutoka mwanzo adi mwisho walai nmekua na hamu kabsaa kongole kabsaa
Toeni nyingine tena ya 🔥🔥🔥
Congratulations Donta family ,especially Ally Kunambi . Loveness ,you are very beautiful . Keep up the good work .
Hongeren sana , kelvin asibaki ñyuma jmn , mmetisha sana donta family
Knambi Na loveness hongera Sana hvyo ndo binadamu anapaswa kuishi❤❤❤❤❤ n Party huyu kutoka Kenya Mombasa
Congrates team donta tv you play was so educative, emotional and entertaining continue with the same spirit
Kunambi hongera sana kazi nzur
Waaoh movie nzuri yetu inaisha mbarikiw sana
Good work to you all,,,,I wish these was not the last episode,,,bt all the same congrats to you all,,,l adore you all
Mko vizuri nimewapenda kunambi hongera umeleta funzo ktk jamii hongereni kwa kazi yenu nzur
Kazi mpya sasa tulikuwa p1 big up nyote 💪
Asante sana tumejifunza mengi zaidi .....elimu sio darasani pekee
Waah tumefrahi kwa movies zenu nimeangalia toka mwanzo mpaka mwisho na kuna mafunzo flan nimepata,nawapenda sana donta TV nik watch nikiwa gulf congrats 👏 💖 sana
Kunambi Hongera sana Na Mauwa Yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 iyoooooo umecheza vizuri sana kbs lovennes nakupenda Na ww pia
Kazi safi wàkuu ,Kunambi umefikisha ujumbe kwa jamii, nimewafwatilia kuanza mwanzo hadi mwisho, salamu za dhati zifikishieni loveness 🇰🇪❤️🙏
Leo wakwanza naombeni like zangu from madale camp
Yamoto sana aisee mmefanya vzr hongrni sana mungu azidi kuwapa nguvu kweny hii kazi yenu
Pongezi sana nyote from Kenya loveness ua the best😊
Loveness nakupemba ❤❤❤❤❤kumbe ulimrekodi wifi yko hongera kumtetea Kunambi
Loveness nakupenda sana onyesha ishara wakushangae watakusalimia kwa heshima❤❤❤❤❤❤
Wow 😅😅 nmefurahi n film zenu ❤❤🇰🇪
Asanteni san wapendwa nawapenda pia mulipo nipo kutoka omani Mungu awabariki kwa kazi nzuri mashaallah ❤️👌👌👌
Shangazi roho mbaya na upendeleo..kwendraaah huko.ndio mana ukaregeshwa kijijini
Congratulations!! Kinambi and your team goo job has done,,bona tinaa ajajitabulisha mtu wangu huyoo
Loveness nakuped Sana pamoja na wezak pia I love Ur movies ningeped san niwe kama nyinyi
Nakupenda sana baba na loveness nakunambi nawapenda sana
Hongera kunambi ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 nakupenda Kwa uvumilivyo wko Nelly kumekuramba
Oohhh mbon mapem jamani kunambi na lovness😘😘tunawapenda gisi mliceza mwanzo paka mwisho nawapenda team yote
Kazi nzuri sana inafundisha na nimaisha tunayoishi
Kunambi naye amewachezea akili😅😅. Ila neli wah...karibu nikuchukie umecheza kiwewe.... other good work congratulations it was very fun
Wow ❤ io mwisho imekua moto Sana 🔥 nimependa Sana movie zenu ...basi msikae Bila kuanzia ingine bye
Excellent 👌 move by kunambi
Good job, 2nasubir chuma kingineee Nawapenda sana jaman
🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉 good work love from Kenya Moore 🎉
Waliofurahishwa na msimamo wa Kunambi na loveness tujuane🎉🎉🎉
Safi sana kunambi,wacha tu nikupatie congra tu ww na loveness
Hongereni kaz nzuri
Shikamoo Baba et ,,,,,,,, Nafuga ,,, Mabomu,, mwisho yanilipukie hapaaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 imeisha raha kiukwli hadi raha imeishaje iyo et misa misondo 😂😂😂❤❤❤❤lakini Nelly umeipatiya kabisa kiufupi nyote mumeweza kunambi lavinesi 🎉🎉🎉🎉 yenu ayo🎉🎉🎉🎉
Kunambi baba God bless you keep up na uwe hivyo hivyo nakupenda sana from kenya
Hi.jamani.ongereni.sana.twaomba.muendelee.na.huo.mchezo
Iiiiiiii jamaniiiiiii kwann imeisha jamani mngeongeza hata vipande vidogot jamani ila asanteni nawapenda ote mlio shiliki Mungu aendelee kuawtangulia katika kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kenya Watching, twapenda kazi nzuri zenu
Big up Nelly umestick vyema ...tunajua ulikuwa kazin lakin kihuhalsia haupo hivyo
Balaaaa! respect kwa donta family mnaweza
Safi, hii tamthilia inafundisha sana,, mwisho wa ubaya aibu😂
Kwa upande wangu mmechaza vizuli sana,lakini kama itawezekana mufanye season ya pili ya hiyi house boy.❤❤
Waoooo tamu sana nikweli mutayarishe nyingine kama nahii nawapenda sana nikitoka congo
Ninawapenda nanitazidi kuwapenda kiukweli munanibuludixha xana nawapenda mnoo mifaham iloooo❤❤❤❤
Kunambi fundi sana much appreciated
Asanteni sana Wana Donta family twawapenda sana kama sisi mashabiki wenu mnatuelimisha jinzi unavyo kaa na madada na mandugu ila la kuambia shughrani wenzi inshallah 🙏❤️💙
Tume enjoy sana kabisa bora tuwashukurusana,congratulations
Waah nawakubali tunaisubiri mliyotuandalia,,ongera yako Kunambi
Maua yenu donta tv🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤❤❤❤ mwaaaaaa. Nawapenda Sana. Nasubir kitu kipya msiniangushe. Najifuza vitu bingi Sana. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Na unaroho mbaya kweli Nelly,ama uko na roho nzuri, keep it up 🙏🙏🙏
loveness na kunambi uhusika wenu hapa nimeupenda sana be blessed.