🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • 🔴#LIVE: RAIS SAMIA - "MNADANGANYWA NA VIFEDHA KIDOGO, MMEGEUZWA NGAZI WATU WANAPANDA TU"
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Mkoani, Kusini Pemba leo Januari 07, 2022.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 20

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana mama yetu unafanya kazi ngumu, kazi iliyojaa lawama lakini mwenyezi mungu akuepushe na mabalaa yote. Uzidi kutupigania ktk taifa letu tuzidi kukua kiuchumi na utudumishie muugano wetu uzidi kudumu nchi hadi nchi🙏

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 2 ปีที่แล้ว +1

    kwa sasa wananchi wanacho pitia Mungu mwenyewe atatuhuku mia maana aina ya viongozi tulio kuwa nao kwa sasa ni hatari kwa watu maskini na mafukara

  • @felixkivi8616
    @felixkivi8616 2 ปีที่แล้ว

    Ajali mbaya

  • @abdonmtani3278
    @abdonmtani3278 2 ปีที่แล้ว

    Mwakasege

  • @chanelle02uk
    @chanelle02uk 2 ปีที่แล้ว +1

    Wa Pemba wako wapi?? Simuoni mpemba hata moja kwenye audience!!

  • @rosadamosha2201
    @rosadamosha2201 2 ปีที่แล้ว

    mawilaya

  • @gidiusthomas6239
    @gidiusthomas6239 2 ปีที่แล้ว

    🌎🌍🌍🌎🌎🌍

  • @ramadhanmajji5013
    @ramadhanmajji5013 2 ปีที่แล้ว

    MAMA SAMIA 2030 KAZI IENDELEE NINAKUAMINI

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว

    Mama nakupa onyo fahamu kwenye mikutano Yako usiwe Kuna maji hivi hivi marehemu Hayati Magufuli alikua anawekewa maji yakuna hadharani kunwa alikua nauaminifu mkubwa yankua hakuna mtanzania atakapo muzi kumbe

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 2 ปีที่แล้ว

    Mama vijana hawapasui chama wewe ndie ambae umesha kipasua chama.chama sasa kinarudi kule 2010 mpaka 2015 ilikuwa ukienda kwenye mikutano ya ccm nguo wanavalia kwenye uwanja au ukumbi wa mkutano lakini chama chini ya jemedari wetu hayati John pombe maguful chama kiliimarika na mwanachama wa ccm au mpenzi alikuwa na uwezo wa kuvaa nguo ya ccm popote alipo na wananchi waka mpokea kwa upendo sasa tunarudi kule ambapo mwana ccm akionekana wananchi wana mzomea na kumuona ni mwizi.badilisha muelekeo mama wewe ndie mwenye uwezo wa kukiunganisha chama au kukigawa haya yote mawili yatategemea utendaji wako wa kuwatumikia watanzania na si vinginevyo

  • @peterjanuary7972
    @peterjanuary7972 2 ปีที่แล้ว

    Ukisema pesa zipo kwaajiri ya vijana. Tatizo hao wanaohusika kutoa pesa kwa vijana, wanatoa pesa hizo kwa makundi walioyandaa wao nikisema pesa hizo hazitufikii vijana ninamaanisha pesa zinaishia kwa wale mliowaajiri kuzisambaza pesa hzo ili kuondoa lawama na ukosefu wa ajira kwa vijana. Nishauri kuwachunguza mnaowaajiri ili kusapoti vijana kwa njia ya kutoa pesa eidha za mikopo. Muondokane na kunufaisha wachache!..

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 2 ปีที่แล้ว

    Spika WA Bunge mstaafu naulizia yupo ?

    • @riccoiddy7788
      @riccoiddy7788 2 ปีที่แล้ว

      ,😀😀

    • @naemawadhi4736
      @naemawadhi4736 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😆

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Mstaafu au aliyestaafishwa ?! 🤦‍♂️😃😃🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

    • @اسيهاال
      @اسيهاال 2 ปีที่แล้ว

      Mama.mie.nimemsomesha.kaka.yangu.ni.mdogo.kwangu.nategemea.apate.kazi.kwa.kufanya kazi.za.ndani.omani..mpaka.leo.ivi.nimechoka.

    • @اسيهاال
      @اسيهاال 2 ปีที่แล้ว +1

      Nao.mba.mama mpe.kazi kaka.yangu mbwana nassoro mbwana

  • @chongepauwa6667
    @chongepauwa6667 2 ปีที่แล้ว

    Chapakazi raisi wetu usiwawaze mazombi wowote ,kaziiendelee wafunge midomo kwakutuletea maendeleo tu hiyo ndio Dawa yao.

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 2 ปีที่แล้ว

    Cccm wamebakwa saivi???? Alafu nyerre alisema Wana CCM watakulana wenyewe kwa wenyewe??? 2025 ndo uwenezi utaisha na Umoja party must be socialist together!!!!!!!!!?