🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • 🔴#LIVE: MTOTO WA MAGUFULI AVUNJA UKIMYA, ATAJA 'MAGUFULI GANG' BILA WOGA - "FAMILIA INAUMIA"
    KATIKA kipindi cha 'HOJA kwa HOJA' leo Mei 05, tumefanya mahojiano na kijana Furaha Dominick ambaye ni mtoto wa dadake hayati Rais Magufuli, lakini pia ni mwanasiasa ambaye aliwahi kugombea ubunge wa Kawe na safari yake kukatishwa katika hatua za awali za kura za maoni ya ndani ya chama.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 196

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 2 ปีที่แล้ว +8

    RIP JPM. Kijana upo vizuri JPM alikuwa mtu wa pekee sana . Mungu akusimamie uendelee vizuri katika maisha yako. Ukali wa JPM ikuwa kwa wafisadi na wazembe katika kazi

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +23

    Ni kweli kabisa Hayati alikuwa ni mtu wa pekee sana tutachukua muda mrefu kumpata wa mfano wake

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Saana ,Big up!!

    • @samuelseverua
      @samuelseverua 2 ปีที่แล้ว +1

      sio muda mrefu. MIMI NIPO !

    • @floramlowe7078
      @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +1

      Mmmh wewe utakua mlaji tu Tanzania ukiona wanamsifia mtu ujue pana ulaji

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

      HUYU NDUGU NILIWAHI KUKUTANA NAYE ANA HEKIMA NA UPENDO SANA

    • @hamidaabdallah8146
      @hamidaabdallah8146 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi Niko hapa nilimpenda sana hata uko alipo analijuwa hili mungu ampumzishe kwa amani🙏

  • @nyaligwanyamizi8210
    @nyaligwanyamizi8210 2 ปีที่แล้ว +12

    Well done kijana umenifurahisha kama jina lako . God bless you. Mashallah.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kijana nimekupenda Bure

  • @frankeliakim2267
    @frankeliakim2267 2 ปีที่แล้ว +5

    sahihi kaka

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 2 ปีที่แล้ว +7

    Usikate tamaa wewe ni zao la kiongozi bora nimekusikiliza na nimekuelewa sana tunahitaji watu wa aina yako endelea kusali sana na kumwamini Mungu

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 2 ปีที่แล้ว +4

    Your Father was a Good Man may his Soul rest in Peace.

  • @user-us4tk2tk3c
    @user-us4tk2tk3c 4 หลายเดือนก่อน

    Big up Mr. Dominic

  • @iambelnus
    @iambelnus 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji unaharibu interview

  • @samkoka3
    @samkoka3 2 ปีที่แล้ว +9

    Furaha in kiongoz mzur sna sema siasa yetu hii bado ina mapungufu mengi na kuna vitu vyingi ambavyo haviko ndo maan vijana wengi wanakata tamaa na wengne wanapoteza maisha lazima tufanye mabaliko siasa sio vita

  • @judithjoseph4246
    @judithjoseph4246 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue zaidi Furaha Dominik usikate tamaa songa mbele

  • @winterkasela9033
    @winterkasela9033 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu

  • @Team-t6k
    @Team-t6k 2 ปีที่แล้ว +1

    Iko na akili kama za uncle wake ⏰ big up one day will be like your uncle thanks very much we love him from Burundi

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 2 ปีที่แล้ว +4

    Kijana mzuri

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 2 ปีที่แล้ว +8

    Sio mwanae na mnajua kwa nn mnaandika kichwa cha habari cha uongo.

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 ปีที่แล้ว +3

      Ndo Waandishi wa Habari/Makanjanja na Vyombo vya Hasbro vya Libongo baadhi yao % ni shida bin mtihani !

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      Mjomba=Baba:-) Mtake, msitake ! Mpende, msipende! Ndio hivyo! Chombo cha habari hakijakosea!

    • @globaltv_online
      @globaltv_online  2 ปีที่แล้ว +2

      Mtoto wa dada yako ni nani?

    • @ibel4lf
      @ibel4lf 2 ปีที่แล้ว +2

      @@globaltv_online ni mtoto wa dada

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      @@globaltv_online si mwanangu,Mbona mjomba hakunisomesha

  • @raphaelmauna5110
    @raphaelmauna5110 2 ปีที่แล้ว +22

    Huwa nasikitika kumuita mtu wa aina hii mtoto wa Magufuli. Kijana anashida pahala na hana ubia na Magufuli. Mtambueni kwa jina lake inatosha.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani kosa liko wapi?! Mtoto wa dadake Magu si Mwanae Magu?! Sema tu Baba alikuwa anamtesa na kuzuia haki zake!!! 😆😆 Pole, brother! Hurka za Mjomba zilitesa Taifa nzima, sio familia tu! 😆😆😆 Ww endelea kuishi kwa uhuru na haki! Unajiamini, utafika mbali kisiasa ! Hutanyang'anywa Ushindi wako tena, yule Tapeli wa Kawe ajiandae! 🙏🏽🙏🏽

    • @mwesachristopher2785
      @mwesachristopher2785 2 ปีที่แล้ว

      Uyu Hana ata ukoo na magufuli kabisa ila kujifanya baba ake

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว +4

      @@j.c.maxima816 labda zilikutesa ww jiongelee ww Kama ww usisem alitesa watu wt

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว +1

      @@j.c.maxima816 labda zilikutesa ww jiongelee ww Kama ww usisem alitesa watu wt

    • @nichorausrichard2347
      @nichorausrichard2347 2 ปีที่แล้ว

      Huyu n mtoto wa dada ake na magufuli elewa,, tena Dada ake magufuli yule Alie kufa kipindi kile

  • @OmiLuo-tv4tb
    @OmiLuo-tv4tb 7 หลายเดือนก่อน

    Kugombea uongozi ni haki ya kila mtanzania kijana anayo haki hiyo kama mtanzania yoyote, Mungu akutangulie

  • @geraldsiame2941
    @geraldsiame2941 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuinue siku moja uwe kiongozi ,tunaamini utafuata nyayo za Jpm

  • @patrickkibantula3415
    @patrickkibantula3415 2 ปีที่แล้ว +1

    Jibu zuri Sana umetoa kuhusu team magufuli

  • @fridamtitu831
    @fridamtitu831 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa saana furaha mungu akuzidishie neema.

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 ปีที่แล้ว

    Uko vzr sana

  • @husseinkakanga8273
    @husseinkakanga8273 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri Sana kijana

  • @mawazomkumbila6441
    @mawazomkumbila6441 2 ปีที่แล้ว +2

    Nmependa sana haya mahojiano na majibu ya Dominic

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck882 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwani waliopiga kura ni wananchi au ni wajumbe ,?

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว +4

    Umeongea kiutu uzimaaaa sio lazimaa kila mtu akusome

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwann mnamuongelea gwajima sasa .... Huyu kijana alisema yeye mwenyewe kwa mdomo wake kuwa maisha yake yote ni JPM , kuazia kusoma mpk vyote unavyomuona ni kazi ya mjomba wake jpm .... Pia kukatwa ni kwamba mjomba wake alijua watanzania watasema kampa ubunge mpwa wake ...hilo ninahakika..maana hata ukiwa msukuma tu ulikuwa unaonekana ndugu wa rais tu .

  • @laodapigfarmmrduroc8327
    @laodapigfarmmrduroc8327 2 ปีที่แล้ว

    Ur so smart

  • @Zack_lamar
    @Zack_lamar 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mtangazaj amefeli sana kuendesha huu mjadala

    • @baghozed1762
      @baghozed1762 2 ปีที่แล้ว

      Hana vigezo kabisa kwenye mijadala ya maana kama hii

  • @salummichael87
    @salummichael87 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe uzima ukatimize ndoto zako uepushwe na kila jambo baya.

  • @azikamujulius3530
    @azikamujulius3530 2 ปีที่แล้ว +6

    Lala salama magufuli wew ulikua mtu na zaid

  • @kaijageleonard7220
    @kaijageleonard7220 ปีที่แล้ว

    Asante mujomba wa magufuli tulim

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 ปีที่แล้ว +19

    Ebu tunaomba muwe na heshima kwa jina la rais wetu magufuli kwani huyo munaemohoji Hana baba ake stupid kabisa

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +5

      Mjomba ni kama Baba! Huyu Kijana ni damu yake Magu! Hata kama haikupendezi, huwezi kulibadilisha hilo !

    • @johnngowi6619
      @johnngowi6619 2 ปีที่แล้ว +1

      Mjomba ni mama alafu usicho kijua baba aako anaweza kuwa hana damu na wewe ila mjomba ako ni damu yako ndomana baadhi ya makabila walikua wakirithi kwa mjomba

  • @rweyemamurweyongeza4879
    @rweyemamurweyongeza4879 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki global media kwa kutuletea huyu kijana

  • @nelsonmaleo3342
    @nelsonmaleo3342 ปีที่แล้ว

    Njoo Chadema

  • @pillykimenyi846
    @pillykimenyi846 11 หลายเดือนก่อน

    Magufuli hakujikweza pia hakutaka kutambulisha familia

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว +1

    HUYU JAMAA ANA HEKIMA SANA NA ANAJALI SANA WATU MIMI NILIKUWA NAMUONA WA KAWAIDA ILA KUNA JAMBO TULIWAHI KUMHUSISHA ANA HEKIMA ISIYO YA KAWAIDA ...LIVE HUYU MTU ANAFAA KUWA KIONGOZI MKUBWA

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว +11

    Huyu kijana ana akili sana,na anafaa kuwa kiongozi mkubwa sana.....namtabiria kuanzia leo.....mtakumbuka comment hii

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว +11

    Mwalimu alimwacha Makongoro kama mtoto wa Mwalimu si mtoto wa Rais. Hizo ni busara za Mwalimu.

  • @frankcharles2483
    @frankcharles2483 2 ปีที่แล้ว +10

    Rest in paradise j p m na movie imeshatoka huku na maisha kamba zimebana watu wanakufa maisha hamna

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว +2

      mmesahau hata kipindi cha magu vyuma vilikaza ad magufuli akasema wekeni gils umesahau?

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman kwahyo?

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว +2

      @@missmwayway4704 nakumbusha tu kwahio nini?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman LAKINI ILIKUWA RAHA WATOTO WA SHULE NUSU KUKU CHIPS ANAKUPA ANDAZI 🤣🤣🤣🤣

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 2 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman binadamu hawakawii kusahau na haya yatapita tu

  • @saadarashid8174
    @saadarashid8174 2 ปีที่แล้ว +4

    We really missing him so so much.

  • @Tango696
    @Tango696 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana.utafika mbali.una kitu cha pekee

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 2 ปีที่แล้ว +2

    Kijana Yuko very mature

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 2 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu ajae

  • @a.katunzi5815
    @a.katunzi5815 2 ปีที่แล้ว +1

    Team Magufuli: Kijana umesema vema. Huyo mtangazaji BOMU.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Pole saana kweli Angekuwepo Ungefaidi zaidi kwa Vile uliamua

  • @tchipppo
    @tchipppo 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo kweli mtoto ngangari walikuwa cuf na ngunguri walikuwa polisi.... Over

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 2 ปีที่แล้ว +21

    Waache hao wanaosema tukazikwe naye! Naamini iko siku yao nao inawagonja!

    • @floramlowe7078
      @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +6

      Inaumiza sana yaani watu weusi sisi ni wabaya sana na ndomaana wazungu wanasema adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzie.

  • @dominicruhamvya5118
    @dominicruhamvya5118 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kujib vizuri Furaha

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 2 ปีที่แล้ว +15

    Huyu kaka alikuwa hataki kujulikana kabisa ni ndugu na Magu alikuwa anaishi maisha ya kawaida sana

  • @charlesgasper2243
    @charlesgasper2243 2 ปีที่แล้ว

    Upendo huzaa imani nabalaka chuki huzaa zambi nalaana kijana akili nyingi kama mjomba wako kaza mwendo kamamkemia utaisaidia sana nchi hii you are good thinker.

  • @hasanially9384
    @hasanially9384 2 ปีที่แล้ว

    Sis tulimpenda mngu akampenda

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa very smart

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 10 หลายเดือนก่อน

    Kk izo!

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Siasa,Siasa,Siasa asante saaana

  • @focuserick6162
    @focuserick6162 2 ปีที่แล้ว

    Tunakupendenii sana nyote familia ya magufuli baba aliacha alama nzur sana.

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 2 ปีที่แล้ว

    Kajibu vizur xaana kajibu bila prussure

  • @pauljohn6393
    @pauljohn6393 2 ปีที่แล้ว

    Mbona anafanana sana na Gerson msigwa

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa huyu anajua kujieleza vizuri,na anafaa sana kuongoza

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi wa habari hata akizeeka unafiki unabaki palepale ...it doesnt filter right out .

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandaaji hajui kuhoji Mambo ya msingi unavuluga kipindi

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie, wewe unaujuwa ukweli.

  • @blandinamasele4752
    @blandinamasele4752 2 ปีที่แล้ว +5

    Unaesema siyo mtoto wa magufur, wewe mtoto wa Kaka wa Kaka yako, au wa dada yako siyo mwanao?

    • @ibel4lf
      @ibel4lf 2 ปีที่แล้ว

      Mpwa ni neno na liwekwe kwenye matumizi mie mtu asiyenizaa ni ngumu kumuita Baba

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Siyo ana ukoo wake basi tu ni mwipwa

    • @barikimohammed
      @barikimohammed ปีที่แล้ว

      Dominc ludi chadema gombea urais tutakusapot

  • @peterkihongosipeterkihongo1154
    @peterkihongosipeterkihongo1154 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazaji anazinguwa

  • @harrietmalesi4222
    @harrietmalesi4222 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ndiye kiongozi
    Kutoa mkataba maalumu
    Kijitetea ki Sera

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 2 ปีที่แล้ว

    Broo wa kuhoji nakukubali wewe unaweza kuchimba mdaku bomba safi sana.

  • @aidanwilliam14
    @aidanwilliam14 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji ni mpumbavu akili ndogo anaongea ujinga ujinga hajui kuendesha huu mjadala wa mahojiano

  • @martensnshimi3613
    @martensnshimi3613 2 ปีที่แล้ว

    Ni vénérand kutoka inchi jirani Burundi.nitahitaji contact kwako kama utapenda

  • @kiyabolnjemu9646
    @kiyabolnjemu9646 2 ปีที่แล้ว

    nimefurahi, nimejifunza, nmefarijika na nimeona jinsi furaha upo imara na umeongea mengi ya kweli na yale ya kinafiki umeyafumba na kukubali unafiki japo kwa mbali, ni njema lakini tz ni yetu jana, leo na keshoooo

  • @HamisiAmri-p4d
    @HamisiAmri-p4d 5 หลายเดือนก่อน

    Ngunguli ilikua c u f sio t l p

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Una Akili mno

  • @donaldsumary9479
    @donaldsumary9479 2 ปีที่แล้ว

    Point of Correction Ngangari Ngunguri haina uhusiano na CCM......
    NGANGARI NI KAULI MBIU YA CUF CHINI YA PROF LIPUMBA NA MAALIMU SEIF.
    NGUNGURI NI KAULI MBIU YA POLICE CHINI NA IGP OMARY MAHITA
    NGUNGURI

  • @sophiamirambo9656
    @sophiamirambo9656 2 ปีที่แล้ว

    Kabisaaa anaekuumiza ni watu wa karibu ndio wanaotuumiza

  • @antonioatanasio8317
    @antonioatanasio8317 2 ปีที่แล้ว

    Mbona awe mtoto wa Magufuli?

  • @simonshija2476
    @simonshija2476 2 ปีที่แล้ว

    huyu mtangazaji anatumia nguvu sana kuongea hadi kero wakati mic ina uwezo wakunasa sauti na mambo yakaendelea

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 2 ปีที่แล้ว

    GLOBAL mnaanza kuwa zile tv fulani .mjirekebishe

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

    MAGUFURI KUMSIMAMISHA KAMUONGEZEA NJIA NZURI BAADAE MAANA WATU WENGI TANZANIA WAMEMJUA KUPITIA HILO TUKIO
    MSHUKURU SANA MUNGU UTAKUJA KUWA KIONGOZI MKUBWA SANA

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 2 ปีที่แล้ว

    Akuna maojiano Yako ninayo yakosa kijana furaha napenda sana ekima zako pia uzarendo uko ndani Yako mungu awe mbele yetu tunakusapoti kijana mwenzetu mwenyemaono makubwa sana na NCHI yetu ya tz

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

      live huyu Dominik ni hatar sana ana hekima sana ukikutana nae unaweza ukaona alivyo

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 2 ปีที่แล้ว

    NGANGALI NI CUF. NGUNGULI NI MKUU WA POLISI FURANI ALIPENDA KUITAMKA BUT HAIKUWA SLOGAN YA CCM

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Trot kabisaaa Kwa Furaha kama ulivyo Furaha

  • @pillykimenyi846
    @pillykimenyi846 11 หลายเดือนก่อน

    Mama ayafuate ya magufuli

  • @majaliwabususu8953
    @majaliwabususu8953 2 ปีที่แล้ว

    Wa kagongwa kahama daaa hapo nime kumbuka vingi sana

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 2 ปีที่แล้ว +4

    Ila kitendo cha kuwakata walioshinda hakifai kabisa. Tumuombe mh.Rais na kinana wabadili huu utaratibu hauna maana kabisa.aliyepita aachwe apite.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Kila mtu ana haki yake kwenye uongozi

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee baba yako alikua ni baba wa watanzania yaani ukiwa kama baba yako nitakupenda sana ukiingia kuwamwaga hawa wanaotuesa sasa!

  • @andreamndeme1539
    @andreamndeme1539 2 ปีที่แล้ว

    KITU NI UTU ,HIVI KWELI HUO UTU NI UPI

  • @andreamndeme1539
    @andreamndeme1539 2 ปีที่แล้ว

    STORY ENDED THERE

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 2 ปีที่แล้ว

    Kaza mwendo mdogo wangu nimekuelewa siku moja utakuwa mtu wa 1 tanzania endelea kujifunza mambo mbalimbali ya nchi hii, endelea kujiimarisha kimaadili safisha mapito yako tuko nyuma yako sikupingi.

  • @Cristiano1-3
    @Cristiano1-3 2 ปีที่แล้ว +3

    Huwez shindana na Gwajima kabisa, labda tu Gwajima asipende kugombea tena Kawe

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +2

      Hakushinda wakati wa Magu, atashinda wakati huu ?! Umenichekesha, Bwana!!!😃😃😃 Hata yy anajua!!!

    • @jacksonmars7894
      @jacksonmars7894 2 ปีที่แล้ว

      Unaongea nini wewe Gwajma kafanya nini Kawe

  • @fransiscotsii2671
    @fransiscotsii2671 2 ปีที่แล้ว

    rushwa sio uwezweshwaji

  • @saradrupiarupia3396
    @saradrupiarupia3396 2 ปีที่แล้ว

    E.

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

    WATU WENYE MAONO MAKUBWA WANAPINGWA SANA LAKINI MWISHO WA SIKU HUACHA ALAMA

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzee Magu alikuwa mtu mmoja Peace sana, nilipata kukaa naye Meza Moja ofisini kwangu..na nkampa kikombe cha Kahawa...asee Rest in Peace mzee MAGUFULI...😭😭😭😭
    Duh..Dogo nilikutana naye GSLA pale Ocean Road alikuwa peace sana...sema Baadhi ya watendaji ndani ya ofc yake siyo watu wazuri ni wapigaji pia

    • @jumakassim7708
      @jumakassim7708 2 ปีที่แล้ว

      😭😭 Yesu akutunze furaha umeongea maneno mazuri Sana anayejua maandiko awezi kumuongelea marehem aliye lala Mwenyezi Mungu awape pumziko la Amani wote waliotangulia wapumzike kwa Amani.

  • @mnejimakuka7213
    @mnejimakuka7213 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni huhuni

  • @masoudrashid5480
    @masoudrashid5480 2 ปีที่แล้ว

    Kijana umenifurahisha sana na kwa hakika wewe una damu ya uongozi,usikate tamaa kupigania ulichonacho

  • @ayadjuma2457
    @ayadjuma2457 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji hufai nenda kajitathimini unatuvurugia kipindi ,kijana ana madini lakini wewe hujui kumtumia sisi tunataka madini

    • @bonangatuni8077
      @bonangatuni8077 2 ปีที่แล้ว

      Yaaani huyu mzee sijui yupoje sijampenda kwanza anaongea kwa nguvu kama mshamba wa mic

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Pengine hata Ukemia Mkuu alipewa Na Mjombae,Acheni Polojo zetu Watangazaji

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 2 ปีที่แล้ว

      Na master pia amepewa na mjomba wake?acha ujinga ww

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว

    Bahati mbaya vichwa kama hivi havipati nafasi

  • @sandesalmin1880
    @sandesalmin1880 2 ปีที่แล้ว

    Rais Wang alikuw jpm

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi kwanini unamzungumzia sana Hayati kwenye hii interview

  • @mahingilasambichuma1369
    @mahingilasambichuma1369 2 ปีที่แล้ว

    Ngangari CUF
    Ngunguri Mahita

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Kabisa Raisi Samia angegoma akasema siutaki Uraisi ndo tungesema si timu Magufuli

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 ปีที่แล้ว

      Akili yako inaamini Samia ni timu mgu? Huijui Siasa wewe