Mungu awasahidiye muzidi kupendana dahima.Nimejifunza vingi sana kupitia nyinyi asaasa dada Sikitu nitajitahidi sana kuhifanyia kaza funzo ili japokuwa nimejifunza kupitia simulizi.Kweli daSikitu wewe ni supper human kama mama.l really loved and enjoy this story thanks to you musimuliaji bora.
Nimekupenda dada kila hadithi ina mafundisho fulani. Wengi wanapamba mwandishi tu. Nimejifunza Love is Blind. Mapenzi ni hisia Pesa na Mali hazina nafasi. Sikitu na Robby ni mfano wa kutosha🙏🏾🙏🏾
Kwa kweli hadithi ni nzuri na Inavutia sana! Ila Kaka lukasi ww ndo umemaliza Kila kitu kwa sauti yako nzuri na yenye mvuto kwa msikilizaji,da!sipati picha ukiwa na wifi nyumbani ,mungu akubariki sana na akupe umri mrefu wenye furaha na amani ili tuendelee kupata mazuri zaidi.
Mara yangu ya tatu narudia kuwatch 😂😂..ila hizi hadithi zenu zinafanya tuwe hoi sana. Wengine tuliona mboo zamani sana ata atujui zinafananaje kwa sasa
Aisee nimeenjoi sanaaaaa yani sijutii kabisa kuwa mwana familia wanu nawapenda sanaaaaa ❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamn nimejuwa kucheka nitamu sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Nyiee simulizi tamu sana yan mm nacheka t
Jaman minapend simlizi kamahizi yani najisikia vizuli🥰🥰🥰
Jamani hii simulizi naipitia kilasiku mana inanivutia kwakweli nmeipenda sana❤❤❤
Pia mm naipenda sana huyu kaka lucas anajua tena anajua sana😂😂
Tupo pamoja
Hongeren San kwa simulizi zen nzr mno
Jamani huyu msimuliyaji kaaaaaah ananimaliza miyeeeeee anamaneno mpaka nakaa nacheka tu nikikumbuka hivyo vituko vya msimuliyaji nacheka tu😂😂😂😂👌
Kwakweli hadidhi nzuli sana unasikiliza mwanzo mwisho asante sana
Its sweet💗💗💗
Mungu awasahidiye muzidi kupendana dahima.Nimejifunza vingi sana kupitia nyinyi asaasa dada Sikitu nitajitahidi sana kuhifanyia kaza funzo ili japokuwa nimejifunza kupitia simulizi.Kweli daSikitu wewe ni supper human kama mama.l really loved and enjoy this story thanks to you musimuliaji bora.
Nimekupenda dada kila hadithi ina mafundisho fulani. Wengi wanapamba mwandishi tu. Nimejifunza Love is Blind. Mapenzi ni hisia Pesa na Mali hazina nafasi. Sikitu na Robby ni mfano wa kutosha🙏🏾🙏🏾
Mmkki
4@@GoyseGoy
Simliz nzuri sn naomba mungu mzidi kupendana milele
000000000p000pp000000pp00p0p
Hongera sana kwa kazi hii,,lkn watazania watafanya nitafute mume wa kitazazania ❤❤❤❤
Karibu sanaaaaa
Jamanii nzurii sanaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Story tamu mpaka basi 😂😂😂😂
Ipo bomba sana
Sumulizi nzuri sauti nzuri yani 🔥
nice ctory👌👌👌
Wow I like the story
Yan ww kaka unajua sana na unasaut mzur sanna ❤❤❤
Nimefurah nimetajwa mama Lulu ha ha ha haaaa. Simulizi nzuri msimuliaji nimependa usimuliaji wako nilikuwa nicheka tu nilipokuwa nasikiliza
Mungu awasaidiye story tamu San
Waaaaa! Ni tamu
Waooh Iko poah San hongera mtunzii
Ila story hii ni nzuri sana jmn Hadi siku haichelewi kuisha
Hisimili ni tamu sana inamafunzo ❤❤❤❤
Naombaa you tube tuwekeweee voice notee typing haitoshiii nataka kuchekaa kwa sautui😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂 story tamu Sana but sikitu hakusoma mbna barua ya Robbie kaidima vyema😅😅😅
Musimuliyaje nimekuzimia😌😌😌😌🤸🤸🤸🥰🥰🥰🥰ahsante sana kwa simulizi nzuri
T
🔥 🔥
Nice story big up 😍😍😍
Lukas uko hot sana navutiwa kusiklza simulizi ukisimulia unapoanza huna mambo meng🔥🔥
Nimecheka 😂😂😂😂😂
Kwa kweli hadithi ni nzuri na Inavutia sana! Ila Kaka lukasi ww ndo umemaliza Kila kitu kwa sauti yako nzuri na yenye mvuto kwa msikilizaji,da!sipati picha ukiwa na wifi nyumbani ,mungu akubariki sana na akupe umri mrefu wenye furaha na amani ili tuendelee kupata mazuri zaidi.
A
Ààààà
Daaah Brian anajua kutunga kweli ,msimulizi nae zaidi
Ety nikarudisha komwe langu ndani 😂😂😂😂😂😂 nimechek kwa sauti
😂😂😂 ety kwan chooni wanapika sambusa 😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂Kwan komwe lishaanza kubonyea
M paka nimejiona ndo mm Sasa hap uwiii
shukrani simlizi nzuri sana😋 pongezi kwamtunzi anaweza sana🙏
Lucas asante kwa simlizi yako tamu sana yenye kuliwaza na kuburudisha
Nice story 👌 😊
Nastikika kutoiskiliza mwanzo😀😀
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰
Nimependa sait yako lukas
😍😍😍😍jamani 🎉
Nimeipendaa
Shukraan sana kwa simulizi pufii asante lucas simulizi tamuu na mafunzo pia🥰🥰
🎉🎉❤
Msimuliaji yuko vzr hadi raha jamani
Hathithi nzuri sana
asante san kwa simulizi taam 🙏🙏🙏🙏👌👌❤
Swadakta
big up kaa Lukas Nice story❤❤❤😂😂😂
Sina tuh alipewa lisilo mfaa🥰hakustahili kuitwa SIKITU jamani sikitu😍😍simulizi bomba sana ♥
Vero mpk nimekuzoea amn simuliz unakosekn km mm tuu😅😅😅 yn km hatun kaz zakufany vile
@@victoriajulius5072 nimecheka kwa sauti🤣🤣
@@victoriajulius5072 kusema kweli pahali nimefika siwezi fanya kitu bila kuskiza.tena nitachekwa😆😅
Mara yangu ya tatu narudia kuwatch 😂😂..ila hizi hadithi zenu zinafanya tuwe hoi sana. Wengine tuliona mboo zamani sana ata atujui zinafananaje kwa sasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kheeeeee
Jaman nafuatilia sana hiz simuliz nacheka hatar 😅😅
Simulzi zuri sana🥰🥰😘👌👌
Simulizi nzur inasisimua hadi miguu
Simuliz nzue san napenda kuirudia kal😂mara naipenda sanaaaaa
Una sauti nzuri kama DON Mzee was vituko🤣🤣😂✌️✌️
Umejua kunifurahisha jaman😂
❤❤❤❤❤❤😂
Asate sana simlizi mix ila msimliaji uko vizuli sana 🙏🙏👌👌
Duh tam sana na hyo saut muh
Lucas uko vizur ongera san
Mi sauti ya Leo nilizan sio yeye kidogo niache kumsikiliza badae nikagundua ni yeye
Jamanii hii ni maraa yaa 4 naisikiliza daah aaipoi wala aiboi 😂❤ hii storry
Hadith tam haichosh kusikiliz daaa mtunz umetisha nimeirudia Zaid ya mara mbili mbili
Zuri kweli
Thx sana simulizi nzuli hata sawuti amazing sana
Amazing story ni tamu sana aiseee🥰
Fantasic lnapendeza sana
amazing sana kaka Lukez tukubali tu na malipo n hapa hapa tu
💕💕💖 nzuli
Pongezi n tamu Sana
Sana tu
Jamani lukasi Leo huleti muzigompya
Simulizi taam👌👌👌😘😘
Nimemis simulizi Kama hz😍😍
Jamani hii simulizi ni tamuuuu Ila kaka Lukas umeinogesha sana
GOOD STORY.🔥🔥.THANKS MR LUCAS
Very nice ❤❤❤❤❤
Simulzi zuri sana 🥰❤❤❤
Kwa nini mahouse girl wanachukiwa hivi??? Na wao ndio wife material poa nayenye heshima ???
Wooow😂😂😂😂 moto!
Sanaaaaaaaa😂
❤❤
Nasikitika kwa kutosikiliza mapema 😔...the story is 😘😘
Naaanz kumuelewa uyu msimuliz sas
Kwan ulikua humuelew
Nawapenda bureeee simulizi mix
Nzuli sana asante
🤣🤣🤣aki reo umejuwa kunicekecha san nasauti yako tamu
Story tamu nimecheka maana msimuliajibunajua kusimulia
Mapenz shkamoob😅😅
❤
Jaman wengine wanabahati 🥰
Ni kwel❤
Asante sana tamu sana
Jamani simulizi tamu hiii🤗❤️
Lucas usiache kutoa simulizi unafaa sanaa unaleta uhodo kwa sauti hiyoo 👌👌👍😊😊
Hkik 🙏🙏🙏🌹
jamanii dahh hi story ni nzuri😍🤩😘
Duuuh hatariiii nanusu jaman tamu 🤗😘💞💞💞
Abheeee,sikitu🥰🥰🥰🥰
🌿🌿🌿🌿🌿🌿
Thanks sikutu ndoa jema nawapenda sana nitumieni simulizi ingine tamu kama hii👆👆👆❤❤❤
Yaan hii story jaman naipenda jaman kak Lucas hongera nice voice naisikilizaga kli sik nyiee 💞💘💘
Simulizi tamu Sanaa 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Gud jobx msimuliaji 🙏🙏🌹never disappointed
Jamani kitu kumoyo hasa ubarkiwe mtunzi na msimuliaji tamu sana hii kitu