BINTI CLEOPATRA: (DADA WA KAZI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2023
  • Binti Cleopatra ukipenda mwite Cleo.. Anatoroka kijijini kwao huko bukoba akiwa na marafiki zake wawili.. wa kike na wakiume wanazamia jijini Dar... ktk kupigika na maisha cleo anapata kazi ya ndani yani House girl kwenye jumba moja la kitajiri.. Sasa huko ndani ndiko Simulizi ya Cleaopatra inako kolea.... Kwanza familia ina baba , mama na vijana wa kiume watatu.. Ukiacha hao kuna huyu bibi hapa mwenye kiranga na gubu lililokubuhu mwite Bi Tunu.. Amaa walijua kukomeshana na Cleopatra.. Kubwa kuliko ni kwamba hii familia humo ndani kila mtu anaishi kimpango wake.. Vijana kwanza hawaongeleshani wala kuwasemesha wazazi wao.. Yani mradi tu Tafrani.. Cleopatra anasimulia aliyoyashuhudia huko ndani. . Sikiliza hii ni kwa ajili yako.

ความคิดเห็น • 45

  • @KarlyDylern
    @KarlyDylern 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asee nimecheka saana ...ukizingatia iwas in abad mood jaman😂😂...Thank you beatrice mshana

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nipo namie

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 9 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran. Vsan

  • @user-ij1yh2ur8v
    @user-ij1yh2ur8v 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nimewahi kwa beck Tatu mwezangu❤❤❤

    • @mporipori99
      @mporipori99 5 หลายเดือนก่อน

      Kufanyaje 😀

  • @MarwaNyangati
    @MarwaNyangati 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama🎉🎉

  • @maryammussa9735
    @maryammussa9735 9 หลายเดือนก่อน +5

    Bi Tunuu 😅😅we kiboko

  • @user-kx1bu2bf7n
    @user-kx1bu2bf7n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn love🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂inachekesha mwanzo mwisho inahuzunisha

  • @SIMULIZIFUPI
    @SIMULIZIFUPI  9 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂bi Tunuuuu

  • @fatumamohamed2590
    @fatumamohamed2590 9 หลายเดือนก่อน +5

    shepu imeamia usonii😂😂.....nimeipenda iyoo❤😂😂

  • @HappyMshanga-xx1ob
    @HappyMshanga-xx1ob 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nipo jana na leo 😂😂😂💥💕

  • @youngjaywinfrey9854
    @youngjaywinfrey9854 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kila siku 😅

  • @ESTERPAULO-iq5rh
    @ESTERPAULO-iq5rh 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nihatal jaman duuuh ety shepu

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nimesherewa❤❤

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂Nyiee mwatuuwa na kuchek na huy bb na cleopatra

  • @kaneza932
    @kaneza932 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wawoooo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e 9 หลายเดือนก่อน +5

    Inasikitisha sna story

  • @user-fd8ce8ct2m
    @user-fd8ce8ct2m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana na wewe piya

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 9 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂😂😂 uyu Cleo sio mzima kabisaaa mtama tena jamani

  • @CynthiaIgiraneza-iz7qr
    @CynthiaIgiraneza-iz7qr 9 หลายเดือนก่อน +4

    Bi tunuuu kwr umenifurahisha 🤣🤣🤣

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 9 หลายเดือนก่อน +5

    😊😊😊

  • @QueenShirima
    @QueenShirima 9 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤❤❤

  • @SalomeSambala
    @SalomeSambala 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani bi tumu kaniacha hoi

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nipo pia namie jamani uuuii

  • @user-it5ej8eq6m
    @user-it5ej8eq6m 9 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asate sana simlizi fupi

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nimejikuta nazimba mdomo kwa mikono yote miwili😂😂 juu kwa huy website wangu kama vile bibi ananisema mm😂😂😂😂

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 9 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤❤

  • @esthermugoli4527
    @esthermugoli4527 9 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 9 หลายเดือนก่อน +2

    Khaaa bi chausiku lami tena😂😂😂😂

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 9 หลายเดือนก่อน +4

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @janemaliga
    @janemaliga 7 หลายเดือนก่อน +1

    jaman nyie

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 9 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @fridamweni5681
    @fridamweni5681 9 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂🎉

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 9 หลายเดือนก่อน +1

    Haa jamani wazizi hawana hashima Kwa watoto wao biblia Iina Sama enyi Akina baba msiwachokoze watoto wenu Bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana yesu. Tana dada hukimiwi hunapona Kwa maombi tu yesu hanawezi

  • @MwanajumaRama-bd9rb
    @MwanajumaRama-bd9rb 9 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @patriciadamas8878
    @patriciadamas8878 9 หลายเดือนก่อน +5

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 9 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂🎉🎉

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @AbigaelMalashi
    @AbigaelMalashi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimenda mwanzo hadi mwisho

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 9 หลายเดือนก่อน +1

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu baba angefilia hapo juu yapanga boy hana maana yan wazee wengine bn haya ushagawanyia mkeo haya mkumbushanege doz Cleopatra ndoa njema halafu huyo bi tunu jamani kaa yani bs sumbua tariff lkn amekusaidia hadi ukaoleka hapo

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂