Hongera sana mnatoaa sana funzo kwa vijana wakitanzaniaa the way yakuitunzaa furahaa pale anapoipataaa na wanawakee mjaribu kuwa na huruma na wanaumee b'se tunayapitiaaa mambo mengi wakati wa utafutajii kwa mnao pendanaa pendanenii sana na mapenzi hayaishii kwasababu yakucheet Ana no mnaaachanaa baaada ya mioyoo yenu kuchokana!!.😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hongereni xana kelvin najua mwanaume akipenda amependa yupo tayari kwa lolote pia kwa vumilivu kutoa hela hali umesikia kila kitu ila Mungu anamwona Mariam kwa dhambi zake.Nachukia xana wanaume wasiopenda kujishughulisha na kupenda kulelewa na wanawake.
Dah yani haea mafemu ndo wanavotufanyia hv yani unampa pesa kwa ajil ya kumsaidia kumbe ni mnaafiki anaenda kumpa danga dah,,,wanaokereketwa km mim na hii hali gonga like ❤❤ hapq
Aseeee na Bora umekuwa jina la mariamu😂😂😂😂😂 umetisha mariamu 😂😂😂 badilika wenye tabia Kama ya mariamu badilikeni😂😂😂😂 pole Sana kelvini jamani unae mpenda nae kampenda mwingine❤❤❤❤
Daaah kiukwel jamaa unaweza san mungu akubaliki utafika mbali sana, unajua kuandika story, imenigusa sana adi moyoni👏👏👏👏, me nakupa 🌺🌺🥀🌹💐💐 yako kaka, me ni funny wako.
th-cam.com/video/2D7qNJwlenk/w-d-xo.htmlsi=8hg05b8azPzwuW_8
LEO IMETOKA SERIES YETU MPYA YA MAPENZI INAITWA - VAMPIRE LOVE ❤ bonyeza link kuitizama
Movie tingisha
nakukubali sana kelvin na team yako mnatoa mafunzo mazur
Q😊
Q😊q
You kill it my bro kev🔥🔥🔥
Msanii wangu kelvin!! Pole sana kaka!! Fun wako wa kids kupona kutoka Kenya 🇰🇪 like ZA kelvin!!
Mariam tafadhal bona unafanyia Kelvin, nawe nelly hiyo tabia ya kulelewa na mke congratulations Sana kutoka Kenya ❤❤❤❤❤❤❤
Donta tv mnanifanya kama chizi kwenye jalala yan mda ote nachungulia mmetupia kitu gan....kaz nzuri kwakwel hongeren
Nimejifunza kitu hpa asante sana Kelvin❤❤❤❤
Good work Kelvin we love you so much 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana mnatoaa sana funzo kwa vijana wakitanzaniaa the way yakuitunzaa furahaa pale anapoipataaa na wanawakee mjaribu kuwa na huruma na wanaumee b'se tunayapitiaaa mambo mengi wakati wa utafutajii kwa mnao pendanaa pendanenii sana na mapenzi hayaishii kwasababu yakucheet Ana no mnaaachanaa baaada ya mioyoo yenu kuchokana!!.😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mapezinzi sio pesa mapenzi ni hisia kelveni pole sana love you DONTA TV family ❤
❤❤❤
Good job team Kevin much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
19:43 dauhgo Tfjkm
😢😢😢🎉😊
shukran sana blaza
vip kuusu hiopart yamwisho vizuri kama ungekaatu bila kuimba ndo ungekua mwonekano mzuri kwamba unaumia
Nakukumbali kelvin wewe ni kaa mentor kwangu manake nimejifunza mengi kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana
Merci sana kaka kevrin mungu akubariki❤@@Dontatv255
Iyi kali kabisa tunaipokeya kwa furaha natena tunafurai kwamana minutes ambayo metupa imeturizisha myoyo yetu❤❤❤❤❤one love one access
Sawa j5 inaendelea
😂😂
Hongereni xana kelvin najua mwanaume akipenda amependa yupo tayari kwa lolote pia kwa vumilivu kutoa hela hali umesikia kila kitu ila Mungu anamwona Mariam kwa dhambi zake.Nachukia xana wanaume wasiopenda kujishughulisha na kupenda kulelewa na wanawake.
Asante sana
Use the edit icon to pin, add or delete clips.
Hyo part mliompea Victoria ilikuwa mmpee Loveness au Tina ingekuwa powa but piaaa... Mmetisha good job.
Thank you
Kelvin njooo huku mariam anakuchiti mariam sio poa jamanai kelvin polee i love you kelvin from Kenya 🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Daaaaah
Awa viumbe wakuitwa wanawake awasaminik kabisa
Ndiomana kwangu staki kukulupuka kuoa au kujiingizia kwenye mausiano
Pia nawakubali xana movie zenu zinamafundisho mnooo ❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana
Background music ni wimbo wa Nani Kelvin namanisha artist
Pia mm natamani kujua artist wa huu wimbo @@paschallameck4372
Good job team Kevin much love from burundi
Waaa pole Kelvin kma maisha iko hvo na Mariam mungu akuongose,juu Mariam anakuchit,
Mapenzi bwana aixe niuchizi kweli bro polesana umepitia mengi xana ❤❤
Dah yani haea mafemu ndo wanavotufanyia hv yani unampa pesa kwa ajil ya kumsaidia kumbe ni mnaafiki anaenda kumpa danga dah,,,wanaokereketwa km mim na hii hali gonga like ❤❤ hapq
❤❤❤❤
Hongera sana ila mimi huchukia wanaume wakupenda kulelewa kweli😢😢😢
Japo2 wanaigiza lakini me mwenyewe najisikiya vibaya
@@starnnystivini164 kabsa😏
@@starnnystivini164 sio to maigizo aya yapo sana kwenye jamii
Munayuwa sna ❤ kabisa.
Kelvin na loveness mnaendana sana 🤗🤗
Tazani waowane live 😂
Congratulations kelvin with ur group
Aisee Iko funzo kubwa ya maana love from kinshansa- Congo 🇨🇩
Kaka we noma mungu akuzidishie maisha malefu unatoa elimu kwa wanaweke nzuri
mapnzi ya kibongo utumwa penda uwee chuma ulete...baaadae ujue uwee mlinzi..wachache wanaotambua samani ya upendo...❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Na unavyojua kulia viky😂....Nawapenda sana from Kenya❤
Good job Kelvin much love from Burundi ❤❤❤
Asante sana
Jaman Kelvin I love you ❤unajua Sana
Aaaaaa true story jamani wanawake mungu anatuona vilevile waume kama hao pia wapo 😢😢mungu niepushe na waume kama hao 🙏🏻🙏🏻
😭😭😭
Naitwa anastazia nipo dar mhhh!!! Huyu mdada hana at a aibu
Wa kwanza kabisa leo 😂😂😂😂 duhh mpaka naonekana sina kazi
❤️🙏
@@Dontatv255❤ Nawakubali sana chama langu Donta tv 🤜
@@Dontatv255naomba tuonane kesho
1:06 @@Dontatv255LM kßi8❤
Yaani ww mwanaume km unamapenzi ya kweli km hivyo unavo ekti bs upo vizur sana dah na mm pia nahitaj mwanaume km ww❤❤zanzibar
Tuna hamu jameni tunachoka kusubiri sehemu ya 2 mweshimiwa dondosha mzigo tafazali 💐💯🌹🇿🇲👁️💯🌷
Inakuja soon j5 inatoka sehemu ya pili
@@Dontatv255kote uko mbona mbali sana
Much love team Kelvin watching from saudi
Aty ..haitambui Mambo yako hayapi kipa umbele wee ni yupi dume surwali ..wewe much love Kelvin ❤❤❤❤Bigup my G 🔥
Mhhhhhh
Nimefika jamani, much love ❤❤ from 🇰🇪
Waaah kama mapenzi yanauma hivi shikamooo 😢😢
Mnaendana sana kelvin na loveness
Lijana ume hovyo lakupenda kulelewa na mwaña mke😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂na ndo ambao wamebaki dunia ya kisasa 😢😢😢😢yaan nimejikuta macho yananitoka wallah
😂😂😂😂 hlo janamke sasa lilivyo linamsumbua kelvin wetu
Nawapenda sana niko Burundi 🇧🇮
Safi sana Mnaongoza🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Waaah njoon Uku Victoria kaanza ukora haa imeweza banaaa❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂jaman
@@VictoriaMwigani umeanza tabia mbaya ww😂😂😂😂😂😂😂😂 kitakuramba
Jaman mbona nzuli nakupenda kelvin ❤❤❤❤❤
😂
Kelvin hongera sana kwa movie nzuri
Team Kelvin much love from kenya❤
Asanten sana kwa movie nzuri yenye mafunzo mungu awabariki🙏🙏🙏💯💯💯🔥🔥🎉🎉🎉🎉👍
Asante sana
Hata mm cjachelewa ❤❤❤ Ongeren DONTA TV pamoja 🎉🎉🎉🎉
🙌🙌
❤❤ nikweri nibola ukampenda mwanaume masikini Kuliko mwanaume tajil
If u Don't love the man, respect is work and money
Aseeee na Bora umekuwa jina la mariamu😂😂😂😂😂 umetisha mariamu 😂😂😂 badilika wenye tabia Kama ya mariamu badilikeni😂😂😂😂 pole Sana kelvini jamani unae mpenda nae kampenda mwingine❤❤❤❤
Kevin naomba unambie mwenye aliimba hiyo nyimbo nmeipenda sana
Hama q - hapo mwanzo
Jaman mungu awatie nguvu mnafanya kazi nzuri 🎉 sanaaa
Kazi zuri hii nayo imenipea funzo❤
Kelvin umerogwa nn
❤❤kelvin nakupenda sana kwa kazi nzuri pongezi much love from kenya
Asante sana
@@Dontatv255 karibu
Kazi nzuri sana jamani mb zangu zinaisha kwaajili yangu
Uwii wapenzi daah viki njooni muone haya anayo yafanya viki..pole kijana wa mwenyewe uzuri umempa hela,,hata mimi n wa kwanza😂😂🏃🏃😂😂
Mshukuru mungu umesikia kabla hujampa hela,pia hongera sana kevin muvi zako zinzfundisha sana
😢😢 ujiga wamapesi apana siwesi saudia Arabia tune from kenya
😂😂😂🤣🤣 Mambo ya kupika kubusi ni magum
Mapenzi ety wanawake akie wah ...Thanks Kelvin for your love...from Kenya
Thanks
Wimbo mzuriii jamani,nmeupenda
Kaimba nani
Victoria wacha unafiki mbona unashobo namna iyo surely,wanawake hawabebeki kwel 😢❤
Haiko victoria wetu. Ni Mariam
Mazoea bwanaee
@@GraceVISAMAYANI-gj1xm🤣🤣🤣🤣
Aki wanawake tuhumie wanaume waaaah wanapitia kwa kazi gumu 😂😂😂😂
Waooh kazi nzuri Kelvin part 2 nasubiri mm yani 💟💟
Sawa inakuja
@@Dontatv255 inakua
Ni nzuri sana CONGRATULATIONS .movie zinafundisha na mafunzo ndani yake
Kelvin nyimbo ❤❤mashallh
Kaz nzur kaka
Napenda kazi zenu big up donta tv🎉🎉🎉
Sawa Asante
Good work Kelvin kwa kazi nzuri sana nawapenda kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kelven nikweli mapenz ni uchizi ht mm niliwahi kuwa zaid ya hivo nilimpenda mwanaume ila yy alikuwa anampenda mwengine ahaaa ila mung ndie hakim
Pole
Wanawake tutafika mbinguni tumechoka sana 😅😅😅
Hayo sio mapenzi ni ujinga
Ok
😊😊
😂😂Nahamia Tz pia mimi kama wanaume wanalipwa na wanawake😊😊kutoka 🇰🇪 🇰🇪
Mariam hii sio poa Kwakweli 😢😢😢😢 Wanawake wajifunze kupitia wewe waone kwajisi yanavio uma😢😢😢 ila pôle sana Kevin😢😢
Kweli Wanawake mnatuumiza sana😢😢😢😢
Daaah kiukwel jamaa unaweza san mungu akubaliki utafika mbali sana, unajua kuandika story, imenigusa sana adi moyoni👏👏👏👏, me nakupa 🌺🌺🥀🌹💐💐 yako kaka, me ni funny wako.
Mwanaume gan huyu ww unavaa heren na yy anavaa heren vip tn unamujonga unatuzalilisha wanawake wenzako
Kaka akika wew nimpambanaji mung akutienguvu
Daah good job nawapenda❤
Big up brother kelvin kwa hi movie maana ki reality hipo hivo tunanyanya sika na mapenzi hadi tumekata tamaa
Good job team kelvn much love from keny❤❤
Asante sana
Kazi nzuri Asante kervin kwakunifunza kuhusu mepenz yakwer
Kelvin uko vizur mwanangu kaz zako nazielewa sana
Pole kaka unafanya kazi ya kuwapa Hela tu wanaume wenzio.duuuuu we ni nomaaaa kelvin keep it on
Mwanaume akipenda anapenda sana na anakuwa yupo tayari kwa lolote ila sisi wanawake ndio tunazingua sana
Hiyo kwel mdogo wangu
Umenens
Umenena
Kabisa yn
Uhakika
Much love broo
Wahooooo ,kazi nzuri
Cinema safi sana nakomenti kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Vick Leo huna akili kabisa Yan yy mwenyewe n maskini alafu ww wachukua pesa ukampe mwanaume mwingine kwel huna huruma ww
Huo ukurasa nouma, Bora uenjoy kaka, Mungu analijua Hilo na wakati sahihî ukifika Mungu huonyesha njia. Amini kwamba
Good work 🔥❤
Thanks 🔥
Haina tofaut na yaliyo Nikuta, hongera kervin
Kutoka Burundi Guys ❤❤❤
I Love You Very Much ❤❤❤
Thanks
@@Dontatv255nakupenda
Dah!!! Kijana nashindwa niseme Nini hata kwa ubunifu mulionao haya yapo kweli kwenye jamii hasa kwa kizazi hiki2000-2024
Jamani huyo mariam natamani awe mdgo wangu nimpge😢😢😢
Naeza mpiga hadi anipende aache ujinga
😂😂😂😂 mpige nitakusaidia Tena niletee huku Mozambique 😅
Tunajifunza lakini ndugu zangu
This is reality my friend
Poapoa tuko pamoja❤❤❤❤❤
Daah mpenzi shikamooo samwel from Burundi 🇧🇮 ♥️ 👌
Kazi mzuri keep it up
Yaani mwana wana wake nikama mdaktari hatakama unaumwa lazima wakuombe pesa😂😂
😂😂😂😂😂😂 hiyo ni kweli kwa sababu wana wake tuwesi kujitekemea
Asante tumejifunza❤❤❤
Huyo jamaaa chizi Zaid ya machizi kidume kafanye kazii💪💪💪💪
Pongez kwenu wanaa donta ila Nelly acha kulelewa na mwanamke 😢😢😢😢😢😢
Napenda xn hako ka wimbo jaman 💖💖🥰🥰🥰🥰🥰