Askofu Nchimbi alikir utekaji Asante kw hilo Askofu,umeshika pabaya, Askofu, Asante sana Askofu,naw pia n mhangaa,ulibanwa kwenye konaaa,pole sana, Askofu,hao n akina pilato na Farao Firaun,raia hatuko salama, serikali, haina hofu,na raia,
Henge au magenge? Maana hata wachawi wanateka, wanaua, wafanya biashara wanatekana na kuuwana, familia wanatekana na kuuwana kwa sababu ya miradhi au kuiba Mali ya kifamilia. Kwa hivyo Watekaji mi wengi Uliacha mambo ya siasa .
Sasa askofu Mwamakula unapendekeza mjadala/maongezi zaidi baina ya watu wanaoheshimika ktk jamii na Rais SSH ili mkamwambie nini ambacho hakijasemwa hadi sasa??? Ni kipi hicho msichokisema hapo ukumbini ambacho mnataka akaambiwe yeye tu huko ikulu??? Kwa mifano iliyopo ya matukio yaliyofanywa na polisi, pamoja na uamuzi wa wazi wa serikali (Rais SSH) kutotaka kuchukua hatua zozote dhidi ya polisi waliobainika kuhusika ktk matukio hayo yote, n.k je, hiyo haitoshi kutujulisha kwamba Rais na serikali yake ndio wanaoyapanga hayo na kuratibu utekelezaji wake kupitia majeshi (polisi, usalama wa taifa, n.k) ili kuwatisha wananchi??? Kuna shaka yoyote hapo? Nadhani woga si tu kusemea chini chini na kukwepa usijulikane; bali vile vile ni kule kutaka kumtenganisha Rais SSH na maovu yafanywayo na majeshi haya, wakati inajulikana wayafanyayo yana baraka zake (kwa kweli yeye ndiye huwa amewatuma kufanya wayafanyayo).
Kabisa baba askofu Mungu akubariki kwa kusema ukweli bila kupepesa.
Sawa kabisa
Askof na
Mungu akubariki kwa kutetea haki za watu na wote ambao leo mpokutetea haki
Askofu E. Mwamakula, ni Askofu wa kweli mwenye Hati ya Mbinguni, Kazi yako ni njema Baba
Safi kabisa Askofu kwa mchango wako mzuri sana
Askofu Nchimbi alikir utekaji Asante kw hilo Askofu,umeshika pabaya, Askofu, Asante sana Askofu,naw pia n mhangaa,ulibanwa kwenye konaaa,pole sana, Askofu,hao n akina pilato na Farao Firaun,raia hatuko salama, serikali, haina hofu,na raia,
Ubalikiwe Askofu kwa kua mteteze Wa Wa Tanzania
Jamani askofu wetu .Mungu akutunze baba
Baba Askofu tunakuelewa na unaeleweka Mungu akubariki
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Umenena sana asikofu🎉🎉❤
asante sana mtumishi wa mungu kwakusema kweli.
Askofu bado ana changamoto kubwa sana ya kuwasilisha mada. Ajifunze public speaking. Hajui namna ya kuconect concepts
Au wewe ndo huna akili ya kuelewa😂
Ni mungu amekuokoa pia ww Asante mungu
Kweli kabisa baba ukweli ni kitu kizuri
Big brain
🎉🎉🎉🎉🎉Mwamakula Oyeeeeee
Mke wa Kaiser halaumiki
Huyu mchungaji ana amini kuwa kujiuzulu kwa viongozi ndio suluhisho la kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu..! 😂😂😂😂
Au na wewe ni mhusika unaogopa kujiuzulu?😊
Ndio mwamakula mungu akutumie.
Askofu amenyooka 🎉
Uwezi kuwa mfanyakazi wa gvt na ukatoa taarifa za kazi kwako huyooo ni mjinga sana
Ulitekwa au ulijiteka
Muogope Mungu
Unasema uongo askofu
Muongo mwenyewe uliye chawa
Eti askofu,,,,,!!!
Sisi Askofu Mwamakula
Kabisa
Kinyume chake wao ndo wakosaji kulalamika mnapotezwa katavi/ ununio
Polisi 😂😂😂
Raia hawapigii kelele kwsbb hatuna elimu, Hatujielewi Tatizo shule Tz tumelogw wp jamani TZ
Si tulinyimwa elimu aisee we acha tu
Katiba ingefundishwa hata secondary ingekuwa poa
Utekaji upon sana mo katekwa Loma katekwa savista katekwa soka katekwa mbise katekwa Dr ulimboka alitekwa
Very poor reasoning from a cleric
Saruti ZIPo za watekaji musiming,anti maneno akuna nape wamesema wakipotea polisi msiwatafite na supika nae kasema maneno hayo mbeya nakatibi wa vijana ccm kasema mbona muwakati je wagesema wa vyama vingine polisi watalaumi kwa sababu wanao sema maneno makali wapo ccm awataki kuwakamata
Wakala wa chadema na baba wa kiroho wa mwenyekiti
Ulojo shida sana
Askofu hakuna jambo lema alitekwa
Henge au magenge? Maana hata wachawi wanateka, wanaua, wafanya biashara wanatekana na kuuwana, familia wanatekana na kuuwana kwa sababu ya miradhi au kuiba Mali ya kifamilia. Kwa hivyo Watekaji mi wengi
Uliacha mambo ya siasa .
Lema alikamatwa na si kutekwa, huyo mfanyakazi ni mpumbavu sana
Alikamatwa saa ngapi na taarifa zilitoka bàada ya mda gani, utaratibu unatakiwa uweje
Hakuna kutekwa bila kukamatwa ILA kukamatwa siyo lazima iwe kutekwa.
Mtu akikamatwa kisha taarifa ikafichwa kuwa yuko wapi basi huo ni utekaji.
Wasafir wa ndege nao sio poa haise.lems katekwa au kashikwa mbele yao hata kusema walishindwa duh
✋️✋️✋️👍👍👍👍👍🙏🏽
Upo vzr kuna kipindi wengi walikimbia ila ww ulikua imara ubalikiwe sana
Askofu mwama k hana akili na huyo shehe punda achen kujihusisha siasa
Sasa askofu Mwamakula unapendekeza mjadala/maongezi zaidi baina ya watu wanaoheshimika ktk jamii na Rais SSH ili mkamwambie nini ambacho hakijasemwa hadi sasa??? Ni kipi hicho msichokisema hapo ukumbini ambacho mnataka akaambiwe yeye tu huko ikulu??? Kwa mifano iliyopo ya matukio yaliyofanywa na polisi, pamoja na uamuzi wa wazi wa serikali (Rais SSH) kutotaka kuchukua hatua zozote dhidi ya polisi waliobainika kuhusika ktk matukio hayo yote, n.k je, hiyo haitoshi kutujulisha kwamba Rais na serikali yake ndio wanaoyapanga hayo na kuratibu utekelezaji wake kupitia majeshi (polisi, usalama wa taifa, n.k) ili kuwatisha wananchi??? Kuna shaka yoyote hapo? Nadhani woga si tu kusemea chini chini na kukwepa usijulikane; bali vile vile ni kule kutaka kumtenganisha Rais SSH na maovu yafanywayo na majeshi haya, wakati inajulikana wayafanyayo yana baraka zake (kwa kweli yeye ndiye huwa amewatuma kufanya wayafanyayo).
Hiyo itakuwa serkali ya kpuuz
Kwanini wewe ni serikali
Mwamakula kale ugali na usipa kazae
Huyu mchungaji ana amini kuwa kujiuzulu kwa viongozi ndio suluhisho la kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu..! 😂😂😂😂