Mdude makukubali. I salute you Boss. Una tumia kikamilifu milango yako yote ya fahamu. Sasa nikushauri kama hufanyi hivyo. Je, unafanya maombi kwa Mungu wetu ambaye yuko hai?
His voice ressembles Kali P , bongo flava legendary. Artist:Kali P Song:Imekaa vibaya Aisee wewe aisee wewe nilipokuwa polisi nilijua kazi ya upolisi ni yangu peke yangu..sasa sio afande tena..imekaa vibaya.
😅😅kwa Maelezo ya huyu Dogo alitakiwa akitoka Gerezani ateuliwe moja kwa moja kuwa mbunge wa viti Maalumu...hii kichwa ni noma..alitakiwa kuwa na kazi ya kuisaidia Police
CCM maana yake ni chukua chako mapemaaaaa upite na speed mia nchi ilipofikia Mungu atusaidie hongera sana mdude Mungu akutunze tatizo la nchi hii watawala wanapambana na na watu wenye akili badala ya kuwatumia ili nchi iendelee Kuwa Salama badala yake ni kuteka, kuumiza na kuua raia ila Mungu yupo na ndio msemaji hata nyie mnaotekekeza hizo mbinu ovu hamtaushi milele
Kichwa kimoja Cha upinzani ni vichwa zaidi ya 20 vya ccm., kiuwezo na nguvu. Mdude nyagari ni zawadi, tunu Kwa watanzania tunahitaji mdude 10 wenye nguvu , Nia, na uwezo sawa Ili kuleta mageuzi chanya.
Mjue Hii Mitandao Nyie mnaona kuwa nisifa kuichafua Serikali Shauri zenu. Hiyo ni njia ya Kiusalama Tu Mdude watu au Serikali Haiuwi watu wake bwana Acha iyo maneno
Ila ukimsikiliza MDUDE unagundua kuwa huyu siyo mtu wa kawaida jamaa anaakili kubwa saaana,,, mwamba Yuko vizur saaana shikamooo MDUDE!!!
Mdude makukubali. I salute you Boss. Una tumia kikamilifu milango yako yote ya fahamu. Sasa nikushauri kama hufanyi hivyo. Je, unafanya maombi kwa Mungu wetu ambaye yuko hai?
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki Mdude hazina etu yanchi yawatu wanyonge tusio nakwakusemea pongez kamanda kwaujasil wako naukakamavu wako pengine nawewe tungekupoteza mungu mkubwa
His voice ressembles Kali P , bongo flava legendary.
Artist:Kali P
Song:Imekaa vibaya
Aisee wewe aisee wewe nilipokuwa polisi nilijua kazi ya upolisi ni yangu peke yangu..sasa sio afande tena..imekaa vibaya.
Kwenye hii Dunia
Simwamin polis yoyote nacho jua MUNGU TU ndo mlinzi wa kweli
mdude mimi nimekuelewa sana kwa elimu ya uraia unayozidi kuitoa kwa watanzania mungu akubariki sana kwa sisi wajinga tunazidi kupata elimu
Congratulations brother
ASANTE SANA MR MDUDE NYANGALI
MUNGU wa kweli, Mungu wa haki azidi kukulinda mpambanaji Mdude,ipo siku haki itashinda Dhuluma.Amen.
Ongera kaka nyagari mwezangu
Mdude akili nyingi, kuna muda police kataeni hizo amri harafu mana kila mara mnaumbuka.
Hii kwakweli nimeelewa nini maana ya elimu na kujua Sheria congratulations mdude wewe ni tunu ya taifa hili
😅😅kwa Maelezo ya huyu Dogo alitakiwa akitoka Gerezani ateuliwe moja kwa moja kuwa mbunge wa viti Maalumu...hii kichwa ni noma..alitakiwa kuwa na kazi ya kuisaidia Police
Nilikua sikufahamu Mdude lakini Leo nimejionea uwezo wako. Watanzania Tunapenda sana, tutadumu kuombea usalama wako na kazi Yako.
CCM maana yake ni chukua chako mapemaaaaa upite na speed mia nchi ilipofikia Mungu atusaidie hongera sana mdude Mungu akutunze tatizo la nchi hii watawala wanapambana na na watu wenye akili badala ya kuwatumia ili nchi iendelee Kuwa Salama badala yake ni kuteka, kuumiza na kuua raia ila Mungu yupo na ndio msemaji hata nyie mnaotekekeza hizo mbinu ovu hamtaushi milele
M mung akulinde kaka
Kamanda nakukubali sanaaa!❤
❤❤❤ hongera
Kichwa kimoja Cha upinzani ni vichwa zaidi ya 20 vya ccm., kiuwezo na nguvu. Mdude nyagari ni zawadi, tunu Kwa watanzania tunahitaji mdude 10 wenye nguvu , Nia, na uwezo sawa Ili kuleta mageuzi chanya.
Mdude❤❤❤❤❤❤
Wewe ni mwamba kk. Big up
Akili kubwa Sana ❤❤❤
Naam!hizi siasa ukitaka amani kaa nje ya siasa mchezo mchafu wa pata potea ,ungo,ushirikina,,
Hayaa mambwaa ni majingaa sanaa
Mjue Hii Mitandao Nyie mnaona kuwa nisifa kuichafua Serikali Shauri zenu. Hiyo ni njia ya Kiusalama Tu Mdude watu au Serikali Haiuwi watu wake bwana Acha iyo maneno
We ni kenge serekali inahusika sana
mimi ningepiga kelele tu ns wao wauwawe tu
Hawa mbwa mwisho wao umefika
Aibu tupuuu
Kwaiyo wangekuuwa bure masikin walimwengu awa wanaua watu bila hatia😢
Sema mdude anajiona km nyerere
Watu kama hawa walitakiwa wapelekwe
Kweny Taasisi Nzito yenye shida ya uzalishaji
True
Munggu anamaana kubwa sana kuendelea kuwatetea Mdude na Lissu na Mwabukusi pamoja na wengine
Dah
Kweli kabisa hatuko salama
Duh! Nimejua vitu ambavyo sikuvijua haki 😳
Kwani wakikutaka wanafuata sheria kweli?
Inatisha
Tulitakiwa kupata uelewa wa namna hii
Huyu ni kichwaaa
Duuuuh
MUNGU AKULINDE MDUDE AZIDI KUKUPATIA AFYA NJEMA!
hahahaha hii story noma hivi kweli kuwa mwanasiasa ni slama kweli hapa kwetu?kwa yote haya
Big up
Duuh
😢
Umetumiwa tu ndugu yangu tafuta pesa tu hapo
Hii kwakweli nimeelewa nini maana ya elimu na kujua Sheria congratulations mdude wewe ni tunu ya taifa hili