@@masalsamwelmasal2255kama unaona ni wizi waambie wasanii wakataze mtu yeyote kuwa na nyimbo zao kwenye computer....Kama hujui Walusha nyimbo ndio wanaosambazia wateja wengi kuliko mitandao....weng hawana simu janja kama wewe wengine hawafaham hata youtube ni nn😮😮 Siku Limbu awaambie mashabiki wake kwenye show mwenye smatphone anyoshee juu kama watafika hata nusu ya watu walioingia....heshimu kaz ya Mtu brother
Dah ila mziki umekuwa biashara na umechangamka wasanii wanztunga mashairi mazuri piah madirector kila siku mnaumiza vichwa kuonesha utofauti kwenye kila kazi kongole kwako Migera you did it🔥🔥🔥
Mnyama jeshi la mtu mumoja, Mimi huwa na kuita hivo nawakilisha ndani ya sumbawanga nzima ,machiya boy, ukipenda nite devid ndani ya kijj sakalilo, rukwa
Nakubal san limbu tupo pamoja
Kweli sana lemboo😊
Yuko saw limbu
Mimi nipo mwanza pamoja sana
❣️❣️❣️
❤ 👌💪
kumanyok limbu
❤🎉
Safi
Safi sana migera❤❤❤❤ wewe nimufano sahivi
Sawa migera
🎉😢
Limbu komando pumbafu nene❤
Tayali mzigo usshachukuliwa na dj Paul, nyankende ndo home
❤❤❤❤❤
Aa kumbe
Kazi iendelee . Brother migera mipangilio gud
Nimependa kazi zako brother migera. Mwaka huu wamoto sana
💯💯👍👍
Kwau mwaka atawasumbua sana pia Kuna topha Kuna migela niatalllllllllllll?
Nimekuulewa sana Mzee madensa wako vizur
Tayar ipo kwa DJ JUMA.. salamiti Morogoro...Ukitaka kusambaziwa nyimbo zako morogoro nitafute
Nitafute kwa number 0762277374
@@MigeraStudio sawa brother respect kwako unaupiga mwingi sana
💯- 💯 kwa ote dj Konk naacha zawad zenu mafund wangu
Woooh lembo lya wiza endeleen kutuburudisha. nikiwa 🇴🇲 chukuen maua yenu🌹🌹💃
🔥 🔥
Ramadhan 3:11
Moto ni ule ule unazidi kuwa wa moto🔥🔥🔥🔥
hongereni sana 😂😂😂
Hii imenibamba penyewe much love from sumbawanga
🎉🎉🎉🎉🎉
Hongela Sana msaa kwa kazi hiyo
Leo mi wa tatu hamna nomaaa😂😂😂
Pamoja kaka Migera
Kali ya Mwaka
❤
Wewe ndio komando hakuna mwingine tunakupata hadi kwanza uko vizuri sana limbu
Good
Arusha ndo tunazisikiliza sana nyimbo zako daah
Mtu mbadii migera kazi nzuri sana unapiga safi
respect for migera
Nzuki
Nakuelewa xana kaka ang
Lya matuja noma
Tayari katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda Kuchukuwa NYIMBO MPYA I 2024
Nicheki kunakitu nataka nikuambie
Unafikiri ni sifa? Huo ni wizi wa kazi za watu
@@masalsamwelmasal2255kama unaona ni wizi waambie wasanii wakataze mtu yeyote kuwa na nyimbo zao kwenye computer....Kama hujui Walusha nyimbo ndio wanaosambazia wateja wengi kuliko mitandao....weng hawana simu janja kama wewe wengine hawafaham hata youtube ni nn😮😮 Siku Limbu awaambie mashabiki wake kwenye show mwenye smatphone anyoshee juu kama watafika hata nusu ya watu walioingia....heshimu kaz ya Mtu brother
Dah ila mziki umekuwa biashara na umechangamka wasanii wanztunga mashairi mazuri piah madirector kila siku mnaumiza vichwa kuonesha utofauti kwenye kila kazi kongole kwako Migera you did it🔥🔥🔥
safi kabisa achana na yule mwehu anayeimba matusi
Kali Kanaaa🎉🎉🎉Dope🎉🎉❤
Bg up bro
Good job migera
Limbu kamanda ❤❤❤
Nice jobu
Limbu SARA kisima SARA, haya bhana Sara mpaka akome
kaz nzr kaka angu endelea
❤❤❤
Tuleteeni huyu jamaa kitunda mgodini tabora apige show
Nikiwa Mkoa wa mara Bunda Mjini nawakubali sana🎉
Mwinage unaga akukuzunya
Mwaka huu nishida kwa limbu naona kwahali hii
mimi jumanne mayoka kutoka lindi tunakukubali sana komado❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
Mnyama jeshi la mtu mumoja, Mimi huwa na kuita hivo nawakilisha ndani ya sumbawanga nzima ,machiya boy, ukipenda nite devid ndani ya kijj sakalilo, rukwa
Migera unatisha sana mwamba big up kaka
Asante
Mapenzi hayalazimishwi huyo salah msimlazimishe
Limbu kama limbu mwisho wa siku nta taka corab na wewe make unaimba sana...
😂😂😂😂
@@user-zg7gm3cy1j 🤣🤣🤣 veep kicheche Tena...
@@mageletz umenifurahisha
@@user-zg7gm3cy1j ukweli ana imba jamaa so utqni
@@mageletz jamaaa anajua siyo siri yaani nelemi angefata vitu vingine tu kuliko kushindana na huyu mwamba
Komando majibu watayaleta wenyewe tu
Mnyama utwaua mwaka huu
Nipo na sara
Migera ,naomba uni2mie namba yako
❤❤