Hizi nyimbo zingekuwa zinaimbwa kumsifu mungu wasukuma wengi wangeokoka sasa unasifu dawa za shetani tu hii ni hatari mno yesu anarudi jamani maana hizo dawa ukizikosea masharti tu unakuwa masikini milele lakinin ukimuamini yesu akunaga kurudi nyuma mizimu haina nguvu msiiamini itawapeleka jehanam
Pumbaaavuu zakoo! Mila na desturi kwanza! Usitake kila mtu aimbe kwaya wewee! Nyie ndio mnaopenda kudharau tunu zenu na tamaduni zenu! Kwani kunadhambi gani hapo jamaa kafanya ameimba vizuri wala hajatukana.... badala usifie vitu vya nyumbani wew unapotosha nyanoko gete
wewe ni fala kabisa,haujui lolote kuhusu dini,unafata kila kitu kilicholetwa na wazungu hadi unadharau vya kwenu,Akili za kuambiwa changanya na zako mjinga wewe
Kulwa na dotto ni shija ni hatar nawapenda sana. Chukuweni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Nakukubali sana msaniii wanguh, , , zidi kupambania taifa
Karibu tena bukund kamanda
Sana limbu ongeza bidii umeiteka duniya
Ngoma kali sana Mwanaluchagula
Limbu excellent keep it up
A good one
Kazi nzuli kaka
Duh DJ KONK hapa NAPENDA Sana kazi Kama hizi zenye meseji kali
Nyimbo kali inanikumbusha katavi majimoto
Unajua kuchamba jaman mhh ningekuwa mimi nelemi ningekuja kukuomba msamaha kimyakimya😮😮😮
Chizi karogwa mwaka juzi... Tubebe Morogoro tunakutegemea wewe umekuwa tishio Tz
Nimemkubali hapo huyo mwamba
❤😂Kaka limbu wimbo alioimba kuku maji umeniuma xana nataman nikutane nae nikotayar kumpga 🥷🥷🥷🥷🥷🥷🥷🥷
Pamoja Lwenge Kz nzur
Mwaga moto limbu 🔥 🔥
caaàaa1l
Champion
Pasua miamba mwamba waambie hao wehu, tena kama kuku mavii mi simpendi make ni chawa tu na boya tu
Hta bariad tumekuelewa
Simbaa🔥🔥🔥
Nimefika
BY THE NTUZU MUSIC
Pamoja sana
Bong la mtu
Dah hatari
😂😂😂 mwamba anachamba huyu ningekuwa mm ndiyo nelemi ningeacha mziki
😂
Nelemi alale kwanza akiamuka ndo ajipange
Utawauwa kivuluge
Nelemi kuku maji na ndila mkiijibu hii nawapa hela
badudura lhimbo idito
Nimezikubali nyimbo zako meanaluchagula
Hakuwezi
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥀
🤜🤛
Uwe unaziweka na audio bas Google
✌️
💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥
Nditima ngw'anayunge
Ndila
Goood
Nelem
Libu
Hizi nyimbo zingekuwa zinaimbwa kumsifu mungu wasukuma wengi wangeokoka sasa unasifu dawa za shetani tu hii ni hatari mno yesu anarudi jamani maana hizo dawa ukizikosea masharti tu unakuwa masikini milele lakinin ukimuamini yesu akunaga kurudi nyuma mizimu haina nguvu msiiamini itawapeleka jehanam
Akili huna
@@sondolwajilungu1961 kweliii
Pumbaaavuu zakoo! Mila na desturi kwanza! Usitake kila mtu aimbe kwaya wewee! Nyie ndio mnaopenda kudharau tunu zenu na tamaduni zenu! Kwani kunadhambi gani hapo jamaa kafanya ameimba vizuri wala hajatukana.... badala usifie vitu vya nyumbani wew unapotosha nyanoko gete
wewe ni fala kabisa,haujui lolote kuhusu dini,unafata kila kitu kilicholetwa na wazungu hadi unadharau vya kwenu,Akili za kuambiwa changanya na zako mjinga wewe
Unamjua yesu? Ulimuona?. Dini ni tamaduni ya sehemu, kila nchi ina dini zake. Why mungu asingeleta biblia tz akaipeleka islaeri???
❤❤❤
pamoja
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kivurugeeee
🙅🙅🙅🙅🙅
😂