Wanauza sura. Ni bora wangewaacha watu wakaendelea kuokoa usiku kucha mpaka leo wenye wangenusurika lakini waliwaondoa hamna kinachoendelea. Hii Tanzania Mungu atusaidie tuu.
Baada mfanye uokoaj mmeganda tu apo pakishambuliwa kutoa ivyo vifus mnge okoa watu weng wengine wamezimia Hawa jafa ni uoga ila asipo ona msada anaenda polen wan kaliakoo mungu mtetez wetu yupo nanyi
Hv hawa waokoaji gan guys watu wako weng uko chini awapat oxygen wameshindwa kweli bora wangetuambia raia tufanye hii kaz maana mioyo yetu ni ya nyama inalia all the time... 😭😭😭 Watu wana suffocate uko chini ww unapata wap nguvu ya kuukaa bila sa babu.
Jamani mi Niko Arusha sijapata usingizi hata aa has a nikisikia walioko chini wanavyolia Kwa uchungu mkubwa tunaomba uck kuchaa watolewe manake Mungu hajawahi kuishiwa njia
Tanzania Ninchi Yamaaajabu Kweli.NANITASEMA SERIKALI YA TANZANIA NIYAKIJINGA KWELI. YAANI WATU WAKO CHINI SIKU YAPILI MNASHNDWA KUFANYA CHOCHOTE. TANZANIA IMEKUWA KAMA KIJISIWATU CHAWATU LAKI5.😢😢
Wanauza sura. Ni bora wangewaacha watu wakaendelea kuokoa usiku kucha mpaka leo wenye wangenusurika lakini waliwaondoa hamna kinachoendelea. Hii Tanzania Mungu atusaidie tuu.
Baada mfanye uokoaj mmeganda tu apo pakishambuliwa kutoa ivyo vifus mnge okoa watu weng wengine wamezimia Hawa jafa ni uoga ila asipo ona msada anaenda polen wan kaliakoo mungu mtetez wetu yupo nanyi
Hii ni nchi inawatu wa ajabu ssna yani wapo kwenye uokoaji lakini muda wote wanapiga story
Unadhani kuokoa ni rahis kama unavyofikiria hapo wakisema watumie greda wanaweza kuwapoteza wote na ndo maana wana tafakari kwa kina na na kina
Na wanafanya jitihada ni kumuomb tu Mwenyezimungu kwani yeye ni muweza wa kila kitu
Mbona kama hakuna kinachoendelea jaman
Inauma sana yaani sijalala uskiu kucha sipati hata usingizi
Ila bas tu wangeleta magreda mengi na mahari ya kubebe vifusi mbn kungekua na uafadhali tangu jana
Nachukia hii nchi watu watakufa huko chini nyie mmetulia asa apo mlifwata nn mnge waacha raia wapambane na ndugu zao
Izi mbuzi hazina kaz
Endeleni kutoa live wengine tumeshindwa kulala.
Mungu sadia waja wako yarraby
Hv hawa waokoaji gan guys watu wako weng uko chini awapat oxygen wameshindwa kweli bora wangetuambia raia tufanye hii kaz maana mioyo yetu ni ya nyama inalia all the time... 😭😭😭 Watu wana suffocate uko chini ww unapata wap nguvu ya kuukaa bila sa babu.
Jamani mi Niko Arusha sijapata usingizi hata aa has a nikisikia walioko chini wanavyolia Kwa uchungu mkubwa tunaomba uck kuchaa watolewe manake Mungu hajawahi kuishiwa njia
Mbona hamtangazi
Why is everyone just sitting around and doing nothing when people are running out of air inside the broken building??!!!
Tanzania Ninchi Yamaaajabu Kweli.NANITASEMA SERIKALI YA TANZANIA NIYAKIJINGA KWELI.
YAANI WATU WAKO CHINI SIKU YAPILI MNASHNDWA KUFANYA CHOCHOTE. TANZANIA IMEKUWA KAMA KIJISIWATU CHAWATU LAKI5.😢😢
Amebiwa azime ndio maana before alitoa sauti now katoka live
Kwanni wamwambie azime jmn watu hatujalala
Sasa hapo wanaokoa nn au wanapiga story
Mwenyewe wa jengo nani?