Tunamshukuru Mungu umetoka salama pamoja na wenzio.Mungu ajaalie na hao wengine watoke salama, ushauri wangu kwa Serikali muwe mnafanya ukaguzi kila mwaka kwa magorofa yote,na nyie wananchi msijazane hapo kwenye magorofa mengine maana naona kama nayo hayapo sawa
Ujenzi wa majengo marefu kwa kutumia foundation ya matofali ndy chanzo hayo magorofa kudondoka baada ya muda mrefu hvyo me nashaur yatumike mawe kujengea foundation za majengo marefu na xio matofali.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Huyo jamaa alokupa mgongo Mungu amtunze ❤
Unaetizama video hii mungu akulinde Na akubariki# Amen
Amina
Waliopata neema ya kutoka msiache kumwabudu Mungu yy anamakusudi yakuwaacha hai waliotwaliwa Mungu awalaze maali pema amen
Pole sana omari wangu ufanye ibadan sana
Tunamshukuru Mungu umetoka salama pamoja na wenzio.Mungu ajaalie na hao wengine watoke salama, ushauri wangu kwa Serikali muwe mnafanya ukaguzi kila mwaka kwa magorofa yote,na nyie wananchi msijazane hapo kwenye magorofa mengine maana naona kama nayo hayapo sawa
Mche Allah ndugu yangu Allah atufanyie wepesi
Pole sana allah awawekee wepesi na hiyo ajari
Mungu akipanga mwanadamu huwezi pangua hila tunawaombea mazuri mungu awalinde
Pole sana kijana MWENZANGU ❤
Pole Sana tumuomba mungu awafanyie wepesi wale wliobaki watoke
Mungu anakusudi na wewe ndo maana ukabak hai mpaka sasa sifa heshima utukufu nikwake yeye
Aminaa
Poleni sana allah awawekee wepesi na subra
Alhamdulillah,waliofariki Allah awasamehe dhambi zao
Pole sana allah awawekee wepesi na hiyo ajari 4:43
Daaah pole sana Mungu awanusuru wengine
Aamina yaarabi
Eee Mungu nisamehe madhambi yangu yote
Amiin
Pole sana ndugu yetu. Mungu wanusuru wengine
Poleni sana ndungu jamaa na marafiki🙏🙏🙏🙏
Pole sana ndugu yangu mungu akufanyie wepes zaid
Poleni sana wote mliofunikwa na jengo mungu anamakusudi yake pia mungu anaguvu zake nawaonbea mungu awatie nguvu poleni sana
Poleni sana Allah
Awape Subra katika mapito haya magumu
Yesu Ahsante kwaajili ya huyu mtu
Tunawaombea nahao waliobaki mungu awafungulie njia
Mungu ni mwema sna
Dah polen sanaaa ndg Jamaa na Marafki
Mungu awatie nguvu ndugu zetu
Pole kaka yangu
Mungu ni Mwema inauma sana walioko huko chini
Poleni sana wanangu
Pole kaka
Naashukuriwe Allah ❤
Poree.sanaaa.mungu.atawapoyaa
Duuh shukuru sana mungu wako
Eeeee mwenyez mungu awasaidie wote walio kuwep umo😭😭😭😭
Ndugu yangu Mungu ana makusudi na ww...kamtumikie
Mungu ni mwema kaka ume salimika na mungu atende muhujiza kwa walio baki kwenye kifusi
Hongera kwa kumtaja Mungu ni kweli yeue huonesha njia pasipo njia na amejuonesha njia Jehova hajawai kushindwa milele❤❤❤❤
Mungu mkubwa naamini nawengine wengi walioko chini watatoka salama
In shaa Allah 😢
InshaAllha
Inshaallah Allah awawekee wepesi
poleni
Alhamdulillah ashukuliw mungu
Polen Sana watanzania niwema kweny msaad
Daaah! Poleni sana jirani kila Christmas ikikaribia kunatokea maajali sijui kwanini 😢
Kipenzi sio ikikaribia Xmass yan mwisho wa mwaka kuna mambo mengi yanatokea tukumbushane kumuomba Mungu 🙏atuvushe Salama
Polen sana jaman watanzania wenzangu
Pole sana
Mungu akuokoe hili najengine
Polen jaman mungu awafanyie wepesi
Poleni sana waasirika nahilo jengo lililoporomoka
Dah mungu awanusuru majeruh na waliomo ndan jamn so sad
Ndo maana mm sipend magorofa bora nyumba za kawaida.Polen sana ndugu zetu.
Yani kifo nikifotu chamsingi nikumuomba mungu mwishon mwamwaka uu atanyumbandogo nayo inadondok tu
Mungu kakunusuru isnshaallah
Mungu ni mwema
Poleni sana 🥺
Pole ndugu yetu
Mwenyezi mungu mkubwa
Jmn poleni
Polesana mungu bado yuko nawe
Kijana umeeleze vizuri sana na umetoa ushauri muhimu sana
Wapelekwe hospital hiyo vumbi waliyoivuta sio salama jaman😢😢😢
Poleni sana
Ujenzi wa majengo marefu kwa kutumia foundation ya matofali ndy chanzo hayo magorofa kudondoka baada ya muda mrefu hvyo me nashaur yatumike mawe kujengea foundation za majengo marefu na xio matofali.
Kweli kabisa
Polen sana wapendwa
ALLAH AWAFANYI WEPES WOTE WALOPATWA NA MTIHAN WA KARIAKOO
WEWE MUDA BADO NDO USWALI MAAN UJUI KESHO YAKO ALLAH AWASAMEHE WOTE WALIO POTEZA MAIISHA
Aaamina yaarabi
Pole xan
Mungu awalinde walioko chini
Poleni
Alhamdullah Mungu mkubwa
Pole yao aisee
Poleni sana jamani😢😢😢😢
Waandish wa habari ni wengi kuliko waokoaji!!
Walishaona tatizo kwa nn wasitoe taarifa mapema?!!
Mungu ni Mwema poleni
Huyu mama aachie nchi tangu aingie madarakan majanga hayaishi
Poleni sana ndungu zetu 😢😢😢
Ila waandishi wa habari hamna akili,,, hivi vichwa vya habari huwa mnavitoa wapi ???
Subhanallah 😭 allah awanyie wepesi walibaki watoke salama inshallah
Majengo mengi hayana viwango
Pole
siri ishafichuka kumbe kulikuwa na fangazi aisee!
sasa wafanyabiasha muwe mnatoa taarifa mapema na kuhama maeneo kama hayo maprma kabala ya majanga
MUNGU awasaidie na wengine watoke salama
Polen sana
Wala.sio.jitihada.zako.ila.ni.kudra.za.allah..inshaalah.awafanyie.wepesi.na.waliobaki
Jitihada muhimu kijana
Zimetakapaa😅😅
Pole ndugu lakini nimecheka kwamba jengo limepatakaa
ulimpigiaje mteja wakati ulikuwa huna namba yake?ww ni muongo
Kakwambia alimpigia kakayake ampigie uyo mteja amuelekeze Jins yeye alivyotoka so kwamaa iyo mwenye namba za yule mteja alikuwa nikaka yake
😭😭😭😭 daah
vifaa vya ziko hafifu vyuma vyepesi sio steel
Jamàn polen sàñàaa
Polen jaman
Eemungu ufanye wepesi watoke salama
DAH AISE SERIKALI INABIDI IKAGUE MAJENGO YOTE KARIAKOO NA SIO KARIAKOO TU BALI NCHI NZIMA HASA MAGHOROFA MAANA NI HATARI KUTA ZINA FANGASI
Kabisa kabisa kariakoo ndio pamechoka kabisa majengo mengine bado atujazaliwa mbaka saiz
Wakaguzi wenyewe wana hongwa tuu nchi imeoza
Hapo unawatafutia hongo wahandisi wa bongo
Mungu mkubwa
😢
mungu ni mwema inauma sana walioko chini 😂
Ni mtaa gani?
lakini amekuokoa ,utarudi tena kumsahau na kufanya madhambi
Hakikaaa kwakweriii
Tunasahau haraka sana
Duh
Polen 1:21
kweli zimetakapaaa
Wewe mwenzio ni shock vaa viatu vyake uone.
Njoen ubungo wafanya biashara wote alf k.koo ikaguliwe