WAZIRI MCHENGERWA AMUONYA MAKONDA 'SI MAELEKEZO YA SERIKALI/SI UTAMADUNI WETU/ TUFANYE KAZI'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 180

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Makonda Piga Kazi. Kazi ziendelee, kama wapo Wazembe waburuzwe matopeni. Makonda Safi Sana.

  • @barakalukeha6184
    @barakalukeha6184 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Makonda safiiii,,,,,,Pia mchengerwa hongera sana kwa kurekebisha hako ka kipengere kadogo maana isijechukuliwa kama serikalini inaruhusu wanainchi kufanya hivyo inchi inaweza kuchafuka. Lakini makonda umetuma ujumbe kwa watendaji wengine wa serikali kujitathimini na ahadi zao .

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio makonda safi.Makonda alikosea sana.Alichofanya Makonda ni sawa na kuhamasisha wananchi waasi dhidi ya viongozi na serikali yao.Hapa ina maana wananchi wangeweza kuchukua silaha na kuingia madarakani kuipindua serikali yao .uongozi ni kipaji.

  • @florangido202
    @florangido202 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mmeanza
    Mwacheni Makonda.
    Hata yatojew nchi nzinma.
    Mbona sisi tunapata mafuriki kazi ta nani kuhakikisha mitaro inazibuluwa sisi ndiyo UTAMADUNI WETU KUISHI NA MAJI MACHAFU
    HACHENI SIASA KILA ANALIFANTA MAKONDA MNAMPUNFA.

  • @Elimuyaufalmewambinguni
    @Elimuyaufalmewambinguni ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mvinyo wa Mungu,(NITAWAGONGANISHA) ikiwa hamtatenda HAKI ,, YEREMIA 13:12-14

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mh Makonda songa mbele ukweli unaumaa Makonda juuu hoyeeeeeee 🎉

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    MAKONDA TUKO NA WEWE BABA, HAYA MAJITU YALIYOPITA BILA KUPINGWA HAYAJUI ADHA TUNAZOKUTANA NAZO .. MAKONDA UNAONA MBALI SANA…

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwani d wani au mwenyekti wa kitongoji.anajua mambo ya tarura.wangemtembeza mkurugenzi na meneja wa tanroad.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Punguzeni ujinga japo kidogo watanzania wenzangu

  • @babuukakene5758
    @babuukakene5758 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hotuba hii ni matokeo ya kazi nzuri ya makonda,ubarikiwe sana makonda kwa kuwastua huko

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Shida kubwa tz mwenye shibe hajui mwenye njaa !!@uzembe mwingi !!@ fannyeni kazi msituletee matishio😢

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Makonda Safiiiii sana chapa kazi baba, kama watendaji hawawajibiki wananchi tufanyaje? hawatatui sasa wapite kama tunavyopita sisi, mbona sisi tunapita kwenye maji machafu ? nao wapite ili waone uchungu tunvyoteseka, vinginevyo wafanye kazi yao

  • @NassethyMaillah
    @NassethyMaillah 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Makonda tunakuelewa sana. Chapa kazi.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Makonda kakosea sana ww mjinga.

  • @EnickoSanga-z8b
    @EnickoSanga-z8b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Makonda ndo rais watz

  • @kaungemuhiya7296
    @kaungemuhiya7296 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hakuna cha utamaduni, hapo. Viongozi wazembe. Wachukuliwe hatuwa Kali.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mchengerwa yuko sahihi.Makonda kakosea sana.

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuko na makonda bro mchengerwa acha apige kazi huyu makonda tumepewa na mungu

  • @saidishineni7966
    @saidishineni7966 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata huku chamazi Kuna mabwawa ambayo nadhani bwana mkubwa Mchengerwa unaweza kufuga Samaki ,cha ajabu na mabwawa hayo Yana Nuka na huwenda serikali itaanza kupoteza fedha Kwa ajili ya kutibu raia wa maeneo hayo Kwa mripuko wa maradhi.😂😂😂😂😂

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 19 นาทีที่ผ่านมา +1

    Tatizo amjui kuongea kwanza nikosowe kidog mwenyekiti ajabulushwa bali wananchi walikua wanamuonyesha mwenyekiti wao barabara aliyoahidi itajengwa ndo maana walimpeleka atembee pale ila sio et walimbuluza

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Makoda yuko sahihi. Tumechoka. Ninyi ni maneno tu. Hatutaki hotuba. Tunataka kukuona ukikagua miradi.

  • @KayagwaElisha
    @KayagwaElisha 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wewe ni mwizi na mama mkwe wako. Makonda piga ka,i maana ulitembea kila mahali kutatua Kero walikuambia unavunja haki za binadamu. Sasa leo unakwenda kutatua Kero zipi? Kama watu wameanza kwa wenyevit na madiwani sasa watawajia wabunge, mawaziri hatimaye rais. Hamtaamini maana tumechokaaa

  • @JamesJoshua-y8o
    @JamesJoshua-y8o 34 นาทีที่ผ่านมา

    Atuitaji Kamudomo kamudomo 😂😂😂

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Waziri acha maneno matupu. Hayo mnayasema kila wakati. Hatuoni kitu.

  • @ntimimwakipesile
    @ntimimwakipesile 20 นาทีที่ผ่านมา

    Si kwamba wanainchi wanachukua sheria mkononi, ila ata viongozi wanaposhindwa kutimiza majukumu yao ni kosa kisheria. Kwanini tusiterm kitendo walichofanya wananchi kama By- law

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 39 นาทีที่ผ่านมา

    Mchengerwa ulipita bila kupingwa MAMA SAMIA TUNAOMBA UCHAGUZI HURU ILI TUSIWE NA WATU KAMA HUYO WAZILI.

  • @KamugishaTwigela
    @KamugishaTwigela 47 นาทีที่ผ่านมา

    Wewe wazili makonda yuko sahihi nilikuwa nafikili unataka umpishe kwenye huo uwazili lli afanye kazi vizuli zaidi makonda ni mchapa kazi sana hatamimi mpinzani namkubali

  • @BilaliKinyota
    @BilaliKinyota 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nampongeza makonda yuko Sawa pia tunamuombea kwa mwenyezi mungu ampe afya njema

  • @LaizerLoserian-h6s
    @LaizerLoserian-h6s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Je maelekezo ya serikali fedha za bajeti zirudi tubaki na dibiwi barabarani Markonda isikusumbue ili

  • @DenissJulius
    @DenissJulius 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sisi tumemwelewa makonda,unataka maelekezo yepi kuendelea kukaa na marimba ya maji,sasa tutaendelea maana hata walivyowazamisha cyo makonda aliamlisha,NI KWAMBA HIZI NI DALILI ZA VITENDO KUWA TUMECHOKA,hatukuelewi hata unachoongea tunataka mfanye kazi za matendo na c maneno:

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 45 นาทีที่ผ่านมา

    Hujui mamaana ya neno selikari, selikari ni Makonda, kwanza Makonda ni zaidi ya Wewe huyo ni Rais,.

  • @stephenefatha8818
    @stephenefatha8818 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mmetuchosha , wangefanya mapema isingetokea ,tatizo ahadi ambazo hazitekelezwi miaka na miaka .

  • @Masamaki-g6z
    @Masamaki-g6z ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waziri nimegundua ,,unaogopa hasira za wananchi .. wasije kukunyoosha na wewe siku Moja . Ila kuwa makini . watanzania wameanza kubadilika hivyo .. Unapo tembea kwa wananchi kuwa makini .

  • @laurencematitah7046
    @laurencematitah7046 17 นาทีที่ผ่านมา +1

    Rais mama mkwe wako hatuna Imani na wewe

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa hiyo utamaduni ninyie kutojali wananchi mpaka haya yanapotea ndio kusema hayo siyo maelekezo ya serikali,kwa vile makonda amesema ukweli,mbona kila siku mna sema tu hilo kwa viongozi waende kusikiliza kero za wananchi na hawatoki,je mnajua maumivu tunayo ya pita,eti kisa sito utamaduni

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAZIRI, HAO WAMEZOEA KULA PESA ZA WANAICHI MAKONDA AMEFANYA KAZI ZURI, KAMA ILE YA MAGUFULI, SS TUNAMFWAGILIA SANA MAKONDA AMEFANYA VIZURI SANA

  • @uswegestam1314
    @uswegestam1314 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kitunda iko wilaya ya Ilala, nice km 5 tu kutoka Banana lakini barabara ni mbaya sana, imekuwa kero muda mrefu wenye mamlaka mpo mnakula vinono wananchi tunataabika tu.

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Makonda yupo sawa bila hivyo hakuna kitu.Fedha zinarudishwa serikali kuu kisa malumbano.Makonda piga kaziiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nikweli lakini inauma kwanini kwa sababu serekali inatoa pesa kwenye halmashauri lakini eti unasikia mwisho wa mwaka pesa zinarudi mabilioni serekalini,xx hao niviongozi gani?kama sio umbumbumbuu,

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 43 นาทีที่ผ่านมา

    Mbona wakila fedha ya wananchi hamchukui hatua, waache watanzania warinde pesa yao wenyewe. Nyie mmeshindwa.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda ni mpumbavu sana tena mjinga kupitiliza huwezi ukaunga mkono eti wananchi wawafanyie vile madiwani na wabunge hilo ni uvunjifu wa katiba na sheria za nchi.Siku wananchi hao hao makonda anaowahamasisha wawainukie viongozi wao watachukua silaha na kuingia msituni kuasi dhidi ya serikali yao.Hapa kiukweli Makonda hajatumia busara hata kidogo na ingekuwa nchi nyingine angetakiwa ajiuzulu.Hongera sana waziri mzpchengerwa kwa kuliona hilo.

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe ndio kajinga

    • @robbysartproductioncompany5306
      @robbysartproductioncompany5306 29 นาทีที่ผ่านมา +1

      We unakazwa beki kabisa Huna akili hata Kidogo.. kwahiyo unachotetea ni ni kiazi kichelema we?? Utamaduni wa wananchi ni kuendelea kupata shida dhidi ya uzembe wa viongoz??? Kwanza wananchi walifany sahib Kwa maoni yangu..make si wengine tungejuaje kama dingi Yako hafai kazin atupishe..?

  • @abdallahawadh4168
    @abdallahawadh4168 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana mhe waziri,

    • @laurencematitah7046
      @laurencematitah7046 14 นาทีที่ผ่านมา

      Mungu ambariki kwa kipi? Akafie mbali huko

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 8 นาทีที่ผ่านมา

    Mkweeeee hata ukisemaje tutawatembeza mda simrefu tutawalisha tope subiri muone ndo mtajua tumewachoka

  • @meshackpatrick6981
    @meshackpatrick6981 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda nimemwelewa !!!!!
    Evi wananchi ndiyo ma boss wa viongoz lkn boss akimwajibisha kiongoz mzembe
    sheria ifuatwe

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwache Makonda.Wananchi wamechoka.viongozi kubembelezana.kama fedha zipo.kwa nini zirudishwe?

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda oyeeeeeeeeee safi kabisaa viongozi wajingawajinga wabuluzwe tu kwenye matope🎉?

  • @mandileykiritokangai3042
    @mandileykiritokangai3042 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Makonda oyeeeeeeee

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna habari za utamaduni angekuwepo magu kesho usingekuwa na hyo kazi kaka

  • @nyucletkikonamaluhe2274
    @nyucletkikonamaluhe2274 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndg Mchengerwa nadhani albadili na sala za watanzania ,
    Pamoja na damu kutokana na kufuru ya uchaguzi uliofanya mda si mrefu utapata matunda yake maana Mungu huiskia sauti ya mnyonge.
    Refer.............................

  • @ManramaKizebha
    @ManramaKizebha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Katika mawaziri wa hovyo ni huyu waziri hovyo sana maana analeta ngonjera katika uhalisia wa maisha ,viongozi wana kaa tu maofisi na kugawana posho tu ila sio kufanya kazi , kaka waziri ww hovyo sana kaka ,kagua hata mradi mmoja kaka

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa nakuunga mkono sio busara kumfanyia mtu vile, sehemu sahihi ni kwenye uchaguzi

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kama kero zitatatuliwaaa mi nimekaaa paleee,, nasubiriii

  • @MbokaRechadi
    @MbokaRechadi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bora Nyerere 😂😂😂😂😂 tunachoshana tu

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuwaambia wananch maneno ya uwazalilisha viongo hii sio sawa hakuna utawala wa aina hiyoo. Tuache ushabiki

  • @salmaramadhan2725
    @salmaramadhan2725 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waziri nyamaza,mmeshindwa kuangali polis wanalewa mpaka wanaanguka mtaroni,hapa nilipo nimemuokota polis kaanguka mtaroni kalewa chakari...hamsemi

  • @AlbertoAkonaay
    @AlbertoAkonaay 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wananchi ndo wanawajua wenye uwezo kuwaongoza ila nyie ndo mnakariri uanachama wa chama ambacho wananchi hawakielewi na kuwaibia kura hayo ndo matunda yake

  • @philipsilayo
    @philipsilayo 6 นาทีที่ผ่านมา

    Tumia lugha ya kawaida,amweleza!!

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee mchengelewa ni aibu uchaguzi wa mitaa

  • @GideonMwalusamba
    @GideonMwalusamba 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa ufupi makonda ni jembe tusizunguke.nataman siku moja aje awe Rais

  • @BobNasa
    @BobNasa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naibu Waziri mkuu naye humwanini kumuunga mikono RC Arusha.? Nani mkubwa?

  • @JumaAlmas-v6i
    @JumaAlmas-v6i 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    waziri wananchi hatusikilizwi nawewe huchukuwi hatuwa

  • @NassethyMaillah
    @NassethyMaillah 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maelekezo ya Serikali yamezidi kuchelewa. Sheria kama isemwavyo kuwa ni msumeno. Hapo ukate kote mkuu. Asante

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Suala sio sheria mkononi suala watu watimize wajibu wao ninamuunga mkono makondavkwa kuwapongeza wananchi

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serikal ya Samia haisikilizi watu wanyonge inasikiliza wanasiasa waongo na kutetea watekaj Ndo kazi yenu

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda ni kiongozi bora kabisa hiii inchi ukileta propaganda za siasa uchwara hatuwezi kwenda kila sehemu ofisi zimejaa majangili au wewe hujuwi kwakuwa uko madarakani siyo?

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 6 นาทีที่ผ่านมา

    Duuuu kama anasomaga yaloandikwa ni aibu tupu mnajipima jinsi wananchi wanavyowaona visebengo

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    piga kazi makonda😂😂hakuna kuteteana hapa

  • @ramsmfunga7817
    @ramsmfunga7817 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda anzisha chama chako tukuchague uwe rais

  • @PaulNsabi
    @PaulNsabi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    maelekezo yako ni changamoto maumivu waliotendewa ndivyo sivyo tz ya wote wanaohitaji msaada wa kweli,ardhi,dhuluma,kutotenda haki NI shida toka ngazi ya chini Hadi viongozi juu Kila mmoja analinda maslahi yao tu

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda kuna mengi mazuri anayafanya lakini bado ujana unaomsumbua,kukukurupuka haifai,pia akumbuke kile kivuli cha utovu wa adabu kilichokuwa kinamlimda cha magufuli kwa sasa hakipo,so usijisahau kwenye utawala,wakati wa makufuli aliwahi kisema asiepiga pasi hatoingia mjini dar,au aliposema kuwa siku ya wafanyakazi kwenye sherehe akitokea mtu akabeba bango la kuibeza serekali atawatandika bakora pale pale uwanjani na mengineyo,hivo munaosema huyu ndio raisi wenu wa Tanzania kama kuna siku atakuwa basi hakuna ata mtu atakaetumia ata mitandao kama hivi tunavotumia kwa sasa na ata muda kurudi majumbani na kulala utakuwa ni sheria

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe mpumbavu na mchawi wa nchi hii. Na ni mmoja wapo wa wale waliomuuwa mzee wetu kipenzi cha wengi, na mtetezi wa haki magu.

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Makonda uko vizuri huyu mwizi wa uchaguzi hana jipya unafiki tupu pigakazi makonda

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      wewe kichaa nchi inaendeshwa Kwa Sheria na katiba sio Kwa matakwa ya makonda Wala ya rais..

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm namkubali makonda sana anafanya kazi

  • @ammyabeid9574
    @ammyabeid9574 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je utekerezaji wa maelekezo ya serikali kwa viongozi wazembe ngazi serikali za mitaa yanatekelezwa? Watanzania kila siku wanalalamika kuhusu viongozi kutowajibika lakini wanapuuzwa. Leo tunasikia pesa zimerudisha serikali kuu, sababu viongozi wazembe wameshindwa kuzisimamia. Unafikiri ipi njia sahihi ya kuwaamsha hawa viongozi wa namna hii? Kama hawawezi wajiudhuru otherwise wacha wagalagazwe. Kadili viongozi mnavyoendelea kupuuza hisia za watanzania ndivyo mnazidi kuwaimalisha kuja kutumia njia mbadala kujikwamua kama haya yanaendelea hivi sasa. Diwadi kugalagazwa, polisi kuzuiwa kutekeleza majukumu yao. Huu muelekeo sio mzuri. Wananchi kuchukua sheria mkononi sio busara na mwisho wake ni hasara na kujilaumu. Wengi wanapoteza maisha bila hatia kwa sababu ya kujichukulia sheria mkononi. Tufuate utaratibu. Viongozi wajibikeni kikweli kweli. Asante

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwahiyo watendaji wako wanapokuwa hawatimizi wajibu wao nani anapaswa kuwawajubisha?

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani sikuizi wakubwa wanapata taarifa kupitia clips ama kweli waandishi wa habari hasa hasa hawa wanaojitegenea ni asset kwa wananch tuwatumie vzr

  • @darweshk7342
    @darweshk7342 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee baba sijui km atatoboa huu mwaka

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo hawa viongozi wa juu hawajuwi tu shida tunazopataga kwa hawa viongozi wetu wa mashinani, hawa hawa hawa wanaomiliki mihuri hawa, ni noma bhana

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanawezaje kutatua kero hizo wakati sio chaguo la wananchi hao

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MAKONDA chapa kazi acha matishio mbona hukutoa tamko na wawajibisha viongozi wasiowajibika mnasubiri tu mpaka wanainchi wanatezeza na kuamua kuingia barabarani acheni uchawa wanainchi wamechoka na ahadi za uongo, ..uwajibikaji very poor

  • @josephlyahbo
    @josephlyahbo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    maelekezo ya serikali ni kutojenga miundombinu tunajua hilo hata kama usingesema

  • @MonjaBingwa
    @MonjaBingwa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    au wananchi ni wa ccm tu

  • @PeterPanga-h6o
    @PeterPanga-h6o 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni heshima viongozi kuheshimiana sizani mkuuwetu wa mkoa amekosea Bali ninyi Wana siasa mlionakura za wananchi mnavuruga taswira ya rasi

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waziri umechemsha sana unawatetea viongozi wako.sasa kama madiwani awakai na kufanya mamuzi ya pesa mpaka zinarudi tamisemi je we unaipenda.sisi Arusha bara bara ya njiro tanesco tumepiga kelele mpaka tumechoka mkita mtakuja kutengeneza na amtaki wacheni.

  • @laurencematitah7046
    @laurencematitah7046 15 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu msenge anaongea nini? Makonda chapa kazi,

  • @ShukuruShirima-qe4rv
    @ShukuruShirima-qe4rv ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi wot watanzania tupo nyuma ya mh makonda

  • @abrahmanmussa1384
    @abrahmanmussa1384 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda yupo sahihi tena sana na maelekezo yale nisahihi kwanini uchaguliwe na ushindwe kutatua kero zetu? Usitake kulindana kwa hilo yakitokea kila eneo ndosafi kabisa

  • @SHIJADAVIS
    @SHIJADAVIS 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tafsiri ya utawala Bora ni hii.

  • @abrahmanmussa1384
    @abrahmanmussa1384 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huna jipya ww hutufai kuwa waziri ww utawafanya viongozi wazidi kubweteka

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda ameeleweka huyu sijamuelewa labda aanze upya kujieleza😅

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbon mlimzuia makonda asiwe mkali,, kwa watumishi wazembe??!?!!😮 Zaid ya nusu yawatumish serekal ni wazembe na wabadhirifu,wafujajaji wa pesa za UMA,,

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaenda na ile kauli ya mwanzo 🤣🤣🤣

  • @emmanuelmrope7819
    @emmanuelmrope7819 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mheshimiwa maelekezo ya serikali ni wananchi watembee kwenye hayo mabwawa sio? Ili hali umeckia kbs wao kazi yao ni majungu, Fitina kazi hawafanyi na pesa ambayo ingesaidia kutatua kero hizo imerudishwa serikalini ikimaanisha haina kazi na wala kero hakuna

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 9 นาทีที่ผ่านมา

    Makonda chapa kazi!!! Hawa watu wasiofanya kazi waburuzwe, hizi Taratibu za miaka 60 zimepitwa na wakati. Vijana wa Chuga SAFI SANA!!!??

  • @NassethyMaillah
    @NassethyMaillah 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkuu, wananchi wanataka kuona ahadi zinazopatikana kwa wakati. Tena ziwe ahadi zinazotaja muda. Siyo mchakato unaendelea miaka hadi miaka. Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Hapo kuna lakujifunza mkuu. Kwanini itokee?! Wanachoka. Maelezo na ahadi kwa wananchi, yawe yakueleweka muda lini linaanza ni lini litaisha. Ahadi bubu tatizo hilo.

  • @tonnyojambo1731
    @tonnyojambo1731 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani yeye Makonda kasema ni maelekezo ya serikali!

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Makonda ni mwakilishi wa serikali pia ni mwakilishi wa rais kimkoa.. atakacho amua kutamka inachukiluwa kama serikali ndio imemtuma atamke.. nchi inaendeshwa Kwa Sheria sio kwa kauli ya makonda.. lazima hilo ulijuwe

  • @JohnSingano-o7s
    @JohnSingano-o7s 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wazir hongera Sana kwa kaz unayoifanya

  • @EnickoSanga-z8b
    @EnickoSanga-z8b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kipala tu kwahio kama tatizo nilamda mrefu wananch wafanyaje kama Viongozi hawaeleweki kwenda huko hufai kabisa

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwahyo walilowekwa kwenye tope ndo wametekeleza au wamepata majibu?

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchengelwa soma msg uone wananchi walivyo na hasira huku kitumba barabara ni hovyo kabisaa utafikiri hakuna diwani mbunge hizo ndo kero zinatuudhi usitetee waraji

  • @KostaJoseph
    @KostaJoseph 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SOMO NA ELIMU NZR WAZIR , KWELI HAPO TUNAWEZA KUSABABISHA TAHARUKI

  • @maphieemanuel3137
    @maphieemanuel3137 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe usitufundishe uoga ARUSHA kama umechaguliwa na hufanyi kazi tunakuwajibisha hakuna namna

  • @issamwakinyo3203
    @issamwakinyo3203 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makondaa piga kaxi

  • @AlexTawe-c1s
    @AlexTawe-c1s 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda piga kazi,wakurugezi wetu wengi wababaishaji.

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mamlaka za serekal za mitaa ni kufanya Kaz nyingi kwa bidii bila malipo 😢

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utamaduni wetu watnzania ni kuteseka akitokea mzalendo kama makonda upigwa vita 👈

  • @VickyMalisa
    @VickyMalisa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maelekezo ya kuwachagulia wananchi viongozi wenu