ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asante sana upo vizuri mungu akubariki
Asante rero hiii njo nakuona unafundisha vizuri MUNGU aendeleeey kukubariki sana
Asante sn mwalim nimekupenda bure mungu asimamie kazi ya mikono yako. Barikiwa saaaaanaaa😍
Mwl naomba ufundishe na suruali ya kike tafadhali🙏😍
Nimependa darasa lenu❤
Habari fundi. Samahani unapatikana wapi? Nataka kuja kushona kwako.
Hongera unafundisha vizuri sana
asante sana
Asantee fundi
Asante San kaka nimejifinza kt 🙏
Shukran sana
Nimewapenda sana
Mpo wap
Jamani nimependa fundisha yako
Shukrani
Hongereni sana Kwa kazi nzuri na njema, mm nilikuwa nauliza kwenye kipande Cha nyuma je sehem za kuongeza ni kwenye kiuno tu au na kwenye msamba napo unaongeza? Au ukiisha ongeza kiuno hizo inch 3 kwenda juu inakuwa imetosha
unaongezana msamba, fatilia video vizuri
Karibuni wote Sakapala Community Centre, Mtoni Kijichi, DSM
Cha nyuma unaongeza urefu ngap kwenye fraizi na juu
Neti natoa nchi ngap
Fund naweza kupata namb yako
Shukran 🙏
Karibu sana
Hiyo nchi tano inaongezwa kwenye mgongo wa kitambaa au juu ya flys
Nataka unifundishe jins ya kujiunga na group lako la ushon
hatuna group la online kwa sasa, ukitaji mafunzo njoo ofisini
Na mm pia
Mbona sijakusikia kupima hips?
nguo kubwa unapimaje hips
Fundi punguza spid hatujaelewa hilo jeje
Alaf apache uvivu aonyeshe vzr 😢
Hallo
hi
Cha nyuma sijakierewa
Jisiyakussona
njoo kituoni kwetu sakapala community cetre
Fund naweza pata namba yako
Kwa hiyo kipande Cha nyuma akizidi Kama Cha suluar
Mwl kipande cha nyuma
Fundi xamahan mbn hpx ukapma
Sijaona ukipima hips pls
ikishakua bwanga au jeje aina haja ya ya kupima hips
Fund plz naweza pata namba yako
inapita kwenye video apo
Mita ngapi inatumika
inategemeana na mwili wa muusika
auna group whatsap
Naweza Pat's mamb nahitaji kujifunza WhatsApp Kama itawezekana
Cha nyuma sijaelewa