KUREKEBISHA TATIZO LA CHEREHANI KURUKA AU KUTO KUSHONA KASIBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Tatizo la chereani kuto kushona au kuruka mara kwa mara linarekebiswa hivi, kurekebisha tatizo la chereani kuruka au kutokushona kabisa.

ความคิดเห็น • 118

  • @sheikhbaru4520
    @sheikhbaru4520 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana swali :vipi hereani inaweza kushona nguo aina ya mipira ao vitambaa vya aina ya mpira nataka unipe muelekezo asante.

    • @MarkoEdward-x9l
      @MarkoEdward-x9l หลายเดือนก่อน

      inaweza lakini sipidi haina kabisa tatizo nini apo?

  • @fatumasaleh7743
    @fatumasaleh7743 2 ปีที่แล้ว +4

    Cherehan yangu inatatizo la ukishona nguo ina jaza uzi chini nisaidie tatizo nini?

  • @ngako5008
    @ngako5008 ปีที่แล้ว +2

    Je fundi Ni kwa namna gani cherehani inasetiwa ili iweze kushona nguo za mpira?

  • @JanethKulwa
    @JanethKulwa 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana fundi.
    Cherehani yangu inakata uzi mara kwa mara

  • @rehematesha9799
    @rehematesha9799 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalim Leo nimeteseka sana naomba utufundishe jinsia ya kuweka Uzi kwenye sindano

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Tzvp0aLGZYU/w-d-xo.html

  • @UmmyFahad
    @UmmyFahad หลายเดือนก่อน

    Unarekebishaje hicho kidude kinachokaza Uzi mwalim?

  • @neemaemanuel2425
    @neemaemanuel2425 ปีที่แล้ว +3

    Samahan jmn cherehani yangu inakata Uzi Sana shida ni Nini?

  • @mankakimbori3172
    @mankakimbori3172 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalimu nakuomba utufundishe mashine ikikata sindano

    • @latifaonesmo7629
      @latifaonesmo7629 2 ปีที่แล้ว

      samahani naomba kujua siyo cherehani kwasasa bei gani

  • @MariaPeter-r2h
    @MariaPeter-r2h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani naomba kusaidiwa mashine yangu nikishona nikifika sehemu nzito haishoni inarukaruka

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  10 หลายเดือนก่อน

      haiwezi kushona sehemu ngumu, aiza ubadili namba ya sidano unayo tumia au urekebishe urefu wa sindano

  • @HildaMangwela
    @HildaMangwela 7 วันที่ผ่านมา

    Cherehani yangu ilikua inashona inakata Uzi nikatoa Uzi ulikua umejaa kwenye kichwa nimetoa imekua haishoni tatizo Nini?

  • @HabibaAbdallah-qh3bd
    @HabibaAbdallah-qh3bd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka asant kwa somo nitakupa mlejesho ilo lilikuwa tatizo langu kubwa

  • @FavouryKomba
    @FavouryKomba 3 หลายเดือนก่อน

    Jamni mm cherehn yangu ring lmgoma na sindano hiashuki yani kushm ukizunguza ring ingota shm hafiki kweny meno

  • @shunayraaqamal1854
    @shunayraaqamal1854 2 ปีที่แล้ว

    Asante xana nimekuelew

  • @salamaimma
    @salamaimma 5 หลายเดือนก่อน

    Samahani naomba unisaidie nikiwe mkanda kwenye cherehani peda inakuwa ngumu kuzunguka cherehani haizunguki unazunguka mkanda tu je tatizo nini?

  • @asiazuberi5847
    @asiazuberi5847 2 ปีที่แล้ว +1

    Je mashing inayojaza uzi was chini tunairekebishaje? Naomba unisaidie

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      rekebisha sindano ya chini na bobini

  • @jumaiddi4738
    @jumaiddi4738 ปีที่แล้ว +2

    Samahani kaka naomba msaada cherehani yangu unashona taratibu saaaana sababu nn

  • @annagidion6980
    @annagidion6980 ปีที่แล้ว

    Asant sana fund, samhan fundi kuna aina ngapi za namba ya shindano? Na unajuaj kuw chelehani ina endana na namba Frank?

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  ปีที่แล้ว

      kuna namba nyingi na aina tofauti tofauti za sindano, kujua chereani yako inatumika na aina na namba ngapi ya shindano ni lazima kujua kwanza aina ya chereani unayo tumia

  • @SamuelNiyonizigiye-i9k
    @SamuelNiyonizigiye-i9k 22 วันที่ผ่านมา

    Naomba munifundishe nikiwa nashona nguo hayiendi mbere sijui tatizo ninini munisaidie.

  • @Hamisally-e6j
    @Hamisally-e6j หลายเดือนก่อน

    Jamn yakwang inajaz uzi

  • @passingneedleseye1493
    @passingneedleseye1493 3 ปีที่แล้ว +8

    Naomba kuuliza Mashine ukiwa unashona inajaza uzi tatizo inakuwa nn na ina setiwaje?!!

    • @mamaislah-v5w
      @mamaislah-v5w 3 หลายเดือนก่อน

      Namim natatz km lako lkn mbn hajib

    • @ElizabethJonas-cz1tq
      @ElizabethJonas-cz1tq 3 หลายเดือนก่อน

      Na mimi ninalo hili tatzo

    • @RUKAIYAMAULIDI
      @RUKAIYAMAULIDI 3 วันที่ผ่านมา

      ​@ElimmzabethJonas-cz1tq

  • @Anthonia-u5b
    @Anthonia-u5b 8 วันที่ผ่านมา

    Je chelehani ikiwa inashona Kwa juu inakaza lakini chini haikaK tatizo ni nn jamn

  • @graceleonardsanga3097
    @graceleonardsanga3097 17 วันที่ผ่านมา

    Fundi naomba unisaidie cherehani yangu haizunguki tatizo litakuwa nini

  • @halimamrisho6193
    @halimamrisho6193 2 ปีที่แล้ว

    Mwalim me nataka kuuliza kwann machine zengne huww zinavunja sindano?

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      kulingana na ulivyo weka sindano yako au ushonaji wako, pia inawezekana kitu unacho shona ni kigumu.

  • @salamaimma
    @salamaimma 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba nifundishe jinsi ya kuweka kamba kwenye cherehani

  • @JacklineCharles-k6j
    @JacklineCharles-k6j หลายเดือนก่อน

    Mimi cherehan yangu inajaza uz chini na haishon msaada jqmn

  • @juslenkavira6961
    @juslenkavira6961 ปีที่แล้ว

    Asante kaka

  • @NaomiMugabe
    @NaomiMugabe ปีที่แล้ว

    Cherehan yangu inatatizo la kurundika uzi kwa chini mala kwa mala,, nifanyaje???

  • @MarkoEdward-x9l
    @MarkoEdward-x9l หลายเดือนก่อน

    unapo shona chelehani haitembei sana tstizo nini?

    • @MarkoEdward-x9l
      @MarkoEdward-x9l หลายเดือนก่อน

      unapo shona haitembei sana au haina sipidi shida nini?

  • @EstaCheguzwa-lo6dk
    @EstaCheguzwa-lo6dk ปีที่แล้ว +1

    Naomba kuuliza et tatizo la meno ya chelehan kushyuka na kutokushika nguo husababishwa na nn

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  ปีที่แล้ว

      izo nati zimechea fanya kuzikaza zinakaziwa kwa ndani

  • @wemaghozi9497
    @wemaghozi9497 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Mimi sindano haichoti Uzi wa chini

  • @ShabaniMndulu
    @ShabaniMndulu หลายเดือนก่อน

    Cherehan yangu aina ya jack heavy duty inashona inarudi nyuma tatzo nn

  • @nayfatsalim7828
    @nayfatsalim7828 ปีที่แล้ว

    umenichekesha apo kweny kukunja nyuzi mara 4 hhh..Mm shda iko kujaza uzi chini t ukishona n kwnye nguo unajaa ubale wchni aah

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

    Mko wapi

  • @hamidaabdallah-yr4wu
    @hamidaabdallah-yr4wu ปีที่แล้ว

    Xamahan mim maxhine yangu ringi la gonga na xindano haixhuki

  • @JacklineCharles-k6j
    @JacklineCharles-k6j หลายเดือนก่อน

    Mimi cherehan yangu inajaza uz chini na haishon

  • @floridasimkonda1779
    @floridasimkonda1779 ปีที่แล้ว

    Samahani mwl cherehani yangu inakata sana sindano Hadi nimeacha kushona Yani kila nikiweka inakatika tu naomba msaada nifanye nini na sababu ni nini 🙏

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  ปีที่แล้ว +1

      jaribu kurekebisha pasi yani sindano iwe inagonga kwenye tundu na sio pembeni,
      Shida inaweza kua za namna 2
      1. sindano inakua ndefu zaidi kwaio ikishona inagonga.
      2. Rekebisa pass au angalie mwichi wa sindano umekaa vp laba unaweza kua umepinda.

  • @MwadawaMaziku
    @MwadawaMaziku 6 หลายเดือนก่อน

    Mm cherehan yangu inajigongagonga shida ninin

  • @magrethlukas3268
    @magrethlukas3268 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante bro umenisaidia xn.ila je,kama setting inajipandisha yenyewe inanitesa

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      Izuhie kwa kuifunga kamba ili isipande

  • @maryvomo4217
    @maryvomo4217 2 ปีที่แล้ว

    Asante,naomba kujua cherehani yangu inakelele kwenye kanyagio

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      weka mafuta au badili kanyagio weka jipya

  • @TamaliHuseni
    @TamaliHuseni 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba nisaidi kaka mimi machine yangu ukishona aitembei paka nivute kitambaa namkon

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  3 หลายเดือนก่อน

      chunguza hatua ulizo set pale kwenye rivese gear

  • @RobathiGablieli-dn3df
    @RobathiGablieli-dn3df 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundisheni kutengeneza chelehani

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  6 หลายเดือนก่อน

      soon

    • @OliverSimon-yh4cj
      @OliverSimon-yh4cj 6 หลายเดือนก่อน

      Inakusanya Uzi Kwa chini na pasi yake haiwezi kusukuma nguo tatizo ni nn

  • @janetbahat5017
    @janetbahat5017 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante nmesaidika

    • @bukurunahda3227
      @bukurunahda3227 2 ปีที่แล้ว

      Nataka kujuwa jisi ya kueka kamba kwenye machine

  • @robbyitemo1463
    @robbyitemo1463 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nataka cherehani mbili Kama una uza nambie used

  • @furahakimaro3932
    @furahakimaro3932 4 หลายเดือนก่อน

    vipi chelehani ikiwa inakaza sana halafu meno yake hayasogezi nguo

  • @suzanadaniel778
    @suzanadaniel778 2 ปีที่แล้ว

    Upo kijichi sahemu gani? Nikuletee cherehani yangu, inanisumbua sana.

  • @zabronyohana1959
    @zabronyohana1959 ปีที่แล้ว

    Saf Sana vip bobn Kama haijakaza

  • @amilatjuma7290
    @amilatjuma7290 2 ปีที่แล้ว

    Mm charahan yng ringi halitembei

  • @GrolyKayombo-tp1mo
    @GrolyKayombo-tp1mo 11 หลายเดือนก่อน

    Hello

  • @sebastianedward588
    @sebastianedward588 5 หลายเดือนก่อน

    Mim kaka cheleani yangu inakata sindano sijui shida nini

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  4 หลายเดือนก่อน

      rengesa sindano vizuri ili iwe inaingia kwenye tobo lake bila tatizo yoyote, pia kaza sindano ya chini laba inatikisika wakati wa kushona

  • @halimamrisho6193
    @halimamrisho6193 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim me nataka nikuulize machine yn pasi inalegea kwahy nifanyaje inaxababixha kuvunja sindano

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      ikaze kwa kutumia dispice au plaiz ikigoma tafuta nyingine

  • @DeeCute-c9b
    @DeeCute-c9b 7 หลายเดือนก่อน

    Fundi naomba unisaidie mimi cherehani yangu inasumbua pasi inapanda kwa shida yan inasumbua sana pasi hua inapanda kwa shida sana sijajua tatizo ni nini naomba unisaidie

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  6 หลายเดือนก่อน

      kaa tayari nitafanya ivo

    • @halimaharuna3099
      @halimaharuna3099 20 วันที่ผ่านมา

      Na mimi pasi yangu imegoma kushuka

  • @RaimondaVenance
    @RaimondaVenance 2 หลายเดือนก่อน

    Vp kuhusu inayovuta kitambaa

  • @lucymwaipungu8931
    @lucymwaipungu8931 ปีที่แล้ว

    Chelean yangu imejaza mauz kwenyekilingi yaan mauz yapo ndanikabisa atyakuyatyoa siwen nielekeze

  • @halimamasoud-4352
    @halimamasoud-4352 ปีที่แล้ว

    Samhn ikiwaa nguo inaganda BL kuingy uzi

  • @gilianmahenge4284
    @gilianmahenge4284 2 ปีที่แล้ว

    Kama cherehani inatoatoa kamba wakati wa kushona, tatizo linakua wapi??? Na nini kifanyike??

  • @MitokoWato
    @MitokoWato ปีที่แล้ว

    😊

  • @luthgwenela3684
    @luthgwenela3684 ปีที่แล้ว

    Naomb unielekeze jinsi ya kufunga sindan za chini

  • @merysmisanana9932
    @merysmisanana9932 2 ปีที่แล้ว

    Shinda ya chelehan yangu pakubadirishia stichi pamerengea san nifanyeje

  • @Husseingubo
    @Husseingubo ปีที่แล้ว

    Cherehani yangu inakuwa nzito kwenye galawa pia inakelele sana kama inasaga chuma shida nn nisaidie mwalimu

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  ปีที่แล้ว

      iwekee mafuta mara kwa mara, pia ifanyie service badilisha vyuma weka vyuma vipya

  • @MichaelBassu-jy9qu
    @MichaelBassu-jy9qu ปีที่แล้ว +1

    Maduka ya cherahani

  • @neymatarimo8537
    @neymatarimo8537 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu naomba unisaidie Cherehan yangu haikazii uzii inalegeza uzii

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Tzvp0aLGZYU/w-d-xo.html

  • @suzanadaniel778
    @suzanadaniel778 2 ปีที่แล้ว

    Nimeitunia mwezi mmoja tu

  • @izzatmohd4291
    @izzatmohd4291 2 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @azizikhamis8691
    @azizikhamis8691 2 ปีที่แล้ว +1

    Sindano ya chini unarekebisha vipi

  • @leornadmchopa4085
    @leornadmchopa4085 2 ปีที่แล้ว

    Kaka mimi swali langu ni tatizo gani linafanya sindano inakatika aswa pale ukiwa unataka kufunga mshono wako. Mashine yangu ni mpya na ina ilo tatizo

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Tzvp0aLGZYU/w-d-xo.html
      gusa link hapo juu

  • @lucymwaipungu8931
    @lucymwaipungu8931 ปีที่แล้ว

    Chelean yangu inafuma chin

  • @samiraseif-on8oe
    @samiraseif-on8oe 6 หลายเดือนก่อน

    Charahni yang haishon inaruka uzi

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  6 หลายเดือนก่อน

      fatilia somo ili mwanzo mwisho au ipeleke kwa fundi aliopo karibu yako

  • @merysmisanana9932
    @merysmisanana9932 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mnisaidie pakulekebishia stichi pamelenga nisaidien

  • @preciouspretty7503
    @preciouspretty7503 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya cm

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  3 ปีที่แล้ว

      NAMBA ANGALIA KWENYE VIDEO HAPO

  • @fatumamakenzi3060
    @fatumamakenzi3060 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuhusu meno ya sindano ya cherehani kutoka kwenye nafas yake

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว +1

      yamelegea kaza nati ambazo zimeshikilia meno

    • @fatumamakenzi3060
      @fatumamakenzi3060 2 ปีที่แล้ว

      @@sakapallaTV Asante sana

  • @abanoor401
    @abanoor401 2 ปีที่แล้ว

    Charahaani ya zikzak ikiwa ina katka utakufa fanya nini

  • @birgitmkondya8742
    @birgitmkondya8742 ปีที่แล้ว

    Kamauzi una jaa chini unavyoshona

  • @khalidikilindo9038
    @khalidikilindo9038 2 ปีที่แล้ว

    Chelehan yang inasumbuwa mpira nifanyej

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      kama aishoni mpira tumia njia nyingine laba ya kuwekea karatasi

  • @Calivaljgoligota
    @Calivaljgoligota 2 ปีที่แล้ว

    Mimmashineyangu haikamatikabisa sasasijuitatizomsaaadawakonaomba

  • @happymathew7414
    @happymathew7414 2 ปีที่แล้ว

    Naomba msaada bobin case inakuwa ngumu Uzi hauzunguki kwa Uhuru umekaza san

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 ปีที่แล้ว

      nunua nyingine mpya, pia angalia namna unavyo wekw bobin ndani yake

  • @mudrivkmajengo6878
    @mudrivkmajengo6878 2 ปีที่แล้ว

    Beigani

  • @latifaonesmo7629
    @latifaonesmo7629 2 ปีที่แล้ว

    samahani fundi naomba kujua bei ya cherehani kwasasa

  • @Anthonia-u5b
    @Anthonia-u5b 8 วันที่ผ่านมา

    Je chelehani ikiwa inashona Kwa juu inakaza lakini chini haikaK tatizo ni nn jamn

  • @annagidion6980
    @annagidion6980 ปีที่แล้ว

    Asant sana fund, samhan fundi kuna aina ngapi za namba ya shindano? Na unajuaj kuw chelehani ina endana na namba Frank?

  • @fatumasaleh7743
    @fatumasaleh7743 2 ปีที่แล้ว

    Cherehan yangu inatatizo la ukishona nguo ina jaza uzi chini nisaidie tatizo nini?