Hongera dada leo menifundisha kukata suruali ya kitenge.ninakitenge changu hapa mda nilikuwa nafiria vile nitakishona.sasa umesha nipatia mshono.asante sana.mm napenda kuvaa kitenge najivunia kuwa mwafrika.
Ukisearch milcastylish nenda kwenye account yangu sehemu ya playlist utakuta video zote zinazohusu nguo Moja kwa mfano zinazohusu surual utazikuta sehemu moja
Mi sijaelewa hapo kwenye kutafuta inch kumi ya hips kwa kutafuta kipande cha nyuma kutokea hapo kwenye tano kwenda kushoto kwenye flay pls hapo sijajua ni inchi ngapi hapo
Nakuombea kila siku Ndugu Mpendwa Milcastylish, kila ninapo omba nawew sikisahau wew ni Mtu muhimu kwa Wengi bila wew nisingefika apa nilipo kwa ushonaji umeinua Maisha ya wengi kweli 🙌🤲🤲🤝🇷🇼🇹🇿😘😘😍
Hongera dada leo menifundisha kukata suruali ya kitenge.ninakitenge changu hapa mda nilikuwa nafiria vile nitakishona.sasa umesha nipatia mshono.asante sana.mm napenda kuvaa kitenge najivunia kuwa mwafrika.
Nafurah kusikia ivo dr❣️❣️❣️🙏🙏🙏
Napmba unierekeze jinsi ya kukata suruari ya kiuno chakueka rastiki
Dada habari,,,nitajiungaje kwenye group lako la whtp ili niendelee kujifunza coz napenda vipindi vyako na ninakuelewa❤️❤️❤️@@milcastylish
❤
Asante Sana kwamafunzo mazuri dada naomba unifundishe jinsi yakujiunga kwenye glup
Asante ndugu barikiwa sana
Link please
Hongera dad unajua kufundisha
Dah nimeelewa munooo ....Mungu akuweke kwaajili yetu
Amina dear ❤️
Tuunge kwenye group @@milcastylish
Asante kwa mafunzo yako naomba nielekeze nanna ya kushona Jana ya shati
Asante dada❤
Asante nimejifunza
Safi Sana Dada unafundisha vizuri
Asante sana kwa somo lako Mungu akubariki sana
Nime fulayi kwa elimuhio unayoitoa Asante
❣️🙏🙏🙏
Asante sana madam unaelewesha vizuri
🙏🙏🙏🙏
Asante Sana kwa mafunzo naomba nielekeze naman ya kujiunga kwenye grou lako
NAPENDA kujifunza
Thanks so much sister naomba kujiunga na kikudi
🥰🥰🙏🙏0625333493
@@milcastylish mamab
Unafundisha vizuri
Mungu akuongezee ujuz zaid bonge lamwalimu
Asante Sana dada yangu
Asantee dada naomba,nijue jinsi,ya,kujiunga,kwenye,group lako
Asante Kwa mafundisho yako naomba unielekeze kujiunga na group lako
Waooo jamani Asante maana suruali ilikuwa inanipa tabu hasa kwa wadada wenye makalio makubwa
Upo vizuri niunge kwa group lako wangu
Asante dada kwa darasa naomba uniunge kwenye group laki kipenz❤
Hongera San kipenz upo vzri
Ahsante, umenisaidia sana.
Asante dada naomba niunge kwa group
Nice najitaidi ivo ivo
Asante kwa mafunzo naomba kujiunga na group
You are good teacher
Sijaelewa vizuri
Asante dada Nina changamoto ya suruali yenye rastiki kiunoni na chini
Asante sana mumy
Habar mm naitwa happy ningependa uniuganishe na group
Ahsantee
Ahsante dada
Nimekuelewa sana dadangu lakin nilitaka kuona pia ukishona samahani
Habari dada pole na majukumu samahani naomba uniunge mwenye group lako Kama hutojari
Asanteni sana
Asante dada
Nakuelewa sana thank u more 🙏🙏
Namba uniunge kwa grup
Na mm pia naomba kuungwa kwa Group
Nawezaje mana mmnaelekez hara
Naomba unipe muongozo ili uniunge kwenye gurupu tafadhali dada
asante madam naomba niunge kwenye group lako
Thank,
Verry smart Girl
🙏🙏🙏💕
Ahsante sana
Yani nakuelewaga sana
Nimekupenda dada nimependa unavyoelekeza ni hamu yangu nijue kushona suruali.
Sanaaaa
Salamahan dad sijaelewa jinsi ya kupata frai
Hongera Sana Dada unafundisha Vizuriii naomba nambayako ya wasapu
Asantee dr ingia apa utanikuta
chat.whatsapp.com/FaLLsGeCLt3LC8z7VnSBWS
Sweetheart uko vizuri sana japo unapokatakata video kuja kupata mwendelezo inakua issue
Ukisearch milcastylish nenda kwenye account yangu sehemu ya playlist utakuta video zote zinazohusu nguo Moja kwa mfano zinazohusu surual utazikuta sehemu moja
Natak nijiung na wew❤
Unafundisha tu kukata suruali au na mishono ya magauni
Asante sana dada kwa mafunzo naomba maelekezo ya kujiunga na grp lako tafadhal
Nielekeze jinsi ya kukata jamsuti
Natamani niwenawew kwenyegurup🎉
Nice job
Niunge kwenye group lako dada love nimeipenda darasa lako
Asante
Dada nslsomb uni elekez Jin's ya kujiunga
Nimejifunza mumy
Najiungaje kwenye gtoup dada?
We Dada nakufatilia sana sjawah coment , sijui umeumbwaje wallah unamoyo Wa kipekee mno, mungu akuzidishie huo moyo .
Naomba kama kuna group mniunge
🥰🙏🙏🙏 asantee sana dear
Niunge love
Nawezaje kujiunga kwenye group lako?
Naomba uniunge kwenye group.
Naomba niunge kwny group
Naomba,kujiuga
Na mimi naomba uniunge kwenye group lako
Ahsant sana dada
Naomba uniunge kweny grop lako dad
Habari dada naomba niunge kwenye group lako
Dada naomba uniunge kwenye group lako plz
Naomba uniunge kweny group lako dear whatxp
Nice
Dada samahan naomba uniuge na group lako dadaangu
Habar nimependa mafundisho yako dear naomba niunge kwenye group
❤❤❤
Hongera dada nakuomba uniunge kwa group lako
Naomba uniunge kweny group lako dada
Samahani dada iyoumesema niyakike .nayakiume nayo inakatwa ivoivo
nimekupenda bure naomba namba yako mimi nipo mbeya ni fundi pia lakini nilikuwa cjuwi kukata suruali ahsante mwaya
Karibu mpenzi ♥️♥️
Kutoka Kwa waiste Hadi Kwa fly, wapimaje? Nisaidie😊😊
ongera dada Leo umenifundisha jins ya kukata suruali na nataman nijie zaidi dada
Naomba nielekeze taratibu dada
Nami pia naomba uniunge kwa group
Naomba nambayako dada ilinijifuze zaid
Habari dada naomba niunge na group
Ahsante sana my sister napenda sana video zako course unaeleweka
Asant mpenz
🙏🙏🙏🙏♥️
Dada naomba unifundishe namna ya kujiunga na group lako
habari dada naomba uniunge kwenye group lako nijifunze zaidi kukata mashono mbalimbali .
0625333493 WHAT'S APP
Samahani mm natamani kushona suluali ya kike kupitia somo hili sasa sijui kuweka zipu je naweza weka pembeni zipu
Habar dada naomb uniunge kweny group lak nahtaj kujifunz zaid
Naitwa nuraisha naomba nielekeze jic yakujiuganisha group lako nijifunze kukata suluwali hinanichaganya sana
Ok
Your so good. Ila hap kweny huo urefu wa fly sijaelewa yaani maana yake
Dada naomba namba zako nahitaji kujifuza zaidi Kuna mshono nahitaji kujua
Mi sijaelewa hapo kwenye kutafuta inch kumi ya hips kwa kutafuta kipande cha nyuma kutokea hapo kwenye tano kwenda kushoto kwenye flay pls hapo sijajua ni inchi ngapi hapo
Niuunge kwenye group lako plz.
Habari naomba niunge kweny group
Najiungaje kwenye group lako
Naomba uniunge kwenye groap
Naomba nijiunge kwenye group
Nakuombea kila siku Ndugu Mpendwa Milcastylish, kila ninapo omba nawew sikisahau wew ni Mtu muhimu kwa Wengi bila wew nisingefika apa nilipo kwa ushonaji umeinua Maisha ya wengi kweli 🙌🤲🤲🤝🇷🇼🇹🇿😘😘😍
♥️♥️♥️♥️
najiungaje kwa dalasa lako zuri