jifunze kukata na kushona surual ya kike

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • I'm on Instagram as @milcastylish. www.instagram....
    jinsi ya kukata blouse • jinsi ya kukata blouse...
    jinsi ya kukata solo toboa • je unajua kutafuta kan...
    solo ndefu • jifunze skirt ya solo ...
    jinsi ya kukata surual= • jinsi ya kukata surual...
    jinsi ya kukata na kushona bwanga • jinsi ya kukata na kus...
    jumpsuit kukata na kushona • kata na kushona ndan y...

ความคิดเห็น • 40

  • @OdlinaDaudi
    @OdlinaDaudi ปีที่แล้ว +2

    Ahsante jinsi ya kushona sasa

  • @enockkabika9381
    @enockkabika9381 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri

  • @festoaugustino5742
    @festoaugustino5742 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante
    Sana
    Dada

  • @sabinasaid1381
    @sabinasaid1381 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ ubarikiwe zaida maadam, ila hps na pj unapimia sehem moja? Samahani sijaelewa vzr mie,

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna sehem hapokwny kipande cha nyuma.ulikoongeza kwny kiuno na fly sauti imekata kwa hiyo sijaelewa vzr

  • @NaimaCreation
    @NaimaCreation 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mwaya, kwanini umeongeza 0.2?

  • @ZawadiAli-sr1vp
    @ZawadiAli-sr1vp ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @NajmaShaban-q2t
    @NajmaShaban-q2t 2 หลายเดือนก่อน

    Asate kazinzuli

  • @DonatilidaZakalia
    @DonatilidaZakalia 29 วันที่ผ่านมา

    Mbona akuna vidio ya kushona

  • @naumikabila5880
    @naumikabila5880 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya maelekezo unaweza kutumia kushona jumpsuit kwa kipande Cha chini

  • @ayubumakas
    @ayubumakas 2 หลายเดือนก่อน

    Vidio yakushona surual yakike haimo

  • @GraceJastin
    @GraceJastin 5 หลายเดือนก่อน

    Dada samahan I sjaelewa ziro point mbil ndio nini

  • @husbaecute2618
    @husbaecute2618 2 ปีที่แล้ว

    Cjaelw pleas naomb kuelekeza

  • @rukianassoro503
    @rukianassoro503 5 หลายเดือนก่อน

    My iyo zilo pointi 2 ndio ndio ngapi kwenye futi tusaidie jamani naona ht comenti hujibu

  • @EdinaJackson-ub9rv
    @EdinaJackson-ub9rv 3 หลายเดือนก่อน

    Nielekeze jinsi ya kujata ovaloli

  • @naumikabila5880
    @naumikabila5880 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanin kipande Cha nyuma kiunoni umeongeza nchi 2.5

  • @husnakambaya6482
    @husnakambaya6482 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @husnampare8145
    @husnampare8145 ปีที่แล้ว

    Whsp ipo

  • @isayasamweli6845
    @isayasamweli6845 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว

    Milca samahani ktk masomo yaliyopita ulisema fly unaweza kuchukua kipimo Cha kiuno unagawa kwa nne unaongeza inchi 2 ambapo kwny hiyo suruali ya ko kiuno Ni 28 ambapo nib7ukiobgeza 2 Ni 9ambapo Ni fly
    Sasa hapo umepima 10
    Umeipata wapi??

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 ปีที่แล้ว

      Ooh kwenye hii surual 28 ni tumbo na si kiuno

    • @saladaniel9274
      @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว +1

      @@milcastylish kwa hiyo Kuna utofauti kwny.upimaji wa fly kulingana na mtu anakovalia???

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 ปีที่แล้ว

      @@saladaniel9274 ingia apa dr ungalaie njia za kupima fly th-cam.com/video/ojxakmoGh10/w-d-xo.html

    • @saladaniel9274
      @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimekuelewa vzr Sana sweet
      Asante Sana mdogo wangu

    • @milcastylish
      @milcastylish  2 ปีที่แล้ว

      @@saladaniel9274 💕💕💕

  • @aishakassim5408
    @aishakassim5408 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Mimi sijaelewa jinsi ya kueka mifuko ya surual😥

  • @tekrajoseph3932
    @tekrajoseph3932 3 ปีที่แล้ว

    Kwnn unaongeza hzo 0.2sijaelewa

    • @rukianassoro503
      @rukianassoro503 5 หลายเดือนก่อน

      Atamisijaelewa na comenti hajibu

  • @zaitunisingano8295
    @zaitunisingano8295 ปีที่แล้ว +1

    Samahn mwal nimeona kuna utofaut wamaekezo ya upimaji kweny ile uliyoelekeza kwenye kktenge na hii uliyoelekeza kwenye hiyo karatasi sijaelewa kwann ile na hiy zinatofauti wakat zote n surual za kike.

    • @milcastylish
      @milcastylish  ปีที่แล้ว +1

      Zote njia ni sawaa dear angalia ulilielewa zaidi

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna tofauti gani kati suruali ya like na ya kiume??

  • @doricemelchior6275
    @doricemelchior6275 3 ปีที่แล้ว +1

    Samahani lakini kwa usumbufu,mbona sijaona jinsi ya kushona suruali maana nimeandaa pattern yangu kwa kutumia huo mfano sasa nilitaka niishone

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/QtHaU6vNDq8/w-d-xo.html

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 ปีที่แล้ว +1

      Anza na kuweka mifuko ya mbele zipu na belt kisha kuunga surual itakuwa imekamilika ,,na mifuko ya mbele nimekuwekea link

    • @doricemelchior6275
      @doricemelchior6275 3 ปีที่แล้ว

      @@milcastylish oky asante