ALIYETEKWA NA KUTESWA AFUNGUKA MAZITO 'WAMENIULIZA NANI ALIYENITUMA KUCHOMA VITENGE VYA RAIS SAMIA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 292

  • @JofreyZacharia-zz7dy
    @JofreyZacharia-zz7dy หลายเดือนก่อน +10

    Siungi mkono hilo tukio la kutekwa lakin pia swali nikwamba je kama mulikuwa hamvitaki hivyo vitenge kulikuwa hakuna ulazima wa kuvichukuwa naomba kuwasilisha🙏🙏🙏🙏

    • @oscaroscy7738
      @oscaroscy7738 หลายเดือนก่อน

      walipewa vitenge wakati wamekutana kwa ajili ya maagano fulani ambayo hayakutimia mpka inafika uchaguzi......AKILI KIDOGO TU UTAELEWA😂....

  • @PaullyPuyetrov
    @PaullyPuyetrov หลายเดือนก่อน +20

    Mie naomba sana, Chama kiwe kimoja Tanzania, mateso na ubaguzi uishe❤

    • @kigoratheson4676
      @kigoratheson4676 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe umesema aser

    • @youngstan1840
      @youngstan1840 หลายเดือนก่อน

      Alafu mama alaikum anakuja kijijini kwetu😂😂😂😂

    • @youngstan1840
      @youngstan1840 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi pia naunga mkono maneno yako

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli na mi ivo ivo kingee kuwa kimoja tu maana tusha choka mateso

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢chichiemu ni walafi na mafisadi mnoooo

  • @desekepi
    @desekepi หลายเดือนก่อน

    Bahati nzuri haya yanalipwa hapa hapa

  • @AhmedAbdallah-y6q
    @AhmedAbdallah-y6q หลายเดือนก่อน +3

    Mungu one day atalipa kwa hilii halita isha hivi hiv mungu ni wetu sotee ALLAH Wahukum wote wanayo fanya haya hapa duniyan

  • @SafiaOmar
    @SafiaOmar หลายเดือนก่อน

    Kumuacha mtu utupu na kumrekodi huu ni udhalilishaji. Pole sana although next time usichome zawadi ya nguo. Kuna watu wanatafuta za kuvaa hawana

  • @YustaAlois
    @YustaAlois หลายเดือนก่อน

    Mamlaka zilizopo Duniani, zimewekwa na Mungu. Heshima ni kitu cha bure. Heshimu Mamlaka!!

  • @martinamahenge4476
    @martinamahenge4476 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mlichoma vitenge vya mama HUJAPIGWA VIZURI unajua kabisa kuelekeza tukio😂😂😂😂

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 หลายเดือนก่อน +11

    Polisi mmezidi sana nchi sio yakwenu mjue Mungu hapendi mnatesa watu kiasi ichi 😭😭😭😭😭 Watanzania kwenye uchaguzi tufanye mabadiriko

    • @RANKMANTANZANIACOLTD
      @RANKMANTANZANIACOLTD หลายเดือนก่อน +1

      @@devothaignatius5256 Tiwachague wanaovunja amani? Kichoma kitenge mlichopewa na raisi wetu tena kwa kashfa kabisa ni sawa? Mlitafuta kiki mnaipata KILENI CHUMA HICHO

    • @bonnymsd8116
      @bonnymsd8116 หลายเดือนก่อน

      Unao uwezo wa kufanya mabadiliko kwa kura mtakazopiga?

  • @digital-d2t
    @digital-d2t หลายเดือนก่อน +1

    Hii ilikuwa haki yako. Uache kuchoma vitenge

  • @calvin6445
    @calvin6445 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie chomeni kanga za mama kisha mjiteke mkitaka kubadilisha fikra za watanzania juu chama tawala...Mtawapata wapumbavu ila wenyewe D 5 tumeshaelewa....strategy kali za kumpindua Raisi

    • @rajabuwiliam5854
      @rajabuwiliam5854 หลายเดือนก่อน

      Wewe matako kweli Yan akubali wamteke chama chake bado zam yako maku wewe

  • @Sophia-w5k4i
    @Sophia-w5k4i หลายเดือนก่อน

    Pole mama ungechoma msaafu ningekoment vibaya Lakin kitenge kinatengenenzwa na pamba sawa tu kama vipo vingine kamalizie kabisa

    • @Jimmywampinda
      @Jimmywampinda หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Anza_tz
    @Anza_tz หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe ulichoma vitenge mama yangu daah pole sana ,lakini siku ingine uache ukorofi kila jambo unalolifanya duniani hua lina malipo yake ,sasa siku ingine fanya siasa tuu kwa umakini achana na maswala yakuchoma vitenge vya watu,pole sana kwa tukio hilo la kutisha.

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mama achana na siasa fanya shughlii zako haya mambo huyawezi utapata amani zaidi

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab หลายเดือนก่อน

    Eti Anaulizwa Bibi Aisha Inamana Wanajuana Awa

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 หลายเดือนก่อน

    Siku nikimkuta mamaa angu yupo kwenye upuuzi wakushabikia mambo yasiasa ndisiku napata laana yamzaz ujinga tu mnaacha kufanya kaz mnang'ang'ania siasa ooh tunatetea haki zawanyonge simuwaache hao wanyonge wajitete wenyewe

  • @josafko2259
    @josafko2259 หลายเดือนก่อน

    Mm napita tu,inahitajika akili mingi sana ili uweze kuelewa mambo,tutafute sera nyingine,maana kama uliandika kilichokuwa kinaendelea ndo maana uko bize na kusoma

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f หลายเดือนก่อน +6

    From🇧🇮mimi naona tanzanian imekuwa uwanja wa vita sasa muje burundi kwanza majirani

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 หลายเดือนก่อน

      Raisi anajuwa wanao fanya hii unazani dugu mana wanajitabulisha palis tz kuna vima 3 ila vyama viwili vinaubizani mno wana ccm chatema wanao onewa nichadem

  • @oscaroscy7738
    @oscaroscy7738 หลายเดือนก่อน

    Tumalizane nao ...Ili tuwajue hawa wanaotumia polisi kama sehemu ya maslahi binafsi

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck หลายเดือนก่อน +3

    Acheni kujiteka chadema serikali Isha wastukia

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 หลายเดือนก่อน +2

    Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu bac hata cku moja. Msikilizeni Yona wa Chalinze atawapeni ukweli. Wacheni kupotosha umma bhana

  • @jaderkyser9389
    @jaderkyser9389 หลายเดือนก่อน

    Siasa za Bongo zishakua za kidikteta... Ngoja tupambane tupate KATIBA MPYA.. NYI MAA SISI EMU MTAJUA KWANINI KUKU HAKOJOI

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin หลายเดือนก่อน

    Kutekwa mmmm sijuii

  • @Jeremiahjacobo-s5v
    @Jeremiahjacobo-s5v หลายเดือนก่อน

    Una uhakika gani kuwa chadema wanajiteka hebu kuwa serious😢

  • @HamidaSeif-c8u
    @HamidaSeif-c8u หลายเดือนก่อน +3

    Lakini uliongea na viongozi wako wa juu wakawaruhusi kuchoma hizo nguo? Mbona wapo kimya limekuwa lako tu!!!!? Inamaana ulijichukulia sheria mkononi

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 หลายเดือนก่อน +6

    Mwanakulifind umeliget hekima kitu cha bure ulichoma vyann

    • @kamarhelo
      @kamarhelo หลายเดือนก่อน +2

      Ange vichoma akiwa peke ake sasa yeye kaleta zalau

  • @ip_header
    @ip_header หลายเดือนก่อน +7

    Uchunguzi huru ndio suluhisho , hapo huenda kuna genge la uhalifu linatumika ilikutoa taswira mbaya kwa serikali.

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@YusuphMwangobolamnatafunwa nyie,kwahiyo polisi nayo inaichafua serekali yake!???

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola หลายเดือนก่อน +1

      @@kassimrajabu7805 una uhakika gani kama polisi

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 หลายเดือนก่อน

      @@YusuphMwangobola umemaikiliza vizuri mama??!

    • @kinogekimbeho3781
      @kinogekimbeho3781 หลายเดือนก่อน

      serikali haitaki chombo huru na hata maagizo ya rais kuhusi kibao hakuna taarifa yoyote mpk leo wkt amiri jeshi alishasema apewe taarifa mpk leo hakuna.wangekubali kuunda kundi la kuchunguza tungepata majibu

  • @MwapololoMc
    @MwapololoMc หลายเดือนก่อน +8

    mwana kulitafuta mwana kulipata mpumbavu uyo sindio walio choma nguo za rais samia acheni kutafuta uruma

  • @LeonidasStephano
    @LeonidasStephano หลายเดือนก่อน

    Drama FC, Mungu ibariki Tanzania

  • @MuniraGambere
    @MuniraGambere หลายเดือนก่อน

    Sasa vitenge tu ndo mumfanyie mama wa watu ujinga wakumvua nguo.....acheni ujinga polisi ama watu wengine wanaofanya unyama na nynyi pia mmeumbwa na mtapata matatizo pia...

  • @OlivreKimario
    @OlivreKimario หลายเดือนก่อน

    Ni sawa wamemteka, wamempiga lkn wasingemwacha utupu kweli tumwogope mungu

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa หลายเดือนก่อน +2

    Duh jamaa walimshuhulikia.mbona halisemwi hilo,Adabu kwa.kiongozi wa nchi izingatiwe.

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmm wengine ukute sio pilice wanaweka tu no iyo uwiiiii

  • @mkaliwacoast5476
    @mkaliwacoast5476 หลายเดือนก่อน

    Allah akulinde mamaangu...STORI YAKO KAMA YANGU😢

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu หลายเดือนก่อน

    Nomasana hii Nchi hii.

  • @esthermichael4653
    @esthermichael4653 หลายเดือนก่อน

    Tanzania ishakuwa nchi ya hovyo kwa kweli inaskitisha sana

  • @SAVINPONSIAN
    @SAVINPONSIAN หลายเดือนก่อน +3

    Kipindi mnachoma vitenge mlikuw mnachekacheka tu

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 หลายเดือนก่อน +3

    Mlikosea kuchoma vitenge

  • @calvin6445
    @calvin6445 หลายเดือนก่อน

    Pigania dini mama achana na siasa na mdomo mwingi...Mungu haijui siasa.Chadema mnauwana wennyewe mkisingizingizia CCM .Tunaelekea uchaguzi mkuu wapo watakaotumia mbinu ya aina yoyote hata ikiwezekana kuuwa kwa maslahi yao lengo likiwa ni kuwabadilisha watanzania mawazo na fikra waone chama tawala ni kibaya.
    Wajanja tumesanuka.Nyie chomeni kanga Za mama alafu jitekeni wenyewe ikiwezekana muuwane kabisaaa

  • @RANKMANTANZANIACOLTD
    @RANKMANTANZANIACOLTD หลายเดือนก่อน

    Kumbe mkiwa kwenye siasa mnazitambua dini zote mbili na mnatambua YESU KRISTO NI WA KUSIFIWA

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 หลายเดือนก่อน

      🤬🤬🤬🤬 acha uchochez na choko choko za kidini

    • @RANKMANTANZANIACOLTD
      @RANKMANTANZANIACOLTD หลายเดือนก่อน

      @@zenaycechanzinho6702 nani wa kuacha mimi au wanaojinafikisha kwenye salamu mbilimbili.
      KUMBE BWANA YESU NI WA KUSIFIWA HATA NA WAISLAM HWOYOOOOOOOO PIGA KELELEEEEEEEEE

  • @IddyAmir-gq1jr
    @IddyAmir-gq1jr หลายเดือนก่อน

    Chadema wenyewe wanatekana kuiharibia CCM

  • @SelemanHusen
    @SelemanHusen หลายเดือนก่อน +5

    Mimi sio shabiki wa viongozi Ila nanyie acheni dharau kidogo kuchoma hivyo vitenge ndiyo nini Sasa hata ungelikua wewe uchomewe vitenge vyenye picha yako ingelikuaje ?

  • @kengeleloya9598
    @kengeleloya9598 หลายเดือนก่อน +6

    Hata kama sijasoma but this is not real .we need our president SSH she is real at all

    • @irenemollel4363
      @irenemollel4363 หลายเดือนก่อน +3

      Achana na uchawa kajifunze kiingereza kwanza 😂

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow หลายเดือนก่อน

      ​@@irenemollel4363😂😂

    • @Elineswai155
      @Elineswai155 หลายเดือนก่อน

      ​@@irenemollel4363😂😂😂

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely หลายเดือนก่อน

    Ndio maana sihitaji mambo ya siasa ni ujinga tu ona walivyomzalilisha mama wa watu mungu awalaani

  • @dorothyminja8523
    @dorothyminja8523 หลายเดือนก่อน +1

    Kama itagundulika alijiteka , akajifunga pingu, akajitesa na ajajitupa Kibiti. Hatua stahiki inabidi zichukuliwe juu yake.

  • @jspenderhtv1333
    @jspenderhtv1333 หลายเดือนก่อน +4

    Huyuu ndioo amepigwaa mpka wakajua wamemuua???leo tu anaongea ivii😂😂

  • @Juke995
    @Juke995 หลายเดือนก่อน

    Sa we mama mtu mzima chama unacho unachoma vitenge vya nn kama hujitaki ndo busara gani hiyo umejitakia hujui kama unaishi iraq

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 หลายเดือนก่อน +1

    Nilisema mm hawa hili tukio la kuchoma kanga litawacost haya kz imeanza kwake Subhannallah mama wa watu mnaenda mpiga mtasema mwizi kisha kulazimisha awapende tu

    • @kamarhelo
      @kamarhelo หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo ni kwamba kaleta zalau kwani mtu kama hukuvitak angevichoma akiwa peke ake ila alijiaminisha

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 หลายเดือนก่อน

      @@kamarhelo Ndy umteke km kafanya kosa c wanemkampeleka police wakampa kesi sasa nn kutaka kumtoa roho kisa kaka ya CCM acheni usenge wenu wakulazimisha watu ujinga

    • @kamarhelo
      @kamarhelo หลายเดือนก่อน

      @@OfficialA83640 nikwamba hujanielewa jambo zito kama hilo yeye mtoto wa kike kalibu kalibeba la kazi gani kama sio Kutaka kuacha watoto wake wahangaike duniani angeuza zake mchicha ale ashibe alale lakin kujingiza kwenye siasa ni matayiz matup na akiona kilicho mpata yule kijana alie choma picha na yeye Tena kaenda kuchoma vitenge ili iweje

  • @mohdhussein3516
    @mohdhussein3516 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu watekaji wmepta muda wa kununua mpka chipsi 😂😂😂tanzania nchi comedy sana

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mna familia pambana kulea hizo familia achana na siasa wewe mama

  • @hajisalumomari3460
    @hajisalumomari3460 หลายเดือนก่อน

    Huyu kama alikua kafumbwa macho alikua anajuaje majira ya saa, na anasema alishushwa kwenye pori wakat akiwa amefungwa macho alijuaje kama yuko kwenye pori

  • @HUSSEINALLY-b7f
    @HUSSEINALLY-b7f หลายเดือนก่อน +6

    Unachoma vitenge vimekukosea nn

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima หลายเดือนก่อน +2

    Uyu aliokotwa na boda kisarawe akaperekwa mwanyamala hospitali mbona mbali sana kisarawe ni wilaya ya ilala alitakiwa aende amana na alipokerewa vp hospital bila PF3 me aya mambo ya siasa apana siyataki kabsa

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu mama nyinyi police watanzania msipo kaanaye chini atawapaka matope maelezo yake yana walakini mkubwa kunakitu kinaendelea cha kukuchafueni😅

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f หลายเดือนก่อน +6

      Huyo ni mama , mwanamke na binadamu ikifika kipindi mtu mwenye akili timamu anafanyiwa ubaya na ukaona ni uongo ni hatari sana

    • @SamiaMbada
      @SamiaMbada หลายเดือนก่อน +4

      Wanachafua serekali na nimuomgo chadema sio chama

    • @HAWANassoro-o2j
      @HAWANassoro-o2j หลายเดือนก่อน +5

      Kwanza anachokiongea anakisoma kwenye karatasi 😢

    • @abdiharuna2818
      @abdiharuna2818 หลายเดือนก่อน +5

      Siku yakimtokea ndugu yako wa karibu ndio utajua hujui

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +2

      Huyu mama mtihani

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 หลายเดือนก่อน

    afu samia akicmama mbele ya watanzania anajifanya kama mtu kwel vile...🤨🤨

  • @joelbussa6903
    @joelbussa6903 หลายเดือนก่อน

    Polisi wanajiona mungu sana mamae

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga หลายเดือนก่อน

    Uko vzr dada mana wanatak kuhum wao kama vile nawao hawatokfa.

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir หลายเดือนก่อน +1

    Huenda nyege tu huyo, atekwe eti aachiwe? Wapo wapi waliotekwa kiukweli? Saanane yupo wapi kwani karudi??

  • @ZainabuAbdala-hl3jp
    @ZainabuAbdala-hl3jp หลายเดือนก่อน +4

    Bado hujasema nautasema

  • @Abuuhamda256
    @Abuuhamda256 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi wakupigwa hadi hajitambui anakua huy jmn hebu tushtuke hii ni sinema zetu yan yupo kama hakutekwa aah 😂😂😂

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp หลายเดือนก่อน

    Emwenyezi mungu tuna kuomba liangalie hili tuko chini ya miguu Yako Tanzania Ina elekea wapi

  • @MercyHamis
    @MercyHamis หลายเดือนก่อน +6

    Hv nyie mnaosema hy mama ni muongo inamaana hamuon hy madamu yalivyoivilia mwilin 😢 mtu mzima kama hy ajitengenezee tukio ili iweje inamaana kajipiga yeye hyo majeraha yote daaah 😭

  • @herijaphet
    @herijaphet หลายเดือนก่อน +9

    Kumbe mlichoma vitenge vya mama. Basi umepata mshahara wa matendo yako. Nchi hii rais ni mmoja na hatutafurahia adhalilishwe na wanasiasa mnaotaka umaarufu wa udhalilishaji

    • @kamarhelo
      @kamarhelo หลายเดือนก่อน +2

      Nikweri kabisa yani watu wanajitahid kuvunja amani pia wew ni mtoto wa kike hayo mambo huyawez mama angu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 หลายเดือนก่อน +1

      Kuchomwa vitenge ndio amedhalilishwa ? SI wangewashitaki mahakamani

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga หลายเดือนก่อน

    Emng. Tulinde tunako elekea cko kisa vyama mbn kila mtu abaki na chama akipendacho??

  • @azizimtege
    @azizimtege หลายเดือนก่อน +4

    Aliyepigika hata anapoongea untamjua tu, but huyu mama anaongea kwa uchangamfu hivi mmmh ebu mwangalieni vizur then futa picha ya mtu mwenye maumivu inshort huyu mama anacheza filamu.

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d หลายเดือนก่อน

    Kwa hiv jaman wanachadem achen hich cham kibak ccm tyu jaman mtakuf muach watot wenu jiweken pemben jaman 😢😢😢inaum mno basi tyu

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde หลายเดือนก่อน

    Tumefikia pabaya,tutamwamini Nani?maana hata Police hatuwaamini tena, hivi tunaelekea wapi?kwa kuchoma picha Tu make kuua MTU?kwa nini mlikubali VYAMA VINGI? Rekebisheni basi tubaki na chama kimoja. Hii ni aibu kwa Taifa hili. Inasikitisha Sana.

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 หลายเดือนก่อน +5

    Polisi wakamteka, wakampiga na kumuliza nan kakutuma kuchoma vitenge vya Samia daah akili gan hii

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 หลายเดือนก่อน +2

      Izi ni siasa ndugu usishangae na wala usiangalie upande mmoja huyu mama aachane na siasa ni mda wakumrudia mola wake

    • @RANKMANTANZANIACOLTD
      @RANKMANTANZANIACOLTD หลายเดือนก่อน

      @@zainabzanzibar1518 mwana kuli-find mwana kuli get
      UNACHOMA MOTO ZAWADI ULIYOPEWA UKAIPOKEA KWA MIKONO MIWILI! Hata ningekuwa mimi nisingekubali

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +2

    Kwann hukupiga kelele na mchana wote huo ili wananchi wajae. Hii habari inaukakasi yani mama ulivyo na mdomo ww ukaacha kupiga kelele na hizo nguo usingeenda kulia porini ungevulia hapo mchana kweupe watu wajae au walikuloga

    • @esthermichael4653
      @esthermichael4653 หลายเดือนก่อน

      Halijakukuta mpendwa ndo maana unamuongelea ivyo ila tambua dunia ni duara

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +1

      @@esthermichael4653 swala sio kunikuta huyu mama sio mshamba wa polisi na keshajua ukitekwa nn kinafata wenyewe ndo wanatwambia tusikubali kutekwa kijinga tupige kelele tujaze watu kwaiyo wanatujazaga ujinga au

  • @MosesFredy-f2z
    @MosesFredy-f2z หลายเดือนก่อน +1

    SASA NANI ALISEMA UCHOME UKOME

  • @kibuzosenga1123
    @kibuzosenga1123 หลายเดือนก่อน

    hivi jamani mtu alie tekwa anawezaje kusoma hotuba ya maelezo yake hapa kuna uongo mwingi

  • @kibuzosenga1123
    @kibuzosenga1123 หลายเดือนก่อน

    alionaje poti mteremko na kisiki ili hali amefungwa macho jamani acheni uongo

  • @ip_header
    @ip_header หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kuna mchezo unaendelea, muda utaongea..!

  • @AlphaKabinga
    @AlphaKabinga หลายเดือนก่อน +2

    Umefungwa kitambaa machoni halafu ukajua kwamba muda ni saa 12 jioni ? Duh hatari sana.

    • @Jimmywampinda
      @Jimmywampinda หลายเดือนก่อน

      Uelewa wako mdogo sana

    • @AlphaKabinga
      @AlphaKabinga หลายเดือนก่อน

      @@Jimmywampinda Nyumbu 😄😄😄😄😄

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 หลายเดือนก่อน +1

    Kuchoma vitenge vya Samia nayo ni njia ya kutangaza sera za chama?huwa si waelewi haki ya nani
    Kuchoma picha ya rais nayo ni njia mojawapo wa kutangaza sera ya chama? Common !!!
    Ziko njia nyingi za kutangaza sera za chama.hayo mengine ya kuchoma sijui picha ,kanga etc ni provocation tu siyo njia sahihi ya kutangaza sera!! Ni kuonyesha chuki,kuhamasisha vurugu etc

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo hawezi kusema yote wamemfanyia kila kitu Allah akuponye na akuepushe na magonjwa

    • @Abuuhamda256
      @Abuuhamda256 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 muongo huyu mama wakutekwa na kuwa Hoi awe hivi

    • @joharimohamed
      @joharimohamed หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Abuuhamda256angekua ni mama yako au ndugu jamaa usingefurahia km hivyo

    • @Abuuhamda256
      @Abuuhamda256 หลายเดือนก่อน +2

      @@joharimohamed na haiwez ikatokea coz sio watu wa masiasa huyu kayataka acha apigwe tu

    • @rynesawaya7043
      @rynesawaya7043 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Abuuhamda256ok what goes around comes around usiongee sana bado safar ni ndefu,its good to be silent

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 หลายเดือนก่อน

      ​@@Abuuhamda256😢😢kwakua c mamako ila angekua mamako usinge sema hvyo

  • @FarajaElisha-h9n
    @FarajaElisha-h9n หลายเดือนก่อน +9

    Wameanza kujitengenezea matukio. 😮 hamna sera??

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi หลายเดือนก่อน +3

      Matako ya mama yako ayo pumbavu

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน +1

      Nawewe jitengenezee tukuone huku

    • @irenemollel4363
      @irenemollel4363 หลายเดือนก่อน

      Acha uchawa, mchawi mkubwa wewe

    • @binseif2216
      @binseif2216 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@MmohamediSaidiChunga ulimi wako uislamu haufundishi kutukana

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน +1

      Siku yamfike mamaako utajua hujui

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 หลายเดือนก่อน +1

    Ni +MUNGU+ tu amemponya🙏🙌

  • @jennet6484
    @jennet6484 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona kama unasoma hapo mezani??😂

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน +4

    Na weee kwanini ulichoma vitenge? Siungewapa hata masikini wakatumia choma tena tuone ujasiri wako 😂😂😂

    • @estambuya3901
      @estambuya3901 หลายเดือนก่อน

      Ubinafsi umekutawala.

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow หลายเดือนก่อน +1

    Sasa yanin kuyachima matenge yatu jaman daah pole biaAisha

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umechoma nguo wakati watu maskini wanazitafuta, unaona wamekuonyesha umuhimu wa nguo,Wamekuacha uchi ndio ujifunze sasa😅

    • @kibuzosenga1123
      @kibuzosenga1123 หลายเดือนก่อน

      fungua ufaham wako huyu muongo anasema tangu ametekwa alifungwa kitambaa usoni lakini alipofika mahala kuna pori alishushwa kulikua na pori na mteremko wakamfunga kwenye kisiki baada ya kipigo akavuliwa mtandio kile kitambaa usoni kikatoka hakuweza kuwaona vzr kwa sababu ya giza swali alijuaje pale ni porini na kuna mteremko na kisiki mmh maigizo ya kitoto

  • @MariaMrinji
    @MariaMrinji หลายเดือนก่อน +4

    MH ALOFUNGWA KITAMBAA LAKINI AKAPELEKWA POLIN NA AKAA KWENYE KISIKIMM SIO POLICE LAKIN UYU MM EMU WAMUHOJI VIZUR KWAKUA KAMA KUNA IGIZO FLANI HAPO

    • @salimusalim3610
      @salimusalim3610 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa mbona anasoma ufanyiwe tukio upate mda wakuandika stori yako na ukiangalia kwa haraka hii sura ya kupata mateso kweli

  • @MosesFredy-f2z
    @MosesFredy-f2z หลายเดือนก่อน +1

    NIMELIA SANA WAKAKUNYIMA NA CHIPS JAPO ULIZISKIA

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 หลายเดือนก่อน +1

    Miongo hajatekwa huyo kafumaniwa

  • @goodmorningafrica6409
    @goodmorningafrica6409 หลายเดือนก่อน

    Daah. Sasa uchunguz wa nini apo😢

  • @CopperBelt
    @CopperBelt หลายเดือนก่อน +2

    Tumeshtuka sasa 😂😂😂😂😂😂 kutengeneza mazingira flani

    • @Ajijji12
      @Ajijji12 หลายเดือนก่อน +1

      Umeonae 😂😂😂

    • @CopperBelt
      @CopperBelt หลายเดือนก่อน

      @@Ajijji12 wanatengeza mazingira

  • @Carinasadati
    @Carinasadati หลายเดือนก่อน +1

    Tuseme tu ukweli walio mteka wamekosea ila ata yeye alikosea pia

  • @Yana-o2u
    @Yana-o2u หลายเดือนก่อน

    Tz ukiwa mpinzani tuu jiandae kipigo daah😢

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in หลายเดือนก่อน

    sasa hapo polisi watachunguza nini , hawaoni hata aibu. hayo ni matumizi mabaya sana ya fedha za wananchi, yaani mafuta yanayatokana na kodi yetu ndiyo wanayotumia kututekeya du ila wanatuona maboya kweli, lakini ipo siku yao kwani malipo ni hapa hapa, tuombe mungu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 หลายเดือนก่อน +6

    Kuchoma vtenge ndo sahihi? Ushamba tuuuu.Ukome

  • @allykyelula9327
    @allykyelula9327 หลายเดือนก่อน +3

    Ila wewe mama ni Matalan umefungwa macho Halafu unajua watu wanakula chips 😅

    • @azizimfaume9050
      @azizimfaume9050 หลายเดือนก่อน +2

      Anavyongea tuu ni muongo

    • @mwlpierre
      @mwlpierre หลายเดือนก่อน

      Kwa chips hazina harufu

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f หลายเดือนก่อน +1

    Subhannallaah politics.watz kwasasa nimajambazi

  • @ChristopherK4
    @ChristopherK4 หลายเดือนก่อน +3

    Kituo Cha daladala hakukuwa na mtu ? Sipendi kutekana ila ka Kuna uwongo flani hivi

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 หลายเดือนก่อน +1

      😂mfano ungekuepo ungezuia?

    • @kinogekimbeho3781
      @kinogekimbeho3781 หลายเดือนก่อน

      hivi hta kua

  • @hamischitanda3693
    @hamischitanda3693 หลายเดือนก่อน

    Huu n uongo waandishi wa habari kuweni makini na hao watu n kampeni za kuichafua dola iliyopo madarakani

  • @SaidMwendabwillah-v3z
    @SaidMwendabwillah-v3z หลายเดือนก่อน +3

    Anatuzuga anatembea na mums wa mtu😂

  • @rahema907
    @rahema907 หลายเดือนก่อน +3

    Ulicho pitia hadi usome mmmmh

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 หลายเดือนก่อน +2

    Mama mkavu ata haugulii maumivu duuh

  • @SabastianRaymond
    @SabastianRaymond หลายเดือนก่อน

    MALIPO kwa Kila KAZI YANAKUJA .....
    Mama pole

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢,ccm mnatia aibu

  • @farisal-rawahi7533
    @farisal-rawahi7533 หลายเดือนก่อน +1

    Muongo huyo mama mbona anasoma kwenye karatasi muongo sana