Historia. Ya Kassim Majaliwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • #waziri #mkuu #watanzania #usikutv #kassim_Majaliwq

ความคิดเห็น • 24

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 หลายเดือนก่อน +3

    Kufahamu historia ya huyu MAJALIWA ni safi kabisa , Mtendaji MAKINI , asiye na matambo , mkweli , anayejali haki za watu ,mwalimu mtaalaam wa UALIMU , Mwenye HURUMA na sifa nzuri LUKUKI . Ni tofauti na wengine wanaolazimisha wapate sifa nzuri ambazo hawafanani nazo .

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nampenda sana majaliwa,utendaji wake wa kazi ulivyokuwa hapo nwanzo, na wrote tulimheshimu sana kwa kauli zake thabiti, mambo hayaendi siku zote unavyotaka.Mungu ambariki

  • @Kainga47
    @Kainga47 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo shemeji yangu pa kuwa timu simba nimekupenda hiyo aina jina.Simba hoyoooo❤❤❤👍👍

  • @user-cv1ye7sx2d
    @user-cv1ye7sx2d 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarkiwe na mwenyez Mungu nakuombea kwa utendaji wako makini nipo Kahama shinyanga

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 23 วันที่ผ่านมา +1

    Transparency and realistic responsible person.

  • @MashaSayi-ui7dz
    @MashaSayi-ui7dz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waziri mkuu hongera Kwa wasifu wako mzuri usiokinzana na utendaji KAZI wako.... Endelea kuwaongoza vyema mawaziri wako

    • @MashaSayi-ui7dz
      @MashaSayi-ui7dz 10 หลายเดือนก่อน +1

      EATV Stay blessed!

  • @AbigailBateyunga
    @AbigailBateyunga 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi saaaaana.❤ ✔️🇹🇿

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 4 วันที่ผ่านมา

    Siwezi lazimisha nyekundu kua nyeusi majaliwa kiongozi

  • @mann9460
    @mann9460 ปีที่แล้ว +2

    mwana kaigo mwenzangu 🥰🥰🥰🥰

    • @RobertsKibasa-wi9mf
      @RobertsKibasa-wi9mf 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli, tukipiga kitabu Kigonsera pamoja miaka hiyo.

  • @anraneamisse9243
    @anraneamisse9243 หลายเดือนก่อน +1

    Nandagala moja a.k.a mnacho

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unafaa mxee kuwa rais wetu baba nakuombea

  • @CharlesMembo
    @CharlesMembo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubari majaliwa agombee urais 2025

  • @nickjuma6020
    @nickjuma6020 ปีที่แล้ว

    Upuuzi sana! Historia huwa haipo hivyo! mambo mengi huyajui! umepitisha juu juu tu! eti ana watoto wala hata idadi hujasema! eti alikuwa Katibu wa chama cha walimu wa mkoa hujataja ni mkoa gani! kwa ufupi hujui kitu chochote!🤷

    • @USIKUTV
      @USIKUTV  ปีที่แล้ว

      We acha kudanganya

    • @USIKUTV
      @USIKUTV  ปีที่แล้ว +1

      Tulifanya utafit kabla ya kuipost
      Ulicho sema toa ushaidi wako wa kile ulicho sema

  • @ghuhenjasper8666
    @ghuhenjasper8666 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa apewe nafasi ya kuwa RAIS wa NCHI yetu ya Tanzania maana anafaa kwa UONGOZI.

  • @isamony58
    @isamony58 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @RaymondMahundi
    @RaymondMahundi หลายเดือนก่อน

    Unajitambua kweli wewe.historia inasomwa hivyo kweli jana .hebu waachieni waandiahi habari Kazi yao

    • @USIKUTV
      @USIKUTV  หลายเดือนก่อน

      Kipi kilicho kosewa hapo

    • @USIKUTV
      @USIKUTV  หลายเดือนก่อน

      Fafanua

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana