Chiko hata upambane vipi, utaishi kufeli tuu,, alichokipanga mwenyezi mungu hkna wa kukipinga, alfu zatiti kwni mimba ni kitu cha kutangaza, mbna usiache ynyewe ijioneshe wakati wake ukifika, huo upuzi wa kumwambia Rahma kua ww ni mja mzito ndo unafanya Chiko azidi tuu kumuhangaisha mumeo
Ila hii sumu aliyoitengeneza Chiko ataja inywa Yeye mwenyewe, baada ya huyo Daniel kujua aliyoambiwa siyo kweli. Wenye wazo kama langu please naomba like zenu.🥰🥰
Nimechalewa ila nimehahi langu huyu Daniel Mundimu sijampenda ata kidogo ety anamtishia maisha Mr. Tasha wetu kwa maovu yake mwenyewe akwende na akwende nauko ni chizi kama chizi wengine tew yeye pamoja na huyo Chiko wake
Yote tisa ni chiko ashapotaza kitu ajikubali tu na endelea na maisha much love ❤️ from Kenya 🇰🇪 team strong 💪 nawaomba nipeni like moja jamani na pia ikiwezekana nipitie nami tafanya ivo ivo .ila chiko asiyekubali kushindwa si mshidani 😂😂😂
😢😢masikini kibendu dada anauma sana sasa nayeye candy atamwambia mwanae baba yake yupo wapi alikuwa anamtesa sana mama yake chiko mshenzi kweli naomba afeli kila kitu
kwanini muna muzuru tasha wangu kijana mwenye maneno kama nawewe hautaki wakumuzuru tasha like hata kidogo from 🇿🇦
Ndio cpendi wamuzuru😂😂
Kibendu,zatiti na Mr Tasha
Like zenu mtaziona hapa uhusika mmeuvaaa vyemaaaaaa
Ambao tunamchukia chiko na mipango Yake ifail mpo
I like
Chiko sikupendi sana sijui utamatika lini
Yaani sipendi chiko never
Chiko ninamchukia kaa uchumi wa Kenya 😏😏😏
@@HadijaVinyu yaani nimpate hata kama ni kuigiza atatii
Tusiyo mpenda Daniel mndimu tujuwane apa kwenye like
😂umemuona leo na leo hii haumpendi
@fatumakamwendo78j 3:33 94 jamani mmempania ????🤣🤣
@@fatumakamwendo7894😂😂😂
Akiwa mwema tutamupenda😂😂
@@sofiakinyia2734❤️
Wanaosema chiko atafeli na mpango wake tujuane
❤
@@TheresiaShauri-fz6ct mimi hapa tukopamoja.Kutoka KENYA.
Daniel mndimu lazima afeli like japo moja
Atafeli tuuu
Wanaomchukia chiko kama mm tujuane
Ya Ani chiko anani kera saaaaana 😞😞kama na wewe ni ivyo basi weka like Yako apo👈👈👈
Ila chiko kazi unayo
Mmmmh ww acha t
Uyo Daniel mndimu km kaja na mipango yake itaishiya njia allokuwepo na mm like japo moja
❤❤❤
Yataisha jiani tu
Jaman chiko atolewe kwenye movie anaekubalina na me like japo moja
Ana kera chiko mtoeni
Kiukweli vipande vyke vinaboa😢😢vinapoteza mda
Kiukweli chiku anaharibu muvi inakuwa mbaya
Huyu tunayee mpaka kimkute kilicho mkuta Candy 😂😂
Aswaaa
Mwenyezi Mungu atulinde wote tunaoangalia house girl mda huu wa usiku na atupe afya njema panapo majaliwa yake inshallah
Fala
Inshallah 🤲
Chiko, chiko, chiko nmekuita mara ngapi😢😢😢😢 yaan huyu mtu ananiboo sana kivurugee
Chiko kivuruge sana Yan Ata mm yuaniboo
Mimi namchukia sana chiko luza boy kubalikushindwa anakera
Akika chiko pia mim nakuchukia
Kwaiyo nyie mnamchukia chiko kisa nn ngojen wakat mnapeana taalifa za mimba mtatwangwa ktu kizitt kudadek hahahahhahahah😮😮😮😮😮
Chiko anbooo kiukwel
MUNGU AKUBALIKI WEWE NA KIZAZI CHAKO 😘😘😘
Tusiompenda chiko tujuane2🎉🎉
Maskin Tasha wetu Allah akulinde na kila mwenye nia mbaya na wew
Amiin amiin sijui huyu chiko ataenda lini jela pia yeye
@@MwanamisiMunnah-x3v Aameen Yaa Rabb
Jamani uyo chiko tume mchoka na mambo yake ya ovo mpk movie inaelekea kuboa jamani like basi
Yani chiko hata party yako pia naichukia kama unakubali like hapa..
Nmimi nakiruka part yaje chiko😊
Mm kwanzia leo siangalii hii series juu ya chiko juu ni mnafiki sana
😄😄😄😄
Movie inauzuni inanikumbusha matukio fulani kama kwa fupi ni movie zuri sana kama unakubaliana na mimi weka apo alm na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
🎉💚💛🙏🎉
Wanao mkubali Kibendu please like hapaa.
Chiko ni mpumbavu Sana wew nakuchukia na hauji fanikiwa!!!!!!!
Chiko acha uongooo back punguza uongo eee mungu ingilia kati SEMA ukweli wa hili jambo
Chiko acha uong bc nakuchukia weweeeeeeeeee Tash mungu akulinde akuepushe na mkos wa chiko 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hakuna cha mndiu wala mlimau 😂😂😂 mtashindwa nyie Mr Tasha kitoto cha Mungu❤...alafu mimba sio ya kutangaza jaman,mwenzenu hujulikana nkiwa miezi 8, kusemasema aku!
Àsalam aleykum mashabik wenzangu kwa wale wote wanaochukizwa na chiko na ujio wa Daniel mdimu mpo niwaone wenzangu
Walleykum salamu warahmatullah wabarakatuh
Chiko hata upambane vipi, utaishi kufeli tuu,, alichokipanga mwenyezi mungu hkna wa kukipinga, alfu zatiti kwni mimba ni kitu cha kutangaza, mbna usiache ynyewe ijioneshe wakati wake ukifika, huo upuzi wa kumwambia Rahma kua ww ni mja mzito ndo unafanya Chiko azidi tuu kumuhangaisha mumeo
Yaani na ndevu zake hadi aibu
Ndio tujifunze kwamba kuna mambo yakutangaza na mengine LA!
@@aishaomar2287kabisa kuna mambo sio ya kutanganza
❤@@aishaomar2287
Nasikia kumchukia chiko, hadi filamu inaboa sana hadi inahaza kupoteza mvuto
Ila hii sumu aliyoitengeneza Chiko ataja inywa Yeye mwenyewe, baada ya huyo Daniel kujua aliyoambiwa siyo kweli. Wenye wazo kama langu please naomba like zenu.🥰🥰
😂😂😂
MuwacheAinywemwenyewe 4:35
Kipochi manyoya mbeya ka mwanamke tumvishe kijola huyo jmn😂😂😂😂😂!!!!!!!!
BUSATI naombeni msikilize ya watu chiko anaboa jmn atoe ujinga kwa movie hiii ish movie inaboa kwa chiko.......kama wakubaliana na mm weka like❤
Mipango yachiko inaweka filamu kuwa moto🎉❤ lkn inanichukiza kweli😅😅
Kabisaaaa 😂😂
Mnafosi iwe na sizoni 4 but mtaharibu zaidi, Bora IISHE na utam kidogo uliobaki. Hata hivyo mpamka Sasa sio house girl Tena
Hata me nimeliona Hilo haki hahaaaa
Kbsaaa bora yiishe imekuwa yakuangamizana sio house girl tena
Mungu amusaidie tacha🙏🙏
Director please nakuomba utoe hyo mjinga chiko anaharibu movie sana
😂😂😂😂😂mjinga tena
Nayo ili mchezo uende ni yeye awepo😂 so zoea
Chiko WE niakuferi tuu😂
Huyu daniel kimoyo amekuja na makasiriko kwan uliambiwa na nani uibie kampuni mpuzi wew ukifanya mchezo na tasha wetu tutakurudisha jela😊
😂😂
😀😀😀
Yan huyu Chiko duuuuh ananikwaza sana huyo Chiko Mungu amsaidie Tasha
Chiko chiko chiko nimekuita mara ngap kend kawa chiz sania karud kwa mganga wake kuish xaxa bado ww tu chiko lolote likukute
Yaaanu chiko ananikera sana mpaka naichukia move,kwa nini anamchonganisha Mr Tasha kiasi hiki ,chiko we shetani kabisa
Mm hata sina hamu ya kuangalia tena hii movie jamani 😢😢😢😢😢😢😢 chikoo ww Mungu akulaanii ww
Ushasema mm nd nishatoka wamtoe huyo fala chiko
Hiiii moveee saiviii inakoelekeaaa hataaa haielewekiiii 😢😢 jmn jmn ciooo house girl tenaa
Chiko tunakuchukia unaiyalibu movi😢😢
Jamani mimi sijuwi Nina mkosigani Siku niki Pata like ata Tano tu nitafurai
Furah sasa naona zimezid tano
@@kamarhelo😂😂😂
Umepata kama zote
Like za Nini
Huyo joka la mdimu hebu mtoeni alafu mnaharibu movie
Mnazngua sana tulikua kumchukia chiko reo ila nalo jitu lefu lmetokea wp.kingne zu alikua n mimba mwez w tisa adi leo bd aikui tu😅😅😅 aya wana busati
Kazi nzuri wadau ila chiko una boesha sana
Nimechalewa ila nimehahi langu huyu Daniel Mundimu sijampenda ata kidogo ety anamtishia maisha Mr. Tasha wetu kwa maovu yake mwenyewe akwende na akwende nauko ni chizi kama chizi wengine tew yeye pamoja na huyo Chiko wake
Wakwanza kutazama ❤❤
Kwani hii movie sterling ni nanii?
Ila mr Tashaa unafaaa nakupa 100,uhusika umeuvaaa vyema makopa yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani ebu malizeni hii movie Duh nishachoka sasa..!!!!
Yote tisa ni chiko ashapotaza kitu ajikubali tu na endelea na maisha much love ❤️ from Kenya 🇰🇪 team strong 💪 nawaomba nipeni like moja jamani na pia ikiwezekana nipitie nami tafanya ivo ivo .ila chiko asiyekubali kushindwa si mshidani 😂😂😂
Tenaa mkomee nyiee madevuu pumbavuu zenuu na mtafeliiiii😅😊😅😮😢😢😮😅
Mbona chiko anachelewa kuwa kichaa kama Candy nimechoka Mamb yake
Pia mimi aki
Ye anatakiwa afirisike ili aache majivuno,,,mbea kuliko kipara wa clam vevo
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
@@ElizabethMumbi-c6x mm naomba tu huyo jambazi kama yy anaye muarifu uwongo Yaani Daniel amgeukie chiko ampige hadi basi tu
Ila nyie unafiki kazi jaman 😂😂😂 chiko snatapatapa kwa unafiki wake
Yaani sipendi chiko natamani wamutoe
Chikooo ckupendiii mm mbwaa mkubwa ww unan maliziaa bandoo na ntaachaa kuangaliaa hii movee sabu yakoo ww chikoo nyokoo ww hutafanikiwaaa 😢😢😢😢
Hii movie siangalii tena, leo ndo mwisho, naona sioni uzuri wake tena, mtanihadithia ukifikia mwisho.
Ahsanteni
Ha ha haa🤣🤣🤣🤣siku nikiona koment Yako nitakuponda mawe😂
Pia mimi
😂😂😂😂
😂😂kila laheri
Umeamua vyema, lakini kwann tuje tukuhadithie wakati umesema huoni uzuri wa hii movie
Yaan chiko jera inakuita
Yaani chiko nafasi uliyopewa uicheze aisee naichukia nakuchukia na wewe mwenyewe haki nimeumia mnoooo
😂😂😂😂
@levinaernest4364 😭😭😭😭
Hiv nyie mnao cheza hii move mna soma comment za washabiki zenu?! Au mnaigza tu bila kujal maon ya watazamaj
Wee Daniel shika adabu zako bn ,Achna n Tasha
😂😂
😢😢masikini kibendu dada anauma sana sasa nayeye candy atamwambia mwanae baba yake yupo wapi alikuwa anamtesa sana mama yake chiko mshenzi kweli naomba afeli kila kitu
Chiko chiko chiko wew ni mbaya sanaa sikupend kwann watengeneza utainywa mwenyewe dah
Chiko unazinguwa ww ndiyo maana kibendu husema forifofo sasa ndiyo ww chiko una mafofoforiko kweli
Tasha yupo atarini tumuombee jmn
Ni wangapi wanaona tukiwa kitandani leo
Nimemchukia huyu mgeni 😢sijapenda alivo muongelesha Mr Tasha
Limenikela kweli
Mm na sikia na poeka juu ya chiko
Chiko jamn mbn unakela sana! Ila kama kila mtu anamwamin huyu mungu yatakurudia hayo hayo na ukome ukome ukome
😂😂😂😂imgn tu mtu anatoka jela anakaa hivi mnatuona kama nyash zenu😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂kama ni hivi pia Mimi nipelekee jela🤣😂🤣🤣🤣😂
Naamepajuaje kwa Tasha na ametoka jela ata kuuliza njia hatukuonyeshwa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hongeren sana team busati, kazi nzuri
wanao chukizwa n mipango y chiko mgonge like jaman🎉🎉
Jinamizi mkubwa ni wewe chiko, na adui mkubwa ni wewe tu acha zako❤❤❤❤
Uyu Daniel sijui kajaje
😂😂😂😂
Chiko tumekuchoka midevu utazani ni mbuzi dume ovyoooo😏😏
Ila chiko anauzii jamen....wanao amani chiko atazidi kufeli mpango yake tujuane hapa kwa likes🎉
Chiko chiko chiko unakela tunaomba utolewe kwenye move make unahalibu mtu Gani utaki ukubari
Movie ilikua imefka patamu lkni sahii imeanza kukera kwani
Chiko apambane mwenyewe huyo Daniel mndimu atoke
Chikoo nakuchukia we mseng
Aaaaah chiko umetisha sana kwa uongo
Lkn najiuliza chiko aliumbwa na nani jamani roho chafu kama nn daaah nakuchukia chiko wenye wanaonahili nipeni like zangu wapenzi❤❤
Chiko chiko chiko nimekuita Mara ngapi, unakera sana
Daniel ni mzur jaman
Tenaaaa 😂😂😂
😂
Chiko mungu akupe pumziko. uache kutafuta mtu wamungu mwenye Hana kosa lolote kwako.tasha mungu haachi mwenye haki akapotea kuwa Na Amani
House girly saiz ni mimba tu jaman kabaki nani saiz maana Sania tayar Zur tayar zatiti tayar cend tayar hongeren vidume vya house girly
kabki keyna tu
🤣🤣
Kabaki somoe
🎉Chiko is always a failure like candy,wanao niunga mkono
Ila huyu chiko ananikere,, si tumchinje tumnywe supu😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Aki chiko usitoke TH-cam,ukija uraiani ww😂😂😂
Anakeranaikidogo,nichukie mwanzo mwisho ndonini Sasa??hakubali kushindwa kabisaaa, 😊
😢chiko achinjwe christmas
@lydieamia5260 kabisaaa,achinjwe na shoka,kazidi fitina
Nakuaminia mr taxha naamini hakuna kibaya chochote kitakukuta utaendelea kulea kijacho wako nakipenzio madam zatiti mpewe mauwa yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chiko anachukiwa umu ndani jmnii achinjwe tunywe supu😂😂😂😂
Supu ya chiko ni chachu
🤣🤣🤣@@florenceatambo2579
Hata supu yake hatutaki
Hongera Kai kwa usharudi mzuri kwa kibendu🎉
Tim strong like zangu leo wa kwanza 🇹🇿🇸🇦🇦🇪
Chiko ww unacho ongea ni wazim mtupu baba kubali kushindwa😊
Ww chiko nakuchukia Sana wenye wanaungana namm gonga like
chiko nakuchukia ten san wew chik munaik
Chiko jamani kama watu wangekuwa na roho kama yako dunia ingeisha kwa dakika
Ambao tunafurahia candy kupata uchiz na kubakwa please like zenu hapa tujuane ❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂😂😂😂❤
❤❤
Ameshika mimba?😂😂😂
@@CarolyneNyanchama-yk1gf❤❤❤❤❤❤
Chiko wapenda sana urongo hata kisura chako ni cha kulenga watu tu
Mr chiko kwenye 1 na 2😂😂ameshamtengenezea mabomu mr tasha jmn😢
Weh jamani chiko unazidisha chumvi 😅,,lakini yote Yana mwisho yake
Ebwana mko vizuri sana
Chiku anaharibu Mchezo mm sipendi namchukiya sn bora afe chiku Sipendi kabisa
Chiko chiko nimekutaja mara 2 mungu anakuona acha uongo kumchoma mr tasha