Heko Jakaya Kwa msimamo wako wakuunga mkono haki.Mungu awe pamoja nawe katika kazi zako. Mufti mkuu jitokeze utolee fatuwa Jambo hili.Sote NI wachungaji na sote tutaulizwa tulicho kichunga.
Allah atuongoe na mitihiani ya hawa mahasidi wa dini. Kuna kila sababu Bakwata mrudieni Allah, mnaupotosha Umma kwa kiasi kikubwa sana. Kama Taasisi mna ya kumjibu Allah siku ya mwisho.
Matapeli katika dini ya kiislamu ni wengini,mfano:Qur an 12:108 inatutaka waislamu tulinganie dini lakini kinyume chake tumeweka mashindano ya kuhifadhi Qur an,je!huu si utapeli?naomba nifundishwe,kama Mtume aliwashindanisha maswahaba kuhifadhi Qur an.Au tuseme na huu ni utapeli maana pesa nyingi ambazo zingetumika kuwawezesha walingania kujikimu wakati wanalingania zinatolwa zawadi.
Heko Jakaya Kwa msimamo wako wakuunga mkono haki.Mungu awe pamoja nawe katika kazi zako. Mufti mkuu jitokeze utolee fatuwa Jambo hili.Sote NI wachungaji na sote tutaulizwa tulicho kichunga.
ALLH Aqibar twajivunia watanzania kumpata mtuu bola san katika tanzania hii inxhaallh
Shukran Sheikh Kwa Baruwa Yako Yenye Faida Kubwa Sana Kwa Umma Wa Kiislamu.ALLAH Akulipe Pepo Kwa Juhudi Yako
Labda nawee tapeli kma sharif au?
Allah atuongoe na mitihiani ya hawa mahasidi wa dini. Kuna kila sababu Bakwata mrudieni Allah, mnaupotosha Umma kwa kiasi kikubwa sana. Kama Taasisi mna ya kumjibu Allah siku ya mwisho.
Shukran sana hata mimi naunga mkono juhudi za Kishki, ila waislamu amkeni bakwata ni kwaajili ya kuuufisha uislamu
Hakika na muasisi wa bakwata ni nyerere
KAZUNGU MTANGAZAJI WANGU ALIYEWAHI KUWA RADIO NOOR TANGA NAKUPA SALAM ZANGU KAKA ZIPOKEE NI MM AFISA MTENDAJI
ALLAH AKULIPE KHER NYINGI NA AKUHIFADH NA KILA SHARI HUU NDIO WAKATI WA KUWADHIHIRISHA WALE WOTE MATAPELI WANAOTUMIA JINA LA KIISLAM
Tena wapo tele mashkh njaa ni matapeli wizi wanadanganya watu kutumia mitandao Allah awadhalilishe Yarrab
Matapeli hmn karama wala sharifu waganga njaa tuu Allah atawaona kwa dhulma zenu
Daaaaah hiii dunia ilipofikia ni mtihani sana yaani mpaka mazinge yupo kwenye ili sakata nimechoka hoii😢😢😢
AAMIN AAAMIN YAAARAB AAMIN
Wapuuzi sana hawa masharifu feki. Allah awashinde
Mmh ucyemjua ucmdharau ww kaka
Sauti kama ya Yusuph Diwani.
Allah fundi kwa kweli.
Barua iko vizur imfikie kila mtu
Watafutwe wauliwe tu
Namuona prof kwa pembeni
Matapeli katika dini ya kiislamu ni wengini,mfano:Qur an 12:108 inatutaka waislamu tulinganie dini lakini kinyume chake tumeweka mashindano ya kuhifadhi Qur an,je!huu si utapeli?naomba nifundishwe,kama Mtume aliwashindanisha maswahaba kuhifadhi Qur an.Au tuseme na huu ni utapeli maana pesa nyingi ambazo zingetumika kuwawezesha walingania kujikimu wakati wanalingania zinatolwa zawadi.
Kishk umeshinda Sana ii mechi daaa mtihani adi kumjua michepuko wa mumeo kweli🤭🤭🤭🤭
Kijana sheikh kishiki amebabaisha wazee Waislamu hawaamini anaweza kua na tiba, juu anapata wateja wapandi zote , wacheni wivu wazee
Subhannallah 😂namichepuko tena ?
Alafu ayo mapete wanayoyavaa ni mambo ya kihanithi Pete Sunna ni vidole viwili mambo ya kishoga alafu ni washirikina
jmn wamezidi utapeli ,uchawa na kupenda pesa hususana kwa wanao penda kujipendekeza kwa viongozi wa serikali wakemewe vikali tuna elekea pabaya
huyu kijana n luminati niliona sign yke
Nna stori ya ajabu kuhusu masharifu feki, wezi tu nataka kuichapisha hadithi hiyo. Hao mabwana wasitumie uislamu kutupaka matope.
Hawana usharifu hawana chochote ni matapeli tu
😂😂😂😂mbavu sina huku kichaka kinawashwa moto.
Hat hvo ndo din yenu inapaswa kuw hvo wanaitendea hk quran
Dini ya mapepo hii njoon kw yesu
Huna ujualo kuhusu uislam acha kashfa hii ni dini ya allah alie muumba yesu
Acha ukulanyokwe wewe
Nanyie hamdanganywi na waponyaji
Nyie ndio mnapandisha mapepo kanisani. Hakuna kitu km hichi misikitini wewee
Pole