Ugomvi wa SHEIKH KISHKI na SHEIKH SHARIF ona OSTADH MAZINGE achafukwa....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 760

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 2 หลายเดือนก่อน +6

    Unaweza ukanza na mwanzo mzuri na ukaondoka duniani na mwisho mbaya. Allah atujaalie mwisho mwema. Amin

  • @hugoburuda7334
    @hugoburuda7334 2 หลายเดือนก่อน +27

    Sheikh Mazinge unajichanganya😂 hujui ata yupo dini gani huyo kijana😂 ….na baki na Kishki…tujuane hapa wale wa Kishki

    • @saidothman4527
      @saidothman4527 2 หลายเดือนก่อน +2

      🎉🎉🎉

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 หลายเดือนก่อน

      Masheikh wa Tanganyika ndo walivyo

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 2 หลายเดือนก่อน

      🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pamoja saaana🤝🤝🤝🤝Team Kishki 🤝🤝🔥

    • @ahmadooalhassan7633
      @ahmadooalhassan7633 2 หลายเดือนก่อน

      That is correct

    • @KunambiKilongola
      @KunambiKilongola 2 หลายเดือนก่อน

      Uyo Kishki ndio mshirikina namba moja kila siku anasomea dua Matajiri temeke na ndio zimemfikisha hapo alipo acheni chuki na waislam wenzenu mnaacha kuwapinga mayahudi wanaua waislam Palestine mnakaa kazi kucoment upuuzi

  • @mkambaherbs4377
    @mkambaherbs4377 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu nimjuzi kweny Injiri au Taurati au Zabur Kweny Dini Ni ziro Kubwa Allah Ambadilishe Levo ya kishki kweny Dini Nimwalim wake

  • @muhsinchambega
    @muhsinchambega 2 หลายเดือนก่อน +13

    NJAA MBAYA SANA ..ALLAH AWAPE UFAHAM MJITAMBUE

    • @KunambiKilongola
      @KunambiKilongola 2 หลายเดือนก่อน

      Njaa ndio imemfanya Kishki amshambulie muislam mwenzake wewe mtoa comment njaa zako pia ndio zimekufanya ucomment inaonekana huna kazi

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mazinge umechemka kwa kusapoti ujinga huu. Hicho hata mm kimenisikitisha sana. Mazinge kusapoti ujinga huu. Nilikuwa namuheshimu sana

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน +22

    Alhamdulillah,namshukur Mwenyezimungu kuhusu masheikh wa Kisalafy wanaotahadharisha hawa watu na pia walisema da'awa zao huwa ni za misimu ni kweli maan Mazinge alitamba wee saivi hoja zimeisha na anazeeka vibaya Allah amuongoze.

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 2 หลายเดือนก่อน

      @@Hamis-ks1sy wewe Allah kesha kuongoza?

    • @rehemamohamedy4007
      @rehemamohamedy4007 2 หลายเดือนก่อน

      Mmh.

    • @ahmedsalehe9489
      @ahmedsalehe9489 2 หลายเดือนก่อน

      haya nambie kuhusu huyo sheikh wako nae alitamba sasa siku hiz yuko wapi

    • @JamesYunusa-y4c
      @JamesYunusa-y4c 2 หลายเดือนก่อน

      Lijiwahaby lijinga kabsa wew hujui kitu achana na Maznge
      Hakuna Sheikh wako ambae yuko ktk levels za Maznge

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

      @@JamesYunusa-y4c Nakubali kwenye bible sawa lakini Kwenye elimu ya dini ya Allah ni mweupeee😁😁😁halafu uzuri ni kwamba ukifa huwez enda ulizwa kwanini ulisoma bible??? Ndo maana kuna mda akiwa azungumza reference yake ni bible kama si ujinga ni kitu gani?

  • @khalifeamani7742
    @khalifeamani7742 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mzee ALLAH akuongoze wewe na sisi, bali unanda sipo

  • @SalehAzzan-n5h
    @SalehAzzan-n5h 2 หลายเดือนก่อน +76

    Shekhe mazinge unafanya kazi kubwa ya mungu lkn mambo mengine kama hayo yawachie wenyewe yanakuvunjia heshima yako

    • @jumahamad3723
      @jumahamad3723 2 หลายเดือนก่อน +6

      Kweli kabisa

    • @hallmenaboud3192
      @hallmenaboud3192 2 หลายเดือนก่อน +5

      Comment Yako naomba ipiniwe. Umeongea point Yani prof. Mazinge anajivunjia heshima

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa manoni ya watu ni kweli wacha.lakini pia ni vuzuri kuwahakikishia binadamu wenye shida zao kuwatibia..

    • @mpembarino1917
      @mpembarino1917 2 หลายเดือนก่อน +3

      Umeongea kabisa

    • @muhsinchambega
      @muhsinchambega 2 หลายเดือนก่อน +2

      Umeongea point sana

  • @LouisianaRiri
    @LouisianaRiri 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mie nasoma Comment’ sitaki kushuhudia nisichojua “Allah ndiye anajua

  • @Walkmwalkm
    @Walkmwalkm 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mazinge watu wengi twakukubali ila kwa hili umejichanganya.yaarab tujalie mwisho mwema

  • @97firdaus
    @97firdaus 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wallahy hivi vichekesho tunajuaje kwamba Dua zake zinakubalika.

    • @bilalkhamishaji523
      @bilalkhamishaji523 2 หลายเดือนก่อน

      Kazi ya kukubalika dua sio yako wewe.. ni kazi ya Mungu muumba mbingu na nchi

  • @solomonyahya864
    @solomonyahya864 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uso wako Tu upo kitapeli.pesa izo unakula na watoto wako Duh mtihani sana Mazinge nlikuona zamani kua huna mpango Tapeli tu

  • @JAMILAH-l4s
    @JAMILAH-l4s 2 หลายเดือนก่อน

    SubhanAllah,, Allahu a'alam

  • @AllyKheyr
    @AllyKheyr 2 หลายเดือนก่อน +7

    Alhmdulillaah kwa neema kubwa ya uislaam na sunnah...Watu wa bidaa hawana nooor hata ktk nyuso zao

  • @maharusiMedia
    @maharusiMedia 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah Sheikh mazinge ametoa msg kubwa, nzito na ya kisomi zaidi kwa Kishq. 😅

  • @hamiduibrahim8232
    @hamiduibrahim8232 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mazinge ali msema mwambie leo nayeye kaingia kwenye mfumo😢😢 . Inawezekana kipato kikawa ndio chanzo cha kumuhasi mwenyezi mungu.

  • @warraw6393
    @warraw6393 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mazinge wacha hayo mambo izo njaa tuu. ..umezeheka unakubalika katika dawa basi omba Allah uzeheke vizuri

  • @WaziriMjukuu
    @WaziriMjukuu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah hatuhufadhi mimi na wew🤲🤲

  • @AthumanMohammed-e9g
    @AthumanMohammed-e9g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah aisambaratishe hii batili

  • @yusufyusuf-br5qk
    @yusufyusuf-br5qk 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hii dunia tutaona mengi xana mazinge sialimsimqngq mzee yusuf akaapa kwel kwel mwenzie haezi kusamehewa dah mtihan huu wallai aisee,Allah atupe mwisho mwema yqrab

    • @JamesYunusa-y4c
      @JamesYunusa-y4c 2 หลายเดือนก่อน

      Kosa la maznge n nn????

    • @adamchude
      @adamchude 2 หลายเดือนก่อน +1

      Njaaa mbaya

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 2 หลายเดือนก่อน +4

    Waislamu tujihadhari sana na Masih Dadjjal na Wafuasi wake. Sasa wameenea Wafuasi wa Masih Dadjjal wanajificha ktk Kivuli Cha Uislamu na Yesu.

  • @AyoubAbdi-t2p
    @AyoubAbdi-t2p 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mazinge please please please, tunawaombeni msivuje heshima ya dini ya mungu kama m/mungu anavyosema kwenye sura yatano Aya ya pili. Please please please.

  • @CHADAITV
    @CHADAITV 2 หลายเดือนก่อน +3

    🎉hii ni balaa tumuombe mungu awaongoze

  • @Winford-f4l
    @Winford-f4l 2 หลายเดือนก่อน +5

    "Eeh Mwenyezi Mungu nijalie Mwisho mwema " hii ina maana kubwa sana kwa kila muumini.
    Naona Sheikh Mazinge anataka kumaliza vibaya uzee wake.Haya mambo ya kuombea watu yana utapeli mwingi sana

    • @Heroztours
      @Heroztours 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu sio shehe huyu ni mazinge na huyu ata qur an kusoma hajui na kama unabisha lete clip moja tu akisoma qur an

    • @JamesYunusa-y4c
      @JamesYunusa-y4c 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@HeroztoursPamoja na kutokujua kuisoma Qur'an bado anawazid hao wasomi wako wa Qur'an ktk suala zima la kusilimisha Makafiri na hiloo nd bora zaid kuliko porojo zako za wehu wehu

  • @maryamal-gaithi7092
    @maryamal-gaithi7092 2 หลายเดือนก่อน +3

    Haya yoke yanatokea kwasababu waislam hatuwezi kutenga muda wakumuomba Allah tunaamiin mashekhe dua'a zao hupokelewa haraka lkn ukitenga muda wakujiombea mwenyewe Allah anakujibu pia tena kwa haraka sasa tumieni upako kwa uvivu

  • @nikrahayubu-sz3pw
    @nikrahayubu-sz3pw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nampnda sheikh kishik sana nampnda sheikh mazinge sana lakn kweny hili wallah umenikera sana maana unajifnya upo upande wa hyo sharif kukiko sheikh kishik jmn umenikera shekh mazingee achanaa na hz mmbo ya upako bhnaaa 😢😢😢umeniumaaa

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 2 หลายเดือนก่อน +35

    Asalam aleikum ndugu zangu wa kislamu tuchungeni sana huu nimtihani kutoka kwa mungu Allah SWT anatumia mtu kama ww kukupima imani yako sasa huu nimtihani wa kupimwa imani yako unaweza kutumia maji hayo kisha ukasahau imani yako ukaanza kusema bila yeye nisingi poa kwahiyo huyu kijana nimtihani kwa watu mukufuru ya kwamba bila yeye mambo yangu hayaendi tahadhari sana chungeni imani zenu maana kuna watu wakisaidika ndio wanamshukuru kushinda alie mtuma aje awasaidie mm kama muislamu na mola wangu ni Allah SWT na mtu wangu ni Muhammed SAW ❤❤❤ siamini mtu zaidi ya ALLAH SWT na kumshukuru yeye ndio muumba wakila kitu

    • @Zayeed_tv
      @Zayeed_tv 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Hashim-p4d kwani huwezi andika maneno machache yenye point

    • @AllyMshindo
      @AllyMshindo 2 หลายเดือนก่อน

      @@Hashim-p4d Sahihi use macho ila kizuri zaidi lugha njema ndio ujenga

    • @ShamilaAbdul-n8b
      @ShamilaAbdul-n8b 2 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi, tunatakiwa yakini zetu tuielekeze kwa Allah. Kwani yeye ndo mponyeshaji

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa uko sahih lkn Pana chuki kiasi flani maana tabibu muache atibu Kwa misingi sahih ukisema kuhusu huyu kijana ameletwa kuvunja Imani za watu ni wao wenyewe wamkumbukE Allah mueza

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Zayeed_tvkwan umekwanzika

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 2 หลายเดือนก่อน

    Inalilah wainalilah rajiun , mazinge umekutwa na nini shehe wangu , daa mwenyezi akutoe huko hakuna anayeweza

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 2 หลายเดือนก่อน

    MASHEKHE UBWABWA NDIO HAWA ALLAH ATUNUSURU NA KUDANGANYA WATU KUPITIA DINI

  • @mkude
    @mkude 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tumuombeni sanaa ALLAH mwisho mwema.

  • @maalimhamad1297
    @maalimhamad1297 2 หลายเดือนก่อน +17

    MAZINGE NA HAO WENZAKE WOTE HAPO HAMNA HUNA ELIMU YA DINI WALA HAMJUI CHOCHOTE KUHUSU DINI NAKUPA NASAHA MMELINGANIA DINI BILA ELIMU SIO JAMBO DOGO MBELE YA ALLAH LAKINI SASA MNALINGANIA SHIRKI ILIOWAZI KWA SABABU YA THAMANI NDOGO YA CHUMO LA DUNIA NA HICHO MNACHIKIFANYA SIO JAMBO GENI MTUME ALISHATAHADHARISHA NA WATU KAMA NYINYI NA HAO WATU WENU WAMAULIDI WANALIJUA HILO LAKINI KWASABABU UMEJIEGEMEZA NA NGAO YA MAULIDI HAKUNA ATAKAELIONA HILO NAKUPA KITU USICHOKIJUA HICHI ANGALIA MTUME S.A.W NINI ALIONGEA KUHUSU HAYO MNAYOYAFANYA
    (7) عن أَبي هُرَيْرَةَ، قال: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: يَكُونُ فِي آخِرِ الزَّمَانِ دَجَّالُونَ كَذَّابُونَ، يَأْتُونَكُمْ مِنَ الْأَحَادِيثِ بِمَا لَمْ تَسْمَعُوا أَنْتُمْ، وَلَا آبَاؤُكُمْ، فَإِيَّاكُمْ وَإِيَّاهُمْ، لَا يُضِلُّونَكُمْ، وَلَا يَفْتِنُونَكُمْ
    ABUU HURAIRA SWAHABA HUYU WA MTUME WA ALLAH S.A.W ANASEMA AMESAEMA MTUME WA ALLAH REHMA NA AMANI ZIWE JUUYAKE KATIKA ZAMA ZA MWISHO WATATOKEA MADAJAALI WENGI WAONGO WENYE HILA NYINGI WATAPELI WAKUJIENI MA MANENO AMBAYO HAMJAWAHI KUYASIKIA NYINYI WALA MABABAZENU BASI OLEWENI NYINYI NAWAO MKIWAFATA WATUHAO KUWENI MAKININAO NA MCHUKUE TAHADARINAO WASIJEKUKUPOTEZENI
    KISHA AKASEMA MTUME سيأتِي على الناسِ سنواتٌ خدّاعاتٌ؛ يُصدَّقُ فيها الكاذِبُ، ويُكذَّبُ فيها الصادِقُ، ويُؤتَمَنُ فيها الخائِنُ، ويخَوَّنُ فيها الأمينُ، وينطِقُ فيها الرُّويْبِضَةُ . قِيلَ : وما الرُّويْبِضةُ ؟ قال : الرجُلُ التّافِهُ يتَكلَّمُ في أمرِ العامةِ
    KISHA ZITAWAJIA WATU ZAMA ZA HADAA NA UDANGANYIFU MTUMUONGO NDIO JAMII ITAMUONA MKWELI NA MKWELI ATAONEKANA MUONGO NA MTU MWENYEHILA NA HIYANA KATIKA DINI NDIO ATAAMINIWA NAMTU MWENYE PUPA NA UCHUNGU WADINI HATAAMINIWA NAWATACHUKUA NAFASI YA KUONGEA MBELE ZAWATU NA KUSIKILIZWA NA KUFATWA WATU WASIOKUA ELIMU WALA MACHUNGU YA DINI NALENGOLAO NIKUTAKA KUWAPOTOSHA WATU
    Nasaha zangu kwa waislam hawa watu ni moja kati yawale masihi dajaal aliowataja mtume kuweni na tahadharinao sana
    wallahu aa3lam

    • @LatifahPambe
      @LatifahPambe 2 หลายเดือนก่อน +2

      JazzakaAllah khayran

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 2 หลายเดือนก่อน +1

      Swadakta

    • @ramadhanjamaly4328
      @ramadhanjamaly4328 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mashaallah

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv 2 หลายเดือนก่อน

      Kam wewe unayo elimu hebu andaa siku tuweke mdahalo tuongelee hili mimi na wewe

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv 2 หลายเดือนก่อน

      Tena wewe mjinga kabisa kasuku katika mambo ya dini acha ujinga na kutukana watu

  • @InfoMwamba
    @InfoMwamba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa tanzania wa kenya
    Munajuwa kuzinguwa
    Allah tujalie Uhai

  • @JamalBodar
    @JamalBodar 2 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda kuwa sihi waislamu fanya ibada yako naomba duwa yako kwa kuamini kwamba nafsi yako itakutana na mola wako,,,naamini utafanikiwa,

  • @EliyaExaudy-dr5cb
    @EliyaExaudy-dr5cb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wafrikaaa tumekujaaa kushtukaaa kwa iz dining so dakk zaa jioooooooon meshachelewaaa sanaaa😢😢😢😢😢

  • @saghirmzee2891
    @saghirmzee2891 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Ustadh Mazinge umetumia nguvu kubwa kujenga heshma yako naamini pesa inakupa mtihani zinduka .
    Mtizamo wangu unalolitetea halina mashiko ni chanzo cha upotevu.

  • @amesaosman9907
    @amesaosman9907 หลายเดือนก่อน

    hapa mazinge umechemsha Allah amuswamehe,,waeza anza vizuri ila mwisho ukapinda lamsingi Allah azidi kutuongoza na atuonyeshe haki!!

  • @MohdKhatibu-jw1vw
    @MohdKhatibu-jw1vw 2 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Dah! Mazinge tunakutegemea waislam achana na huyo tapeli wa dini

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 2 หลายเดือนก่อน +14

    Sheikh mazinge tuna kuheshimu sana,kwa ushauri wangu wachana na hii mijadala ya upako !!maliza umri wako vizur ukiwa bado unaheshimika!!

    • @mahmudmugarura2175
      @mahmudmugarura2175 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ushauri mzuri sana
      Huyo Sharifu wa mchongo
      Yupo kati kati ya wanawake akiwamiminia
      Maji ya upako

    • @JamesYunusa-y4c
      @JamesYunusa-y4c 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mahmudmugarura2175Tabibu hana mipaka kwa mgonjwa
      Mbn Mkeo anavuliw chup na madoctor wala hupig kelele?

    • @bestmindcoolingrelaxationm1084
      @bestmindcoolingrelaxationm1084 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@JamesYunusa-y4cSafi 😂

  • @pilimakundalongoilongoi3386
    @pilimakundalongoilongoi3386 2 หลายเดือนก่อน

    ALLAH amongoze kwa kweli kwahili hapana

  • @juliusamos-b7g
    @juliusamos-b7g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zangu katika imani tuifuate miongozo ya ALLAH

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 2 หลายเดือนก่อน

    بارك الله لك umezungumzia maneno mengi nawatu tutabaki tu ikhtilafiana mupaka siku ya qiama mungu ndio anaona nia zetu dua ninzuri alakini kwayule anae tuombea dua mashrti wenda ndio yakatushindisha,pia uka tupa kuzaliwa kwa mutume sijui mutume alizaliwa mwezi gani mualimu mazinge!??ukikataza wa kristo kusherehekea kuzaliwa kwa Issa yesu huku unayathibisha muusilamu mungu atuongoze

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 2 หลายเดือนก่อน

    Mazinge unazeeka vibaya, Allah (S.W) ukujaalie mwisho mwema.

  • @Mauya23
    @Mauya23 2 หลายเดือนก่อน

    Masharifuuuuuu...nimekusikiza vizuri sana Mzee Mazinge, lkn ushauri wangu ni vema uendelee na ule upande wako wa kuchambua vitabu, utafanya vizuri, huku kwingine nyuti kiutu uzima kutunza heshima!

  • @ahmedsalim4213
    @ahmedsalim4213 2 หลายเดือนก่อน +9

    Subhana’Allah Asalaam aleykum,kwanza nilisikia anaejiita sharifu akidai maji anagawa bure haitishi michango wala sadaka sasa inakuaje shekh Mazinge unamtangazia Biashara tena Kwani hawezi kufanya dawaa bila pesa au manabii walikua wakiitisha michango pia kwa kweli umejigedhehesha na umemfedhehesha SHEKH KISHKI na Jamiii Islam TAMAA MBAYAA ALLAH TUNUSURU.

    • @OMARHYDROXIDE
      @OMARHYDROXIDE 2 หลายเดือนก่อน +1

      Soma dini vizuri wacha hasira

    • @ahmedsalim4213
      @ahmedsalim4213 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@OMARHYDROXIDE kaka hakuna hasira na usitumie dini au akili uliyopewa Ndo kitega uchumi chako sasa hapo unasaidia umma au unauza bidhaa jina unalo ww

    • @OMARHYDROXIDE
      @OMARHYDROXIDE 2 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedsalim4213 kuuza tiba siyo dhambi, ndio mana nakuambia soma dini, wacha uvivu, fanya reserch dini nikubwa hiii..ukiiosoma huimalizi....ilmu zipo nyingi sana, kuna ilmu y fiqhi, kuna ilmu ya tawhid, kuna ilmu y hadith, kuna ilmu ya Quran(tajwid), kuna ilmu y seyra, kuna ilmu ya asmai, kuna ilmu ya jografia, kuna ilmu ya dua, kuna ilmu ya tiba, kuna ilmu ya viungo vya wanadamu(ilmu taswauf), kuna ilmu ya faraaidhi (miirath), kuna ilmu ya lugha(lugha u kiarab), kuna ilmu ya nahau, kuna ilmu ya swarfa, kuna ilmu ya kuitafsiri Quran na ilmu nyingne zote, kuna ilmu ya hesabu, kuna ilmu nyingi sana nyingne hata mmi sizijui....Allah anakuambia ukijiona unajua basi jua ya kwamba kuna mtu anajua zaidi yko, naye huyo mtu kuna mwenzake anajua zaidi yake,.....ssa tumeamrishwa kusoma sana...mana dini nikubwa hii...nabii musa alijiona mwenye ilmu sana, Allah akamuambia asafiri akaenda akapatana na mtu mwenye ilmu zaidi yake....Kuhusu swala la kuuza tiba...basi maswahaba walishafanya hilo...kuna wakati walikuwa wanasafri wakapita kwajiji flan wakaomba msaada wakanyimwa,...ssa mmoja wakijiji akaumwa na nge.(Scorpion) Bas swahaba mmoja akamsomea baadhi ya sura ... 🤔 Siikumbuki lakn nisura fupi sana...na yule mtu akapona na swahaba akaitisha malipo...akalipwa mnyama nadhan...ila ssa, baadhi ya maswahaba walianza kushindana kuhusu ile hali yakuitisha malipo...bas wakaenda kwa mtume Saw....wakauliza kama yafaa au haifai...mtume Saw akawajibu inafaa tena vzur sana, mwanza nikatien na mmi nyama nile...ssa kuhusu swala la kuuza Quran au dua hilo halikuanza leo....someni nduguzanguni.✍️

    • @OMARHYDROXIDE
      @OMARHYDROXIDE 2 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedsalim4213 kuuza tiba siyo dhambi, ndio mana nakuambia soma dini, wacha uvivu, fanya reserch dini nikubwa hiii..ukiiosoma huimalizi....ilmu zipo nyingi sana, kuna ilmu y fiqhi, kuna ilmu ya tawhid, kuna ilmu y hadith, kuna ilmu ya Quran(tajwid), kuna ilmu y seyra, kuna ilmu ya asmai, kuna ilmu ya jografia, kuna ilmu ya dua, kuna ilmu ya tiba, kuna ilmu ya viungo vya wanadamu(ilmu taswauf), kuna ilmu ya faraaidhi (miirath), kuna ilmu ya lugha(lugha u kiarab), kuna ilmu ya nahau, kuna ilmu ya swarfa, kuna ilmu ya kuitafsiri Quran na ilmu nyingne zote, kuna ilmu ya hesabu, kuna ilmu nyingi sana nyingne hata mmi sizijui....Allah anakuambia ukijiona unajua basi jua ya kwamba kuna mtu anajua zaidi yko, naye huyo mtu kuna mwenzake anajua zaidi yake,.....ssa tumeamrishwa kusoma sana...mana dini nikubwa hii...nabii musa alijiona mwenye ilmu sana, Allah akamuambia asafiri akaenda akapatana na mtu mwenye ilmu zaidi yake....Kuhusu swala la kuuza tiba...basi maswahaba walishafanya hilo...kuna wakati walikuwa wanasafri wakapita kwajiji flan wakaomba msaada wakanyimwa,...ssa mmoja wakijiji akaumwa na nge.(Scorpion) Bas swahaba mmoja akamsomea baadhi ya sura ... 🤔 Siikumbuki lakn nisura fupi sana...na yule mtu akapona na swahaba akaitisha malipo...akalipwa mnyama nadhan...ila ssa, baadhi ya maswahaba walianza kushindana kuhusu ile hali yakuitisha malipo...bas wakaenda kwa mtume Saw....wakauliza kama yafaa au haifai...mtume Saw akawajibu inafaa tena vzur sana, mwanza nikatien na mmi nyama nile...ssa kuhusu swala la kuuza Quran au dua hilo halikuanza leo....someni nduguzanguni.✍️

    • @OMARHYDROXIDE
      @OMARHYDROXIDE 2 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedsalim4213
      Bismillah Rahmani Rahim Baada ya kumshukuru Mola muumba, nakumtakia rehema na amani mtukufu Mtume(s.a.w.w). Nachukua nafasi hii kuelezea kwa ufupi historia ya tiba kwa sura ya ujumla, na kisha kuangalia mtazamo wa dini ya kiislamu kunako tiba . Swali lipaswalo kujiuliza ni kwamba elimu ya tiba ilianza zama gani? Pia mtazamo wa uislamu kuhusu tiba ni upi? Ndugu msomaji tushirikiane ili kupata majibu mema yatakayo tunufaisha sisi na jamii kwa ujumla
      Katika suala hili, Kuna khitilafu baina ya wataalamu na wanahistoria kunako uanzishwaji wa elimu hii (ya tiba)! Ambapo baadhi yao wakadai kwamba mwanzilishaji wa elimu hii ni Nabii Idrisa(a.s).Wengine wakasema kuwa mwanzilishi wake ni:Harmas Lul, na wengine wakainasibisha elimu hii ya tiba na tamaduni za Babel, Yemen, Misri, Fars, Hind, Ugiriki n.k.Wengine wakasema kuwa elimu ya kidaktari imeanzishwa na kutambulikana kama sanaa, na baada ya karne nyingi kupita ikapata mfumo na sura mpya na kuwa elimu kamili.Ndugu msomaji vyovyote vile iwavyo elimu ya tiba iko sambamba na kuwepo mwandamu katika sayari hii (ya dunia) kwa sababu magonjwa yanaambatana na maisha ya mwanadamu, hivyo kulikuwa kuna aina mbali mbali za matibabu zilizokuwa zikitumika katika kujiponya.Isipokuwa tiba ya zama hizo ni tofauti na sasa kwa kulinganisha na maendeleo ya zama zele na sasa. Hata hivyo kuna tofauti kati ya tiba ya zama hizo na zama hizi,ukilinganisha mendeleo yaliokuwepo zama hizo na zama za leo kwa sababu zama za Jalinus(201), Biqrati(277) na Plato (428) elimu ya tiba ilipangiliwa kiufanisi na kitaalamu nasikwamaana ya uwanzilishi wa elimuhi,pia baada ya kudhihiri uislamu udaktari uilipanuka zaidi, nani kwasababu uislamu unasisitiza utafutaji wa elimu katika nyanja tofauti,pia katika kombi maalumu kama vile tiba na-----Mtume mtukufu [s.a.w.w] anasema ; elimu ziko ya aina mbili;Elimu ya dini na ya miili. Maendeleo ya tiba yaliboreka kama ifuatavyo a)Kutoka zama za Mtume mtukufu mpaka mwaka[133 A.H] sawa na[750 A.D]Zama hizi za zinaambatanisha kuanzia zama za uongozi wa Mtume mpaka mpaka zama za makhalifa wanne.Katika zama hizi kwa sababu ya upya wa serekali ya kiislamu zama zile waislamu walishindwa kuipa kipaombele kwa sababu hiyo hakukupatikana daktari aliye bobea katika elimu hii.Isipokuwa kuna watu kadhaa walikifahamika kuwa madaktari wa zama zile kama1-Shimrdel 2-Dhamad bin Thaalabah3-Ibun Abi Ramdhah Tamimi-katika upasuajib)Kutoka mwaka (133A.H)mpaka mwaka (287A.H) sawa na (900A.D)Zama hizi zilifanyika kazi mbili nazo ni kama zifuatazo;1)zama za tarjama:Zama hizi waislamu walianza kutarjum vitabu vya Kigiriki, Kirumi na Kihindi ambae aliyeiongoza kazi hii ni Muheshimiwa Abu Zaidi Husayni bin Is-haka na mwanae.2)Zama za utunzi na uandishi wa vitabu vya tiba ambapo Muheshimiwa Abu Hasan Ally bin Sahari bin Tabariy ambae aliandika kitabu kwa jina Firdawsi al Hikmah, akiwa ni mwandishi wa kwanza katika elimu ya tiba kwa waislam.c) kuanzia mwaka (287-700A.H) ni zama ambazo waislamu walipiga hatua na kuendelea katika taaluma ya tiba kiasi kwamba wasomi wa kimagharibi walisema kuwa muda huu ni: wa thamani na wa dhabu kwa waislamu kimaendeleo.Dokta mmoja miongoni mwa Wamagharibi katika zama ambazo wamagharibi walipokuwa katika kipindi kibaya, kipindi ambacho waislamu katika miji tofauti ya kitamaduni ulimwenguni wakisonga mbele kimaendeleo ambapo Bagdad, Damaskas, Kairo na miji mengine ambapo mashule ya kidaktari na tiba pia mahospitali kujengwa katika miji hiyo hali ambayo ikionyesha maendeleo ya hali ya juu katika elimu ya tiba na udaktari.Anaendelea kusema kuwa Baghdad zilijengwa hospitali zaidi ya 60 na Kairo 33 hali ya kuwa ndani ya Ulaya hospitali ya kwanza ilijengwa mwaka 1793 (A.D) katika mkoa wa Yuraki Uengereza. Madaktari mashuhuri wa zama hiziKatika zama hizi walipatikana madaktari tofauti miongoni mwao :Ibn Sina, Razi, Ahwazi, Jurjaniy, n.k d)Zama ambazo wailamu walishuka kitaaluma kwa sababu:1 -Kukithiri kwa vita2 -Kukithiri khitilafu za kimadhehebu baina ya waislamu3 -Kukimbia kwa wanazuoni na kwenda nchi nyengine4 -Kuchomwa moto maktaba za kiislamu Sababu hizi zilipelekea waislamu kuporomoka kielimu na kuwaathiri waislamu.Hivyo baada ya kuporomoka waislamu ndipo nchi za kimagharibi zikaanza kupambamoto na kuanzisha kitengo cha kuhuisha elimu ya tiba katika karne ya 16 nchini Uengereza mkoa wa Yurak.Hii ni ishara iyoneshayo kuchelewa kimaendeleo katika nchi za kimagharibi ukilinganisha na wasilamu katika kipindi hicho.* Misingi ya tiba na udaktari ulianza pamoja na kuwepo mwanadamu katika sayari hii na kwa kupitia karne mpaka kwenda nyengine elimu hii ikiimarika zaidi na ulipofika uislamu kwa kuwa uislamu unasisitiza kutafuta elimu na kutafakari pia uashiriaji wa uislamu kunako aya na hadithi za tiba na udaktari,Waislamu walijiingiza katika elimu hii hatimae kutoa madaktari mfano wa Ibn Sina, baada ya hapo maadui wa uislamu walipora elimu hii na nyengenezo kama elimu ya kemiya na kujitangaza kuwa wao ndio wenyewe.

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh mazinge umefanya/unafanya kaz kubwa lakini kwa hapo sasa unaenda kwenya kufeli, rudi kwa Allah acha na hayo mambo urudi kwa Allah salama, mbona unataka kuharibika mwishoni kama bamia

  • @mwanahamisizawadi9345
    @mwanahamisizawadi9345 2 หลายเดือนก่อน

    Na kwetu kumeanza kuchangamka😮 Mtihani huu haki ya Mungu😢

  • @JoshuaJohn-vh9qg
    @JoshuaJohn-vh9qg 2 หลายเดือนก่อน +4

    Innalillahi wainna ilaihi Raajiun

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mazinge umepotea mwishoni kabisa waislamu hatuna hayo mambo mzeewangu mrudie mungu na uombe sana

    • @OMARHYDROXIDE
      @OMARHYDROXIDE 2 หลายเดือนก่อน

      Soma dini ndugu yangu, dini ni kubwa wacha makasiriko

  • @kassimbetti2749
    @kassimbetti2749 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na mtume (S.A.W) mwenyewe sijui kama alisherekea hayo mazazi yake...angalau mwaka mmoja...kusherekea siku ya mazazi ipo kwa waisilamu!!

  • @AbdallahHemedy-y6h
    @AbdallahHemedy-y6h 2 หลายเดือนก่อน

    Allahu akibaru nawapenda waislam wote kwaajili ya allah

  • @abuuumarmk4291
    @abuuumarmk4291 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya ndio madhara ya kukosa Tauhid ni Somo muhimu Sana katika dini ya kiislamu ,shida masufi awataki na ndio madhara yake

  • @Latifa-s3n
    @Latifa-s3n 2 หลายเดือนก่อน +6

    Shehe sharif fanya kazi mungu atakulipa ishaallah

  • @saidomary1835
    @saidomary1835 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia inawapeleka pabaya acheni kuupotoxha uisilamu na msifananishe uisilamu kwa kuwambia watu habari za maji na mafuta mnaanza kuleta ukafili ktk dini

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yarabii tujalie mwisho mwema

  • @AishaSaid-o8l
    @AishaSaid-o8l 2 หลายเดือนก่อน

    Inna liLlahi wainna ilayhi rajiun ustazi wetu usitupoteeze bhn

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 2 หลายเดือนก่อน

    mzee wangu mazinge unaingiy sehem si nzur tatz wana chimbiy vitu alaf wanajifany kuvitoa kumbe wameweka wenyew kama manyaunyau ilo ndo tatzo kubw nakusii mzee wngu mazinge jiepushe na matapel ili eshima yko iendelee pia nawaombea kwa allah awanusur allah awanusutu

  • @imani2870
    @imani2870 2 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah tusaidie waislama utuepushe na matapeli kama hawa ya Allah tunusuru ya Qayum YA Hayu

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kifupi huyu mzee anazeeka vibaya Wallah huwa siku hizi simuelewi kabisaaa Allah amuongoze halafu hizo refference katika bible hazifanyi kazi huku usiwe mjinga.

  • @justinhabonimana3890
    @justinhabonimana3890 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya Loriondo kwa style mpya😅

  • @BarakaMalande
    @BarakaMalande 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo la ustadh mazinge njaa inamsumbua

  • @shebyabdallah5854
    @shebyabdallah5854 2 หลายเดือนก่อน

    MAZINGE UMEFANYA JUHUDI KUBWA YA DINI LEO UNAOKOTA WAHUNI WA MBAGALA UNAWAPA MASHARIFU PIGA CHINI HUYO TAPELI MUOGOPE ALLAH

  • @khalifaseif7958
    @khalifaseif7958 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kiama kimefk dall kubw san ya kiyam ni mashekh kwa masheikh kugombn lahaula😢

  • @msarama5406
    @msarama5406 2 หลายเดือนก่อน

    Wazee wa dua na vituo vyao wanamitihani hao hasa kwa akina mama wanayofanyiwa na baadhi ya hao watu wa dua Mungu ndio anajua ni mtihani mkubwa sana Mungu atuongoze

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 2 หลายเดือนก่อน

    Mazinge tunakupenda, Mungu akuongoze

  • @Zayeed_tv
    @Zayeed_tv 2 หลายเดือนก่อน +14

    Professor mazinge umenaswa dakika za jioooooniiiii

    • @fatumamohamed2229
      @fatumamohamed2229 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @gfvh7282
      @gfvh7282 2 หลายเดือนก่อน

      😢😢daaa

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hujakosea 😭😭😭

    • @ashanassoro6492
      @ashanassoro6492 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huzuni sana

    • @Zayeed_tv
      @Zayeed_tv 2 หลายเดือนก่อน

      @@ashanassoro6492 tunaoumia nini sisi tulokua tunamuamin kama ni mtu lakini pia hii inamaanisha binadamu hatujakamilika na zaidi watu tunapaswa kujifunza dini kuliko kuwasikiliza watu ambao pia wanaweza pata mitihani na wakaanguka mazinge prof wangu umeniangusha sana

  • @jumakigoma1271
    @jumakigoma1271 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mazinge endeleya nakazi yako nzuri aca kutetea uongo na maovu yawatoto wadogo kama hao sio mitandaoni mutapotosha Uma wa kislam Mazinge fikiliya marambili uacane nahayo mambo zungumza na kishki mukae muyaweke sawa ili kilakitu kiwe kwenye mstali aca hayo mambo

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mazinge acha utapeli.Biashara uliyoibuni kwa tamaa na njaa kali itakugharimu.Muogope Allah na atafuta riziki ya halali

    • @halimamohammed3580
      @halimamohammed3580 2 หลายเดือนก่อน

      Jua Kali mno halichagua jinsia wala umri linawaka Hadi kwa wazeeee😂😂😂😂

    • @JamesYunusa-y4c
      @JamesYunusa-y4c 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@halimamohammed3580Kwani kuuza Dawa n haram??
      Kweli Mawahaby akili zenu zko chini sana

    • @halimamohammed3580
      @halimamohammed3580 2 หลายเดือนก่อน

      @@JamesYunusa-y4c tuombee na Sisi Tuwe na akili kama zako

  • @aklanhassan2917
    @aklanhassan2917 2 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya.
    Allah atuhifadhi.

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex 2 หลายเดือนก่อน

    Hata maneno yanakushinda Mazinde umejivunjia heshimaa

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mazinge😂😂😂😂 ww mzee wa mchanga umegeuka😅

  • @TaufiqMeneja
    @TaufiqMeneja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe mazinge haya maslahi ndio yamewafanya mzee Yusuf akawaponyoka wakati Allah alikuwa ashawakabidhi mumpatie Elimu.. Nisingetegemea kama angeponyoka kirahisi kwa Elimu ulio kuwa nayo na hikma... Na huyu pia atawaponyoka Muogopeni Allah

  • @AbdallahHaruna-p4n
    @AbdallahHaruna-p4n 2 หลายเดือนก่อน

    ALLAH ATUEPUSHE NA HII MITIHAN😢😢😢

  • @AshyumSiraaj-l3x
    @AshyumSiraaj-l3x 2 หลายเดือนก่อน

    Inalillah wainailaih rajiun Allah yaallam

  • @omarymbwana9798
    @omarymbwana9798 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acha njaa MAZINGE

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mazinge naye kumbe ni mushirik anauza maji😂😂😂😂alikuwa anawasema kina mwamposa kumbe na yeye yumo😂😂😂😂

  • @johndavidi2582
    @johndavidi2582 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana yuko vizuri fanya kazi wanafiki ndo hawapendi wanataka wawe wao

  • @DubayReja
    @DubayReja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inna lilah wahinna lilah rajuun 😭😭😭 Ukiona unahijuwa Suunna basi mshukuru sana Allah maana sio kwa dunia hii ya leo😢

  • @Bahati47
    @Bahati47 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hii ndiomana halisi ya kuomba mwisho mwema 😍 mazinge amegeuka mumunya ameharibikiwa ukubwani 😢

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 2 หลายเดือนก่อน

      @@Bahati47 Hafai

    • @allymtito8117
      @allymtito8117 2 หลายเดือนก่อน +2

      Aliharibikiwa akiwa mdogo saiv ni muendelezo tu, Allaah amuongoze

  • @SaphiaSaidi
    @SaphiaSaidi 2 หลายเดือนก่อน

    tatizo watu wengi wanaojiita masharifu utasikia unamatatizo lete mbuzi na laki tano nikusome ruqya hiyo ruqya sasa subhanallah usiku kunadua kubwa ukiamshwa inasoma alamtara ndio dua kubwa innalillahi waina ilaihi rajiun mazinge bora yaache maana yakifukuliwa yaache yapite

  • @Zpowe
    @Zpowe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duuh shekhe umefeli Sana dar

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 หลายเดือนก่อน

    Mkifata suna hayo mambo mengine amto pupia Allah anawataini kupitia kitu kidogo

  • @AbdillahBakar-qx9sr
    @AbdillahBakar-qx9sr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mazinge kushafanya mingi ktk din ya kiislam umeslimisha watu wengi sasa mwishoni unatak kupotea

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi akuongoze makinge ama kweli mungu anamchangua amtakae na anampotosha amtakae unaweza ukawa mcha mungu baadae ukawa mlevi ndo kama wewe

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Pesa kiboko mazinge unatangaza ushilikiana

  • @SwalehYmgomba
    @SwalehYmgomba หลายเดือนก่อน

    Mungu anatuonyeshe pumba na mchele binafs mazinge na sule sikuzi ni wachumia tumbo

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 24 วันที่ผ่านมา

    Mazinge rafiki yangu shida tu inaonekana wewe nimgojwa Kbsa nakutakia kukubali kifo Cha yesucristo

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatafutwa kuchafua dini . Uislam umeinguliwa jaman Mungu atusaidie

  • @OmayAlly
    @OmayAlly 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nlikuw nakuhesh lakn kwa Hil 😢

  • @Walkmwalkm
    @Walkmwalkm 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna tofaut ya maulid na krisma mtake msitake

  • @samuelelias6542
    @samuelelias6542 2 หลายเดือนก่อน

    Na madhalimu watakuwa na mwisho mwovu!
    Mazinge ni mtukanaji wa Injili wa miaka yote sasa Tunaona mwisho mbaya juu yake YESU NI MASIHI

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mazinge ushakuwa mpigaji ila ni sawa unaweza ukaanza vizur ukamliza vibaya na ukaanza vibaya ukimaliza vizuri

    • @HearlyChunga-h4h
      @HearlyChunga-h4h 2 หลายเดือนก่อน

      Nimpigaji tangu na tangu hajaanza Jana Hao huwa Wana wa- tengeneza watoto wadogo na kuwafundisha dini kisha baada ya hapo wanawavisha majoho kisha Wanaanza kuwa tangaza kuwa ni masharifu eti ni watoto wa miujiza so Hao ndio waasisi wa utapeli nchini tangu na tangu baada ya hapo ndio wakaja kuibuka kina kakobe katika ukristo , Hao walikuwa wanatumia Mihadhara kama njia ya kupiga pesa

  • @eaglemakopa7592
    @eaglemakopa7592 2 หลายเดือนก่อน

    Maji haya wekwi chochote ni dua tuh mbona yana rangi ya manjano..duh mazinge unafeli na umejishushia heshma yako kwa waislamu

  • @JoshuaJohn-vh9qg
    @JoshuaJohn-vh9qg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wasema ni Mwanafunzi wako lakini ata hujui kuwa Alisilimu au muislam wa kuzaliwa 😂😂😂😂😂😂

  • @joanestomas9028
    @joanestomas9028 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee naona njaa imepita viwango sasa, alimtusi sana na kumsema vibaya Mtumishi wa Mungu Mwamposa, kwa kuwaongoza na kuponya watu kupitia maji/mafuta ya upako, sasa leo hii alichokifanya hapa ni kubalisha lugha tu, ila mambo ni Yale Yale ya upako 😂😂, Mungu akusaidie ktk kusaidia kwako kwa kutangaza injili ya Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai kwa kutumia njia mbadala asante sana, hongera kwa mtumishi wa Mungu Mwamposa kwa kuwaonesha njia na wengine.

    • @MuslimYouthman
      @MuslimYouthman 2 หลายเดือนก่อน

      Mwamposa sio mtumishi wa mungu ni mchawi yule zinduka ww

  • @SadikiSelemani-t7g
    @SadikiSelemani-t7g 2 หลายเดือนก่อน

    Yani kama mungu kakulizia hainahajaa ya mafuta au majii kilakitu huwaaa😢

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo mazinge keshaona pesa za upako kwahiyo sasa tumemjua ubovu wake

  • @isaacmligo9187
    @isaacmligo9187 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni masihara Mungu hamtambui Muhammad kama mtume wake coz hakutumwa na yeye

  • @chidysule2163
    @chidysule2163 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh mazinge Mm naamini wewe ni mtu ambae umetengeneza heshima yako kwa muda mrefu Mm ni miongoni mwa watu wanaokukubali sana ila kwenye hili umezingua sana mzee wangu😢

  • @MasterTulo
    @MasterTulo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uislamu sio dini ya kweli,,,
    Mkubali yesu ndo njia ya kweli

    • @medwho959
      @medwho959 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu anakufa?? Upotovu

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 2 หลายเดือนก่อน

      @medwho959 uislamu sio Dini ni kikundi cha magaidi na mtume wao muhamadi ambaye ni mwizi mkubwa

    • @medwho959
      @medwho959 2 หลายเดือนก่อน

      @MasterTulo sawa, lakini mna abudu mungo anayekula na kwenda haja? His sio dini ni u ubunifu wenu.

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 2 หลายเดือนก่อน

      @@medwho959 uislamu si Dini ya Mungu yesu ni njia ya kweli na uzima kila amwaminiye ataokoka na Moto wa milele

    • @medwho959
      @medwho959 2 หลายเดือนก่อน

      @MasterTulo yeye kafa, ajisaidie...atiakafufuka. anakula, analala...

  • @mohhsalim2059
    @mohhsalim2059 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana ajitafute kwa njia nyingine bhn asitumie dini hii dini ya allah ni ghali sana au kama kaamua kuuza akhera kwajili ya buku buku ni sawa