SHUTUMA NA UDHALILISHAJI KWA MH RAIS NA VIONGOZI HAWA WA DINI- SHEIKH MUHAMMAD EID

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 183

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 16 วันที่ผ่านมา +2

    Shukraan Shekhe Abu Eid Kwa Kuweka Mambo Sawa Ama Kuhusu Muhishimiwa Mama Samia MASHA ALLAH MUNGU Ampe Umri Na Afya Njema Vitendo Na Maendeleo Anao Ileta Tanzania Kwa Jumla MASHA ALLAH Hao Wanao Mpinga Mama Samia Ni Mahasidi Tuu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 19 วันที่ผ่านมา +3

    Katika hili , Hongera Abuu Idd

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 16 วันที่ผ่านมา

    Shekhe Allah atupe uhai mrefu afya njema na atulinde sote insha Allah.na Allah akubark ktk hili ulilolisema .bi idhini lah watanzania wandani na nje ya nchi wakuelewe insha Allah

  • @HassanMavumbi-ib2jn
    @HassanMavumbi-ib2jn 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wa 'aleykum Salam warahmatullahi wabarakatuh,SHEiKH wetu Tupo pamoja na tumekuelewa vizuri sana sana

  • @zamratayoub4604
    @zamratayoub4604 16 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipe kheri nimekuelema sana sheikhe

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Allah akuhifadh

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 20 วันที่ผ่านมา +6

    Namshukuru MUNGU kunijaalia kuwa muislam na namuomba MUNGU anijaalie nife nikiwa mwislamu na yesu hakuwa ila alikuwa mwislam na aliwafundisha wafuasi wake uislam .

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 14 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu ayatimize makusudi ya moyo wako hima

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq 14 วันที่ผ่านมา +2

      Yesu na mama yake wametajwa kwenye quran mara nyingi kuliko mama yake mohamed, wewe ni nani usimtambue yesu. Pia uislam ulianza 635 baada ya ukristo. Uwe na heshima na dini iliyokutangulia

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa sote inshaallah

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 14 วันที่ผ่านมา

      @nurumohammed1310 aaamiin

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 14 วันที่ผ่านมา

      @Tupena-ov7xq DINI KWA MAANA : NJIA AUTARATIBU AU MFUMO WOWTE ANAO UISHI MTU BASI JUA YAKUWA KUNA DINI MBILI TU HAPA DUNIANI
      1 NI MTU KUISHI KWA KUMWAMINI MU NA KUFAUATA MAELEKEZO YAKE KUPITIA YULE ALIYETUMWA NA MWENYEZIMUNGU ( KWA KIARABU UNAITWA MUISLAMU YAANI UMEJISALIMISHA KWA MUUMBA WAKO)
      NA KINYUME CHAKE UNAITWA MPINGAJI WA MAELEKEZO YA MUUMBA WAKO KIARABU (KAFIRI)
      KWAHIYO NJIAA HIZO MBILI ZILIKUWEPO TOKA KIPINFI CHA BABA YETU ADAMU ( A S) NA NDIOMAANA HUWEZI KUONA KWENYE BIBLIA KUWA YESU ALIFUNDISHA WAFUASI WAKE WAWE WAKRISTO
      EE NDUGU YSNGU TUSOME SANA NA KUMUOMBA MUNGU ATUSAIDIE KUIJUA KWELI NA KUIFUATA HIYO KWELI.

  • @universitylink
    @universitylink 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana sheikh Idd Mohamed Idd kumbe huko nyuma ulisema kama unavyosema sasa

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 16 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa hivi naanza kumuelewa marehem anko magu kwanini utawala wake alikuwa akiuwendesha kwa staili ile.aliheshimiwa na si kuheshimiwa tu ndan ya nchi na nje ya nchi nakuogopewa na watu wote tuliheshimiana mungu ailaze roho ya hayat john pombe mghufuli mahali pema peponi.

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 20 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Sheikh

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 20 วันที่ผ่านมา +1

    Qulilhaqqu walau Kaanapali Murrah,
    Shukran shekh Abuubiidy

  • @HasaniMandaa
    @HasaniMandaa 20 วันที่ผ่านมา +4

    Ahsante sana shekh hawa maaskof wana sir zilizojificha na nchi hii wakatoliki ndio wenye udini lakin naamin hawatofauli tupo macho hatjalala

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 20 วันที่ผ่านมา

      Nimekuelewa namuomba mwenyezimungu awadhalilishe mdalimu hao

    • @MwantumNdauga-ip3de
      @MwantumNdauga-ip3de 17 วันที่ผ่านมา

      Waislam tusimame tuko wengi tumuunge mkono bi samia hawawezi kutuacha salama mpaka tufuarmte mila zao ,waislam mmesahau. Wanajiita nanabii kilasiku wanaongea na mungu .hawajielewi watulie.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      SASA ndugu wanaoenguliwa ni waislam na wakristo ktk uchaguzi Hilo nalo ni kosa kulikemea?​@@MwantumNdauga-ip3de

  • @elimuforum9135
    @elimuforum9135 20 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana Sheikh

  • @hamynas
    @hamynas 20 วันที่ผ่านมา +4

    sheikh abuuidi unajaribu kuongea neutral lakini haiwezekani unainyesha unazi wa ccm waziwazi kabisa

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 16 วันที่ผ่านมา

    Waislam haijatokea kutukana viongozi wa imani nyingine.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 15 วันที่ผ่านมา

      Mfano tusi Gani katukanwa Samia?

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona vyeo vyako vyote vinaonyesha ni sistimu, uliejificha katika dini Tukufu

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 19 วันที่ผ่านมา

      Sasa hlo linahusiana nini na aliloongea sheikh

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 20 วันที่ผ่านมา

    Wee ficha Jina lako tukana utakavyo Mungu anakuona Adhabu yaja inshaallah

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 20 วันที่ผ่านมา +2

    kwa nukuu ya mwanzo aliyetamka hana makosa ni kweli nchi inaongozwa na sheria si mtu na ni kweli nchi hii si ya mtu mmoia ni ya wananchi.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Aksante kumkumbusha,,,rais anafuata muongozo WA sheria NDIO maana akiingia madarakani kikatiba MTU WA kwanza kumteua ni mwanasheria mkuu WA serikali na akikiuka sheria kikatiba anashtakiwa mwanasheria mkuu WA serikali

  • @AbubakarSwaheeb
    @AbubakarSwaheeb 14 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu nae nikati walewale machawa

    • @Miriam-m2b
      @Miriam-m2b 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli my brother

  • @Farheen-l7s
    @Farheen-l7s 17 วันที่ผ่านมา +3

    HAWA MASHEE WANAFIKI KISA RAIS MUISLAMU JE KAMA RAIS ANGEKUA ROSE MIGIRO MNGETOKA KIMBELEMBELE, JAMII HUKO INAHARIBIKA MNAKAA KIMYA KILA SIKU MPO KTK UCHAWA MASHEE

    • @hamissnjumba302
      @hamissnjumba302 13 วันที่ผ่านมา

      Mshenzi wewe
      ivi alivokuwepo magufuri au mkapa uliona waislam wakiwatukana viongozi hao

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 12 วันที่ผ่านมา

      Mashehe kawa hawa hawafai na ni hatari kwa nchi.wanaeneza sumu mbaya sana ya udini.Kule zanzibar kila chaguzi upinzani inasemekana unashinda ila unaporwa haki yao ya kutawala.Mzee wa watu Maalimu Seif wamemnyima haki yake ya kutawala hadi anaingia makaburini.Hata Ally karume alisema ccm katika chaguzi zote huko Zanzibar haikuwahi kushinda,nanukuu.kila chaguzi huko zenji watu wanauawa kwa kupigania haki zao za ushindi.Lengo la mapadre ni kuona nchi inajenga mifumo imara na yenya kutenda haki.Na kama ni uchaguzi basi uwe wa haki.Chama tawala kikipora uchaguzi basi ujue serikali itakayokwenda kuundwa itakuwa ya kifisadi na mafisadi.Tusikubali kuwa chawa kwa rais bali tumsaidie rais ikiwezekana kwa kumkemea kwa maneno makali ili ajenge nchi yenye mifumo imara na yenye kutenda haki.Tumechoka kusikia zanzibar kila chaguzi watu wanakufa.pia tumechoka kusikia kila chaguzi chama tawala kinaibs kura.pia tumechoka kusikia serikalini kumejaa rushwa,wabadhirifu,wezi na mafisadi.pia tumechoka kuona nchi ina mifumo dhaifu,legelege.Tuungane kwa pamoja kuipigania nchi yetu.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@hamissnjumba302ww usiwe mjinga na mpumbavu,kwani hukuona kipindi cha magufuli viongozi wa dini ya kikristo waliposimama na kumkemea magufuli.Viongozi wote wa dini hawatakiwi kukaa kimya bali wanatakiwa washauri,wakosoe na kukemea maovu.Usilete udini wako mjinga ww.uislsmu ni dini ya haki.Bahati mbaya ww sio muislamu kwa sababu unatetea maovu na waovu na kama ni muislamu basi ni muislamu jina na unafanya kazi ya shetani.

  • @ibrahimirove
    @ibrahimirove 20 วันที่ผ่านมา

    Ni Mchochezi Tu Huyo Mama Mi5 Haipingiki Hiyo Ccm No 1 Daima Chama Cha Amani Tz.💯

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      SAWA LKN ndio awaengue wapinzani? Mimi nimejiandikisha kupiga kura HALAFU naambiwa wagombea wengine wameenguliwa kabaki WA ccm iyo ni SAWA?

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sio kweli muongoooooo

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 16 วันที่ผ่านมา

    Shekhe, viongozi hao wana agenda za kutengeneza utawala mbaya sana. Wamesahau upumbavu huo wanaufanya kutokana na amani iliyopo siasa wamezihamishia kwenye makanisa yao waziwazi pumbavu hao.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hoja zako zikijaza kurasa nzima, umuhimu wa Amani kua mshindi, na akawa mshindi, ulikua kama mnajimu, ukimtabiria uraisi Amani, wakati huo Amani ashasema kura yake na mkewe tu zinatosha kua raisi, hata sote tusipoenda kupiga kura.
    Nawe pia unatumia usheikh kwenye siasa.

  • @moddy8744
    @moddy8744 19 วันที่ผ่านมา

    Kweli maneno yako ni sahihi 100%

  • @Farheen-l7s
    @Farheen-l7s 17 วันที่ผ่านมา +2

    MBONA MNATUCHANGANYA MARA UKIRISTO SIO DINI LEO UNASEMA TENA KIONGOZI WA DINI WEWE SEMA TU KIONGOZI WA MAKAFIRI

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi 17 วันที่ผ่านมา

      Watu wenye Akili na hekima hua wanajua nn la kusema na lipi si lakusena...wrwe bangi zako ndo za kupeleka mbio ndio maana hata hujui sema nn

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee 16 วันที่ผ่านมา

      Alosema Ukristo sio Dini Nani?! Ni Dini kwa mujibu wao ... Kuitwa Dini sio mpaka iwe Sahihi na ikubalike kwa Allah .... Bali Dini Sahihi IPO na Dini Feki pia zipo kibao tu... Na hizo ndio zile ambazo hazitakubaliwa kwa Allah (s.w.t).

    • @hamissnjumba302
      @hamissnjumba302 13 วันที่ผ่านมา

      Ni dini za watu tu ila sio dini ya MUNGU

  • @boscomapunda87
    @boscomapunda87 3 วันที่ผ่านมา

    Ila raha ya unabii kuutangaza

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 20 วันที่ผ่านมา +12

    TUKO NA WEWE SHEKH UPO SAHIHI SANAAAA!!! ALAFU KAMA HUYO KIONGOZI WA DINI NI MKWELI MBONA ENZI ZA MARHEMU MAGU HAWAKUONEKANA KUROPOKA HUO UPUUZI WAO??

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 20 วันที่ผ่านมา +1

      Ajabu saana

    • @MwantumNdauga-ip3de
      @MwantumNdauga-ip3de 17 วันที่ผ่านมา

      Walizowea ukatili wa wale viongozi wa dini zao mfano mauaji ya Zanzibar, uchaguzi was 2019 na2020 mbona hawakusema? Toka lini mshirikina akaongea na mungu? Laanatullah hii inadhihirisha wezetu wakiristo wanachuki baadhi yao. Lakini wafanye tathmini wa mazuri pia wafanyayo waislam wanapotawala nchi hii.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 15 วันที่ผ่านมา

      Washirikina ni waislamu​@@MwantumNdauga-ip3de

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 12 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu aliye MTAKATIFU na MUUMBAJI ndio hatukanwi ila binadamu yeyote akiwa na MADHAIFU atasemwa hata wewe SHEKH unastahili kutukanwa kwa UJINGA na UNAFIKI wako , unayemtetea Si MUNGU wala MALAIKA ana MAPUNGUFU kama binadamu wote waliozaliwa na kuaga DUNIA sawa na binadamu wengine .

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 12 วันที่ผ่านมา +1

      Sheikh anataka uteuzi.

  • @salmaghalib5474
    @salmaghalib5474 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe jisifie sifa zooote unazotaka lakini we mweyewe unataka unasihiwe

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 16 วันที่ผ่านมา +1

    Shehe acha hayo tetra kwanza hali ya nchi ilibyo ali kibao ameuawa umesema nini amiri jeshi mkuu ni Nani suala lá utekaji mpaka Sasa Lilo je acha udini na uchawa shehe

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 20 วันที่ผ่านมา +2

    Wamepinga wale wanaosema MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU yesu hajawahi kufundisha hata mara moja kuwa mungu ni mmoja katika nafsi tatu bali alifundisha kuwa MUNGU ni mmoja tu wapekee na wakweli na na alijitambulisha kwa wafuasi wake kuwa yeye ni mtume aliyetumwa kwaajili ya wana wa Israel
    Soma:
    Mathayo 15:24
    Yohana 17:3
    Luka 18:18
    Marko 12:28
    YOHANA20: 17
    Na NK

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 16 วันที่ผ่านมา

    Sijakusikia ukikemea utekaji na mauaji shee maana uhai ndio zaidi yayote

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani mwanamke na wewe mnatofauti gani? Kuna uwezokano uelewa wako ni mdogo sana.kiongozi mwanamke au wakiume ni kiongozi tu, acha ubaguzi wa jinzia, hayo ni mambo ya kale na yamepitwa na wakati.

  • @sulaymanqasim6186
    @sulaymanqasim6186 18 วันที่ผ่านมา

    Sheria iwe kama kwa kagame Rwanda viongozi wa dini watambulike na wawe na sifa hata nyumba za ibada pia maana kunawatu wakilala na kuamka wanadai ni manabii mashehe bila vibali na elimu yoyote!

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 16 วันที่ผ่านมา

    Haya makristo ni maadui yaa amani za nchi nyingi dunia,na hayana cha kupoteza yanaamini yakifa yanaenda kupumzika,jinga kweli haya

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 15 วันที่ผ่านมา

      Hakuna chuki mambo yanayoendelea ni dhurma KUBWA hivi kuwaengua wagombea ni sawa?

    • @agnessangawe3844
      @agnessangawe3844 14 วันที่ผ่านมา

      Makristo?? Makristo ni ni?? Acheni chuki na udini. Huyu shekhe anajul8kana na mashee wote kuwa ni mvurugaji na alishafukuzwa TAMTA Kwa kihehere

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani bakwata ni chama cha kisiasa AO Dini?hacheni yenu tunisha fahamu yenu mbona kipindi alipo uwawa Mh Ally Kibao hamkuja kulahani...Rais huyo huyo hali sema nini kuhusu baba yetu Ally Kibao...

  • @mussamapesa8863
    @mussamapesa8863 18 วันที่ผ่านมา

    Uislamu ndio dini ya haki duniani sikiliza maneno ya hekima toka kwa shekhe

    • @issujar.j.francis3220
      @issujar.j.francis3220 14 วันที่ผ่านมา

      Brother, Somalia ni mfano wa unachokisema?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 12 วันที่ผ่านมา

      Huko Zanzibar kila chaguzi inasemekana upinzani unashinda ila chama tawala wanapora uchaguzi.Kama dini yenu ni ya haki wale wote waislamu wanaokiunga mkono chama kilichopora uchaguzi wangetakiwa wakiache na wakae nacho mbali kwa sababu kina dhulumu haki za watu wengine.Sema labda dini inataka haki ila waumini kama nyinyi hamtaki haki bali mnataka au mnaunga mkono dhuluma,maovu na waovu.Usiingize dini kwa sababu hata hiyo dini huifuati.Msiingize dini kwenye maovu yenu.Mtu ambae anasema uislamu ni dini ya haki ni yule anaependa haki,anatenda haki na kuchukia dhuluma na uovu wa aina yoyote ile.sasa ww unasema uislamu ni dini ya haki huku ukiwaunga mkono waizi wa kura na wauaji.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 17 วันที่ผ่านมา +2

    Wanadini wa pande zote hawahubiri dini hivi sasa, bali siasa zao. Kwani mtu akisema mama anatumia vibaya fedha za walipa kodi amekosea wapi? Kuipa timu ya mpira mamilioni kwa goli; wakati kuna walemavu hawana chakula, magongo ni sawa?

    • @slymsameer5415
      @slymsameer5415 14 วันที่ผ่านมา

      Huna lankusema we kiazi

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 17 วันที่ผ่านมา

    Akili ndogo haiwezi kushindana na Akili kubwa.
    Roma locuta causa finita.!!!!!!!!

  • @ustadhbishar
    @ustadhbishar 20 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe sheikh sijakulewa tengeneza madaa nzuri

    • @maulidmponda8224
      @maulidmponda8224 18 วันที่ผ่านมา

      Km wee ni mjuba huwezi muelewa sheikh asema nini eheeee

  • @ahamadiali539
    @ahamadiali539 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa kweli baadhi ya viongozi wa dini wa Tanzania bara wana chuki na viongozi wa serikali ya mungano wa Tanzania wanaotokea Tanzania visiwani hii inajirudia hata wakati wa utawala wa mh Ali Hassani Mwinyi alifanyiwa unyanyasaji na udhalilishaji mkubwa hakukuwa na mtu wa kuwakemea lkn sasa umejitokeza Sheikh Muhammad nakushukuru na nakuombea Mwenyezimungu akupe uwezo wa kusema ukweli kwa viongozi wa dini.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      NDUGU wewe UKO Zanzibar? Uku bara wapinzani wanaoenguliwa kutogombea uchaguzi imagine 60% ya act wazalendo wameenguliwa JE iyo ni SAWA? YAANI ninyi hamuwezi kukemea kisa rais ni muislam mwenzenu?

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 20 วันที่ผ่านมา +1

    Makafiri Wanachuki na uisilamu popote duniani hata wakiwachekea wisilamu lakin kama allaah alivyowabainisha kwamba yalio ndani ya vifua vyao dhidi ya waisilamu ni makubwa mno

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Kwaio kama kunakitu hakipo SAWA tusiseme? Samia ni kiongozi WA wote hataki kukosolewa akae pembeni!!!

  • @abdonkimario3489
    @abdonkimario3489 16 วันที่ผ่านมา +1

    Muhuni tu huyu shehe

    • @Miriam-m2b
      @Miriam-m2b 12 วันที่ผ่านมา

      Chawa katika ubora wake

  • @richdsr3517
    @richdsr3517 17 วันที่ผ่านมา +2

    ACHENI KUJIPENDEKEZA KWA VIONGOZI, NYIE MASHEIKH SIKU ZOTE MNATUFUNDISHA MWANAMKE KAZI YAKE NI KULINDA AMALI ZA MUME WAKE, LEO MNATUAMBIA MWANAMKE AWE KIONGOZI WA KUONGOZA WANAUME!!! JE SAUDIA PAMOJA NA OMAN AMESHATOKEA MWANAMKE KUONGOZA WANAUME?? HEBU SEMENI UKWELI MASHEIKH WETU

    • @omarymbonde6748
      @omarymbonde6748 15 วันที่ผ่านมา

      Katiba ya saudia ni quran

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 20 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo kiongozi ni wa hiyo dini ni mpumbavu kama wanajeuri wafanye wanachotaka kama wanaweza wapuuzi wakubwa hao

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 14 วันที่ผ่านมา

    Chawa ni wengi Sana kwenye nyumbani zetu za ibada wewe unatangaza kitabu chako

  • @hajjikhamis1820
    @hajjikhamis1820 19 วันที่ผ่านมา

    Kabla ya haya kwanza tungeanza kukemea utekaji wa ndugu zetu wanaochukuliwa hadharani tena Waislamu wenzenu.Tena ni familia za Masheikh wenzenu,hayo hamuyaoni ? Hamuoni Dhulma zinazofanyika kwenye chaguzi ? ITTAQILLAH.

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 14 วันที่ผ่านมา

    Kumuheshimu kiongozi wa nchi hata kama anakosea?

  • @issujar.j.francis3220
    @issujar.j.francis3220 14 วันที่ผ่านมา

    SHEHE, Naamini hutaki Tanzania iwe ya Kidini. NCHI haina dini, watu wana dini zao. Katiba haina dini. Tunataka amani

  • @abassjuma6248
    @abassjuma6248 14 วันที่ผ่านมา

    Mbona hujawakosoa Mapadri na Wachungaji.Muache aleze.kama hao wachungaji wako wanavyo mdhalilisha rais

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 16 วันที่ผ่านมา

    Kamari vipi?

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 14 วันที่ผ่านมา

    Dr?

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 19 วันที่ผ่านมา

    Ni vyema mama asidhalilishwe, kisa rais mwanamke.
    Ila Sheikh Mwambungo hapo kwenye eneo la kua Sheikh kisha kujiingiza kwenye siasa, hata nawe umo, zama zileee unaandika makala gazeti la Mwananchi, uchaguzi aliyokua akigombea raisi Amani na Maalim Seif, hoja zako ilikua kumponda Seif na kumpambania Amani.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 19 วันที่ผ่านมา

    Samua will fix it!

  • @universitylink
    @universitylink 20 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa Dini wanatakiwa kuwa neutral

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 16 วันที่ผ่านมา

    Wawe na hekima,busara na kicho,wasijiingize kichwakichwa,papara na harara watajiaibisha bure brash !

  • @ToureMassawe
    @ToureMassawe 16 วันที่ผ่านมา

    We mtu yanayoendelea huyaoni kama huoni subiri bilau ule ukalale

  • @Farheen-l7s
    @Farheen-l7s 17 วันที่ผ่านมา +1

    SHEE MZIMA UNAPINGANA NA ALLAH UNAKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE

    • @richdsr3517
      @richdsr3517 17 วันที่ผ่านมา +1

      Japo kua mimi si Muislamu, hapa ndipo naposhangaa hawa Masheikh wamepewa nini mpaka wanausaliti UISLAMU??? Mafundisho ya Mtume yanaelekeza Mwanamke aangalie familia na amali za mume wake!! Sasa hawa masheikh wa Tanzania wanatoa wapi hizi habari??

    • @Farheen-l7s
      @Farheen-l7s 17 วันที่ผ่านมา +1

      @richdsr3517 njaa kaka, mashee wamekua Machawa, Zamani waking OMAR BASHIR walikua sio mashee Hawa WA Sasa Michawa

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 20 วันที่ผ่านมา +1

    TEC WAKO NA HOMA YA DP WORLD 😢😢😢😢😢MIRIJA IMEFUNGWA

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 19 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi 💯

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Tec hawana njaa,,,wana vyuo vikuu,,,ma hospital mashule kumbi za mikuta na sadaka kanisani chungu nzima usikariri

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 16 วันที่ผ่านมา

      @@josephwilliam5813 Nani alikudanganya kuwa hawana njaa?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      @jumakapilima7295 Mimi ni mkristo sio wewe hakuna njaa TEC labda kama MTU anatamaa na kua tajiri LKN HAO unaowaona mishahara yao ni mil 1.5 KWENDA JUU nyumba Bure vocha ya KILA mwezi Bure umeme na maji Bure iyo,,,
      TEC wanamiliki miradi mbali mbali mahospital,shule vyuo kumbi za mikutano KABLA ujaongea uliza

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 20 วันที่ผ่านมา

    Tatizo viongozi wa dini ya kikristo hawashitakiwi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      SASA watashtakiwa KWA kosa Gani? Hawajatukana Bali wamekosoa Katiba inaruhusu

  • @abu-hasheem6422
    @abu-hasheem6422 20 วันที่ผ่านมา +1

    Shehe haya mambo achana nayo..............

    • @Miriam-m2b
      @Miriam-m2b 12 วันที่ผ่านมา

      🙏❤

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 20 วันที่ผ่านมา +1

    UMEANZA NA BIDAH KWENYE SALAMU,TAANLA UMEITOA WAPI WEWE MSHAURI WA MUFTI! HAO WANA NJAA WAKIPEWA CHAKULA WATAMSIFIA MAMA, NAWE UMELENGA CHAKULA. HAYO MAMBO YAMO KWENYE SIASA ZA KITWAGHUUT UNSHANGAA NINI!

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 20 วันที่ผ่านมา

    unaweza kufunga mlango wako lakini huwezi kufunga mdomo ya mwenzako

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 19 วันที่ผ่านมา

    Zama za Nyerere uchawa ulifikia kusema zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM, mbona hawakusema,,,watake wasitake, we stand with Samia for Presidency 2025

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Vp kuhusu wanaonguliwa? Tusikemee kisa rais ni muislam?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 16 วันที่ผ่านมา

      @josephwilliam5813 utateseka sana mwaka huu, mtake msitake Samia for Presidency 2025

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      @jumakapilima7295 hakuna anaeteseka YEYE awe rais TUU hakuna shida LKN ndio aengue wapinzani kugombea? MTU anaefanya dhurma ni WA kumuonea huruma na sio kumtetea we all know kesho kuna hesabu,,,magufuli alikuwepo alifanya aliyoyafanya Leo ni historia,,, wanaoenguliwa ni waislam KWA wakristo iyo ni SAWA?
      Act wazalendo wameenguliwa 60% ya wagombea wake JE iyo ni haki?

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 14 วันที่ผ่านมา

    Yesu na mama yake wametajwa kwenye quran mara nyingi kuliko mama yake mohamed, wewe ni nani usimtambue yesu. Pia uislam ulianza 635 baada ya ukristo. dini kikisto ipewe heshima maana ndio iliitangulia uislamu

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 16 วันที่ผ่านมา

    Hata chadema inasumbua kwa kuwa imejaa makristo mengi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 15 วันที่ผ่านมา

      Vp kuhusu act na cuf si vyama vya waislam

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 16 วันที่ผ่านมา

    Nakumbuka clip yako uloitoa kuhusu sheikh Kishki, badala ya kwenda aliko mkasemezana mkaekana sawa kidini

  • @AgripinaKivike
    @AgripinaKivike 16 วันที่ผ่านมา

    Mmmh Muuliza swali Ni mwandishi was habari kweli ??

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 12 วันที่ผ่านมา

    Wewe sheikh mbona unajipendekeza?Mbona vyombo vya usalama havijatoa kauli yoyote kama huyo askofu kamkashifu mama?

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe UUWF akili zako haziko salama na ndiyo maana haujui uzungumzacho.

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 20 วันที่ผ่านมา

    Kwanini wakatoliki mnashindwa kuwa na subira,kwa kauli hii yenu inamaana mnawaambia wakatoliki wasimpigie kura raisi Samia hamuoni Hilo ni tatizo mnalizalisha kuuchanganya dini na siasa?

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 20 วันที่ผ่านมา +4

    Wamezoea kuendesha dini zao kwa pesa za serikali sasa serikali imefunga mifereji yao na wizi wao serikalini wanakufa njaa ndio maana wanahaha waisilamu wao hawategemei kuendesha dini yao kwa kuiba ndani ya serikali waisilamu wanaendesha dini yao kwa biashara sio kuiba ndani ya serikali

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Unaumwa wewe umeshawahi kuona askofu ananjaa? Wachungaji,maaskofu wanatunzwa na makanisa,,,,chukua ilo

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 15 วันที่ผ่านมา

      Maaskofu wanajitambua wewe mliozoea Kusaidia na serikali ni nyie waislamu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 20 วันที่ผ่านมา

    Mama mitano tena 5

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 19 วันที่ผ่านมา

      Of course! We stand with her for Presidency 2025

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา +1

      Muhammad alisema taifa lenye kuongozwa na mwanamke halitofanikiwa😅😅😅😅unataka ayah?

    • @omarymbonde6748
      @omarymbonde6748 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@josephwilliam5813kumbe unajua lete dalili.

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 20 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh kasim mafuta anakwita huku uje kujibu maswali aliyokuuliza

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 16 วันที่ผ่านมา

    No Education hakuna shule hapo. .

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 20 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana waache tu wa Bip- ila wafikirie tu wakati watakapo pigiwa sijui itakuwaje??? majibu wanayo wenyewe Rejea video ya Shekh mziwanda, Je itakuwaje mashekhe nao watakapo uchochea moto itakuwaje?????

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 20 วันที่ผ่านมา

    Hao ni *WASHENZI* tu wala si viongozi wa DINI wanajivika Majoho ya Ki-DINI kutoa KASHFA.

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 16 วันที่ผ่านมา

    NYINYI MLO MASHEHE PIA MNA MATATIZO, HEBU KEMEENI MAOVU KWA YEYOTE YULE, BILA KUJALI NI NANI. PENYE UONEVU KILA SIKU, WATU HUFIKA KUBAYA. Hebu wakosoeni viongozi kabla nchi haijafika pabaya. Nchi ni yetu sote si ya yeyote

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 15 วันที่ผ่านมา

      Ukikosoa serikali utakua unamkosoa rais,,,mzanzibar na muislam mwenzio

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 18 วันที่ผ่านมา

    Wanao uwawa mbona hamjitokezi kwa matendo haramu ya Rais huyo huyo na mwanaye na wenzao...pumbavu wewe nyinyi mna twambiya vipi tukiwa mazabauni?wislam ni siasa siyo 😄😄😄 leo huna ongeya nini?

  • @jamilbillo5944
    @jamilbillo5944 16 วันที่ผ่านมา

    Sheikh hao sio viongozi wa dini ni wafuasi wa Chama flani Cha upinzani wanaojificha huko kwenye nyumba za dini

  • @moddy8744
    @moddy8744 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo si kiongozi wa dini huyo ni mchochezi wala hana dini na mtu wa dini lazim awe na hishma mimi nafikiri wana ajenda zao za chuki za dini

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Kakobe alimkemea magufuli JE magufuli ALIKUA muislam?

  • @SwaleheRajab
    @SwaleheRajab 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu anaongea na maaskofu wa Tanzania tu 😂😂

  • @moddy8744
    @moddy8744 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo ana ugonjwa wa akili ukimsikia mtu anakwambia hivyo akapimwe akili kwanza kama ni mgonjwa apelekwe mental hospital

  • @abassjuma6248
    @abassjuma6248 14 วันที่ผ่านมา

    Na wewe Acha kujipendekeza kwa Kwa vyama vya upinzani wanao watukana viongozi wa serikali

  • @moddy8744
    @moddy8744 19 วันที่ผ่านมา

    Sisi tunaakili wananchi tunawafahamu viongozi wa dini kama hawa wamesoma viitabu vyao tu lakini hawajui hata hizo dini zao wala hawafwati vitabu vyao labda wanalojua ni chuki tu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      Chuki kukemea uovu? Nani alaumiwe? Uku MTU anaenguliwa BILA sababu za msingi kugombea anaambiwa akate rufaa akipeleka mapingamizi anakuta ofisi imefungwa ukilakamika oh raisi ni muislam wanamchukia

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 20 วันที่ผ่านมา

    Wanamuona Rais mpole hawachukulii hatua kipindi cha magifuli walijificha utadhani mabibiharusi hawakuthubutu kusema chochote

  • @hamynas
    @hamynas 20 วันที่ผ่านมา +1

    shekhe wewe unasema ni mshauri wa mufti..hivi kwa nini hunshaurimufti asionyeshe mihemko kwa kuwazomea wapinzani na kuisifia ccm katika hafla za mawlid?

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 20 วันที่ผ่านมา

    jamani dp ndyo chazo chq padri kitma na kanisa lote la katolik kua ivo samia mitano tena rais onyeeee

  • @WazirMwenda
    @WazirMwenda 20 วันที่ผ่านมา +2

    ww unamtetea hata dini yake hajaifanyia chohote hata mashuke ya kiisilamu sjasikia amejenga au msikiti ww mwenyewe chawa

    • @shmohd11
      @shmohd11 20 วันที่ผ่านมา

      Acheni chuki, hujui yanayifanyika. Mtume katuambia "Jisaidieni ktk kutumiza shida zenu kwa kificho".
      Wewe unadhani ni busara aseme nachangia Msikiti au Shule. Unadhani ni salama kwake? Ufinyu wa mawazo huooo

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 20 วันที่ผ่านมา

      We ulidhan lazma atangaze kuw anasaidia we ndo hujielew kwanz akitangaza c vzr maan wakirto wamebeb Mal nying sana

  • @UUWF
    @UUWF 20 วันที่ผ่านมา +5

    Huu ni umbea
    Kuna mambo kibao ya kuzungumza tena ya muhimu
    Waislamu wanakufa kwa ukimwi
    Kazi yenu kupiga domo na kujikomba komba kwa wanasiasa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 20 วันที่ผ่านมา

      Akili zako haziko salama na ndiyo maana haujui uzungumzacho.

    • @w4058
      @w4058 20 วันที่ผ่านมา

      Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 20 วันที่ผ่านมา

      Aisee

  • @Yomiyomi6897
    @Yomiyomi6897 14 วันที่ผ่านมา

    Udini mtupu

  • @universitylink
    @universitylink 20 วันที่ผ่านมา +3

    Rais wakiwaga waislamu ndio wanaongeaga hovyo hovyo na vile wanamuona ni mwanamke na ana asili ya Zanzibar, Rais ni Rais akishapita basi wewe utake au usitake unaongea na Mungu tuna prove vipi hayo unayoyaongea na Mungu amekujibu useme hivyo

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      SAWA NDIO awaengue wapinzani kugombea? Kisa muislam?

    • @universitylink
      @universitylink 16 วันที่ผ่านมา

      Kila mtu ana haki ya kupiga kura na hiyo point kwa kuwa ni waislamu haina nguvu hata kuna baadhi ya waislamu wengi sana hawapigagi kura so what your saying is just rubbish

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      @@universitylink mfano Mimi nilijiandikisha na nilitaka kumpigia kaenguliwa MPAKA sasa aliebaki ni ccm,,,walivyopeleka rufaa ofisi zimefungwa SASA unampigia nani?

    • @universitylink
      @universitylink 16 วันที่ผ่านมา

      Wacha kupiga kama waliobaki hijaridhika nao ninachokupinga mim kufanya kuwa ni udinii

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 16 วันที่ผ่านมา

      @universitylink leta nukuu yoyote ya askofu aliyozungumzia udini!!!!

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 20 วันที่ผ่านมา +3

    Unatafuta cheo gombea ubuge

  • @UUWF
    @UUWF 21 วันที่ผ่านมา +4

    Wewe vipi . Wewe mwenyewe ni chawa 2
    sasa kama wanaongea kwa ushahidi

    • @elimuforum9135
      @elimuforum9135 20 วันที่ผ่านมา

      Ushahidi upi zaidi ya Udini tu, au hao maaskofu kuwa machawa wa CHADEMA

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 20 วันที่ผ่านมา +1

      Hao sio viongozi wa dini bali ni Wahuni tu,huwezi kiongozi wa dini ambae jamii inakuangalia ukaropokwa maneno hayo ya wavuta bangi...Shekh tuko na wewe na Mh.Rais tutazidi kumuombea dua azidi kuwa Imara

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 20 วันที่ผ่านมา

      Imaan /Dini yao Makafiri hufundishwa Nidhamu ya Kuwatii Viongozi wao wa KiRoho tu laakin hawana Mafunzo ya Kuwa na Adabu/Nidhamu ya Khofu ya Mungu.
      Mwenye lmaan/Dini ya Kweli, yenye Khofu. ya Mungu huwa na Adabu/Heshima (Busara na Hekma) ya Kutii Mamlalaka/Serikal/Uongozi Uliopo Madarakani na hata Baada ya Kutoka Madarakani/Kustaafu Uongozi.
      Kwavile Nidhamu zao M'bovu (hudiriki hata Kumdharirisha/Kumtukanisha Mung wao Kwa Kumuweka Uchi) basi huropoka tu Kwa Kukosa Nidhamu.!!! @@TwahirBurhan

    • @mohammedmussa7378
      @mohammedmussa7378 20 วันที่ผ่านมา

      Hata wewe chawa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 20 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe UUWF akili zako haziko salama na ndiyo maana haujui uzungumzacho.

  • @YamalAbdullswamad
    @YamalAbdullswamad 9 วันที่ผ่านมา

    Cc waislamu hatuna mashehe wajinga kama hawa

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mahammad iddi hata salamu hujui taala kwenye salamu umepata wapi

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 20 วันที่ผ่านมา

      Kumbe nawe ni chokoe

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 19 วันที่ผ่านมา

      Masheikh wa maulid hao.

    • @mussamapesa8863
      @mussamapesa8863 18 วันที่ผ่านมา

      Sheba hujitambui ww