IBUN JUMUA TV
IBUN JUMUA TV
  • 198
  • 182 203

วีดีโอ

MASHIA MWASEMA HAMUWATUKANI MASWAHABA HIKI NININI MSITUCHEZEE AKILI Sheikh wakisufi Mziwanda
มุมมอง 1.4K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MASHIA MWASEMA HAMUWATUKANI MASWAHABA HIKI NININI MSITUCHEZEE AKILI Sheikh wakisufi Mziwanda
USILOLIJUA KUHUSU USHIA NA MASHIA NA ALLAH ATUNUSURU NAO
มุมมอง 4004 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USILOLIJUA KUHUSU USHIA NA MASHIA NA ALLAH ATUNUSURU NAO
SHEIKH WA KISHIA JALALA ALIA NA MANENO YAKE MASKINI NAHUU NDIO USHIA || Sheikh Anwar Khatibu Allah
มุมมอง 1.1K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHEIKH WA KISHIA JALALA ALIA NA MANENO YAKE MASKINI NAHUU NDIO USHIA || Sheikh Anwar Khatibu Allah
SHEIKH WA KISHIA JALALA AKIJIUMBUA MWENYEWE JUU YA KUWASEMA VIBAYA MASWAHABA HASWA MAKHALIFA WAWILI
มุมมอง 7K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHEIKH WA KISHIA JALALA AKIJIUMBUA MWENYEWE JUU YA KUWASEMA VIBAYA MASWAHABA HASWA MAKHALIFA WAWILI
SHEIKH WAKISHIA JALALA AKITEMA NYONGO ZAKE KWA MASWAHABA BILA WOGA HUU NDIO USHIA SASA MKIAMBIWA
มุมมอง 9K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hakikisha una SUBSCRIBE channel yetu ya Ibun jumua
MASHIA WAANIKWA WAZI NA MASHEIKH JUU YA ITIKADI ZAO WAISLAMU ZINDUKENI HAO SIO WENZETU
มุมมอง 3.4K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
@BABDEOMILADU @islamicftz @mtoroonlinetv
TAHADHARI NA SAANA HAYA MADHAMBI KABLA YA KUINGIZWA KABURINI || Al AKHY ISMAIL JUMA
มุมมอง 30316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TAHADHARI NA SAANA HAYA MADHAMBI KABLA YA KUINGIZWA KABURINI || Al AKHY ISMAIL JUMA
BAYANA KWA UMMAH JU YA UOVU WA MASHIA NISHEKH WA KISUFI SHEIKH MZIWANDA AENDELEA NA KUWAUMBUA MASHIA
มุมมอง 1.5K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
@ibunjumuatv9502 @mahaasintvofficialchannel8681 SUBSCRIBE
MNAWAJUA MASHIA NYIE SHEIKH WAKISUFI SHEIKH MZIWANDA AWACHANA MAKAVU WENZAKE KUWAKUMBATIA MASHIA
มุมมอง 2.1K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tokomeza ushia Tanzania usisahau ku #SUBSCRIBE upate mengi zaidi
MASHIA NI MAADUI WETU HATUWEZI KUKAAA NAO PAMOJA
มุมมอง 25921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MASHIA NI MAADUI WETU HATUWEZI KUKAAA NAO PAMOJA
MASHIA NIHATARI WAISLAMU ZINDUKENI NAO SHEIKH WA KISUFI IZZUDDIIN AWAWEKA WAZI
มุมมอง 4.4Kวันที่ผ่านมา
MASHIA NIHATARI WAISLAMU ZINDUKENI NAO SHEIKH WA KISUFI IZZUDDIIN AWAWEKA WAZI
UJUMBE MZITO KWA WASANII WEISLAMU KIHUSU YANAYO ENDELEA SINURA DIVAWASAFI KIFO
มุมมอง 2.7Kวันที่ผ่านมา
Tafadhal #SUBSCRIBE @dplatnumz @officialzuchu @officialzuchu @alikibaOfficial
DUA NZITO KWA MASHIA ALLAH AWAANGAMIZE || SHEIKH HASHIM RUSAGANYA
มุมมอง 4.1K14 วันที่ผ่านมา
DUA NZITO KWA MASHIA ALLAH AWAANGAMIZE || SHEIKH HASHIM RUSAGANYA
IJUE DUA UKIISOMA UNAFUNGULIWA MILANGO NANE YA PEPO UNAINGIA UTAKAO
มุมมอง 5014 วันที่ผ่านมา
IJUE DUA UKIISOMA UNAFUNGULIWA MILANGO NANE YA PEPO UNAINGIA UTAKAO
UJUMBE KWA MWINJAKI NA SHABIKI WA YANGA NA MASHABIKI WOOTE WAMIPIRA
มุมมอง 94914 วันที่ผ่านมา
UJUMBE KWA MWINJAKI NA SHABIKI WA YANGA NA MASHABIKI WOOTE WAMIPIRA
NJAMA ZA MASHIA DHIDI YAMASHEIKH WA KISUNNAH ||SHEIKH SALIMU BARAHIYANI
มุมมอง 3.6Kหลายเดือนก่อน
NJAMA ZA MASHIA DHIDI YAMASHEIKH WA KISUNNAH ||SHEIKH SALIMU BARAHIYANI
HUU HAPA MUHADHARA ULIOWAIBUA MASALAFI JADIDA SIKILIZA KWA MAKINI
มุมมอง 160หลายเดือนก่อน
HUU HAPA MUHADHARA ULIOWAIBUA MASALAFI JADIDA SIKILIZA KWA MAKINI
USIKUBALI USIKUBALI FAMILIA YAKO KUYO SWALI HAYA NDIO MADHARA YAKE
มุมมอง 234หลายเดือนก่อน
USIKUBALI USIKUBALI FAMILIA YAKO KUYO SWALI HAYA NDIO MADHARA YAKE
RADDI YA 2 KWA MASHIA GOLO NA MAIBADHI NA SHEIKH SALIM BARAHIYANI
มุมมอง 2372 หลายเดือนก่อน
RADDI YA 2 KWA MASHIA GOLO NA MAIBADHI NA SHEIKH SALIM BARAHIYANI
RADDI KWA MAJADIDA MASHIA NA MAIBADHI |SHEIKH SALIMU BARAHIYANI
มุมมอง 2932 หลายเดือนก่อน
RADDI KWA MAJADIDA MASHIA NA MAIBADHI |SHEIKH SALIMU BARAHIYANI
AFARIKI DUNIA SHEIKH ANWARI KHATIBU
มุมมอง 5662 หลายเดือนก่อน
AFARIKI DUNIA SHEIKH ANWARI KHATIBU
SHEIKH IBRAHIM TWAHA AWACHANA KWEUPE MASHIA HAKUNA DALILI KUA A'SHURAA NIKIFO CHA HUSSEIN
มุมมอง 753 หลายเดือนก่อน
SHEIKH IBRAHIM TWAHA AWACHANA KWEUPE MASHIA HAKUNA DALILI KUA A'SHURAA NIKIFO CHA HUSSEIN
A'SHURAA SIO KIFO CHA HUSSEIN
มุมมอง 143 หลายเดือนก่อน
A'SHURAA SIO KIFO CHA HUSSEIN
A'SHURAA SIO KIFO CHA HUSSEIN
มุมมอง 133 หลายเดือนก่อน
A'SHURAA SIO KIFO CHA HUSSEIN
A'SHURAA SIO KIFO CHA HUSSEIN
มุมมอง 163 หลายเดือนก่อน
A'SHURAA SIO KIFO CHA HUSSEIN
MASHIA LEO WAMEWEKWA WAZI KUHUSU ASHURAA HAO SIO WAISLAMU
มุมมอง 163 หลายเดือนก่อน
MASHIA LEO WAMEWEKWA WAZI KUHUSU ASHURAA HAO SIO WAISLAMU
DR ISLAM MUHAMMAD ||ASHURAA SIO YAKUJICHINJA NA KUJIPIGA MASHIA
มุมมอง 1363 หลายเดือนก่อน
DR ISLAM MUHAMMAD ||ASHURAA SIO YAKUJICHINJA NA KUJIPIGA MASHIA
JIONEE MAELEFU YA WAISLAMU WALIVYOHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILI LA AFRICA MASHARIKI
มุมมอง 2083 หลายเดือนก่อน
JIONEE MAELEFU YA WAISLAMU WALIVYOHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILI LA AFRICA MASHARIKI
UNAUZA USILAMU WAKO KWA MUCHELE N ASUKARI[Dr Islam Muhammad ]UJUMBE KWA MASHIA
มุมมอง 1984 หลายเดือนก่อน
UNAUZA USILAMU WAKO KWA MUCHELE N ASUKARI[Dr Islam Muhammad ]UJUMBE KWA MASHIA

ความคิดเห็น

  • @idrisamara6510
    @idrisamara6510 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jalala la VINYESI

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@idrisamara6510 Usitukane tafafhali pole pole

  • @hamynas
    @hamynas 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mziwanda,makejeli yako kwa mashia unayatoa ktk mawlid za masuni,lakini maanswar suna wanasema mawlid ni haramu na masuni ni maghurafi..sasa hapo tuelewe vipi?

  • @hamynas
    @hamynas 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mziwansa,wasema wudhu wao si sawa na sisi, wao wanapaka miguu sisi kwetu suni ni faradhwi...kwani Quran imesemaje kuhusu wudhu?kupaka au kuosha miguu?

  • @hamynas
    @hamynas 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mziwanda, hivi kusema tabia za mtu ni mlevi na kweli alikua mlevi NI TUSI?

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@hamynas Kwahio swahaba Omar Allah aridhie alikufa ilihali ni mlevi sindio

    • @hamynas
      @hamynas 20 นาทีที่ผ่านมา

      @@ibunjumuatv9502 asili ya umar alikua mlevi tena alikua akitoka ulevini anaimba manyimbo maka nzina inarindima kwa nyimbo zake kasome tarekhe sheikh utakuta hizi mambo na wakati alipokua khakifa, alikua akipokea vjdude fulani fulani kutoka rome ,,ipo siku swahaba wake alichukua kibuyu kimona akaonja akakuta ni mvinyo AKAMHJLJZA YA UMAR HII SI POMBE?UMAR ALIMTANDIKA AKAMWAMBIA NANI KAKURUHUSU KUCHUNGUZA HIZI MAMBO?

    • @hamynas
      @hamynas 19 นาทีที่ผ่านมา

      @@ibunjumuatv9502 kubusu la kufa ulevini nasikia ila sijathibitisha ktk vutabu vya wasuni,umar aliagiza aletewe maji yaluyosindikwa ya tende akanywa

  • @hamynas
    @hamynas 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    swali ,kutukana au kusema tabia na mambo yaliyothibiti ktk historia ni sawa? ktk lugha tusi na kusema makosa na tabia zao NI SAWA?

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajua kaburi la mtume lilikua wapi boc wa ucwe na uchukivu wa watu usio na maana

  • @hamynas
    @hamynas 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    shekhe kasema uwongo kundi la kishia Nigeria linalikadiriwa kuwa na wafuasi milioni 20 lipo hai na linaendelea na shughuli zake tizama hapa th-cam.com/video/pkUjFbNBjpM/w-d-xo.htmlsi=4ixTw2R3gTck1QcZ

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamuna kazi za kufanya unabishana usenge tu makuma nyote nyie

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnafilwa nyote

  • @hamynas
    @hamynas 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    huyu mtu unaita nigeria zakzuki kama kapigwa marufuku nigeria, mbona wapo na mpaka juzi wamefanya maandamanio na makongamano?wacha porojo sheikh

  • @hamynas
    @hamynas 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ikiwa ali siyo mshia na ni kweli hakua mshia,halikadhalika umar, abubakar na othman hawakua masuni . .NYINYI MASUNI NA USHIA MUMEUTOA WAPI?

  • @hamynas
    @hamynas 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ujue huu umuhimu wa umar mbona hauonekani enzi za mtume saww? kwa mfano enzi za vita zilizonuka UMAR ALIKUA KTK MASWAHABA WALIOTIMUA MBIO VITANI NA KUMTELEKEZA MTUME SAWW PEKE AKE ANAPIGWA NA MAKAFIRI? HIVI UMUHIMU WAKE SI UNGEONEKANA WAKATI WA KUMUHAMI MTUME VITANI ?AU NAKOSEA?

  • @hamynas
    @hamynas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wasuni soemeni na hapa kuona maneno anasema sheikh wa kishia kuwa nj kweli umar alichoma nyumba ya binti ya mtume saww "By God, either you come out to render the oath of allegiance, or I will set the house on fire.”al-Zubair came out with his sword drawn. As he stumbled (upon something), the sword fell from his hand so they jumped over him and seized him." Sunni Reference: History of Tabari, English version, v9, pp 186-187

  • @hamynas
    @hamynas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kasomeni na hapa Sunni reference: History of al-Tabari, English version, v9, pp 188-189 wasuni ni wavivu kusoma vitabu vyao wenyewe

  • @hamynas
    @hamynas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hebu masuni mkanunue hivi vitabu vyenu pale msikiti wa ntoro msome haya mambo anayosema sheikh wa kishia muone ni kweli yameandikwa ama laa Sunni References: - Ahmad Ibn Hanbal, v1, p55 - Sirah al-Nabawiyyah, by Ibn Hisham, v4, p309 - History of Tabari (Arabic), v1, p1822 - History of Tabari, English version, v9, p192

  • @hamynas
    @hamynas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hizi kasheshe alizofanya umar na aboubakar zimeandikwa ktk vitabu vya kisuni na siyo mashia tuu Au wale maulamaa wa kisuni walisema urongo?

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@hamynas Kipi hichokitabu si twambie

  • @hamynas
    @hamynas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    shekhe wasema uwongo..onar alioa umm kolthom bint abubakar siyo mwanae ...na hata alivyotaka kuoa omar alimfuata mama aysha ambae ni dada ake ummu kolthom nafkir mwache uwongo

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tusememe ukweli Uislamu wasasa umepotoshwa na saudia. Mashia ni Waislamu kama wengine. Nazani vita ya Palestina itaamua nani yupo sahihi. Nikundi lipi linatumika na mayahudi hasa na makafiri? Hivi kweli kwa ma khalifa wote walio pita walikuwa zama zamtume wooote kisha watafautiane kwa alie saliya jeneza la mtume wetu S. A. W. Hamuoni pana kitu kimeficwa.

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@jumaciza461 Kitu gani wewe shia liti gani nahio ndoyapelekea kuongea yasiowahusu maswahaba na kuwabandika

  • @allyjaffar7072
    @allyjaffar7072 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shekhe Mziwanda waambie waislam kuw ni akina nani walianzisha sherehe za Mazazi ya Mtume صلي الله عليه وسلم

  • @allyjaffar7072
    @allyjaffar7072 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njooni katika usalafi.... Njooni katika usalafi... Njooni katika usalafi...

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa mawahabii ni walevii tuu

  • @AbuwJuhaymah
    @AbuwJuhaymah 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naamini ipo siku Allah atakuongoza wewe Mziwanda Utaachana na Maulidi na nakuombea dua sana...kwasababu mimi naamini kinachokubakisha wewe kwenye Maulidi sio ujinga ispokuwa ni Hawaa za nafsiyako Allah akuongoze wewe na sisi wote.

    • @sijartv9554
      @sijartv9554 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Lau mziwanda angeondoka kwenye bid'aa na hawa angenyooka sana sio hajui alifanyalo ni hawaa tu

  • @mufid707
    @mufid707 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masheikh zangu samahani kwanza. Asili ya Mashia ni makafiri tu tusizunguke mbuyu.

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah Azidi kuku ongoa Dada yangu

  • @JailanRamadhan
    @JailanRamadhan 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We muwahab unaweza kufanya mdahalo na mashia??? Kama unaweza njoo

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@JailanRamadhan Wewe utakua wa mwanzo kuutaka mdahalo maana mwenzako hata kuusikia hawataki maana wanajua kinachoendelea

    • @NuhManje
      @NuhManje 47 นาทีที่ผ่านมา

      Mdahalo upi unayozungumza wewe ambao masalafy kila siku wanatuma taarifa za kuhitaji mdahalo na hakuna shia yoyote aliethubutu kusema yuko tayari Hahahah hlf eti unajifariji mdahalo khaaa

  • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
    @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lusaganya weee! Huogopi kudhuria uongo Mtume?!! Haya in shaa Allaah,tutakuona huko Aakhira utakuwa upande gani.

  • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
    @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hayo ndiyo maneno ya wasaka tonge kwa sura ya Dini. Kwahiyo hao wakisema Labbayka yaa Husayn,hapo wanakuwa wapo kwenye ibada ya Hijjah? Haya,twambiye: Wakiwa huko makkah kwenye ibada ya Hijjah,ni nani aliye wahi wasikia wakisema:Labbayka ya Husayn? Dunia nimapito tu,na nyote mtakusanywa huko Aakhira naitajulikana siku hiyo kati yenu nawao,makafiri ni akina nani.

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani kwenye utawala wa kidhaalimu wa banii umayya mpk hadithi za kutunga zilizagaa ndio maana leo kunafatwa haifai kumpinga kiongozii anachokuamrisha fataa 😂😂😂

    • @sijartv9554
      @sijartv9554 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unamaanisha nini

    • @ABUUALLYBARWANI
      @ABUUALLYBARWANI 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@sijartv9554 najua huwezi elewa Kwa sababu sio msomii nenda kasome utawala wa muawiya ulikuwaje ndio utajuaa maovu aliyoyafanya na ukatili alioufanya historia haiwezi kumsahau

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maswahaba nao ni binaadamu kama sisi hukoseaa na kuingia ktk makosa hii inaonesha wazi kwamba mkamilifu pekee ni Allah s.w . Mfano swahaba muawiyaa yeye ndie muanzilishi wa fitna baina ya waislamu na ndio maana mpk leo chuki zinaendelea baina ya waislamu kwa sababu yake muawii kwahiyo kusema ukweli ndio kutukana maswahaba?? Historia ipoo wazi kabisaa kwa aliyoyafnya muawii na utawala wake inajuulimana wazi hivyo basi kama swahaba kakosea watu wasiseme kama kakoseaa ??

    • @AnaSalafi-f9d
      @AnaSalafi-f9d 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ali bin Abi Twaalib ni swahaba kwa Imani ya kishia nae anakosea ? Kama unavyodai ww kila mwanaadamu Anakosea?

    • @ABUUALLYBARWANI
      @ABUUALLYBARWANI 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AnaSalafi-f9d ndio sayyidna Ally bin abii twalib alikosea kwani yeye nani ata asikosee ?? Yeye ni binaadamu kama sisi kukosea ni kawaida ya mwanaadamu ,na ndio maana waislamu tunatakiwa tuangalie mbelee tusiangalie yalokwisha pitaaa sisi sote waislamu ni ndugu tusikae tukaanza kubaguwana alie mbora kwetu mbele ya mwenyezimungu ni mchaamungu .chaajabu waislamu wa zama za Leo kazi yetu kubwaa kukosowana tuu na kukufurishana pepo ni ya Allah na yeye anajua nani wa peponi na nani wa motoni yaani kukufurisha mashiaa munajisumbua tuu

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Niko njia Bujumbura sheikh kiwanda nakupenda kwahayo hakuwa mkweli ktk siasa yakuutete uislamu all alipe kwa hayo na kufikia kwa bidhaa

  • @RamadhaniAlly-mi2dg
    @RamadhaniAlly-mi2dg 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unachanganyikiwa ,kwan kusema walio yafanya maswaha ni matusi au kisa walio ya fany ni mabaya??, wewe ni km wao

  • @AngumbwikeNdumbwinee
    @AngumbwikeNdumbwinee 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo mziwanda ni shoga hana elimu yoyote mnafki yaan eti shekh ana watu wanamfuata

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AngumbwikeNdumbwinee Subhaanallah mbona Jazba ndugu mche Allah kutukana sio tija wewe toa hoja au vunja hoja

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kurukaruka Kwa maharage ndo kuiva kwake Daawa imeingia .. vijana wanasema Hii imeenda!!!!!!

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huo unaitwa msumari

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huo unaitwa msumari

    • @salumrashidabdullashmely2558
      @salumrashidabdullashmely2558 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakushindi wewe, p ddy family

  • @yusufahmed8072
    @yusufahmed8072 วันที่ผ่านมา

    Laanatul Allah aleihi

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny วันที่ผ่านมา

    Mzee endelea kusoma zaidi ili ujue dini ya kiislamu vzr,na pia soma zaidi ujue ushia kiundani kuliko kua mjinga

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 วันที่ผ่านมา

      @@LuqmanKawela-qf8ny Kua mjinga Eeeh ok Allah akuongoze bado umepofuka

    • @LuqmanKawela-qf8ny
      @LuqmanKawela-qf8ny วันที่ผ่านมา

      @@ibunjumuatv9502 Allah akuifadh shekhe

    • @LuqmanKawela-qf8ny
      @LuqmanKawela-qf8ny 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ibunjumuatv9502 Allah aniongoze kwa kumpenda yeye Mtume wa Muhammad na familia yake nakizazi chake kitakatifu na Quran inshallah ndo usia alioacha Mtume Muhhamad (s.a.w.w) inshallah nawe Allah akuongeze uache kuongea vitu visivyo na sense mzee wangu na Allah akuongoze utuelimishe mambo ya hekma inshallah

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 วันที่ผ่านมา

    Mimi nimeanza kivutiwa na ushia baada ya kusikiliza darsa ya tahrif kur an kutoka kwa mashia wenyewe kumbe kuna riwaya nyingi sana za kisunni zilizopokelewa ambazo zinasema qur an imezidi na imepungua,ambapo mwanzo tuliaminishwa hayo yapo kwa mashia tu

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 วันที่ผ่านมา

      @@harithwhite589 Umeanza kuvutiwa Eeh ok pia nivitabu gani hivyo ili tujifunze zaidi nasie maana maneno yasio na uthibitisho nikazi bure

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 วันที่ผ่านมา

      Wewe nishia unaficha imani laatullah

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 วันที่ผ่านมา

    Allah atupe mwisho mwema ss wte ya rabb

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny วันที่ผ่านมา

    Ukiwa mkubwa na akili iwe kubwa tusilopoke ata kuongea kwenu ni kama msela tu wa mtaani analopoka innalillilahi wainna ilai rajiuun

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny วันที่ผ่านมา

    Kuna mambo kibao ya kuongea ya msingi kuliko kupoteza mda kuwatukana mashia,sababu kubwa ni elimu ndogo sio makosa yenu tusomeni jamani na tujadiliane kwa pamoja sisi wote ni kitu kimoja

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny วันที่ผ่านมา

    Na hao mashia ndio watetezi wakubwa wa Palestine na ndio wanakufa kila kukicha kwa ajili ya Allah.sisi mashia ndio tunaomba dua kuwasaidia waislamu wenzetu wanachinjwa kilia siku mashrik ya kati haijilishi ni sunni au mashia

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny วันที่ผ่านมา

    Innalillilahi wainna ilai rajiuun.mashekhe muogopeni sn Allah (s.w.t) na mtume wake Muhammad (s.a.w.w) na kizazi chake kukieshimu.

  • @Abun70242
    @Abun70242 วันที่ผ่านมา

    Sawa ni wakati wa kuvitafsiri vitabu vikubwa vya kishia ili Waislamu wawajue vizuri.

  • @Abun70242
    @Abun70242 วันที่ผ่านมา

    Bila urongo na kuwalaani maswahaba hakuna Ushia.Ni kama Ukristo,bila urongo na kuwadhalilisha mitume hatuna Ukristo.

  • @SadatiDauda
    @SadatiDauda วันที่ผ่านมา

    Msanii niwewe usio jitambua kwa unayoyanena unajipya.

  • @assiahassan2671
    @assiahassan2671 วันที่ผ่านมา

    Mashia wapo na watakuwepo sasa kuliko kupoteza mda wenu na kuleta chuki haisaidie chochote kwasabbu watu wameshavuka huko!! Ebu muongelee matatizo ya waisilam wako pale Palestine, lebanoni......wanakufa mchana na usiku hawana musaada kutoka kwenu sijui kma muna mda wakuwakumbuka hata kwenye dua zenu ,kisha munajifanya nyie ndio munapenda dini ya wisilam wakati hata Mtume Muhammad hamumuujui vzr 😢

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 วันที่ผ่านมา

      @@assiahassan2671 Mh pole saana mshia Allah akuongoze na atuongoze katika haqq Ama kuhusu Palestine na labanon Hilo Tumemuachia Allah nadaima hatutoacha kuwaombea Amani

    • @assiahassan2671
      @assiahassan2671 วันที่ผ่านมา

      @@ibunjumuatv9502 atuongoze sote

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 วันที่ผ่านมา

      @@assiahassan2671 MASHIA ndio wanao wasaidia pelestina na uislamu. Mawahabi wanasaidia fitna NA uyahud

    • @assiahassan2671
      @assiahassan2671 วันที่ผ่านมา

      @@hilalalhabsi2047 ila wanajifanya kma hawaoni,kipindi Cha al kaida ,Boko Haram ....,walitangaza jihad sana ila ona kwasasa wapo kimya half wanapata nguvu ya kuchonganisha waisilam

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 วันที่ผ่านมา

      @@assiahassan2671 sio wanajifanya hawaoni. Kwa kuona kwao MASHIA wanafanya kheri kwa waislamu wengine basi inawauma sanna mayahudi NA kundi lao la kiwahabia kuwa shia ni dhiddi yao

  • @azizaj776
    @azizaj776 วันที่ผ่านมา

    Huuu uongo u aozungumzia kuhusu Ushia walahi mtaingizwa JAHANA WOTE INSHAALLAH - AMEEN 🤲🤲🤲

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku วันที่ผ่านมา

    Na je tunajua maulid yalizushwa na mashia sufi ameyakumbatia je yeye naye tutamuitaje watu zindukeni acheni kufuata mambo ambayo hayana msingi kwenye dini acheni

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 วันที่ผ่านมา

      @@hassanWanjiku wewe sufi wanakuhusu nini?. Sufi sio mihemko bali hufuata elimu. Tumia hoja na sio chuki kwasababu chuki sio MEZANI ya elimu

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku วันที่ผ่านมา

      @@hilalalhabsi2047 someni sana mjue waliozua maulid ni akina nani mtajua na mkijua mtaachana nayo c kulazimisha jambo halimo

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 วันที่ผ่านมา

      @@hassanWanjiku hatuangalii ndege alizua nani kuitengeza. Tunaangali kielimu ya dini inafaa au haifai kwa kigezo cha kielimu

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku วันที่ผ่านมา

      @@hilalalhabsi2047 haifai kwa sababu c dini hata mkalisema kwa uzuri vipi bado sana

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 วันที่ผ่านมา

      @@hassanWanjiku sasa mbona mawahabi mumewazidi vinyonga kwa kugeuka rangi? NA hivyo ndivyo dalili za wanafiki. Sasa hivi umesema haifai kwasababu kaanzisha shia, sasa tena bila sura yako kuona aibu kwa kuwa ushajua hakuna sheria ya dini kukataza kwa sababu ya alioanzisha ukaona sasa utunge sababu nyengine ati maulid sio dini. NA hili ukijibiwa pia utatafuta jengine kwasababu tu wewe huyataki. Sawa sema sio dini ni mkutano wa siasa wenyewe wameekaa bila kumuudhi mtu basi waache wenyewe NA kongamano lao hali kuhusu. Mazali USHASEMA kuwa Maulid sio dini, basi jambo lisilo dini haupati swawabu wala dhambi ni furaha zao waache kwasababu sio watumwa wako hata wewe uwatolee amri watu kufuata amri zako. Weye fanya yako.

  • @IbrahimuItongola-bd6xl
    @IbrahimuItongola-bd6xl 2 วันที่ผ่านมา

    Assalam alykum shekh..mbona unatuchonganisha umati wa mtume Muhammad (saww)

    • @ibunjumuatv9502
      @ibunjumuatv9502 วันที่ผ่านมา

      @@IbrahimuItongola-bd6xl Unatuchonganisha katika lipi

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 วันที่ผ่านมา

      Wewe wala huna umma sijui ni nani ondokazako wachonganishwa na nani

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe sh ni mtu wamotoni kwa kusemauwongo

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 2 วันที่ผ่านมา

    Wacha uwongo wewe sh

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 วันที่ผ่านมา

    USIOGOPE sheikh kusema MASHIA ni makafiti!! Hivi mtu anayedai qur'an hii si qur'an ya ille aliyoteremshiwa mtume صلى الله عليه وسلم hii ni qur'an ya baniivumayya!! Je huko kuipinga qur'an,anabakia kubakia kuwa na UISLAM?