ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

UJENZI WA MABILIONI YA PESA KONGANI YA VIWANDA SINO TAN INDUSTRIAL PARK ULIPOFIKIA, WATALII WAFIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 21

  • @rugijofrey3685
    @rugijofrey3685 ปีที่แล้ว +4

    Serikali ijitaidi kulinda masrahi ya wafanyakazi watakaopata ajili hapo walipwe vizuri, maana mara nyingi watu ubanwa sana katika eneo ilo na unakuta wakija wao walipana vizuri kitu ambacho kinatudidimiza watanzania.

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว

      Umeongea suala muhimu sana maana unakuta mtanzania anafanyakazi kuanzia mwanzo wa project mpaka inaisha project hakuna kitu cha maana alichokifanya zaidi ya kulipa rent ya nyumba na kulisha familiya hii kitu inaumiza sana wazawa…

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 ปีที่แล้ว

      Serikali yetu huwa haipigi hesabu za chini ambazo ndo chanzo cha hesabu za juu wao wanachokiangalia ni wingi wa wafanyakaz na wingi wa pesa wanayopewa serikali kwa mkupuo na siyo kiwango cha mfanyakazi anacholipwa

    • @floranceshenyagwa3032
      @floranceshenyagwa3032 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@magorymara5515plq
      ❤❤qlll
      Lll

  • @mslaysauti
    @mslaysauti ปีที่แล้ว +2

    Itakuwa poa ndio utusaidie kujenga Tanzania 🇹🇿

  • @bakarishareeff1111
    @bakarishareeff1111 ปีที่แล้ว

    Wounderful

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe ปีที่แล้ว +1

    Hoja ya msingi ni hapo kwenye ajira tu, mengine serikali watajia wenyewe

  • @salummshumi995
    @salummshumi995 ปีที่แล้ว +1

    Hii itakua key turn ya uchumi wetu

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 ปีที่แล้ว +1

    Wachinku naona mmeivamia Africa mna lengo gani nyinyi au ndio shamba la bibi

  • @frankmihayo7415
    @frankmihayo7415 ปีที่แล้ว

    Viwanda siku zote ni kazi za njaa tu.

  • @patriciakalinga9176
    @patriciakalinga9176 ปีที่แล้ว

    Na deni lao tukumbuke😂😂😂

  • @severinobadia3864
    @severinobadia3864 ปีที่แล้ว +2

    Ni wapi tukaombe kabisaaa kazi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว

    viwanja vitakuwa agali kweli huku kwa sasa au?

  • @ujenziwanyumbakisasatanzan6343
    @ujenziwanyumbakisasatanzan6343 ปีที่แล้ว +1

    Ipo wapi tukajenge nyumba za wageni, bar?

  • @allytv1714
    @allytv1714 ปีที่แล้ว

    Kama nawaona madalali wa ajira Tanzania utasikia toa milioni moja upate kazi