MAISHA HALISI YA MZEE BONNE FETE NA FAMILIA YAKE | FIZI CENTRE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 207

  • @nassermohamed6174
    @nassermohamed6174 2 ปีที่แล้ว +11

    Inaonekana hii story ni nzuri sana ILA PRESENTER ndio tatizo...!

  • @florianntulo5731
    @florianntulo5731 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakati naanza kuitazama hii vidio nilijua ni Tanzania, dada anaongea kiswahili kuzuri sana, hongera sana dada,, ni wakati mwafaka kuindeleza lugha yetu

  • @ik3934
    @ik3934 2 ปีที่แล้ว +6

    This is a good material but the presenter need to be more active especially on his tone!!

  • @Antonio-c8u4t
    @Antonio-c8u4t 6 หลายเดือนก่อน

    Bien bien mi naishi mji wa kolwezi namshukuru sana uyo mzee kwa kaji ile eko nafanya merci.

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 2 ปีที่แล้ว +6

    Mr. Bonnie Fete, I think it will be beneficial for you to trace who your dad is or was. Then take that information to the embassy responsible (Is it Italian? France?). Ask for any type of assistance that they can offer to you and your family. Usually, these countries they don't let their citizens to suffer

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 2 ปีที่แล้ว +8

    Kweli "Kusaidiana ni upendo"❤❤❤

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah ana binti mzuri🥰

  • @augustiyadi4085
    @augustiyadi4085 2 ปีที่แล้ว

    If father was Italian, France it will be hard to coprate, because this story reflects to my grandfather land because there was fmly living in that country land earlys 1810to1945 befor my grandfather take over the place, and so the left their elder son behind because time was war around the world 🗺 actually it was hard to find his fmly back... Anyway his one he came back for him.. And this man God will bless him and if not him then through his children... Stay strong man... Blessed tag 📺.

  • @joelnondo7440
    @joelnondo7440 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu presenter haujui....kupresente vizuri

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 2 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana Tanganyika TV kwa habari moto moto za kuelimisha ! Nimeku MFUASI WENU MZURI SANA !
    Salama kutoka Tanzania

  • @matsarigi2986
    @matsarigi2986 2 ปีที่แล้ว +4

    Mash Allah mama ni mrembo mno❤️

  • @fatoumaahmed7670
    @fatoumaahmed7670 2 ปีที่แล้ว +5

    Bravo Mr bon courage

  • @tinaa6671
    @tinaa6671 2 ปีที่แล้ว +7

    She is so beautiful lady ❤️🥰🥰🥰

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana Asante kwa bidii mutangazaji

  • @يوسف-ح1ل9ن
    @يوسف-ح1ل9ن 2 ปีที่แล้ว +9

    Sasa mkichukua story hii mziki ndio tunaudkia kuliko sauti ya msimuliaji lirekebisheni hilo

  • @balekelayiandre4735
    @balekelayiandre4735 8 หลายเดือนก่อน

    mon ami boni fête courage

  • @josephkenga5627
    @josephkenga5627 2 ปีที่แล้ว +8

    Aende wapi hapo alipo ndio kwake na kwao, ardhi ndio utajiri mkubwa, na hao wako na mchanganyiko wa damu za mwaafrika;paradiso ni Africa, uzunguni hangepata hata kipande cha ardhi aite kwake;

  • @Japhet.B
    @Japhet.B 2 ปีที่แล้ว

    Vieux nabiso, respect papa ✊🏾

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +5

    Wewe kazi ni nzuri ku wa gunduwa watu hawa nakufata kutoka omani ila nami ni mu Congo mani bukavu

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa waarabu ni kuzuri na nasikia wanadharau mtu mweusi sana?

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +1

      Basi nikuzuri sababu hawana tabia kama ya watu weusi hawanywi pombe haibi hawagombane hawatembeleane balabala nzuri hawana milima ao bondé ni nchi inatulia ina nyooka ila hawaesabu mutu mweusi kuwa ni mtu wa najuwa mtu mweusi ni nyama kati ya wa nyama ao ni mashine ao ni punda hawataki mutu aji teteye haki yake ikiwa ni mweusi wakifanya kosa hawataki ijulikane wa najuwa wawo niwatakatifu kuliko wote duniani

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 2 ปีที่แล้ว +2

      @@jolemerci2155 nakata ati ni watakatifu dununiani. Kama ni watakatifu Mbona wanadhulumu mtu mweusi na wamupati haki yake. Wanamtumia mtu mweusi kama mnyama. Hawa ni watu katili na siwatu wazuri wakuwafanyia kazi. Bahati yako nikuwa Oman iko watu wengi toka Zanzibar wanaongea kiswahili

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 2 ปีที่แล้ว

      @@jolemerci2155 rudi congo kale nyama ya nyani pumbavu ulitumwa uende maana weusi hawadhulum na hawauwani ngedere ww mnyamafu mla nyani ndio mana mmekaa kama majambazi

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 2 ปีที่แล้ว

      @@mamialsawafi8020 pole. Mami hapana kumjibu mjinga. Hawa walidanganyika kwa wafaransa na wabelgik sababu ya kifaransa sasa wako tu na mashida mingi na akili zimeenda. Je suis Zanzibari, biensûr je parle kiswahili, anglais,italian. Espanõl et français. Dont use your energy for such stupid Bayaka. Je sais bien Congo. Asil 60% wanazungumza kiswahili lakin ukiwa Kinshasa wanasema kiswahili sio cha congo na sasa wanataka kujiunga na sisi east africa. Polon sana kwa watu wajinga kama hawa.

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakishaamia africa wanakuwa waafrica kwetu hatuna rangi nyeupe wala nyeusi wote tuko sawa

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 2 ปีที่แล้ว +5

    Uyu dada mzuri jmn

  • @zainabually2968
    @zainabually2968 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah binti mrembo yupo uko maisha ya kijijin

    • @esthernaya6489
      @esthernaya6489 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha uamini warembo wako kijijini tu

  • @devothasimbi1055
    @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว +8

    Wewe mtangazaji tengua kauli yako huyo mzee sio Mzungu.safiri njoo Ulaya uone wazungu.

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 2 ปีที่แล้ว

      Ww nae punguza makasiliko ukiwaona ww uko inatosha asafiri kisa kuona hizo pua zao 😅😅😅🤣
      Ukirud tuletee mmoja tuwafananishe

  • @NgenaBiambo
    @NgenaBiambo หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana

  • @calimahad9274
    @calimahad9274 2 ปีที่แล้ว +7

    Interview imejaa ujinga wa rangi... inasikitisha kuona Interview imetawala rangi za watu. Kwa hali hii Wazungu wataendelea kututawala mpaka dunia itakwisha.

    • @clarisssimpenzwe6298
      @clarisssimpenzwe6298 2 ปีที่แล้ว

      Wale ata ni weusi… wazungu gani 😜😜😜😜

    • @williamfelly7810
      @williamfelly7810 2 ปีที่แล้ว

      Try to write your comments respectfully. Uyu Journalist anafaa kazinzuri sana. Kama ungelimurekebishia, nivizuri umurekebishie indirectement; apana yawazi hivi >. Please, it's so genuines to think about others feelings and emotions because you don't know what's people are going through. Thanks.

    • @abordecapester9086
      @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

      Unasema vibaya ulaya weusi wapo wengi , siyo mzungu ni chotara Yani minti

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly 2 หลายเดือนก่อน +1

    Saf sana watangazaj watanganyika tv mnaupiga mwingi sana

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +5

    huyu dada akienda ulaya na kuvaa vile vinguo vya asili yao anakuwa mzungu kabisa kama wa huko

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    Mwambie Demuzungu akuoneshe kwao Dieu au bienve aukami

  • @mamanetsesastuces690
    @mamanetsesastuces690 2 ปีที่แล้ว +1

    Waou! Uyo mzee bonne fête siyo tena muzungu. Anakuwa mweusi tout fait

  • @MoussaMoussa-hp4bs
    @MoussaMoussa-hp4bs 2 ปีที่แล้ว +2

    Whoa she's so cute

    • @allansk1035
      @allansk1035 2 ปีที่แล้ว +1

      She is mixed wtf

  • @williamfelly7810
    @williamfelly7810 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtagazaji unafaa kazinzuri; lakini ujitaidi kuwa namutazamo ingine juya Peau noir na peau blash. Wazungu niwatu kama wewe; kuko ba intelligent naba moin intelligent. Kamavile ba noire kuko ba intelligent naba moins intelligent. Aussi ufanye utafiti juya question general na question personell wakati unafaa interview nawatu. Unafaa kazinjema kaka. Kwamazuri zaidi, fanya utafiti mingi juya maswali.

  • @enochdavidtv8636
    @enochdavidtv8636 2 ปีที่แล้ว +2

    #Felicitations, Timenel kedal

  • @victoriaritte8810
    @victoriaritte8810 2 ปีที่แล้ว

    @Millard Ayo fuatilia hii story

  • @johnkuma6867
    @johnkuma6867 2 ปีที่แล้ว +6

    Hapa kenya hata hakuna mtu anajali rangi ya mtu. Na sivizuri kuuliza maswali mengine unauliza dada kama journalist..Watu wa rangi za huyu dada wamejaa kenya kila corner na hata hakuna mtu huinua kichwa kuwatazama. Ni wananchi wa kawaida tuu na kitu cha kawaida

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว

      Nyie bado mnatawaliwa na Wazungu kama South Africa.

    • @nelsonlushasi2273
      @nelsonlushasi2273 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata dar wamejaa i think wacongo wana uhaba wa machotara!!!

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 2 ปีที่แล้ว

      @@uledimtumwa2406 kweli uko na opinion ya ajabu

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว

      @@johnkuma6867 mpaka lugha bado ya wakoloni. Hivyo hakuna cha ajabu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

      Watu wa jinsi hiyo Kenya si wengi pahala walipo wengi ni Angola, South Africa , Cape verde, Mocambique Maputo , Seashells na Madagascar, Kenya na Tanzania waliowengi ni machotara ya kiarabu na mabaniani neyi neyi kalunga kushineyi

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว +9

    Bonne Fête shukuru ivo iulivo hakuna nchi nzuri kama Congo congo inakubali n'a kupokea wa geni sisi tuliko nchini hapa uarabuni tuna penda tuishi hapa ila hawataki iyo sheria haipo ila kazi kwako ni nzuri sana courage Bonne fête

    • @nitunda
      @nitunda 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole kabisa Ndugu Jole

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +2

      afrika hakuna ubaguzi

    • @nitunda
      @nitunda 2 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 Ndio

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nitunda naam nchi za wenzetu mtihan sana

    • @nitunda
      @nitunda 2 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 pole sana uko inchi gani?

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 2 ปีที่แล้ว

    Mzuri sana mashaaalah wapi huko mkoa gani

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 2 ปีที่แล้ว +2

    Ah! Kumbe kaolewa!! Samahani sana.

  • @kwibejanvier2140
    @kwibejanvier2140 2 ปีที่แล้ว +6

    Yani bro una maswali yakijinga sana

  • @lisaozokalonji7655
    @lisaozokalonji7655 2 ปีที่แล้ว +3

    Journaliste émission yako iko sawa lakini uko kama unatete mekeya Mzungu sana eti Mzungu ni mtu waakali sana unamaanisha nini? kuna wazungu awajuwi kitu! Monsieur bonne fête iko très gentil na siyo kila mzungu

    • @noelashaoona
      @noelashaoona 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @devothasimbi1055
      @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว

      Yanis huyu mtangazaji huwa nachukia kweli kujilinganisha rangi eti rangi nyeusi ninaishi Ufaransa nawaona waliokimbia shule wanavyotaabîa mtaani.na huyo akirudi ulaya sio mzungu kabisa.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@devothasimbi1055 huyo ni mshamba pengine ni kwasababu mazingira aliyonayo hakuna watu wa jinsi ya aina hiyo sisi kwetu mocambique zipo baadhi ya koo zetu mababu zetu walikuwa watu weupe toka portugal so na watu hawashangai ata kidogo

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme Nilifika Nampula na Montepuez mwaka 2017 ni kweli Moçambique imechanganyika na watu hawajali haya mambo ya rangi ya ngozi. Nilipapenda sana

  • @wowo1546
    @wowo1546 2 ปีที่แล้ว +1

    yeye mke wake na watoto wako wapi?🏡🎊🎉🇨🇩

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว +1

    Kkkkkkkkkk mtangazaji bn kkkk bado sana

  • @gerrardmmandama9418
    @gerrardmmandama9418 2 ปีที่แล้ว

    Great job

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 ปีที่แล้ว +4

    Content mbovu mnoooo sasa ndio nini kutuwekea beat badala ya interview.. total waste of MB

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 2 ปีที่แล้ว

      Wacha ujinga. May be you dont understand kiswahil na français. Nous sommes tout çava pas de problém.

  • @marlomerci5027
    @marlomerci5027 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa hiyo atuwa bwana journaliste

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @YabatuMitambwe
    @YabatuMitambwe 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa zamani huyo:Mkatolika wa damu..

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kizuri kweli

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว

    Congo nchi mzuri

  • @maombiecha3297
    @maombiecha3297 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuone video zake zamaubiri please

  • @richardsaikong1138
    @richardsaikong1138 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni tanzania?

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    Namfaam kabla nikingali mdogo nilimuonaga kabla sijaja Tanzania naona kazeeka sasa

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mtangazaji una maswali ya kipuuzi sana, yenye mwelekeo wa bullying?

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    USA wabembe wamezaa nawazungu wengi2 nawanaogea kibembe acheni ushamb tz tunaishi n'a wengi amuja kua wajanjatu! Dunguzangu ?

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 ปีที่แล้ว

    safi sana ,

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna ahina ya maswali mtangazaji anahuliza lakini yana leta baridi. Yale maswali ya kutaka kumu weka mzee bonne fête kuwa ni kumzungu.na kwamba inchi yake ni ufaransa. Hapana !

    • @devothasimbi1055
      @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว

      Hata mimi huwa ananishangaza akienda Ufaransa sio mzungu huyo.ninaishi Ufaransa waliochanganya rangi sio wazungu kabisa d’inuite ni kwa nini analazimisha huyo mzee ni mzungu

  • @embeteidi5023
    @embeteidi5023 2 ปีที่แล้ว +2

    Pia mzee bonne fete anajulikana kama mmbembe ama mfulero?

    • @TanganyikaTV
      @TanganyikaTV  2 ปีที่แล้ว +1

      TAZAMA SEHEM YA KWANZA
      th-cam.com/video/JdghEq8ei4M/w-d-xo.html

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    Wambiye Rama Rama kwa salimu

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 2 ปีที่แล้ว +1

    yaani ndugu zetu wang'@mbo yaani mkionaga mtu mweupe yaani sijui mnakuaje, hao ni watu wakawaida Kama wewe ivyo basi hiyo ngozi nyeupe isikutishe my friend

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 2 ปีที่แล้ว +1

    Hana watoto WENGINE jamani tuoe?mbna wazuri

  • @agustinocharles2650
    @agustinocharles2650 2 ปีที่แล้ว

    Swahili bora hiyo

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +3

    nampenda huyo dada jamani kama hajaolewa nitumie namba yake nataka ikiwezekana nimuoe niko tanzanie🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 2 ปีที่แล้ว +3

      Lakini angekuwa mweusi uzuri usingeonekana au vipi?

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว

      Baadhi ya wanaume nikuwaacha tu na ulimbukeni wao😏😏😏

  • @audaceleroi1370
    @audaceleroi1370 2 ปีที่แล้ว +3

    mtangazaji, kuwa na maadili ban, unataka kumchukuwa mke wa mwenzako?😃😃😃

  • @victoriaritte8810
    @victoriaritte8810 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mwandishi anajua anachokifanya kweli?

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 2 ปีที่แล้ว

    nitumie namba yako anaitaji kukuona kwa projects

  • @noelashaoona
    @noelashaoona 2 ปีที่แล้ว +4

    I swear this is not necessary at all, it full of nonsense

  • @makondorshimora5017
    @makondorshimora5017 2 ปีที่แล้ว

    Mama mcongomani na kazaliwa congo sasa anakuwaje mzungu? Huyo ni chotala wa kiafirka na kizungu na kwao ni congo

  • @mussamlewa2178
    @mussamlewa2178 2 ปีที่แล้ว

    Nchi gan hii

  • @zainabmwengela5987
    @zainabmwengela5987 2 ปีที่แล้ว +1

    Jitahidi usitafune maneno unasikika kwa shida sana

  • @martinbyamungu5539
    @martinbyamungu5539 2 ปีที่แล้ว +3

    Jambo habari gani huko, mimi nimefata mazungmuzo mulifanya na muzee Bonne Fete, Anasema kama ako na watoto wengi mimi ningependelea kujuwa, kama angaliki na fille mwenye hajaolewa naomba kujuwa please.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 ปีที่แล้ว

      Unataka umuowe?😅

  • @lameckouragan3358
    @lameckouragan3358 ปีที่แล้ว

    Un journaliste très complexité par la peau blanche, comment il s'étonne bcp d'avoir un blanc Mubembe ? Kwanini umuulize dada heti atarudi kwao siku ghani, kwao wapi tena kama sio hapo Fizi? Je hiyo sio racism ? Mtangazaji uko na 3/10.

  • @embeteidi5023
    @embeteidi5023 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona haujamuuliza magumu ya vizi?

  • @rizikiree20
    @rizikiree20 2 ปีที่แล้ว

    Sijaona yake yakwanza mbona

  • @hildegalda.malamoya.8328
    @hildegalda.malamoya.8328 2 ปีที่แล้ว

    Wekeni Subtitles

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    Nitembelee kwa kami nipembeni naapo unapo hoji

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili muzuri

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 2 ปีที่แล้ว +1

    aisee jina zuri la kiswahili nimependa kiswahili chako,si kiswahili tu bro napenda sana kuona mtu anaongea lugha asili za africa

  • @dezasumailcostaricahamis5429
    @dezasumailcostaricahamis5429 7 หลายเดือนก่อน

    ba métisse banakuaka ba muzuri sana

  • @g-africalyrics5857
    @g-africalyrics5857 2 ปีที่แล้ว

    Improve your interviews.

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 2 ปีที่แล้ว

    Comments nyingi za kumsifu binti kuwa mtoto ni mzuri suala jee angekuwa mweusi uzuri wake ungewashtua wengi humu kama ilivyoonekana kupitia comments?

    • @DBrownstain
      @DBrownstain 2 ปีที่แล้ว

      Acha tu nduguyangu, racism haijaiacha Africa salama bila sisi wenyewe kujua, kwanza ni ushamba wa hali ya juu. Adi mtangazaji ameshoboooka kwa uyo dada kisa ni mzungu, shame on him

  • @diti4899
    @diti4899 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwandishi?????????

  • @zawadibushiri9394
    @zawadibushiri9394 2 ปีที่แล้ว +1

    Nishahidiye number ya huhu dada

  • @mangetz2835
    @mangetz2835 2 ปีที่แล้ว +1

    Pay est malade… imeisha iyooo
    Youtubiiiii

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +3

    Et mi nikija nikuoe nikupeleke mjini hilo swali lako limenichefua sana mfano hilo swali anaulizwa mke wako alafu wewe upo karibu hapo hapo utafurahi?alafu unasistiza kbs et nitarudi kukuona tena na umesisitiza zaidi nitakuwa na wewe mwanzo mwisho unataka habari au matamanio ya mke wa mtu?usitie doa kwenye mapenz ya watu muandishi tafakali hilo

    • @DBrownstain
      @DBrownstain 2 ปีที่แล้ว

      Yaani kashindwa kabisa kujizuia😃

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

      @@DBrownstain Mpumbavu sana yaan anachomaanisha kama mwanamke amekosea kuolewa na uyo jamaa alie nae sasa sababu hali ya chini amchukue yeye akampendezeshe mjini hovyo sana huyu mtangazaji

  • @ngomafrancis1659
    @ngomafrancis1659 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa Bonneface anaolewa tiari aho bado pia wateja wamepatikana watatu kama yuko tiari kibarua nimeambiwa kiko

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +1

    Madada wenye asili ya kizungu nawapenda

  • @ritagrace4882
    @ritagrace4882 2 ปีที่แล้ว

    Mwambie atafute kuna jia anaweza kusaidika

  • @devothasimbi1055
    @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti mzungu na mnapongezana kutiana ujinga mzungu

  • @Jamie-zp7bb
    @Jamie-zp7bb 2 ปีที่แล้ว +11

    Halafu we!! Mtangazaji wewe!! yaani unaweka hadi tege kabisa na sauti unaitolea puani. Unashindwa hata kuzificha hisia zako za kumtaka huyo mtoto na hali ya kuwa amekwambia ameolewa tayari. Mnapoenda kuwa interview watu zingatieni mipaka ya taaluma zenu😡😠😏mtakuja kutandikwa bure..

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ni congo au nitanzania?

  • @butugaeve3300
    @butugaeve3300 2 ปีที่แล้ว +3

    Mimi binafsi uwa napenda vipindi vyako ila kwahii moja nahisi kama umeniboa sana. Kuweni mnaandaa maswali ya kuwauliza mtu. Maswali mengine yanaleta aibu kwetu sisi watazamaji Sijapenda hivo kabisa.

    • @TanganyikaTV
      @TanganyikaTV  2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuwasiliana nasi ,tafadhali fahamu kwamba maoni yako yametufikia.

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 2 ปีที่แล้ว

    Wajina Zainab

  • @TheConqueror__Yb
    @TheConqueror__Yb 2 ปีที่แล้ว

    Presenter ajielewi hajui kupanga mada yupoyupo tu..

  • @noelashaoona
    @noelashaoona 2 ปีที่แล้ว +1

    Idk why this is necessary

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 2 ปีที่แล้ว

    Kwani sauti imeenda wpi

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 2 ปีที่แล้ว

    sauti haiko poaaaaaaaaa

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh, Mungu akuondoe hapo ulipo katika Jina la Yesu. Mi naona we umerogwa, au nyota yako imeibiwa.

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 2 ปีที่แล้ว

      Sasa wewe karne ya 21 unaongea mambo ya kichawi na ujinga wa nyota kuibwa? Sasa hiyo ni kitu gani unaingea watu wakiongea vile wataunda mitambo ya computer,electronics,sift ware designs ambazo zirafanya mausha ya binadamu kuwa meoesi wewe unaongea lugha ya mtu hajasoma. Huzuni sana. Toa mawazo kama hayo kwa akili zako kabisa. Mambo ya kiuchumi congo,na uongozi mbaya ndiyo umeadhiri hawa watu. Si uchawi. Mpe nafasi utashanga akibadilika kabisa🇰🇪

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani aliyerogwa? Tumia akili yako vizuri

  • @jeanclaudeedmond5674
    @jeanclaudeedmond5674 2 ปีที่แล้ว

    On dit bonne fete en swahilli?

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji mbona unapenda sana ubaguzi???

  • @inovetorshax7137
    @inovetorshax7137 2 ปีที่แล้ว

    Mwanahabari huyu anataaluma finyu sana kwenye swala la mahojiano

  • @DBrownstain
    @DBrownstain 2 ปีที่แล้ว +1

    MTANGAZAJI UMEBOA KISHENZ, UNASHOBOOOKA NA RANGI, NA USHAAMBIWA KAOLEWA BADO UNAMGANDA DADA WA WATU. SHAME ON YOU. HUJAELIMIKA HATA KIDOGO KUHUSU RACISM. NONSENSE

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 ปีที่แล้ว

      Mimi pia sikujisikia vizuri. Naona dada naye hakupenda maswali ya namna ile