NEMBA -FIZI |KUTANA NA MZUNGU DANIEL ASUKUMA KAPITA WA KIJIJI CHA NEMBA- FIZI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 78

  • @welongolulonga2411
    @welongolulonga2411 2 ปีที่แล้ว +9

    Vraiment kazi nzuri kabisa

  • @ciceronmteulwa753
    @ciceronmteulwa753 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana kwa kuwa unatuonye mambo ya nyumbani

  • @majutorajabu7509
    @majutorajabu7509 2 ปีที่แล้ว +2

    Aisee nimefurahi sana kusikia jina la babu yangu mzaa mama KIZAMBA kumbe babu alikuwa ni mkongoman asante Tanganyika tv

  • @radjabuluundo2468
    @radjabuluundo2468 2 ปีที่แล้ว +2

    Du kweli fasi nzuri beautiful land munafanya Kazi nzuri Tanganyika TV

  • @florianntulo5731
    @florianntulo5731 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri kaka, unaongea kiswahili kizuri umebahatika kukaa Tanzania

  • @gilbertidi9682
    @gilbertidi9682 2 ปีที่แล้ว +6

    Naipenda sana hii interview

  • @abdallahzy7691
    @abdallahzy7691 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana Tanganyika Tv

  • @ndayishimiyeraya8888
    @ndayishimiyeraya8888 2 ปีที่แล้ว +2

    Love from Burundi kazi nzuri sana kaka

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji jipange kwenye maswali na confidence

  • @williamfelly7810
    @williamfelly7810 2 ปีที่แล้ว

    Courage Journaliste kwakazi unayofaa. Mubarikiwe sana Naona Bubembe.

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 2 ปีที่แล้ว

    Aisee kazi nzuri sana Kaka 👍🏽👍🏽👍🏽

  • @mupendwajagarasteve341
    @mupendwajagarasteve341 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mkongomani sio muzungu. Kwasababu Alizaliwa na mama mkongonani.
    Hiyo ni maisha tuu na nimustarabu kabibisa huyo mzee kwakusema ajijutii kutokwenda ufarasa kwasababu na maisha yahuko haijui. Big up mzee.
    Kunahata wazungu abao wanaangaika ulaya

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 ปีที่แล้ว +3

    Anakula fegi uyo

  • @user-kr7ut7bj5x
    @user-kr7ut7bj5x 5 หลายเดือนก่อน

    Jambo Mzee Daniel Asukuma,ex.reparateur Radio na saa;tuliwayi kubakia pamoja pale Mwammbangu Bashele,kwetu Simbi.

  • @henrymusa3389
    @henrymusa3389 2 ปีที่แล้ว +4

    Mzee amejibu kwa hekima

  • @mrlyricsstar7881
    @mrlyricsstar7881 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana

  • @tontonnyenga1293
    @tontonnyenga1293 ปีที่แล้ว

    Good job journalist

  • @ngeleloembete2956
    @ngeleloembete2956 2 ปีที่แล้ว +3

    Nime penda sana kuona hiyo video imetujuza kuusu nyumbani kwetu

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 2 ปีที่แล้ว +1

    Woow tanganyika TV 📺 hongereni sana niliwahi kumuona mzee wa A15 kwa sasa namuona mzee wa A11 naye

  • @gemelliparemexatha9686
    @gemelliparemexatha9686 2 ปีที่แล้ว

    Big up sn bro

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 2 ปีที่แล้ว +4

    Porojo nyingi Sana mtangazaji, ivi maana ya tv Nini?? Au inajishugulisha n'a Nini ??

  • @dayanaraymond2584
    @dayanaraymond2584 2 ปีที่แล้ว +1

    My babu

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 2 ปีที่แล้ว

    🥰

  • @alimasiwilondja504
    @alimasiwilondja504 ปีที่แล้ว

    Good

  • @Rohosaficarefoundation
    @Rohosaficarefoundation 2 ปีที่แล้ว +3

    Namuona mzee tena duhhh miaka 18 hivi

  • @Richesfam
    @Richesfam 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani mzungu gani huyo ama haujuwi mana ya mzungu? Naacha kuuliza mtu maswa yakiubaguzi. Congo is his nationality and knows no where else. Not France. Leave the poor guy alone and let him enjoy Africa .that's his place

  • @ramazaniyusufumajaliwa6752
    @ramazaniyusufumajaliwa6752 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni mwafrika wa kweli kbsa,mzee ameongea vizuri sana.

    • @intwaritv7659
      @intwaritv7659 2 ปีที่แล้ว

      Kuna kitu kinanishangaza sana ,angekuwa ni Munyamulenge ameza namubebembe hange ishi apa ,wange muua laki ni Damu ya Muzungu maskini muna mpokea munamueshimu sawsa munguwenu..
      Tujifunze kueshimu Race yetu.

  • @uwezomaleunda4959
    @uwezomaleunda4959 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo do kwetu nemba kabisa nimepende sana 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

    • @Mrkope-un9id
      @Mrkope-un9id 2 ปีที่แล้ว

      Aah brother Kwan nemba ipomkoa gani

    • @Cultandnuture
      @Cultandnuture 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mrkope-un9idKivu kusini

  • @bantwamwasakapiga4941
    @bantwamwasakapiga4941 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji mjinga sana sio kila mtu anajuwa kiluga kiswahili ni muhimu sana ktk interview ili kila mtu aelewe

  • @ohoo903
    @ohoo903 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mahojiano yako mbona yanaelekea km kuwatukuza wazungu eti kuwauliza eti wanajisikiaje kuwa wao weupe kuishi na watu weusi. Si umasikia hata majibu yao ni kama wanakushangaa wewe. Mana Hata wangekuwa huko Ulaya maisha ni watu kuchanganyika. Ungetafuta ujanja wa kuuliza maswali sensitive kama hayo.

  • @tumusifueverijuste4691
    @tumusifueverijuste4691 2 ปีที่แล้ว

    nemba kwetu

  • @allentindya5144
    @allentindya5144 2 ปีที่แล้ว

    Niko Tanzania napenda kuangalia lakini jitahidi kutumia lugha ya kiswahili inapowezekana

  • @samuellalimasi413
    @samuellalimasi413 2 ปีที่แล้ว +3

    Bro mzee siyo mzungu ni mweusi mwenzako yani black and white wakizaha mtoto anakuwa ni mweusi hata unachanga

    • @devothasimbi1055
      @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว +2

      UKo sawa hâta mimi huma inanishangaza sana mtu aliyechanganya rangi kumuita mzungu.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@devothasimbi1055 Wala neno mzungu lisikuumize kichwa kwanza Jina lenyewe linamtukutukuza mtu kama Mungu mtu, maana ya mzungu ni Mungu kwahiyo kwanza si Jina zuri lakumuita mtu, Pia huyo si mtu mweusi kwani pia katika watu wenye weusi pia wapo watu wengine katikati yao wenye rangi tofauti tofauti ukiondoa watu weupe na wamanjano na wekundu sasa mtu mweusi ni identity katika africa sasa huyo mzee si mweusi kwani katika kundi la watu walio weusi huwezi kumuweka h mtu huyo

  • @lameckouragan3358
    @lameckouragan3358 ปีที่แล้ว

    Wa journaliste washamba, unafanya mzee ajisikie kwamba hapo si nyumbani kwake.

  • @zabibumwilelo853
    @zabibumwilelo853 9 หลายเดือนก่อน

    Kachangwa na mzungu ila ni mtoto wetu wakibembe cause baba yake akuowa mama yake mtoto akizaliwa inje ya ndoa uwa ni mtoto wamwanamke

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wangu tuliishi pamoja kambini lugufu tanzania duh namkumbuka🙏🙏🙏🇨🇩🇺🇸🎧🛌

  • @donaldkiza2493
    @donaldkiza2493 ปีที่แล้ว

    Jamaa unafanya kazi nzuri ,ila mambo mengi unakosea unatakiwa kufanya kipindi kwakujifunza mambo mengi kuhusu utangazaji. Halafu hao unao wahoji siyo wazungu ni warangi rangi yaani mixed wa Muzungu na mwafrika kwahiyo siyo mzungu tena

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 ปีที่แล้ว

    Maskin mzungu alie choka

  • @abeljohn8607
    @abeljohn8607 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee ana akili sana, damu ya kibembe ni baraka tosha

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kiswahili kizuri tu

  • @uwezomaleunda4959
    @uwezomaleunda4959 2 ปีที่แล้ว

    Tuma numero yako hapita

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wazee wako wawili? Mmoja nadhani amezaliwa peke yake.

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee haeleweki, kwanza alihojiwa na Tanganyika TV akasema baba yake alikuwa ni mfaransa halafu alipohojiwa Mara ya pili akadai baba ni mbelijiki na hakuwahi kumuona, sasa mbona anajigonga gonga mwenyewe kwa maneno. Sema moja lieleweke, sio kuchanganya maneno.

    • @patricemacky1164
      @patricemacky1164 2 ปีที่แล้ว

      Sio uyu aliesema baba yake mbeleji ni mwingine.

  • @pierrekintu9565
    @pierrekintu9565 2 ปีที่แล้ว +5

    Jambo yenu ndugu zangu mimi jento niko natoa ushauri kuhusu maisha ya ulaya mimi hivi niko 🇺🇸 USA Sasa mzee asirogwe kwenda ulaya hata akipata babu au ndugu zake zake ulaya asiende

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 2 ปีที่แล้ว

      Ndio hapo umesema sawa asiye jua ulaya na marekani anafikiri hapa tupo paradis lakin sasa ni kujuta mim hata mtoto wangu sitaki akuje hapa england. Ardhi nzur sana. Huko calemie moba mwanza kindu likasi kivu nord na soud kivu ni kuzuri sana. Baada ya miaka kumi watu east kongo watafurahi sana. Wafanye muungano na east africa basi sisi tutakuja kulima huko

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว

      @@seifseifmohamed7118 Aah jamani watu wote wanakimbilia huko ulaya unasema sio paradise ?

    • @Cultandnuture
      @Cultandnuture 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona wewe ahujarudi africa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani je hakuna watu weusi katika kundi lao walio weupe wewe mtangazaji ? Neno mzungu maana yake ni Mungu basi hilo neno si zuri kumuita binadamu kwamaana unamfanya binadamu kama Mungu mtu

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo tafsir ya mzungu ni MunguMungu, tunaomba ushahidi!!!!!

  • @naninana13346
    @naninana13346 2 ปีที่แล้ว

    Waego ole mwafrika 😂, haukoako mupolitike ya kuuwa wakongo

  • @mangetz2835
    @mangetz2835 2 ปีที่แล้ว +1

    Journaliste Kuwa na Adabu wewe.. maswali gani sasa ayoo

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 2 ปีที่แล้ว

      Tv zenu za congo hazina watangazaji wenye weledi sema tunapata habari

  • @devothasimbi1055
    @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji una maswali y’a kijinga unakazia huyo ni mzungu Wakati amechangancha rangi? Eti angeishi ulaya maisha yagekuwa mazuri unachekesha sana.ninaishi Ufaransa n’a wazungu ombaomba bila sehemu y’a kulala kazi yao kusubiri pesa y’a serikali na kunywa.
    ,

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Husikii kamwambia ya huko yeye hayajui 😆

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo basi watakakusema huyo mtu angalikuwa ulaya basi na yeye angekuwa kama hao uwasemao ? sasa je hapo congo watu wa jinsi hiyo uisemayo ulipwa fedha kama huko ulaya usemapo zaidi yakulipaka vumbi

  • @hashimmwamba441
    @hashimmwamba441 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini mwandishi wewe unamuuliza kama anajutia kutokupelekwa ULAYA, huyo jamaa amezaliwa na mama mbembe, kwa nini asimpende mama yake? Wewe unachukia nini kwa yeye kubaki UBEMBENI?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Kwasababu anaona anapatatabu vumbi linamchakaza Africa mchezo mtu mzee anajitunza mwenyewe ukikosa ela ya panado unakufa mchana kweupe🤣

  • @lameckouragan3358
    @lameckouragan3358 ปีที่แล้ว

    Huyo kapita mdogo ndo mwibéléca ao? tuliachana tukiwa watoto wadogo sana kama umri wa miaka 7 hivi.... Nimiaka 30 sasa imepita.

    • @Cultandnuture
      @Cultandnuture 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio ni Mwibe fils K

  • @assanisamuel4771
    @assanisamuel4771 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaa ajifunze vizur
    Hii kazi bado sana
    Maana ajuwi step za
    Maojiano
    Nimefata toka kwa yule dada chotara aniemuoji punde

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji maswali yake ni ya kijinga sana. Mzungu gani si.chotara. Mahali pote ni nyumbani yeye anapenda Africa. Kwani Africa watu hawana maisha mazuri? Kutodhamini Uafrica wako. Nani kasema maisha Ulaya ni mazuri zaidi ya Africa. Ulishafika au kuishi huko? Nimempenda Babu anajielewa
    Mtangazaji hajielewi.

  • @eciloeloco7796
    @eciloeloco7796 2 ปีที่แล้ว

    Mzungu kweli uyo?