Bony Mwaitege - Hallelujah (Official Music Video) SMS TO SKIZA 9840972 TO 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2021
  • Hallelujah watu wa Mungu, Kwama ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2021 nimeleta kwenu wimbo huu wa kumsifu Bwana wa majeshi,ninaimani wimbo huu utafanyika baraka kwako na kwa wengi utakao wafikia.nakutakia baraka zote kwa kuendelea kuwa pamoja nami.
    Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    MUNGU AKUBARIKI SANA.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 860

  • @thesongsofjesusmusicgroups1614
    @thesongsofjesusmusicgroups1614 2 ปีที่แล้ว +5

    Utukufu ni wake bwana kweli kweli 💪💪💪🙏🙏

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 2 ปีที่แล้ว +71

    Finally it's out Kenya love weka hapa like to show him some support,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @millymillyumudi8006
    @millymillyumudi8006 2 ปีที่แล้ว +6

    Hallelujah hallelujah Glory be to Jesus 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi jameni utukufu kwa bwana

  • @luganoamosi6416
    @luganoamosi6416 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo du inanipeleka kwa yehova moja kwa moja

  • @jeremiamtafya4015
    @jeremiamtafya4015 2 ปีที่แล้ว +22

    Ubarikiwe Sana mentor wangu nakukubali

  • @DanielGongeOfficial
    @DanielGongeOfficial 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo Nzur Sana Baba Nabalikiwa Sana

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 2 ปีที่แล้ว +90

    Hallejuh all the way ...much love from Kenya bonny never disappoint gonga like za wakenya tukisonga🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗💖🤗🤗🤗🤗🤗

  • @samwelntabo190
    @samwelntabo190 2 ปีที่แล้ว +1

    Groly to God fro from Kenya

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen Amen Amen Amen 🙏🏼 🙌

  • @jameskilonzo2322
    @jameskilonzo2322 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana mtumishi mwenzangu

  • @theobosebabirebaofficial
    @theobosebabirebaofficial 2 ปีที่แล้ว

    Rwanda Kigali tunakupenda sana mutumishi wamungu🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼⛪

  • @UlimwenguMilenga
    @UlimwenguMilenga 2 ปีที่แล้ว +3

    Bony mwaitege ni yuke aliye imba Injili inaubiriwa unaikataha. Izi zingine ni nyimbo azileti tafakari ila misisimuko tu

    • @julianagodfrey6812
      @julianagodfrey6812 2 ปีที่แล้ว

      Unaakili mbovu sometimes' kumbe☝️

    • @user-nb4zk4bt9r
      @user-nb4zk4bt9r หลายเดือนก่อน

      Shetani toka apa bonny all the best kaa chini tafakari hii wimbo guok

  • @DoreenAngel-vz9mh
    @DoreenAngel-vz9mh ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah shalom shalom ni yeye tu be blessed born welcome Kenya huu wimbo me hucheza mpaka nasahau shida zangu

  • @philipmaambo2552
    @philipmaambo2552 2 ปีที่แล้ว +8

    Hallelujah 💞 God bless you sir Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 is with you.

  • @QueenElizabeth10
    @QueenElizabeth10 2 ปีที่แล้ว +5

    Finally is out amen 🙏

  • @BroNicholasMusembi
    @BroNicholasMusembi 2 ปีที่แล้ว +1

    Utukufu Apewe Jehovah

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 ปีที่แล้ว

    Simba wa kabila la YUDA ,Amiri jeshi mkuu wa MUNGU oooh hallelujah

  • @rutholudhe3214
    @rutholudhe3214 2 ปีที่แล้ว +1

    Much love fro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪m Kenya

  • @danzewayesu2559
    @danzewayesu2559 2 ปีที่แล้ว +8

    Hallelujah utukufu kwa yesu my fellow gospel artists shalom

  • @peacemakersplus37
    @peacemakersplus37 5 หลายเดือนก่อน +1

    My best song in the album...

  • @olweyokennedy266
    @olweyokennedy266 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu nyimbo zako zaniunganisha na mbingu

  • @blessedsimiyu
    @blessedsimiyu 2 ปีที่แล้ว

    Unanikumbusha wimbo mwanangu soma,eti nakutana na wazungu na kizungu sijui,leo unaimba kizungu,happy for u

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 2 ปีที่แล้ว +6

    Nice work my Role model Bonny Mwaitege!🇰🇪🇹🇿🔥😁

  • @cecilialifestyle
    @cecilialifestyle 2 ปีที่แล้ว +1

    We missed you mtumishi

  • @frank.medadi16frank80
    @frank.medadi16frank80 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri Sana asante saana Kwa nyimbo nzuri nilifungulia mwaka mpya 2022🙏🙏🙏😍😍💪

  • @abiudsimiyu6248
    @abiudsimiyu6248 2 ปีที่แล้ว

    Napenda wimbo zako,Mungu akupe nguvu ya kuhubiri neno lako kupitia kwa nyimbo

  • @user-pp2xt6br9t
    @user-pp2xt6br9t 5 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zako huwa unanibariki ,ni nyimbo ambazo umpa mtu mungu ya kuomba

  • @atupendajeremiah6172
    @atupendajeremiah6172 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini watu wako mtumishi hawafai vizuri nguo za heshima lakini wewe umevaa vizuri

  • @gladyszawadi3072
    @gladyszawadi3072 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki saana Bonny Kwa Huu wimbo mziri saana ,napenda Hinsi uliuimba Kwa ujasiri

  • @luganoamosi6416
    @luganoamosi6416 ปีที่แล้ว

    Kweli kabissa hamunaga Kama mungu,na apewe sifa,haleluyaaaaa.bony arsante Amen mpendwa

  • @thekiokoofficial6527
    @thekiokoofficial6527 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii wimbo iko kiwango kingine
    🇰🇪

  • @maryadulu4070
    @maryadulu4070 ปีที่แล้ว +2

    Bony God bless you.wonderful song powerful words.i can't get enough of this

  • @luganoamosi6416
    @luganoamosi6416 ปีที่แล้ว

    Hao vijana wako vizuri saana ,kweli mwaitege ngoma nzito

  • @TheRedeemed-eh2vv
    @TheRedeemed-eh2vv 3 หลายเดือนก่อน +1

    My wedding song❤

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 2 ปีที่แล้ว

    I'm akenyan but i'like bonny mwitege

  • @mugirwanakevianneyjoy4608
    @mugirwanakevianneyjoy4608 2 ปีที่แล้ว

    Ndie hapar Rwanda napenda nyimbo zako

  • @salomeowendi2558
    @salomeowendi2558 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen brother Bonny

  • @pacifiqueabedi3887
    @pacifiqueabedi3887 4 หลายเดือนก่อน

    Neema ya bwana wetu ikufunike baba yangu

  • @drivingnoteskenya2621
    @drivingnoteskenya2621 2 ปีที่แล้ว +1

    Utukuvu awe very nice welcome back God's servant

  • @jacqmorah7865
    @jacqmorah7865 2 ปีที่แล้ว

    Kaa kwa Mungu Siku zote juu anakupenda cna mutumishi

  • @elishajailosy8346
    @elishajailosy8346 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiiii mzee wangu nimekukubali na YESU wako

  • @edwardkundy5918
    @edwardkundy5918 2 ปีที่แล้ว

    Nakubal san ndugu yngu nyimbo ni nzuri san bab

  • @sebastiancharo4247
    @sebastiancharo4247 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen barikiwa sana kama vile unavyonibariki. sichoki kusikiza na kuona nyimbo zako

  • @makumbilinnetshally9092
    @makumbilinnetshally9092 ปีที่แล้ว

    Yesu pekee amefanya ya ajabu Maishani mwangu,💕💕💕🙏

  • @petronilahkedogo393
    @petronilahkedogo393 2 ปีที่แล้ว +6

    Wow congratulations man of God we love this from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @danielmgoi
    @danielmgoi 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema excited to win najifunza kutoka kwenu jaman Mungu mwema

  • @augustonampuanica5770
    @augustonampuanica5770 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kaká mpiga kasi 👍👍👍🇲🇿💪💪💪🙏 Aleluia aleluia aleluia aleluia aleluia

  • @isaackipruto
    @isaackipruto 9 หลายเดือนก่อน

    Wow wonderful one inanikuza sana I play it whole day
    Ubarikiwe sana mwimbaji wa mungu

  • @countrymwakisutv5389
    @countrymwakisutv5389 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amekuinua juu kutokana na unyenyekevu wako naatakufanya kuwa wa thamani sana hongela sana

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 2 ปีที่แล้ว

    kaka inaniuma sana sana unapokuaga kimya kusema kweli unatoagavnyimbo za Mungu nzur mnoo barkiwa

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Sifa kwake Rabana baba yetu kwa yote alotenda anayotenda na ATAKAYOTENDA AMINA🙏🙏🙏🙏.

  • @miriamayiera6378
    @miriamayiera6378 2 ปีที่แล้ว

    Amina..Bonny mwatege nililia sana waliposema umekufa..sasa nimeamini uko

  • @BelitaWelangayi
    @BelitaWelangayi 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah bungoma we are with you huu wimbo umenijenga sana

  • @ivynletting
    @ivynletting 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wuuu glory to Jesus what a song ,Bonny never disappoints God bless you

  • @mariakesowani8812
    @mariakesowani8812 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi wa mungu babaangu wa kiroho mungu azidi kukuunua zaidi na zaidi.namafunuo yaongezeke.

  • @jkiaporthealth6889
    @jkiaporthealth6889 ปีที่แล้ว

    Mwaitege napenda nyimbo zako sana

  • @jacobalinyuni5401
    @jacobalinyuni5401 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu yuo look nice bieatful God bless you

  • @vivivivi1286
    @vivivivi1286 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

  • @florencesanita1413
    @florencesanita1413 2 ปีที่แล้ว +8

    Glory be to God forever be bless from 🇰🇪

  • @stellamotelwa2505
    @stellamotelwa2505 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki muendelee na kazi ya nyimbo zakuinjilisha grol to God 🙏

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 6 หลายเดือนก่อน

    Big up papaa mwaitege ,penda Mimi nyimbo Yako hongera

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 ปีที่แล้ว

    Hallelujah mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana Kwa kazi nzr

  • @baenatural2192
    @baenatural2192 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen

  • @carolineouma8660
    @carolineouma8660 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako zinanisongeza karibu na mungu ubarikiwe Sana mchungaji.

  • @revmichaeldanieltv5154
    @revmichaeldanieltv5154 2 ปีที่แล้ว

    Amen sana ubarikiwe mchungaji na Mwimbaji mkongwe Mungu awe pamoja nawe

  • @maureenmakokha2469
    @maureenmakokha2469 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana hongera sana mtumishi wa Mungu

  • @lucialyanzi3512
    @lucialyanzi3512 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidiahie maisha marefu yenye amani yasiyo na majuto

  • @rhodamulwa7106
    @rhodamulwa7106 ปีที่แล้ว

    From TikTok to here .. I can't get enough of it

  • @hassanbravin466
    @hassanbravin466 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina 💯💕💕💕💕🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mbingu zinene mema kwako mtumishi wa MUNGU

  • @MTUWAMUNGU333
    @MTUWAMUNGU333 2 ปีที่แล้ว

    Bony mwaiteg nina penda jins unavo imba lakn niseme kituu

  • @cretrinomz
    @cretrinomz 2 ปีที่แล้ว

    from mocambique nemeipenda sana ngoma iyo Hallelujah

  • @aloycetimoth6679
    @aloycetimoth6679 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaa Haleluyaaa nabarikiwa sanaaa na wimbo huu hongera kwakaz nzuri

  • @Kablessing962
    @Kablessing962 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mtaamu Sana... Wacha Mungu akizindi kukuinua

  • @madridmadrid646
    @madridmadrid646 ปีที่แล้ว

    Hallelujah hallelujah hallelujauuuujah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯 all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃💃💃

  • @dorcasmwakio5011
    @dorcasmwakio5011 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa utukufu ni wa Bwana milele na milele

  • @priscillandungi3958
    @priscillandungi3958 2 ปีที่แล้ว +26

    Wow,, this song is on another level.. glory be to Jesusu Hallelujah,, all the way from Kenya🔥🇰🇪

  • @paschalkiniofficial123
    @paschalkiniofficial123 2 ปีที่แล้ว

    Sifa UTUKUFU Heshima Kwa YESU KRISTO

  • @paulnuhu1608
    @paulnuhu1608 2 ปีที่แล้ว +1

    Mutumishi wa Mungu wimbo huu umenibaliki sana Mungu wambinguni azidi kukufunulia nyimbo zenye mafundisho mazuli kama haya

  • @gracemwachuma4539
    @gracemwachuma4539 2 ปีที่แล้ว +4

    Glory be to Jesus hallelujah 🙌🙌🙌 God bless you mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏

  • @cvvc9961
    @cvvc9961 6 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah amen Amen Glory forward to God in the name of Jesus christ 🙏🏿♥

  • @subiraadam2322
    @subiraadam2322 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu anajivunia mtumishi....barikiwa sana kazi yako n jema Sana hata Moyo ukiinama unainuka...Mungu akutunze🔥🔥

  • @benjaminsteven7350
    @benjaminsteven7350 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mjomba usizeheke mpaka mwisho....

  • @maggiemkawuda5870
    @maggiemkawuda5870 2 ปีที่แล้ว +5

    Glory be to God .am blessed .God bless you

  • @nicodemuskimeu-official.4006
    @nicodemuskimeu-official.4006 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni msaanii kutoka kenye unatubariki Sana.

  • @alicejuma3739
    @alicejuma3739 ปีที่แล้ว

    Good song mungu akupariki xna kwa kazi njema my brother kaza mwendo

  • @alfredmazulaz2410
    @alfredmazulaz2410 2 ปีที่แล้ว +1

    much luv 💞💞 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @katesworld9336
    @katesworld9336 2 ปีที่แล้ว +16

    Glory be to Jesus. 🙌🙌
    🇰🇪🇰🇪

  • @petrakepher2122
    @petrakepher2122 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupanue zaidi na zaidi katika peo zako zote kwa kazi yake. Utukufu ni wake milele na milele Amina.

  • @hekimaoscar6527
    @hekimaoscar6527 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur mtumishi was bwana

  • @lucyamaase7339
    @lucyamaase7339 2 ปีที่แล้ว +1

    This is more fire haaaaaa love you bonny for free

  • @kelvinnjuki7196
    @kelvinnjuki7196 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to God.very nice song.kubarikiwa nayo

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 2 ปีที่แล้ว

    Wonderful song sifa apewe Bwana Yesu Kristo

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah good songs yenye upako be blessed broo bony

  • @josephatmwanjisiofficial9777
    @josephatmwanjisiofficial9777 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda mkuu

  • @eliajames4136
    @eliajames4136 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mtumishi kwa wimbo mzuri

  • @dannyboas1409
    @dannyboas1409 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu bonny kaz nzur sana

  • @Gospel434
    @Gospel434 2 ปีที่แล้ว

    Amen ubalikiwe Mutumishi WAMUNGU

  • @jaredosoro8628
    @jaredosoro8628 2 ปีที่แล้ว

    Much love from Kenya ndugu Bonny mwaitage,.....gorly be to Jesus my protector

  • @DavidGitauKamau-cs2pu
    @DavidGitauKamau-cs2pu ปีที่แล้ว

    Wow!!!,,,wonder God we praise you imeshika mbayaaaa,,,,