nchi yangu tangu enzi za ukoloni hadi mpaka sasa ni damu tu inamwagika eh mungu sisi wakongomani tumekukoseaga nini tumefanyanga nini au tufanye nini ili na sisi tuishi kama wengine dah😭😭😭😭😭
Asante sana Allah kwa kutupatia mtu kama jamal na nakuomba umlide kwa mwaka mingi sana pia mpe mda ili akukumbuke kwa swala na vitu vyema kwakidini yetu ya kislam
Daaaah polen sana wacongo kwakwel mnapitia mengi sana 💔❤️🩹ila ili hali hii iishe lazima viongozi wa Africa waweze kuwa pa1 vinginevyo hamna kitu kila siku tutakuwa chini tu na kuonewa na kuendelea kulalamika bila mabadiliko yoyote tatizo viongozi wetu njaa nyingi na tunaoumia ni sisi raia😢😢
JAMAL APLI KAMA UTATOLEWA ZAWADI KWA MTANGAZAJI MZURI NA KUTANGAZA WASIKILIZAJI KUELEWA WEWE JAMAL NAMBA MOJA MUNGU AKUBALIKI KWA KAZI YAKO MZURI NAKUPATA VIZURI KUTOKA ATHENS ❤❤❤
@@saluxeagle huyo rais wa kenya ni criminal na rais wa bandia tunamchukia sana. Mkora ba fusadi mbaya sana . Aliiba kura na kuwekwa kwa kiti na wazungu. Useless kabisa
Wewe jamal upo vizuri sana Utangazaji mpaka mesali zangu mwenye Akili timamu Akizingatia mesali zako Atapoteza Ubarikiwe MWAMBA WANGU JAMAL NAKUPATA VIZURI KUTOKA ATHENS ❤❤❤
Congo is so rich in minerals and americans and europe need them. So they support these wars to benefit. No hope no solution for stopping that war unless USA and European countries leaves congo alone
Poleni ndugu zangu wa congo ila tatizo la nchi ya congo ni marekani na washirika wake wakiwatumia baadhi ya raia wa congo lkn msijali freedom is coming.
@@MwanaMackkwani hii mapinduzi ingekomesha vita mashariki ya Kongo na maeneoya Goma na kulete amani Kongo yote? Nilidhani Tshikedi anaweza ama ameshindwa? Dawa ya Kongo ni kuwa na semi autonomous states zijitawale vilezinataka ndani ya dola ya Kongo. La si hivyo vita hazitaisha Kongo
@@ChumanaSusindio maana wanao kaka zetu wameowa maanduwi wetu ndo mana wanashidwa kufanya jambo nzuri kabila kabange ni mnyarwanda kaka yetu alitudangaya eti ni mtoto wake kumbe ni mtoto warafiki yake tulikuja kujuwa after mtoto wake wakweli kusema amekimbia congo kwasa bb kabila alitaka kuwauwa watoto wababa yake wakambo huyu mwengine alitudangaya mkewe ni mcongo og kupe ni mnyarwanda ndomana yupo kimia maana mkewe ataki ndugu zake wafukuzwe congo . Lakini binti au msichana wacongo akijuwa uko nyarwanda vina kwisha yani uwa awakubali kuwa nao kwenye mausiano ila hivi vitokeni vinakubali kuowa aduwi yake american before wakijuwa unatogonza aduwi wanakuuwa ila now wao kupata amani wamerusu
Daaaah yani kwa hii dunia ukiwa masikin unatesek, ukiwa tajil pia unateseka... Congo wanahangaika kisa utajil, sudan wanahangika kisa umasikin.. eeeh mung tujalie waja wak0🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
Sema Prof binafsi bado naona no mvutano wa West na East. Ukiangalia Bemba na Wapinzani wengine wa zaman wapo against the West ndomana walipata shida kipind hicho. Tshekedi yupo against na West nadhan labda kuna kitu kilichojificha hapa zaidi ya tunavyoona..
Jamani wenzangu wa tanzania shukuruni kuishi kwenu bila kuwa na miliyo ya lisasi ila sisi kongo masasi yamekuwa kama wa pikipiki zaidi sana kwetu mashariki mwa kongo
Sijui wafrika tutajielewa lini?? Inaoma sana kuona tukiteswa na mambo yako na suruhisho lakini tunajifanya vipofu walio na macho natumevaa miwani mweusi isiyo fafanua rangi zote ziko sawa Visiwi wanao sikia lakini tukaweka pamba masikioni My fellow Africans please let’s love our nations our lands And keep Peace From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to Congo Alafu wafrika anaye cheka nasi c rafiki kabisa afadhali hadui anaye kuonyesha chuki unajikinga kuliko anaye kupea busu nakukumbatia kumbe anakudunga nakisu mgongoni unakufa ukiwa na furaha juu ajakuachia umuone sura ilivyobadikika tuu mnavyokumbatiana!!!!
Atamke kwa usahihi majina ya kifaransa ili imsaidie nani ? Kwani yeye ni Mfaransa..? Wao wafaransa wanatamka vzuri majina ya kitanzania? Acha shobo wewe
Shida nchi za kiafrika zinaziangalia sana nchi za nje zihusike na changamoto za afrika hawawezi kuwasaindia wakati wananufaika na mpango huo wana kanuni yao ili uwatawale lazima uwagawe
nchi yangu tangu enzi za ukoloni hadi mpaka sasa ni damu tu inamwagika eh mungu sisi wakongomani tumekukoseaga nini tumefanyanga nini au tufanye nini ili na sisi tuishi kama wengine dah😭😭😭😭😭
Vaa ww viatu vyake ndo utajua analia uongo au kwel
@@rommyshabby3959 wee umeshavivaa ni size ngapi mzee nikanunue
@@Adrext we kuku acha kuropoka Kama hujui kitu bora unyamaze boya ww subiri siku tanzania itapata vita ndo utajua hujui kenge ww
@@mtktv597 acha kunya kunya bila kuchamba kijana aliekwambia Tanzania tunaogop vita ni nani mbweha wew
Pole sana ndugu. Ujumbe unaliza sana hasa waliowahi kupitia magumu sana. 😭😭😭. Mwenyezi Mungu asaidie kwa kweli.
Asante sana Allah kwa kutupatia mtu kama jamal na nakuomba umlide kwa mwaka mingi sana pia mpe mda ili akukumbuke kwa swala na vitu vyema kwakidini yetu ya kislam
Hii story nilioona sns-kwa sky lakin sikuelew kiundani.....
Hapa kwa jamali - Nimeelewa kabisa.... Big up sana prof jamali✔️🙏🙏
Kama Mimi🎉
SNS hamna kitu kule ni ubabaishaji tu gonga like kwa Pro JAMAR🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍🤩🤩🥰🥰😍😍🙏🙏🙏
Jamal Jesh sana Respect nyingi sana
Daaaah polen sana wacongo kwakwel mnapitia mengi sana 💔❤️🩹ila ili hali hii iishe lazima viongozi wa Africa waweze kuwa pa1 vinginevyo hamna kitu kila siku tutakuwa chini tu na kuonewa na kuendelea kulalamika bila mabadiliko yoyote tatizo viongozi wetu njaa nyingi na tunaoumia ni sisi raia😢😢
Rais wa kongo tafuta muafaka na wenzako ili uitawale kongo vizuri
Kama wewe ni mpenzi wa the story boob gonga like & comment
From +254 🇰🇪 Tunakutambua Jamal wapi likes zake hapa
Story za kiafrica uwe unatuletea Asante kwa kazi nzuri❤prof April
Nimejifunza kitu kikubwa sana, Watu wana ndoto kubwa , na hawakubali kukata tamaa, hadi wafanikishe malengo, hili ni funzo💪💪
JAMAL APLI KAMA UTATOLEWA ZAWADI KWA MTANGAZAJI MZURI NA KUTANGAZA WASIKILIZAJI KUELEWA WEWE JAMAL NAMBA MOJA MUNGU AKUBALIKI KWA KAZI YAKO MZURI NAKUPATA VIZURI KUTOKA ATHENS ❤❤❤
Wangapi tumelewa vizuli kupitia "THE STORY BOOK" weka Like Hapa👇
Sauti yako ndy inanifanya nielewe kwa haraka kila history bro big up🔥🔥🔥
Shalom, Shalom, Shalom, Shalom Congo.
Much Love ❤ from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Chikenya vibaraka nyie vya mzunguz 😂😂😂
Niko mji wa Wote Makueni Kenya 🇰🇪 na nawaombea amani wakongo. Mumeteseka sana
Rais wa Kenya alikuwa nao
Wote twi vamwe 😅😅
@@saluxeagle huyo rais wa kenya ni criminal na rais wa bandia tunamchukia sana. Mkora ba fusadi mbaya sana . Aliiba kura na kuwekwa kwa kiti na wazungu. Useless kabisa
@@JEVASMUTINDA-zu3cb sure
Wewe jamal upo vizuri sana Utangazaji mpaka mesali zangu mwenye Akili timamu Akizingatia mesali zako Atapoteza Ubarikiwe MWAMBA WANGU JAMAL NAKUPATA VIZURI KUTOKA ATHENS ❤❤❤
Congo is so rich in minerals and americans and europe need them. So they support these wars to benefit. No hope no solution for stopping that war unless USA and European countries leaves congo alone
Mungu wasaidiy wakongo🙏🏻🙏🏻 🇹🇿
Natazama nikiwa nchini Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naomba like zenu
Unakula likes ?
@@mugongamawe sindio man
Nyie kenya hamuna story book yenu
@@Mcyoungpezuza 🤣🤣🤣hatuna laki itapatikana tu
Allahu akbar hakika naamini mola wangu kweli uko na unatimiza kila haja ya mwenye kuitajia❤❤
Poleni ndugu zangu wa congo ila tatizo la nchi ya congo ni marekani na washirika wake wakiwatumia baadhi ya raia wa congo lkn msijali freedom is coming.
Jamal april alete story za Coincidences ama unsolved mysteries.... Much Love from Kenya🇰🇪..
Nakutambua sana professor kila siku lazima niangalie nini umepost,,,,, watching from 🇰🇪
I wish you did this in English broooo tungeua global market .....love ua stories bro
Swahili Our Power Language Of Communication! Not The Enemy Language! No Anglais no no no.
Mungu awape aman nchi ya Congo 🇨🇩 Amen
🎉
Da Jamal wemkali sana yaani unayajua mambo ya Congo kuliko hata mimi ninaya ishi Congo
Shuja wetu wa Congo 🇨🇩🇨🇩aliye kufia wana Ichi 🇨🇩🇨🇩✊ courage héro
Unamaanisha ni kaka ukisema hivyo? 🇰🇪
@@ChumanaSusi Sisi tulitaka mapiduzi uku Congo tunateswa kama ubwa kaakangu
@@MwanaMackkwani hii mapinduzi ingekomesha vita mashariki ya Kongo na maeneoya Goma na kulete amani Kongo yote? Nilidhani Tshikedi anaweza ama ameshindwa? Dawa ya Kongo ni kuwa na semi autonomous states zijitawale vilezinataka ndani ya dola ya Kongo. La si hivyo vita hazitaisha Kongo
Mmmmmhhhh toka uko bwege kama yy marehem
@@ChumanaSusindio maana wanao kaka zetu wameowa maanduwi wetu ndo mana wanashidwa kufanya jambo nzuri kabila kabange ni mnyarwanda kaka yetu alitudangaya eti ni mtoto wake kumbe ni mtoto warafiki yake tulikuja kujuwa after mtoto wake wakweli kusema amekimbia congo kwasa bb kabila alitaka kuwauwa watoto wababa yake wakambo huyu mwengine alitudangaya mkewe ni mcongo og kupe ni mnyarwanda ndomana yupo kimia maana mkewe ataki ndugu zake wafukuzwe congo . Lakini binti au msichana wacongo akijuwa uko nyarwanda vina kwisha yani uwa awakubali kuwa nao kwenye mausiano ila hivi vitokeni vinakubali kuowa aduwi yake american before wakijuwa unatogonza aduwi wanakuuwa ila now wao kupata amani wamerusu
Waafrika hawajui adui sio mwafrika mwenzao😢😢😢wazungu walimchocha akavimba kichwa
Nimetumia big up Prof.
Huyu kafundishwa huko Marekani wamemjaza zile itikadi zaki West.. Sisi tuko Biz kuikomboa Africa yote wawo wanapumbazwa namaBepari wa magharibi.. 🇿🇦
Jamaaaaaal nakuita Tena Brother
Do Something kwa watu wa Nyamongo Mara ...wape Story Book wale watu..hawana tofauti na Congo 🙌
Hawez make atakuwa anaiteta serikali
Kwani kuna nini huko?
SERKALI GANII?
@ukweli255
WA NYAMONGO
NI RAIA WAWAPI?
Umenigusa san maana namimi niko nyamongo nishida vijan Wameisha huku
Asante sana Jamal kutuletea hii story book ya Congo ❤❤
Congratulations jamaal for the story book much love from Kenya we love your work big up to yourself
Duuh hii nchi kwastail hii haitokuwa naamani maisha yote kila mtu anaunda kikosi chake aongoze nchi
We acha tu afu ndiy ss hawa leo African tumekua omba omba had aibu na mali tunazo utajiri wa kutosha inauma
Daaaah yani kwa hii dunia ukiwa masikin unatesek, ukiwa tajil pia unateseka... Congo wanahangaika kisa utajil, sudan wanahangika kisa umasikin.. eeeh mung tujalie waja wak0🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
Viongozi ndio laana
Hapa nipo Congo huku upande wa beni Goma tuna teseka❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mungu yupo ata wasaidia
Congo nikubwa sana yan mmepakan na Cameron mungu awasaidie
Blessings nyingi sana zikufikie Prof Jamal Allah S.W azidi kukupa nguvu.
The best professor of the story book 📚 in Africa 🌍 Jamal April.❤❤
Nasikiliza the story book kutoka Wales naombeni like
Jamal twakupenda sana Kenya zidi kutuangushia stori
Mungu ibariki Africa mungu wabariki na wasaidie Ndugu zetu wa Congo wapate amani 🙏🙏
First Viewer from Malawi ❤
Hamjambo huko?
asanteh sana prof. leo nimewahi bwana 😁😁
ko umepata shingap
Wow! Story book, thanks for the story! Sad my Mama Africa! Conflicts! Conflicts! Conflicts!😭😭😭
From Congo drc tunakupenda mon grand jamal
ichi yangu naipenda sana japo shida nyingi sana ila naamini ipo Siku tuta iyona Amani tu japo sio Léo kina mwanzo kina mwisho acha tuone kule mbele
Mungu ata saidia
Kwa uchambuzi mzuri nakubali sana jamarl
Sema Prof binafsi bado naona no mvutano wa West na East. Ukiangalia Bemba na Wapinzani wengine wa zaman wapo against the West ndomana walipata shida kipind hicho. Tshekedi yupo against na West nadhan labda kuna kitu kilichojificha hapa zaidi ya tunavyoona..
Who else watching from kericho Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪??
Mama yako
Kwanini unapenda kutuzi watu wewe😮
Basi Congo tajiri sana uku Africa🌍
Ndiyo inaeza nunua ulaya zima ata africa nzima yan had umeme africa congo inaeza zalisha umeme africa na ulaya nzima il ndiyo ivo
Na umezembea sana nduguu kutuupdate 254 watching keep up brother
Nime yisikiliza hiyi story history piya nikama habari ya congo namushukuru sana muandaaji wahiyi story
In Sha'a Allah yataisha Waafrica tumeamka tupo vizuri kifikra na busara
Tumeamka wapi tungekua tumeamka africa yote wanajeshi wangeungan kwenda kiisaidia congo
@RachelMdao DRC imetelekezwa na jamii sababu wao wenyewe hawaamini mtu
jamar jamar punguza matangazo bac nawe weka mwishoni zinakata huondo napenda unavo anza mzee wangu..
Matangazo ndo yanasababisha aweze kutuletea taaarifa kwa mda sahihi Matangazo ndo yanayowaeka watu mjini
Even at 21st century...they r still fighting among themselves.
May God intevene😢😢
Wow! I have waited for this ❤️
Professor hiyo kisamiati sijaipata vizuri
Asante kwa taarifa ya habari
❤❤❤nakubar jamar
Nakupa big up kaka from 🇺🇸
Kaka vp
Thanks Jamal, Mungu ainusulu congo🙏
One-day mungu ataifungulia milango congo na itakuwa huru
Nakukubali kaka april.nikiwa kongo kusini
Professor....ukojuu
Tangu nizaliwe Adi Leo😭😭😭😭
ANGETULIA ANGEPINDUA NCHI KIURAISI KABISA KAKULUPUKA TAMINGI 😮
ALWAYS #THESTORYBOOK HAIJAWAI KUTUANGUSHA PAMOJA NA #PROFESSORJAMAL WEWE HAUNAGA MPINZANI
Safi sna.professionnel
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
Weka matangazo. Mie naenda kutafuta hilo duka la viatu lipo vizuri.
nakupenda jamali ujambuzi wa kweli
Jamani wenzangu wa tanzania shukuruni kuishi kwenu bila kuwa na miliyo ya lisasi ila sisi kongo masasi yamekuwa kama wa pikipiki zaidi sana kwetu mashariki mwa kongo
We pray 🤲🏽 for Congo
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama wewe ni mkenya uni like 🇰🇪
MUDA UNATHAMANI KUBWA SANA KATKA MAISHA YETU... Muda wa mapinduziii ya congo😂 the story book
Hio Hadith ya huyo mwanamke ni kitabu tulichokisoma darasa la nne (fikiri kabla ya kutenda) watoto wa e2000 hawawezi kukijua
Natazama nikiwa nchini Uganda 🇺🇬 naomba likes zenu
Ninyi waganda na wanyarwanda munatumiwa na wazungu kuzorotesha amani kongo ili tu mupate hela na wao kuchukuwa madini africa wapi wapi tunaenda
Sehemu gani mzee
@@samiradamrajab5416 kaabong district
@@saluxeagle 😂😂😂😂okey,
@@samiradamrajab5416 kaabong district mzee
Congo kuna shida sana Magharibi wanafurahi wanaiba madin wanaondoka
Wewe ni Usalama au such a genius guy kabla hujaongea nilikua nawaza kitu then ukaongea
From. +1 U.S.A🇺🇲 naangalia story book
Tuwapepletu wezetu wa Kongo kamawewe ni mpezi wa the story book 📖 like zako
Burundi tulishindwa 2015 na ndoo waliteka tv ya taifa uwanja wa ndege na kijeshiii
Kama wewe ni mkongomani weka like hapa 👍
Waliyo zingatia nakuumia kutokana na kisa Cha mama na mbwaa kwenye story book hi , please tujuane kwa like hapa
Mungu isaidie Kongo vitaiishe
Sijui wafrika tutajielewa lini??
Inaoma sana kuona tukiteswa na mambo yako na suruhisho lakini tunajifanya vipofu walio na macho natumevaa miwani mweusi isiyo fafanua rangi zote ziko sawa
Visiwi wanao sikia lakini tukaweka pamba masikioni
My fellow Africans please let’s love our nations our lands
And keep Peace
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to Congo
Alafu wafrika anaye cheka nasi c rafiki kabisa afadhali hadui anaye kuonyesha chuki unajikinga kuliko anaye kupea busu nakukumbatia kumbe anakudunga nakisu mgongoni unakufa ukiwa na furaha juu ajakuachia umuone sura ilivyobadikika tuu mnavyokumbatiana!!!!
Bajesh ba congo banalala sana hadi baadui banaingia mundan kabisa
Nchi yenu mnajua kucheza nyimbo na ulevi mtateseka sana mana wenyewe hamjitambui mmebarikiwa mali nyingi lkn hamna faida nazo
NIKWELIIIII KBSAAAAAA
Bacombant ba congo balikuwa banalala kwa fasi ya mu nyumba na kusahau kulinda fasi ya ikulu.
Mungu ipiganie congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇹🇿🙏🇹🇿
Kweli bro una tisha shabiki wako kutoka Congo🇨🇩🇨🇩
kazi nzuri sana prof
KAZI nzuri sana
watching from kenya,nashukuru sana jarmal, nifanyie ya jerry rowlings kutoka ghana..
Mungu wasaidie congo
Iko Sawa lakini jifunze na ufanye mazoezi ya kutamka majina ya kifaransa! Unaitamka kana kwamba ni Kiswahili...
Atamke kwa usahihi majina ya kifaransa ili imsaidie nani ? Kwani yeye ni Mfaransa..? Wao wafaransa wanatamka vzuri majina ya kitanzania? Acha shobo wewe
😊😊😊 awa kweli mapimbi
Mapaka siku ngani tutapata amani ( ata raisi wetu nimwizi tu ) ila kila mtu anamazaifu yake kabisa congo congo yetu tunaipenda tu❤❤😂😂😢😢
Good story
Prof unajua
mungu tusaidie Sisi wa kongo🇨🇩🇨🇩
Polen sana ila msijali mungu yupo aman irudi
Shida nchi za kiafrika zinaziangalia sana nchi za nje zihusike na changamoto za afrika hawawezi kuwasaindia wakati wananufaika na mpango huo wana kanuni yao ili uwatawale lazima uwagawe
Hatari sana
I appreciate it
Ma lisasi yamekuwa kama mzunguko wa pikipiki mjini na vijijini mwa mashariki ya kwetu 👉🇨🇩😭😭😭kilasiku tu ni hii ⚰️ hali
Mungu ata saidia